MPANGAJI WA KIUME | 1 |
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
- Directed by @MoFlavour255
Hii ni tamthilia ambayo yenye kuburudisha, kuelimisha na kufundisha kuna kitu cha kujifunza kwenye tamthilia hii yanayotokea kwenye maisha ya kila siku kama migogoro ya kimahusiano ndani na nje ya familia baada ya mabinti wawili walioachiwa urithi na wazazi wao na kuamua chumba kimoja kupangisha mpangaji wa kiume na ndipo mikasa ilipoanza baina ya watu hao je niipi fuatilia tamthilia hii mwanzo hadi mwisho.
Like, comment and share for more people's please.
#mpangajiwakiume
#clamvevo#kicheche #stevemweusi
Tunaopitia comment tujuane😂😂😂
Haaaaaah
Story nzuri ndio mambo yangu haya kuwala watoto wajeuri kama hawa sema embu epsode inayofata nione jamaa kamla au kamkosaa😂😂
😂😂😂😂
LIKE, COMMENT AND SHARE FOR MORE PEOPLE'S OLEASE
Dah mwanangu kwenye kipengele Cha kufanyana unakipenda sana au huwa unauwa kwel?😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
Kama umeikubali mpangaji wa kiume gonga like 😂😂 sasa ole wenu msigonge like
😂😂😂😂😂😂
Unapewa like Kwani content ni yako ...ama umefanya nini
Nitakufikiriaaa😅
Nitakufikiria miezi 6😅
Utafanya nn 😂😂 kwani kulike ni lzm
😂😂😂😂 kazi imeanza wanaishi vipi wanawake tupu wameyakanyagaa😂😂
Ombiii aliitaji muda. Wa kufikiria😅😅😅😅
Kimenukaaaaaaaa weeweeeee😂😂😂😂
Nasemaje?ikitokea tumeamua wacha tuamue wew
Achana nae mwanangu mwanamke gani uyooo
Heeee dada king'ang'anizi sijawahi kuona😂. Mwanaume katongozwa anasema atafikiria anaogopa kuchezewa 😂😂😂😂😂
😂😂wanaume wwmebaki wachache lazima alinge😂😂
Hahahahahahah
Hahahaaaaa miezi 6
Mwamba anataka kodi😅😅😅
Naipenda saana baba Tangu Congo 🇨🇩🇨🇩🎉🎉❤❤
❤❤❤❤
🇨🇩🇨🇩🇨🇩 noma sana ila nime penda
Nimeipenda sanaaaa sema next episode please jamani❤❤
Hata mimi
mungu atakubles
Unakula wrote cku1
Mapenzi vitæ kumbe jameni
kodi ya mwezi huu silipi
U nani wewe
I don't know who I'm i
kula watoto
Mwingine tenaaaa😅
Sema pic mbovu hizoo
🎉😂😢 ninzur
Next please
kodi ya mwezi huu usitowi 😂😂😂
Hakataki kufikiliwa😂😂😂 miez6 😅😅😅
Keshooo tutaongea unanilazimishaaaa😅
Nice movie ❤❤
Nitakufikiria😅😅😅😅😅
Uyu mudada kacekesha sana😂😂😂
Masaa sita
Mh ikifikia kugadwa hivyo itakua nkero sio powa
Mikazo iendelee
Noma sana wanangu Kazi Kali sana 🎉🎉
Wakati mwengine badilisheni pazia ili kuleta uhalisia wa kazi zenu. Ni ushauri tu
Kaza ya kununua vitu kwa chinga sisi tunajuaga kuuzatu hatujal kufanana nala jiran
Ciengemgonga tuu alafu akamkimbia
Safi
❤❤❤ love movie kali sana marselina samsoni sawa mtoto wa mjomba
Wawapi
Hii ni fimbo wazee😂✊✊
Yakuchapa liiiiiive hhh
Mtotooo anatakaa pipiiii pipiiii 😅😅😅😅😅
Wo😂
Weeh!
Nihatali
Kama ndio mimi nawala wotee embu tupieni namba mbili hapo tuona jamaa amekula hahahah
Yaani wewe kama mimi😂😂😂😂
Hata Mimi 😂
Huyu jamaa auwawe 🥺🥺
😂😂😂😂
Kumbeee kuviziqnaaaa😅😅😅maaninaa
Mimi na hama hapa😅
😂
Mtoto kautaka 😂😂mpeeee
Hapo nyumba hiyo ikoje
😂😂😂😂😂me pia nimejiuliza
Jamani kama ndo mapenziii yenyewq ayooo nikooo paleeee nimekqqqq😅
Kijana kijana ..kijana. 💯💯💯💯🔞🔞..
Nimeikubari
🔥🔥🔥🔥
Iko sawa kabisa
😂😂😂 ntakufikiria
Mapenzi bwana kupendwa nako tabu nijifikilie majibu miezi 6 umetisha kaka ila sasa angekuwa mwanamke hapo ndo kajibu mngesikia milio
Mapez bhana
Bro acha kuvunga kura chuma ichooooo😂😂😂😂😂😂
Hii muvi siopowa
Wadau vp kuhusu hii movie mnaiyonaje
Hii move ikopoa sana
Daaah nomaaa sana 😅
Hapo furu Kari sana
Noma sana
Ana sura ngumu lakini,
Ivi ata ungekua ww tufanye ww uwe huyo dem ungekubali upewe jibu baada ya siku ngapi?
Kazi nzuri sanaaaa
Sawa kaka nakuona,me nkuombea duh kipaji chako kikue zaidi me adam mdogo ake na roja
Kautaka mwemyew mpe aki yake
Kautaka mwemyew mpe aki yake
Kwa nn mwanaume hajiongez kupita nae
Uyu jamaaa jogoo apandi God abres
Mmmmmmh ni balaaaa
Mbn mim sipendwag
Haihitajikufikiĺia
Apo mbna balaaa
Mmetisha
Never
Sina mia
😅😅😅😅😅😅😅
Fundi
😂😂😂😂😂
😢😢
🎉🎉🎉
😮
Bola ukanyage ukimwacha zalau weka heshima
Jaman ww watak wa2 wajuan wek namb yak hap utatafutw
Mwanaume lijali ndo mana unapendwa good
Dah ningekuwa Mimi...!
Straight to the point bro chuma hicho
Maajabu ya musa
jack anajua sana,
Mh sijakubali
Mmmmm
Ningekuwa mm hapo kitambo sana