Fact sana ila tatizo kun maelekezo ya Simba na yanga wanatakika wawe wanapokezani kijiti miaka 4 kwa 4 huu mwwka wa mwisho wa yanga maana winga.wa wapiga ile ya miaka 5 ni wapo katika haya makundi wapo simba na yanga na Waislaam na wakristo hao.nikuwabalance sana mambo yao
Binafsi 'nilisubscribe' (haswa alipojiunga Salim), ila baada ya kuona namna wanavyokwenda, ikanilazimu kujiondoa. Kero yangu kubwa kwao ni matumizi sahihi ya lugha. Nimebaki na TBC pekee.
@@elliyawilliam2521 mupo kama israel mukifanya ubaya muangaliwe tu, wafanye wenzenu kelele zenyewe hizo loh. Mulipoenda S.Africa mulikamatwa live munaroga, sa mmechukua watu wananyunyiza pale Azam munasema hao ni yanga, ukiuliza kwenye vyumba vya kubadilishia kuna chupa za maji za GSM. Kwani nyi mmekatazwa kunywa maji hayo ? Foolish
Simba nguvu moja ❤❤
Vipi vya mpango yanga bila kubebwa na akina kayoko ni ngumu kushinda mechi so muwe na aibu make kmya..
Ahsante. Kwa. Jibu. Zuri
❤❤❤❤❤❤❤
Mzee wa vigomaa😅
Mratibu wa simba sport club huwa namwelewa sana hana hata mambo mengi yan❤
❤❤❤❤❤
Kama ligi ingechezeshwa kwa haki hata azam angechukua kombe yanga inayobebwa sana huo ndio ukweli
Fact sana ila tatizo kun maelekezo ya Simba na yanga wanatakika wawe wanapokezani kijiti miaka 4 kwa 4 huu mwwka wa mwisho wa yanga maana winga.wa wapiga ile ya miaka 5 ni wapo katika haya makundi wapo simba na yanga na Waislaam na wakristo hao.nikuwabalance sana mambo yao
@@abuumuhammad7133Kama nimekuelewa vile duuu😮😅
@@abuumuhammad7133kama Kuna kaukweli Fulani ivi 😂😂
Simba NguvuMoja
Wailulliquli umeitafsiri vp mkuu wangu
Animbie tu ile ngoma Libya aliimba nano
Andikeni Kiswahili fasaha nyie ni chombo cha habari. Sio HUSIYOYAJUA BALI NI USIYOYAJUA
Laha sana yanga kupoteza mechi 2 mbili mfululizo
Lava sana yanga kupoteza mechi 2 😞
HUSIYOYAJUA ?
Kwanini usiedit title kabla huja upload video?
Hua nachukia sana media kubwa kama hii inashindwa kuandika kiswahili fasaha
Eti unaandika"husiyo yajua"
Badala ya "usiyo yajua"
Jirekebishini apo
Binafsi 'nilisubscribe' (haswa alipojiunga Salim), ila baada ya kuona namna wanavyokwenda, ikanilazimu kujiondoa. Kero yangu kubwa kwao ni matumizi sahihi ya lugha. Nimebaki na TBC pekee.
Musifurahie vitu vya mpango kila mtu ameona
Kapange na ww nyau mkubwa
Sis sio Kama nyinyi etii
Vitu gani hivyo?