#Live

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ส.ค. 2024
  • Tunatambulisha kwenu "Young Women Choir" au "Kwaya ya Mabinti wa Imani" Kanisa la Waadventista wa Sabato Mwenge @mwengesdachurch, wanajulikana pia kama "Ladies of Faith".
    Wimbo no 22, Usinipite Mwokozi
    Arranged by: Ben Chicco @zee_masta
    #mwengesdachurch #wanawake #ibada #ladiesoffaith #ladiesoffaithmwenge
    Ukiwa na swali, uhitaji wa maombi, ubatizo wasiliana na Mchungaji kwa namba +255 677 048 069 au +255 784 458 957.
    Kama una ushauri usisite kutuma kwa namba +255 713 343 939 au barua pepe live@mwengesdachurch.or.tz.
    Tunapenda kukujulisha kupitia channel hii, kuna vipindi mubashara mbalimbali kila siku jioni kama; Ongeza Ujuzi, Afya ni Mtaji, Kona ya Watoto, Lijue Kanisa na Ibada mbalimbali na maombi.
    Karibu ku-SUBSCRIBE ili uwe sehemu ya wengi wanaobarikiwa: bit.ly/SUBSCRI..., watumie na marafiki pia.
    Karibu pia kutembelea tovuti yetu: www.mwengesdachurch.or.tz
    Mungu akubariki.

ความคิดเห็น • 1

  • @rosemuyenjwa6711
    @rosemuyenjwa6711 5 หลายเดือนก่อน

    Mbarikiwe sana Ladies of faith,Mungu awatumie zaidi kuliinua jina lake,mliimba vizuri na mlipendeza sana❤