Yaani awe anaigiza, au asiigize....sura ni ya kitaahira kbs.....😂😂😂, nakuombea kwa Mwenyezi Mungu mkeo asije zaa mtoto wa kike.....itakuwa ni vituko kbs....huo mdomo yaani tahira kbs. ...yaani usije nuna ktk maisha yako bro....umetisha na hilo jina.....😂😂😂Subhanallah!
Clam hii vituko zako si mbinguni utaionea viu sasa haki.......much love from Nairobi Kenya
🤣🤣clam vevo comedian wa dunia .. .... gonga like twend sawa
Wakwanza kucoment John Niko Uganda mbwa nyie watanzania hata rike mninyime? Jamani like kamazote sirudi nyumban Tanzania mbwa mimi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hahaaaa😂😂
Jebale mgagaaaa
@@totoclass2470 🤣🤣🤣🤣 mambo blo
@@muwongejohn2372 saf kwema
@@totoclass2470 kwema blo vip sehemu Gani iyo?
Dadiola, clam na kicheche ni combination nzuri mnooo
Clam anajuwa san yaan 👏🏻👏🏻🔥
Mpemba street kinyerez big up sana clam
🎉❤❤❤🎉🎉🎉🎉 kazi zuri sana clam vivo na kicheche n shehee jmn mbavu xangu😂😂😂
Mimi ni mkongomani🇨🇩🇨🇩 namkubali kabisa clam anani fanya nicheke kabisa 🤣🤣🤣
Kutoka Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪na mkubali sana clam,si mnipe likes tukisonga
Chukua likes zako ubwaa weee😂😂😂😂
❤ love ly
Hongera Kwa kazi nzuri clam na kicheche
Ila clam unatakiya mbavu zangu nini jama kama unampenda clam dondosha like hapo Efrazia from U.s.A🇺🇸🇺🇸
tunaipenda na kusupport kazi yako all the way from Mombasa Kenya
From kenya🎉Vevo kicheche big up
Powa nipo Zambia nakukubali
Yaan nmelikubali kwel ilo kozi alompiga shemeg yke 🔥🔥🔥🔥
Yaani awe anaigiza, au asiigize....sura ni ya kitaahira kbs.....😂😂😂, nakuombea kwa Mwenyezi Mungu mkeo asije zaa mtoto wa kike.....itakuwa ni vituko kbs....huo mdomo yaani tahira kbs. ...yaani usije nuna ktk maisha yako bro....umetisha na hilo jina.....😂😂😂Subhanallah!
Mzee wangu unajua sana naamini ipo siku Tz itakujua zaidi
Kicheche umeachiwa mwanao 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🥰🥰🥰👌👌👌👌mbwa bwanaharusi hana hela yakulipia konzi na mmemnyima chapati
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂uwiiii nmechelewa ilanmecheka kwa kweli clam wee hakuna wakukufanana at kidogo hongela kaka
Hongera kaka clam unaweza,👍
😁😁😁😁😁😁Bwana arusi naenda nyumbani 😄😄😄😄🙌🙌yaan unajua mpka unakela
Clam wee noma nakukubali kutoka kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪😂😂😂
Huyo Chali aliepigwa konzi anajua sana nimemkubali sana
😂😂😂😂😂waaa hii nikali bana clam congrats 🤜
We like your job....Ida from Kenya♥️
Kicheche Clam na handsome boy Dadiola🔥🔥🔥
Nimefuraii kumuona dadiola 🔥
Ata mimi shem lake uyo kapigwa konzi 🤣🤣🤣
hahahahaaa
🤣
Clam we unamatatizo kwr🤣🤣🤣🤣🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🙏🙏🙏🙏
Ap clam nmekubal kaz big up brother
That was awesome bro keep going👌👌👌👍👍👍👍👍👍
Kuna vitu nimeviona
1. Sauti inatoka mono
2. Shots ziko chache..wide na closeup...kwa dakika mbili za mwisho kidogo mmejitahidi
Hilo Kofi jamn eti ananishikashika
wa kwanza leo mamboo ni 🔥🔥🔥🔥
Nipo bong ninakukubali sana❤
Kama unamkubali clam vevo tujuwane wakenya mwenzangu😅😅😅😅😅
Jamani nyie mwisho🙌😂😂😂😂
I like your job😅😅😅......... Khadija from Kenya.
Kama unamkubali clam gonga like hahahahah ana weza sn
😀😀😀😀😀 congratulations in advance clam 😀😀❤️🇰🇪
Nawakubali wanangu mnakaza sana
Kama uko na clam gonga like nyingi kama ninavo mpenda mm
Nawapenda WOTE waliyo shiriki shabiki toka Sweden 🇸🇪 pamoja
Aiiiiii, vitoko za cheche kimeumana ss naenda nyumbani, joo ukachukuwe mkeo mm sitaki joo ule chapati kwa maharangwe mm sitaki 🤔🤣🤣🤣🤣🤣🔥
Daah ww jamaa clam unaweza sana
Kwakweli Nime menyeka na chekoya Yani clam anachekesha sana😂😂😂😂
Ila clam jamn we ni balaaa 💯💯❤️❤️❤️
Dadiola upo man Kali sana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌jamn nyie leo Sina mbavu clam wee noma nimecheka sana
Much love from kenya
Naenda nyumbani
Nataka chapati na maaragwe🤣🤣🤣🤣🤣
Ila clam popote kambi gonga like hapa kma una mkubali mbwa bwana harusi
😂😂😂😂 dah ila clam talented sana jamaa
Kwann media hazikuiti mwanangu.....hawataki kukupaisha af wew ndo comedian haswa
Alf clam una2cheleweshea Sanaa yaan jarb kupiga ata mbli kwa wikii
Dah 😂,, clam me nakukubar sana,, unajua snaa we chinzii😂
Bwana harusi wahovyo 🤣🤣😂😂🤣
kweli clam unanivunja mbavu jamani🤣🤣🤣😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Gonga like kama unaipenda Moçambique and mocimboa da praia 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Nakubali kazi mjomba clam
Bwana halusi fala kwel🤣🔥🤣
Wote mpo vzr sema nataman siku moja niigize na clam na kicheche najua inawezekana
Baba mkwe #kicheche leo kanasa 😂😂
Hsa haaaaaaaaaaaa uwiiiiiiii 😂😂😂😂😂😂 umeniuaaaaa
Team imekamilika leo mapema sana 🤣🤣🤣🤣mbavu zangu
Muna vipi
@@yassinm69 pw
@@munasaid1429 niambie wawapi
Gonga like twende sawa
Hahahaha namkubali snaa clam vevo 🎉🎉🎉🎉
Kila nakupenda bure 🇴🇲🇴🇲❤️❤️
Clam nampenda sana! Anaact well
🔥🔥moto bro
😂😂🤣🤣🤣ila clam utatuua kwa kucheka aisee
kalibu sana mdogo WANGU dadiola 😆😆😆
Clam vevo my One and the only one In Tanzania I love how you do comedy in tz broman 🔥🔥🔥
Vp Kaka tuna penda iZi vidéos zako bro mimi naishi congo
Good job I like it Kim from Kenya
Ak mnafrahisha Sana mm nko kenya❤❤❤
Good job guys, keep it up, from Kenya hapa
Bwa nyie
Naenda nyumbani 🙌😂😂😂
🤣🤣🤣...big up from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kama tunafuatilia hii video 2025.......wapi like.....tukikumbuka clam enzi hizo.anavyotamba
Dadiola big up saaaan 🙏
Pole 🤣🤣😂
Mbwa Mimi Tanzania no one kwa movie
Dah! 2nasbir sana aisee
Clamu huwa nacheka sana ndg yngu hongera
Naenda Kwa mama Kula chapatii 😜😜😅 clam for lifee 🥰🥰
Na mahalage 😄 🤣
Cram msumbufu xn mbwa wew
Clam keep it up 😄😄😄😄😄umeua
Umetisha kaka clam
😂😂😂😂😂😅😅Wallah clam unaniuwaa kwl na Cheko ww kichaa kwl 🎉😂😂😅
Wallah nimecheka sana daah
😂😂😂😂😂😂, nawapenda sana from Zaire.
Hahaha 😅😅😂😂 naongea na wewe ama huyu that's for me 😅
Clam me nachekesha sana
jamaa mnachekesha sana mpo vizuri
Uko freshi sana mdg wetu
Watu na nyumbani kwao bhn😂😂😂😂😂😂😂😂
Pumbavu zake..anaenda nyumbaaani😅😅😅
Kicheche never disappoint kicheche my guy
Kweli clam ni mchezaji bora nime mukubali duuh 😂😂😂😂😂😂😂😂
Mimi ni shabiki wko toka Drc Congo, ahseeee kama sijakufa na cheko nitakuwa mwanaume kweli
🤣 🤣 🤣 🤣 Nimecheka Sana wallah 😂😂