Haluna wachambuzi hpo wote wa ovyo apo angeanza aucho na key timu ingeshinda or kutoa sulu wangekuja na habar nyengi ndio hao hao wanakuwa wanaiponda young wote hao no makolo
Nyie wachambuzi wa ajabu sana! Azizi Ki ni yuleyule! Tatizo mna kariri! Azizi Ki nibinadamu sio mashine, Kuna kiwango na class, hivyo mechi 4 huwezi kusema kiwango kimeshuka?
Kocha gamondi anahakilisana maana ukimueka mchezaji kilasiku aanze yy atakua nakibuli kwahio ukimueka mwingine nayeye atajutia kamakuna mapungufu anaeyafanya ama kama ataleta malingo
Ni kweli kabisaa
Sasa mnachambua au mnabishana wenyewe
😂😂😂
Mnabishana wenyewe Kwa wenyewe mara mje yanga mara Manchester city mara mjadili historia kifupi mmechanganyikiwa
Chezea yanga ww mm nangoja mechi ya simbaaa sasa
Haluna wachambuzi hpo wote wa ovyo apo angeanza aucho na key timu ingeshinda or kutoa sulu wangekuja na habar nyengi ndio hao hao wanakuwa wanaiponda young wote hao no makolo
😂😂😂😂
Sana kaka
Asili ya alkina chama
Ni yanga
Athuman juma chama
Iddy chama
Mhhhh
Gamondi hansikilizi mtu kenge nyie! He is a tactician na yeye ndo anawajua vijana wake!
Masta GAMONDI
Nyie machizii kweli yaani Gamondi awasikilize nyie wachambuzi nyokooooooo!! 😂😂😂😂
😂😂😂😂
Nyie wapuuzi sana. Mnategemea Gamond asikilize maneno ya washabiki ndo apange timu. Wachambuzii au washabiki? Hopeless kabisa.
Wape maneno yao
Mkane nae mlimpangia wachambuz
😂😂😂😂
Nyie wachambuzi wa ajabu sana! Azizi Ki ni yuleyule! Tatizo mna kariri! Azizi Ki nibinadamu sio mashine, Kuna kiwango na class, hivyo mechi 4 huwezi kusema kiwango kimeshuka?
Atawaziba midomo sana
Uko sahihi!
@SylvesterKameo 😂😂😂
Kampista ni mbishi, hata mechi ya vitaloo game ya pili alibadilisha wachezaji
Ubishi mwingi ujuaji mwingi au sio
Nyie mnachambua mechi gani 😅
😂😂au wanachambua mchele
Sasa mbona mnabishana hovyohovyo
Bado hawajasema
Wajinga kweli nyie
😂😂😂😂