LIVE: YANGA MBABE WA SIMBA / NZENGELI, PACOME, AZIZ KI HATARI/ AZAM FC USO KWA USO NA YANGA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ย. 2024
  • LIVE: YANGA MBABE WA SIMBA / NZENGELI, PACOME, AZIZ KI HATARI/ AZAM FC USO KWA USO NA YANGA

ความคิดเห็น • 28

  • @AllyMaliva
    @AllyMaliva หลายเดือนก่อน +5

    Wachambuzi wa Crown punguzeni mashindano wengine tukiwaona ,kuwasikiliza na kufuatilia tunaona mnachambua kwa kushindana kuonyesha umahiri msipoangalia nawaona mkitiana udhaifu lakini kubwa na baya zaidi mtaharibu kipindi. Mara nyingi hamfikii suluhisho hakuna anayekubali kuonekana hoja yake inazidiwa na mwingine. Kwa hii altitude iko wazi pamoja umahili wenu mtauwa kipindi! Tusuburi tuone!

  • @ProudNative
    @ProudNative หลายเดือนก่อน +1

    Hans ni mchambuzi mzuri ila tatzo lake Huwa anafikia hitimisho baada ya mechi 1

  • @AshaDany
    @AshaDany หลายเดือนก่อน

    Hans na uyo mwenzio Wana ubishi waoo

  • @monicalucas3738
    @monicalucas3738 หลายเดือนก่อน

    Hans, huyu kijana anakipaji sana ata akiwa wasafi nilikuwa napenda kumsikiliza🎉🎉🎉🎉,na apa niko kwa ajili yake akiwa jemedari napeleka mbele uchambuzi
    wake simsikilozi na chuki zake kwa Yanga.

  • @Chelseaboy_1905
    @Chelseaboy_1905 หลายเดือนก่อน +2

    Tatizo la hans anawapa sifa sana wachezaji wapya kwa kuwaona kwenye mechi moja tu mnakurupuka sana kumfananisha ahoua na chama

  • @antonykomba6631
    @antonykomba6631 หลายเดือนก่อน

    Hans, Lea, Jemedari Ni wachambuzi wazuri Sana; na ubishani Ni part ya mpira

  • @GwamakaMiho
    @GwamakaMiho 29 วันที่ผ่านมา

    Waambieni watu tena yanga ni team bora sana mimi n shabiki wa simba na watu wanapaswa kujua nidhamu unapocheza na team bora azam ndo kilichowakuta

  • @josephadam5384
    @josephadam5384 หลายเดือนก่อน

    Mwamba jemedari said mchambuzi Bora wa nchi hii

  • @zingeboy
    @zingeboy หลายเดือนก่อน +1

    Wakali wa hizi kazi crown media 92.1

  • @hmanews12
    @hmanews12 หลายเดือนก่อน

    Mnashindana San na kila mtu hataki kukubal point yake iwe dhaifu

  • @abednego3876
    @abednego3876 หลายเดือนก่อน +1

    Hans unajua mpira aise, Uchambuzi simplified.

  • @saidymbagalla6622
    @saidymbagalla6622 หลายเดือนก่อน +1

    Tatizo la Hans anachambua mpira kwa mahaba ya ushabiki wa yanga....
    Jana kasema Simba akipishana na yanga atakula zaid ya 5 lkn ikaja kua tofauti Simba walipeleka moto mpaka yanga wakarudi nyuma wote yani aliwasifia sana yanga utafkiri anaisemea Real madrid
    Kwaio Mwambien Hans apunguze ushabiki

  • @monicalucas3738
    @monicalucas3738 หลายเดือนก่อน

    Mi ni 1 chini ya kumi nampa elisasii

  • @monicalucas3738
    @monicalucas3738 หลายเดือนก่อน

    Yani madunduka kweli akili zao matope nimeamini yani wanapeana moyo hawajaumia , mumshukuru Elisasii alishapewa maelekezo zingepita zile 5 juzi bahati yenu, tukutane ligi kuu.

  • @user-em7uo9zn4q
    @user-em7uo9zn4q หลายเดือนก่อน

    Of course mnachambua vzr mpira but sometimes nabaki kuona aibu Kama mm ndyo mwenye media, It's reality mnachofanya co kizur kwa wasikilizaj niliona ck mnabishana mifumo kweny ubao likapita Hilo Leo Tena mwiongon mwenu Kuna mmja hapendi kurekebishw msimamo wake anataka usipingwe, so, presenters or hosters kuwen makini Sana ni Bora tubaki na msimamo wa mtu mmoja kuliko haya tunayoyaona , although mnafanya kazi nzuri mno

  • @user-tf3gs6zs4o
    @user-tf3gs6zs4o หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @moizjohnston3841
    @moizjohnston3841 หลายเดือนก่อน +1

    Tatizo Hans anaendekeza Ushanga sana,ana mihemko

  • @JELSONMAUKI
    @JELSONMAUKI หลายเดือนก่อน

    Hii .media watakuja kuuana walai . Team simba vs Team Yanga = Efm vs Wasafi 😅😅😅😅😅😅😅

  • @bennieathuman9917
    @bennieathuman9917 หลายเดือนก่อน

    Huyu anaempinga HANS ni simba kwa hiyo hata msihangaike

  • @FelinucMalilwa
    @FelinucMalilwa หลายเดือนก่อน

    😊😊

  • @AllyMaliva
    @AllyMaliva หลายเดือนก่อน

    Wachambuzi tunafurahi mnavyoweza kutoa ufafanuzi ili kutupa uelewa mzuri katika kuwekana wenyewe sawa wakati mnaonyeshana kiwango cha uelewa!

  • @godwinprotace6749
    @godwinprotace6749 หลายเดือนก่อน

    Tatizo la Jeff anasikiliza ili kubisha sio kuelewa. Kila akiongea Hans anajiandaa kubisha au anatafuta makosa. Ni kama ana wivu fulani na kachuki kwa Hans. Kama media mbili zinapambana hapa.
    Mwenzio kama anajua mtie moyo hata akiteleza sio useme sikubakiane nae. Sema mimi mtazamo wangu ni hivi. Sio kusema mie aikubali anachosema Hans. We toa maoni yako bila kukosea ya Hans

  • @R10_Rajab
    @R10_Rajab หลายเดือนก่อน

    Tutayamurika sio tutayamulika pia ni Tanganyika na sio Tanzania bara kuweni watangazaji wenye uweledi wa matamshi ya kiswahili mkizingatia mpo na mtangazaji bora wamuda wote Salim Kikeke

  • @Square7788
    @Square7788 หลายเดือนก่อน

    Huu uchambuzi😂😂😂😂

  • @achawanunetv1167
    @achawanunetv1167 หลายเดือนก่อน +1

    MUWE MUNAWAANGALIA WATU AMBAO MTAKAO KUWA MNAWAOJI. MBONA MNASHUSHA HESHIMA YENU? MUNAANZAJE KUMUOJI MALAIKA EX WA RICARDO MOMO

  • @TchombaMedard
    @TchombaMedard หลายเดือนก่อน

    Hans upo zuri ndugu hao ndugu zetu wamengea sana ila awakuwa najibu sahihi kwanini wamengea eti simba kunakitu ambacho kimeingezeka wakati simba imecheza match mbili kwanini wasikubali pacome kwa match mbili kama kunakitu ambacho kimeingezeka kwake waache ubishi hata nyie bado hamujakuwa na muunganiko boresheni kipindi acheni ubishi bi up sana hans

  • @ProudNative
    @ProudNative หลายเดือนก่อน +1

    Hans ni mchambuzi mzuri ila tatzo lake Huwa anafikia hitimisho baada ya mechi 1

  • @ProudNative
    @ProudNative หลายเดือนก่อน

    Hans ni mchambuzi mzuri ila tatzo lake Huwa anafikia hitimisho baada ya mechi 1