Mimi ni mnyamwezi halisi, nataka nieke sawa hapo japo mwana kama kaficha kdgo! Kule tunatumia hili neno eneo hili!? Mtu akienda choo baada ya kumaliza kujisaidia hatumii maji anajishenta yani anasaga makalio chini kufuta kinyesi au mtoto anafutwa na majani au dongo bunzi na vingine! Ndo asli ya neno kujishenta na kushenentwa! 😂😂😂😂
Kushenyeta watoto wa mihogoni, kanyenye, ng'ambo, kiloleni na chemchem wanafaham vema maana ya neno hilo, walikuwa wakishenyenta kwenye kona za ukuta wa chooni au kwenye milango
Komaa jamaa unajua bac nilijua na wewe unaitwa side umeheshimisha jina letu sisi kina side mana kila Anae pata kilipu tu Ananitumia side kama side nakubali sana kaka
Wewe ni baba mwenye numbaa au baba muumba mbingu na ardhi. 😂😂😂 sideee. Nikiwa na stress zangu natafuta cleap za side. Na ipo ile pale nilipoandika badilisha andika sijui nani hivii😂😂😂😂😂 side sheenziii
Big up sana bro🙋😆kama una mkubali side usipite bila kulaik 😆😆😆🤭👏👏👍🤝
Side wewe noma sana🎉
Side Kama side 😃😃😃😃😃 Noma Sana mwamba sisi kwetu Dua tu....pamoja sana
Wewe side mmi shabikiwako nakupenda sana nakupa mauwa yako🎉🎉🎉🎉🎉
Side km side noma xna kijnaa mungu akuinue
Nimejifikiria nimeona noma kupita bila kukoment #mboka manyema keep it up broh
Mboka Noma sn nyumbani kwenu napakubari kichizi yaani
Vizuri Sana #kanyukatv tupo pamoja
Daah najivunia atakama sio but tabora mwenzangu akifany kitu nasapot saaana keep it br
Natarajia kukuona unafanya interview na vyombo vikubwa vya habar mdogo wangu keep it up 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Aaaaaaaaah, aaaa aaa. Nimefurahi sana kumwuona huyu jamaa bonge la msanii. Hongera sana
Hongera sana kijana kwa kazi nzuri , Mungu akubariki usonge mbele zaidi
CG FM tabora mitaa ya madafu, bravooooo
Huyu jamaa huwa ananichekesha xana😂
Hahaha uyu jamaa daah ana tuvunja mbavu asa kwa Mimi mwanayanga
😂😂😂❤i love you my guy more love from Kenya we usually watch your videos at class and laugh
Safi sana side kama side congratulations broo
Mi nilikuwa nadhan ni mwaisa mwenye hyo sauti bac😂😂😂
naipenda sana ile clip ya nassoro kapgiwa horn na trekta akapgza baiskel chini😂😂😂😂😂😂
Sema side so mzima uyu😅😅😅😅
Wee msenzi nini😂😂😂😂 Like from DRC
Side kala mbwa usiku badala ya mbuzii😅😅😅😅
Hilo Neno alikua akilitumia Sana Baba levo
Nakupata brow kutoka 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Nakubali sana side kama side mabululu mdomo ulimponza
Kumbe ni Mwanatabora mwenzangu dah nilipenda Kripu ya shuti lililogonga mwamba la Aziz Ki dhidi ya Mamelodi
Hilo neno kushenyenta nitendo
Nakukubali sana mzee wa kushenyeta😂😂😂
Mwaisa the teacher😂
🎉🎉🎉🎉 washenyente najivunia
Nakubali Sana Mwamba side km side big up
Wow🤗🤗🤗
Mzee wa kushenyentea😂
You are so talented bro here In Malawi we love you side kama side
Niliekuwa namfikiria sio huyu mtu kabisaa.
Uko vizuri xide kama xide
alooo weeeeh nomah unavyo tuburudisha mzeeh sideeeh 😁😆
Kaka unajuwa sana
From🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 nakukubali
unajua sanaaa side side
Mwamba anajua san😂😂😂 kufyenyenta
Nakukubari sanaaaaa
Washenyente washenyente 😂😂
Pamoja sana wa home
Nimechekaaaaa😅😅😅
Upo fresh side 🇨🇦🇨🇦
We sideee 😂😂😂
Side hustler sana
Home boy kiloleni moja mboka manyemaa
Side nakukubali sana
Side ako ka t-shirt kamekutoa..
Aaaaaaaaah kuvaaa aka tuu mshaanza kutuchunaa mnataka tutembee uchi ndo mjue hatuna hela
Hii ilinivunja mbavu aisee😂😂
Ilekali@@Fantastic.-gm1eo
Me nilianza kufuatlia kitambo toka enzi izo za manula yaani we jama hushikiki
Hongera sana mate
Unabaya naa mini😂
Mzee wa mishenyento😂
Mwamba you are very talented
Big up
Mzee wa kushenyetaa😂😂😂 makini sanaaa mzee
Kijana wetu makini mungu ambarikiiii saaan
Side na Mkalimani OG nashindwa kabisa kuwatofautisha🤔
Mkalimani kaiga tu anatembelea upepo wa side
😂😂😂😂😂 sauti zao mbona zipo tofauti
Hongera sana kijana side, Mungu akuinue zaidi.
Mwenye namb ya kaija side anisaidie
Daaa mungu akujarie side kamaside adi uku usumbiji 😂😂😂😂😂😂
Kushenyentwa ni neno ambalo lishakua maarufu mjin🤣🤣🤣🤣
Kazi nzuri👍👍👍
Side kama side p1
😂😂😂 twende kati
Oya jama yuko vizuri
Mzee wa kuwa shenyenda
Kushenyeta ni kiha hicho
SIDE pamoja na KIMWAGA Nyie ni Wasumbufu Saaana aisee Endeleeni kutupa burudaniiiii 😂😅😁😃
Mimi ni mnyamwezi halisi, nataka nieke sawa hapo japo mwana kama kaficha kdgo! Kule tunatumia hili neno eneo hili!? Mtu akienda choo baada ya kumaliza kujisaidia hatumii maji anajishenta yani anasaga makalio chini kufuta kinyesi au mtoto anafutwa na majani au dongo bunzi na vingine! Ndo asli ya neno kujishenta na kushenentwa! 😂😂😂😂
Umetisha sana brooo kumbe ivo ndio kushenyenta
Side kama side...shenzi kabisa😂😂😂
Nakuangalia nikiwa pemba side kama side
Mzee wa kushenyenta
Kama kanzu nyanyuka 🤣🤣 shot crip
Kikubwa mapambano tyuu broo
Nakukubal sana kamanda kwetu kumoja chuo chakilimo tumbi
❤❤❤❤❤❤❤
8:00
Jamaa unajuwa
😂😂😂 sio siri clip zako zinanitoa stress
Side wee noma sana😂😂
Pambana tajiri
Kushenyeta watoto wa mihogoni, kanyenye, ng'ambo, kiloleni na chemchem wanafaham vema maana ya neno hilo, walikuwa wakishenyenta kwenye kona za ukuta wa chooni au kwenye milango
Nakuombea ufike mbali side kama side na kukubali sana
Komaa jamaa unajua bac nilijua na wewe unaitwa side umeheshimisha jina letu sisi kina side mana kila Anae pata kilipu tu Ananitumia side kama side nakubali sana kaka
Wewe ni baba mwenye numbaa au baba muumba mbingu na ardhi.
😂😂😂 sideee.
Nikiwa na stress zangu natafuta cleap za side.
Na ipo ile pale nilipoandika badilisha andika sijui nani hivii😂😂😂😂😂 side sheenziii
Side big up sana😅
Nilikuaga najua ni mpemba huyu jamaa kumbe home boy kabisa unyamwezini kwetu
Nakubali kaka uko vizuri❤
Side kama side
Mkn sana sede kama side😂mwananchi mwenzetu ww
Tunao kubali kazi za side tujuane kwa like apo
😅😅😅😅 nomasana najivuni washenyente
Unyamwezini moja iyoooooooooo
Kimwaga 😂😂😂😂😂😂😂
unatisha sana mi shabiki yako broo
ila cgtv tutafutieni yombo msukuma
Anazingua😂😂😂
Side 😂😂😂😂kumbe unasauti nzur tyu jmni
We side 😂
OYA SIDE KAMA SIDE 😂
Mwamba sana
Kimwaga