Namtafakari Mungu, naishia kumshukuru kutupa watumishi hawa, Mr&Mrs C Mwakasege ktk Nchi yetu ya Tanzania . Mungu ututunzie Watu hawa,wape afya na maisha marefu, wainulie watenda kazi wasminifu, na wape many Destiny Helpers for yout own Glory.Amen
Shalom namshukuru Mungu kupitia mtu mmoja aliyekuja kongamano alikuja na udongo nikaomba pamoja na neno lililotumika kwenye maombi dodoma nikaomba kwa imani ndani ya miezi mitatu nikahamia nyumba yangu ambayo nilikuwa sijui nitahamia lini.
WAAMBIE HAO WANAWAKE WANAONIABUDU NA KUNIFUATA MIMI YESU, WAACHE KUVAA NYELE BANDIA,KUCHA BANDIA, KOPE BANDIA NA VITU VYOTE AMBAVYO VINAPINGANA NA ASILI YA KUUMBWA KWAO, NA WANAPOKUA KANISANI KATIKA IBADA WAFUNIKE VICHWA VYAO. 1 Wakorintho 11:13
Eh natizama na kuchonga maandishi ya mafunzo ya mtumishi huyu wa Mungu, kutoka Qatar. Tangu nilipoanza kufuatilia mafunzo yake, hili apa ni la ndani sana. Tuseme, ningalikuwa angali chuoni, ningesema hivi "darasa ya leo ni ile ukikosa tu siku moja, umekosa vingi." Napenda mafunzo ya Christopher. Bwana asifiwe.
Mama yangu yuko nanyi huko ktk kongomano. Mama E. Kimambo hoyeeeee. Nimefarijika sana na neno, asante sana Mwl na Mama Mwakasege. Mzidi kuniombea mimi Janet na mume wangu Sebastian Urio. Hallelujah hallelujah Amen 👏👏🙏🙏
Namtafakari Mungu, naishia kumshukuru kutupa watumishi hawa, Mr&Mrs C Mwakasege ktk Nchi yetu ya Tanzania .
Mungu ututunzie Watu hawa,wape afya na maisha marefu, wainulie watenda kazi wasminifu, na wape many Destiny Helpers for yout own Glory.Amen
Nafuatilia toka Uganda
Shalom
namshukuru Mungu kupitia mtu mmoja aliyekuja kongamano alikuja na udongo nikaomba pamoja na neno lililotumika kwenye maombi dodoma nikaomba kwa imani ndani ya miezi mitatu nikahamia nyumba yangu ambayo nilikuwa sijui nitahamia lini.
WAAMBIE HAO WANAWAKE WANAONIABUDU NA KUNIFUATA MIMI YESU, WAACHE KUVAA NYELE BANDIA,KUCHA BANDIA, KOPE BANDIA NA VITU VYOTE AMBAVYO VINAPINGANA NA ASILI YA KUUMBWA KWAO, NA WANAPOKUA KANISANI KATIKA IBADA WAFUNIKE VICHWA VYAO.
1 Wakorintho 11:13
Kweli tusifurie tu Masomo pia tusaporti kwa uwingi ili maono yafike mbali Sana kwa watu wote Asante mwali Mungu akutunze
Eee Mungu naomba ulinzi ju ya mtumishi wako huyu na kila walio karibu yake na kwenye Moyo wake.
Utukufu kwa Bwana Yesu!!!!!
Eh natizama na kuchonga maandishi ya mafunzo ya mtumishi huyu wa Mungu, kutoka Qatar. Tangu nilipoanza kufuatilia mafunzo yake, hili apa ni la ndani sana. Tuseme, ningalikuwa angali chuoni, ningesema hivi "darasa ya leo ni ile ukikosa tu siku moja, umekosa vingi." Napenda mafunzo ya Christopher. Bwana asifiwe.
Baba kumbuka Calvary kwa ajili yangu unitoe kupitia kushiriki chakula cha Bwana..ktkt jina la Yesu kristo wa Nazareth aliye hai.. Mungu niweke huru
Mungu akuongoze mwalimu
Ehh Mungu ukumbuke my brand Pinatibello na Tushikamane system
MUNGU ONA HITAJI LA MOYO WANGU TUHUDUMIE YESU KWA UTAKATIFU WAKO
Ndio bwana ndio bwana unatawala yesu usifiwe yesu🙏🙏🙏
Uhakika mungu ni mwema. Nimewekwa huru kwajina la YESU. Bwana yesu kwajili ya hiii huduma mkono wako uwepamoja nao usiwapungukie.Amen
Amina mtumishi wa Mungu
Duh! Yaani neno linaingia kama dawa. Nimepokea, Mungu akubariki baba
Hakika Mungu ni mwema kwangu
Hallelujah! Mungu aendelee kuwashika watumishi wake na kuwatumia zaidi& zaidi, Mbarikiwe sawa wabeba maono ya huduma hii
Najiungamanisha na madhabahu ya Dodoma leo hii mungu huku miungu inayotutesa kisukari
Amina mtumishi nimeelewa kwamba Kuna mahakama ya mbinguni🙏🙏🙏♥️
Namuomba Mungu Furaha niliyo pokea leo kwenye kula mwili wa Kristo na Damu Idumu milele, Mungu awabariki Mwalimu na Mama Diana
Asate YESU
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu hakika unatuvusha
Jina la Bwana Yesu litukuzwe.Ndio Bwana!
Naomba mungu ahukumu miungu ya. Kisukari inayomtesa mume wangu
Nabarikiwa sana kutoka ukonga Daresalam
Amina
Hallelujah 🙏
Asante Yesu Damu yako ikanihukumie Kila makosa natia
Amina Amina tunaungana pamoja mungu wa mbinguni awatunze watu wooote hapo
Ujumbe wenye mamlaka ya Mungu.
Neno la Mungu ni nuru giza hutoweka,barikiwa baba...
Asante Yesu kunifungua kupitia maombi 🙏🏻
Amin baba
Amen Amen mtumishi wa Mungu
Ameen ,tumemuona Mungu hata na sisi tumeshiriki nguvu za Mungu zimetufunika kwa ukubwa sana hakika Bwana ametufanyia hukumu
Oda imetokaaaaaa, Ameeeeeeeeeen
In you God I trust. 🙏🙏
Amina Amina amina
Mtumishi tunakufuatilia kwa njia ya upendo TV naandika majina ya watoto wangu (1) hance (2) Alpha (3) chance
Wewe ni Bwana Mfalme
Hakika mfalme umeinuiliwa juu
Najiungamanisha na madhabau yako takatifu
Ameen Ameen unatawala Bwana
Amina 🙏
Ibada Leo ailushwi naomba kujua maana napata SoMo la Jana
Amen
Mwl.chriss na godian Mungu awatunze
Kongamano la maombi kitaifa 22
AMEEEN AMEEEN
AMEEEEEN
Amen🙌
God bless u
Hakika utukufu wa MUNGU aliyehai upo hapa
Ameeeeeee
Kushiriki, Toka Zanzibar.
Rogathe kcmc namshukuru Mungu kwa kuniponya kwa kuhukumu magonjwa ya kimisri ktk mwili wangu na kuondoa kwangu milele.
Mama yangu yuko nanyi huko ktk kongomano. Mama E. Kimambo hoyeeeee. Nimefarijika sana na neno, asante sana Mwl na Mama Mwakasege. Mzidi kuniombea mimi Janet na mume wangu Sebastian Urio. Hallelujah hallelujah Amen 👏👏🙏🙏
🇫🇮🇫🇮🇫🇮🇫🇮🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
MWAMBIE DIANA MWAKASEGE AACHE KUVAA NYELE BANDIA WALA ASIPAKE DAWA KICHWANI MWAKE.
Mwanzo 1:31
Amen🙏🙏🙏🙏
Amen