Marijani Rajabu & Dar International - Emmy

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 26

  • @AhmedNgalewa
    @AhmedNgalewa หลายเดือนก่อน

    hapa mpini wa rithym gitaa aliukamata mwenyewe jabali, sikiliza mdundo wa kabango, ngoma ya wamanyema

  • @philipmbunda3610
    @philipmbunda3610 5 ปีที่แล้ว +4

    Dada Emmy nitafika, nitakuja nikuone wewe na watoto. Ninatafuta maisha.....Hakuna kama zamani.

  • @shaniabdalah349
    @shaniabdalah349 3 ปีที่แล้ว +2

    Katika nyimbo adhim ambazo nikiisikia c uwez kuickiliza mara moja ni hii kwa kweli, RIP marijani, aijawahi kutokea na cjui kama litatoka tena

  • @richardgaya3965
    @richardgaya3965 3 ปีที่แล้ว +2

    Marijan Rajab both with Dar International and Safari Trippers were ages ahead of time.... intense rythm the sought that even their Congo counterparts were to adopt well well after!!!!

  • @philipmbunda3610
    @philipmbunda3610 4 ปีที่แล้ว +1

    Mimi naamini binadamu anakufa na kurudi tena dunia kivingine, dhahabu kama hii (Marijan mwana wa Rajab) haiwezi kupotea moja kwa moja...amini.

  • @masterseedinv
    @masterseedinv 9 ปีที่แล้ว +3

    Salamu kutoka kenya,tunapendezwa saana na hizi nyimbo tamu za hapo Dar, hebu mkanisaidie- kuna wimbo hapo zamani ulisema " Moshi,Arusha, Dodoma kote nimefika,lakini ilivyo sasa miake minne ikapita ukanirudia tena nami siku kakataa kwa vile nilikuwa bado nakupenda,...ooh mimi amina najuta najuta saana." wimbo huu je ni upi na ninani aliye ufanya? Asanteni saana Afrika Mashariki

    • @sangomaamourice8978
      @sangomaamourice8978 6 ปีที่แล้ว

      huyo ndio jabar

    • @paulmtunda6184
      @paulmtunda6184 5 ปีที่แล้ว

      Wimbo huo ni wa juwata jazz band,utunzi ni wake bichuka,waimbaji ni marehem gurumo mnenge ramadhan,juma akida na bichuka mwenyww

    • @matildasananga2492
      @matildasananga2492 4 ปีที่แล้ว

      Wimbo unaitwa zalina

    • @jafaripaje5366
      @jafaripaje5366 4 ปีที่แล้ว +3

      Juwata Jazz Band - Wimbo Kaka yangu Adam

    • @HafidhOmar-rs4ty
      @HafidhOmar-rs4ty ปีที่แล้ว

      Huu ni Wimbo wa Pepe kale hidaya

  • @webstersinje7712
    @webstersinje7712 6 หลายเดือนก่อน

    Huyo Dada Emmy "Amina Ibrahim" alikuwa ni mkewe kweli alifariki miaka 3 kabla ya Marijani....Kunta...Kinte.

    • @Andres-qt6kp
      @Andres-qt6kp 6 หลายเดือนก่อน +1

      Amina alikua anasoma Zanaki na Doza alikua Tambaza wakitoka Shule njia yao ilikua Lumumba wakiongozana ilikua kapo nzuri sana,

  • @sulemanswaleh2077
    @sulemanswaleh2077 3 ปีที่แล้ว +1

    Heko tukopamoja bro,
    Ahsante super bravo.👌

    • @sulemanswaleh2077
      @sulemanswaleh2077 3 ปีที่แล้ว +1

      Mambo shwari tu.👌

    • @sulemanswaleh2077
      @sulemanswaleh2077 3 ปีที่แล้ว

      Doo hapo nainga ndege bonde la mpunga, Aa nisemeje wee acha tuu.👌inanibamba.

    • @sulemanswaleh2077
      @sulemanswaleh2077 3 ปีที่แล้ว

      Doo hapo nainga ndege bonde la mpunga, Aa nisemeje wee acha tuu.👌

  • @brownee20007
    @brownee20007 9 ปีที่แล้ว

    Asante sana Jibaba, umenikumbusha mbali Sanaa...Cheers

  • @GobsonNjagi
    @GobsonNjagi 9 หลายเดือนก่อน

    Safi saaana❤

  • @AquilasMenge
    @AquilasMenge ปีที่แล้ว

    Pale ni sawa kabisa

  • @florencehaji6911
    @florencehaji6911 4 ปีที่แล้ว +1

    Salute

  • @sweetbetmpaluka7183
    @sweetbetmpaluka7183 9 ปีที่แล้ว

    Sikia raha, raha ndani ya roho.

  • @husseinabdalla6667
    @husseinabdalla6667 4 ปีที่แล้ว

    Mungu amrehemu

  • @sangomamourice7082
    @sangomamourice7082 4 ปีที่แล้ว

    Jabar ktk ubora

  • @brownee20007
    @brownee20007 9 ปีที่แล้ว

    Je Unayo ile ya Jabali inayosema "Uamuzi wa kuoa sasa hivi sina"?

    • @shaniabdalah349
      @shaniabdalah349 3 ปีที่แล้ว

      Ingia you tube andika marijani rajabu andika jina la jimbo kutaka, unaupata,