Uongo dhambi Mimi binfsi nawakubali sana wachezaji wazawa sana akiwemo Fei ...Yani hua naumia sana kuhusu Fei .....nakupenda sana Fei Mungu akutunze sana Fei🥰🥰
Fei uko tofauti sana ninakuelewa sana kwani unapenda kukaa sana na kukubali wale wanao kuzidi ata wafanya biashara ili atoboe lazima akae na wale walio.mzidi ili kubadirisha mawazo big up fei
Yanga haina nia mbaya kwa fei, fei ni mwanayanga halisi, huyo ni Sunday manara wa leo. Fei ana heshima pale Yanga, anaheshiimika, na utaheshimika. Rudi nyumbani kwenu Jangwani. Unasubiiiwa.
Fei waache TU supu ya vibudu na mashabiki wao wakutikane SS wanasimba tunakupenda wew ni mtanzania usije ukaja kurudi kule uliko zalilishiwa mamaako kaka
Uongo dhambi Mimi binfsi nawakubali sana wachezaji wazawa sana akiwemo Fei ...Yani hua naumia sana kuhusu Fei .....nakupenda sana Fei Mungu akutunze sana Fei🥰🥰
Hujamalizia Rudi Yanga Fei, Ongezea apo juu!
Kwakwel ila bora arud ynga daaah now mbn wanapesa tu we
@@IshaeryMwampyate 😅umu ni umu tu
@@IshaeryMwampyate andika namba yako alafu utafuta baadae unaonekana homie
@@mathewdickson8891 Achaaaa tu 😂😂😂🙌 yng y moto magoli y mam fey haon yng wanvypat mapesa hamissi kwel
Fei uko tofauti sana ninakuelewa sana kwani unapenda kukaa sana na kukubali wale wanao kuzidi ata wafanya biashara ili atoboe lazima akae na wale walio.mzidi ili kubadirisha mawazo big up fei
Fei mm nakuerewa sana ukiwa yanga lud brother bado tunahitaji uduma yako
Unajibu kwa hekima kubwa sana,wachezaji wengine waige kwako, ushauri wangu kwako, Rudi nyumbani haraka. Young Africans.
kweli hata mm hapa naombo fei aludi yanga
Wanahabari kuweni mukiuliza maswali ya kitu kizimaa na kimchezo sio utoto
Nilai kikaka utakuwa umenisapo ti😊
Fei njoo simba ata mm nitaongezea mshahara
Kila mda mnamhoji saa ngapi anafanya mazoezi?
Fei😮😮😮❤❤rudiyanga
Hatumtaki mnafiki mkubwa
❤❤❤
Pw,fei Bado tunakumisi yanga
Yanga haina nia mbaya kwa fei, fei ni mwanayanga halisi, huyo ni Sunday manara wa leo. Fei ana heshima pale Yanga, anaheshiimika, na utaheshimika. Rudi nyumbani kwenu Jangwani. Unasubiiiwa.
Fei karibu Nyumbanii
Mwamba wa lusaka yupo yanga karibu home fei toto
Bado ujasema utopolo
Kaka njoo simba achana na hao washamba yanga njaaa
Wewe mjinga nn aje wapi timu lenu bovu mbaka mnajifunga wenyewe
@@johnnyjosephmonica286 we fara mchuzi matako litmu len la figisu aje kufanya nn akat mulimuleteag usenge wen awapend mafara nyie
Nilijuaaaa haweziii feitoto kumtagaaa azizi ki😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉
Ana namba yanga uyo😂
Mimi ningependa URUDI FESAL SERIOUS.WEWE NI YANGA DAMU
Bado hamjasema utopolo simba nguvu moja 💪 ♥️
Rude home fey kumenoga
Form six za Azam nzuur
Ata soks mzur😂😂😂😂
@@Dr_nanjase sjaziona😆
Rudi nyumbani fei wewe ongera na rais patana nae urudi mwanaume
Yang inakuitaji ww lud yang
fei naomba uludi jangwani nakuomba uje 😅😅
We fei njoo simba
🤝🏾🙌🏾🙌🏾
Mkata viuno njoo uwakatie viuno wanayanga
Jamaa atamani kurudi nyumbani,Rudi nyumbani FEI toto
Bado hamjasema utopolo 😂😂😂😂 fei simba nguvu moja 💪 fei toto
Yaani watangazaji wetu bwana...muulizage maswali ya kimsingi na professional...acheni uzuzu
Kaulize wewe bas😂😂😂
Ongela
Shida kiburi ndo kilimponza san acha ateseke
Fey anarud yanga
Bado hamjasema utopolo simba nguvu moja 💪 ❤❤
Simba uy mwamb
Yanga pamejaa Wala hatumtaki
Anatufaa sana mtoto akikunyea upajani utaukata mguu?
Rudi nyumban mwamba
unaonaje ukilud yanga fei
Haha feisal sufi
Mbona Tim zingine huzifungi
Nyinyi wandishi wahabar ache. Maswali yasiyo. Na msingi
Jibu zuri akili nyingi kikubwa mikono uende kinywani
Ludi nyumban kumenoga
Fei Lazma Arudi yang
Hapo kwenye kuongea na laisi kama kunakitu kinaendelea
Hatuna..shinda..naye..aende..zake
Pambana blo
Fei waache TU supu ya vibudu na mashabiki wao wakutikane SS wanasimba tunakupenda wew ni mtanzania usije ukaja kurudi kule uliko zalilishiwa mamaako kaka
Yaifadhi hayo kaka fei mwaka ujao yanga tena naona mme Anza kujikosha eeew
Mbwa nini
Fei ludi nyumumban kaka
Toroka uje fei
Huyo kautaka akae huko huko😂 na viuno vyake
Huyu kijana anadharau Alipo funga alikata viuno
Vipi kuhusu kula ugali na sukari ukiwa Yanga AU ni maneno ya kulishwa?
Tuliza fuvu kaka,bila jitihada zako yanga ilipanga kukupoteza mazima
Uache jeuri
Rudi nyumban kumenoga
Mkata mauno hatukutaki
Rudi nyumbani hukuua Fei
gor hawana striker wange chukua huyu
Fei nakusihi cheza boll Acha hizi siasa za simba na yanga cheater mpira kwa kiwango cha juu tunakutegemea kama taifa epuka hujma za simba
Asee jombaa yanga tam🍋🍋🍋
FEI TOTO
Waandishi na maswali uchwara
Hatutaki nenda huku huko si unatamaaa
Hatumtaki
Ww ndo humtaki labda
Koma kutusemea KOLOKWINYO WEWE. Naona akili yako inaruka ukiwaza FEI AKIRUDI SIJUI ITAKUWAJE? Naona unaona nyota tu shwine
Humtaki wewe sio wote Mimi binafsi natamani arudi yanga hata Leo.
Mkata mauno hatukutaki
Rudi nyumbani kumenoga
Mkata mauno hatukutaki