Nguza Viking, Mosese Fan Fan, Zahir Ali Zorro and Hakim Kalala were the true students of Franco Lwambos mini solo guitar, usually called mtindo wa Kente in Tanzania.
This song reminds me of three special people in my life my late husband Erick Ballah,late Dad Pascal Mulei and my late Uncle Ignatius Munyasya continue resting in ✌ ☮ 🕊 the memories we made live on....
Ngunza Viking hu huru dakikaa hii tunapo ogea. Furaha kwangu moyoni kwa huyu bwana ambaye maisha yake ilikua imewekwa barrier. Mungu ni mkubwa na ambariki Rais Magufuli
Me too. I remember being sent to bed after lunch and this song would regularly be played on radio. I loved it since then and some bit of it stuck in my mind for years. I didnt hear the song for long until 2015 when I found it on TH-cam.
Music is not language but vocals and instruments. Orchestra Marquis nailed it. Instruments and the the leading voice of Nguza did it. Ahsante sana. Mikinyango, Nairobi.
Muziki mtamu kweli huu,wanikumbusha maisha ya ujana miaka ya themanini nilipokuwa shule ya upili. Wakati wa likizo katika idhaa ya sauti ya Kenya, kwenye kipindi cha salamu za adhuhuri na MDJ Eddie Pondo. Mr Rrrrrrrright!
What a lovely song! Kila niusikiapo wimbo huu nasuuzika sana moyoni. If you take time and listen... you will describe amazing prize to send to your loved ones.
A lovely song.By then the world was nice & beautiful.!!! Reminds me when I was on primary & my fathers National radio-probably made from timber.Radion Tanzania Daresalaam.such music triggered our adrenalin to hunt for those beautiful village girls.Raha tupu.!!
Nguza Viking, Mosese Fan Fan, Zahir Ali Zorro and Hakim Kalala were the true students of Franco Lwambos mini solo guitar, usually called mtindo wa Kente in Tanzania.
❤❤❤❤
Wapendeza sana wimbo huu. Umedungwa kwa ustadi. Vyombo vya musiki vimepangwa sawa sawa. Naupenda saaana!
Hawa jamaa waimbaji toka Zaire walileta mapinduzi makubwa kwenye mziki wa bend tz kipindi hicho tutawakumbuka daima
Oooh yeah ........! I like songs
ndiyo
I'm Hilda hapa nimegonga ndipo
🎉🎉❤
This song reminds me of three special people in my life my late husband Erick Ballah,late Dad Pascal Mulei and my late Uncle Ignatius Munyasya continue resting in ✌ ☮ 🕊 the memories we made live on....
Sorry Theresia for the lost husband and other relatives, but still this song console you a bit,
❤❤❤🎉🎉🎉
Ngunza Viking hu huru dakikaa hii tunapo ogea. Furaha kwangu moyoni kwa huyu bwana ambaye maisha yake ilikua imewekwa barrier. Mungu ni mkubwa na ambariki Rais Magufuli
Just beautiful piece ❤. How I wish today's music cd be with a love language that is as of respect as this... listening in November 2024
I was in lower primary when I heard this song for the first time in 1980s, it reminds me of my late sister who loved it Soo much.
Me too. I remember being sent to bed after lunch and this song would regularly be played on radio. I loved it since then and some bit of it stuck in my mind for years. I didnt hear the song for long until 2015 when I found it on TH-cam.
I miss Tanzania , my home land.
Music is not language but vocals and instruments. Orchestra Marquis nailed it. Instruments and the the leading voice of Nguza did it. Ahsante sana. Mikinyango, Nairobi.
Nguza! the king of solo guitarists by then who has never got the competitor in Tanzania
These Congolese maestros were lethal in soft rhumba with real message!
True
Ilporomoshwa na RTD--
Kipindi cha jioni-- waaah!!
Kumbusho la milele.
Makubwa yanukia kwa umbali. Dr. Ogeto International
This is one of the best songs by Orchestra Marquis. I love it always
❤❤
Nani bado anafurahia namimi mwaka huu wa 2024 nyimbo hii pendwa ya Maquis Original 1984. Mungu wabariki wanamuziki hawa popote walipo, Ameni.
Amen.mziki mzuri sana.
Mungu awapumzishe waliyotangulia mbele za haki sauti zao, zitakuwa Hai milele
.nipo hapa. Takribani miaka 40 sasa lkn Bado ni 🔥 ujumbe mzuri pamoja na mpangilio safi wa vyombo. Hakika wenzetu walifaidi sn mziki
Nipo hapa nakumbuka Sana very nice.
the old good days
I love the song, it takes me back to the 80s where we used to hunt for squirrels in our home village
Hahaha
yes
Muziki mtamu kweli huu,wanikumbusha maisha ya ujana miaka ya themanini nilipokuwa shule ya upili. Wakati wa likizo katika idhaa ya sauti ya Kenya, kwenye kipindi cha salamu za adhuhuri na MDJ Eddie Pondo. Mr Rrrrrrrright!
Wimbo huu unanikumbusha mbali miaka ya themanini tulipokawa tunacheza mpira wa makaratasi
Hawa jamaa walikua na talanta kutoka Kwa Mungu,ukiskiza message inaingia kwenye mshipa wa damu,
What a lovely song! Kila niusikiapo wimbo huu nasuuzika sana moyoni. If you take time and listen... you will describe amazing prize to send to your loved ones.
Jacob Ulomi mziki mzuri sanaaa hatareee ulomi.
Wimbo mtamu wanikumbusa 1989 wakati mambo mbotela alipanya kipindi kilicoitwa pole kwa kazi
Good old days, gone are the days. I wish life was a rehearsal 😜
Nasikiliza leo tarehe 04/08/2024 baada ya kupigwa miaka 40 iliyopita
very romantic. takes me back in time.
The person who did the saxophone in this song.....a genius.
Enzi za zile za zama mzik ulikuwa na utamu nyimbo zilikuwa na mafunzo na mpangilio wa vyombo kulivutia. Miaka kati 1982-1988.
Hizo ngoma za Wazee wa Zamani uwezi kupata mpiga Solo Mzee Nguzza
Mziki hauishii ladha kila siku zinavio kwenda ndivio ladha huzidi,
Everlasting life music.
Kawimbo sukari sana, Mungu akujaalie maisha marefu babaangu mzee nguza viking.
Kujipa haha niwewe mwenyewe kama haujipi basi
Papá, tantas saudades tuas. DEP🌹
Ni weweeeeee pekee
Tupo wengi sanani,ndugu wa rwanda
Timeless piece of music, the arrangement and delivery is impeccable
master viking nakumbuka ukumbi mmojaulikuwa unaitwa p\ufundi
unashika mpaka kwenye mishipa. mziki sawasawa. kwanza kwenye saxophone
Hii imenipelela mbaaali sana. Late 80s nikiwa Kariobangi south primary school
Ulikua kariobangi south lini Renson. Mimi nilikua hapo Kati ya 1972-1978. Huh wimbo unanikumbusha nyakati za Radio Taifa Dar esalaam.
Siku za karubandika nikiwa class six . I used to hear the songs in my sister's kinanda, which played big sanduri. It was owesome. 1985.
Hunikumbusha Fred O Machoka na Sanyo top.
The real music of the soul
Magwiji wenyewe.....!
Japokuwa wengi kwenye kikundi hiki hawako hai, tunashukuru maanake sauti na maneno ya busara walituachià
Sikiliza mpini wa huyo mzee Nguza jamani ni hatari tumepata bahati ya kula raha kwa wakat sio leo sukari ulambwa kwa mfuko wa rambo
very nice music of all times ....
Reminds me year 1985 when in remote village my father use to send me 6km just to buy one rooster sigarette by then it cost 10 cents I was
Sigara kali, sm au embassy
Hhahah Symon you have nailed it man.VoK those days I was in Primary school and trust me the vybes were nice to date
I think by then i was not born only that i hear from others.Its interesting.
Sax yupo Betu Kankonde, one of the best piece of music. Best sax
Them dayz....true vybez "mara mara hukuwaza"
Sweet memories
Kamanyola,those were my great days while i was studying in Azania
Wimbo mtamu sana
Dah! Leo tareh tareh 1 June 2024 saa 21:13
Duuu nakumbuka mbali sana jamani
Luv it and it's so romantic
Winnie Mwangoa by
Dah muziki huu jamani!!
Kweli muziki ulikuwa 1970s_ 1989 africa
Muziki wa kitambo kidogo,inanikumbusha miaka ya 80's,yote tisa, lakini muziki "Almasi" muziki usio Isha thamani
Raha itoke wapi leo jamani wakati wa starehe umepita imebaki fujo tuu
Umesema kweli tupu kabisa marlone
Good old gold soft rhumba
Vyombo vime pangwa vika pangika jamani........
Najikuta nalia nikisikiza nyimbo za wazee hawa ukilinganisha na hivi viduku nimtihani
mara kwa mara ukuwaza
This was my mums favorite… one of them confused my Mama RIP Papa Tomaa
hahaha ...suzzy, life manenos.....macho yame ona wengi lakini ni wewe pekee....
Wow my dad loved that now am loving it
Wauuuuuu,,,siyo utani henzi hizo wamekula raha mustaree..
nyama choma na bia za kumwaga lazima utoke kitambi kinyume sio africanstyle
Nguza Viking(Babu Seya) mwenyewe
Nakubuka siku za fungate na mke wangu mpendwa. maquis milele!
Hii ilikua inaitwa nyuzi Bini nyuzi enzi za Jurias Nyaisanga misakato RTD enzi hizo
Umo sawa mwanzo niliusikia 1985.
2024 nipo hapa, old is gold
🎉🎉🎉 how i wish i could reverse time
Mimi inanikumbusha mke wangu same story
Unanikumbusia mpenzi wangu Rose
Sauti halisi hakuna kuchakachua kwenye kompyuta
One them confused my Mama continue Resting in Peace my Papa Thomas Kayembe Mutombo a.k.a Tomaa
Hizi ndo nyimbo ambazo hazitapotea mpaka vizazi vijavyo
Huu wimbo ladha yake itadumu
This music is gold
Down trodden when i heard Ngusha Viking was jailed in Tanzania.Remebering my school days
Watoto wa 2000 sms ka hivi ahsubui Jioooni anakuja ila wao bado unakuta anakataliwa walikuwa wanasotea sana
Ilove this song
Nguza apewe tuzo kw kz sf. Wahusika kz kwenu.
Kiukweli pamoja na umri wangu kuwa wa wastani lakini hizi pini za wazee wetu huwa zinanifikisha mbaaaali vionjo tu na vyombo vyao tu
good music.catching up with old folks.who is taking over from these talents?
Maurice,watoke wapi wakuwarithi hawa magwiji ambapo baadhi yao wameshatangulia mbele za haki😢?Kwa kifupi hamna.
1985 nikiwa londiani Kenya ilinibamba
Nakumbuka Idhaa ya biashara ya RTD ilikua ndio inatupa mipini hii
Muziki wa jioni
2024 August 4th. Nani anasukiliza.
Evergreen Music.....
Live maroon commandos at Kosewe Nairobi
Kama sio AKINYI JOYCE MICHAEL ni nani mwengine? Hakuna.
Ninge kufa ndani ya nyumba peke yangu uvundo unge julisha majirani Joyce Akinyi Michael i trust respect love you in a manner BWANA Mungu Pekee ANAJUA
Unaliona bus Hilo la ghorofa yalikuwepo hapa dar yakimilikiwana UDA pia mtandao wa taxi ukimilikiwa na Carcabs
Vyakale Dhahabu
babu seya apewe maua yake
Tumetoka mbalisana
Nguza Viking pekee
Mbosaw akatii
Nguza Viking playing a 12-string guitar here.
Niwewe!!
A lovely song.By then the world was nice & beautiful.!!! Reminds me when I was on primary & my fathers National radio-probably made from timber.Radion Tanzania Daresalaam.such music triggered our adrenalin to hunt for those beautiful village girls.Raha tupu.!!
@@charleskoech.k9725: Raha tupu!!
Muziki wao bado unagusa moyo
See you in the next life. I love you