Uandikishaji Pemba, wamtaka Rais Samia kuingilia kati | GUMZO LA LEO
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
- Wakati uandikishaji wapigakura ukimalizika wilaya ya Micheweni kisiwani Pemba, waliokosa kuandikishwa wamuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kuingilia kati ili wapatiwe haki yao. Una maoni gani?
yaan hawa CCM ni madhali sanaa Wallah, yaan hawaoni ata aibu
Nchi ina uzalimu hii yaani ana andikishwa pascal magonge anaachwa salim vuai .Mtu una karibia miaka 40 huna kitambulisho cha kura wala cha ukaazi anacho mgeni.
MZANZIBARI ANADHALILISHWA KTK NCHI YAKE😭🤣
Dah inasikitisha sana anajaliwa mgeni
Mama mwenyewe ndie muongo na mwizi
Mnamwambia mama akusaidieni wakati Muungano hamuutaki, izo akili au tope
Unaushahid wa ulisemalo?
@@AbdulhaamisSoudnamuunga mkono kwamba muungano hamuutaki wapemba
Poleni Sana Mama zetu.
Lkn mm nauliza kwa hawa ambao umri wao ni sio mdogo walikua wapi miaka yote hayo mpaka wanatafuta vitambulisho muda huu wa uandikishaji?
Dharau
Na dharau dawa yake ni kiburi ndo hichi kinacho wapata
Madhalim wakubwa dharau nyie mloshinda hata firauni mumemzidi na nyie mtalipwa kwa ushenzi wake na wenu Alaysa llahu biahkamulihakimin hakimin inawatosha madhalim wakubwa washenzi looo
@@w4058 dharau nyinyi mtu kafika miaka arubaini kashindwa kutafuta nyaraka muhim leo hii ndo kwanza ajuwe umuhimu na nyinyi kwa dharau mlitia mpaka kinyesi visimani mna utu tangu lini nyinyi
@@w4058 basi tulia kama kweli wewe unaimani na unajua maana halisi ya alaysa llahu biakhkami l hakimiin usinge pandisha sauti kwa kuwa mtu kakosa kitambulisho kuna maaswwia kibao unamkera mungu mnafiki mkubwa wee au hujuwi kama mungu ndo hakimu,hivi umeona kitambulisho ndo dini ama ibada? Laanatu llahi alayka
Unaposema Mkoa wa Micheweni, wamaanisha Nini?
Ee punguzeni uongo nyi
Wakati wote uliopita hawakujirekibisha waje wajirakibishe leo na kesho.Hivo vitambulisho kwa makusudi munanyimwa wala hawatoi maana wajua hawana wanachama wao huko.Hawana huruma hao.
Ila kusema hatuachi
Kesi ya nyani kupewa ngederer huku.
Kumbe mpk leo ndio kwanza munawaomba tume na ofisi ya vitambulisho shikamoo
Jamani kila mwaka wa uchaguzi haya duu ccm hawawezo uchaguzi acheni kushindana nao jamani
😊
Hapawi jambo wamenyima kuandikisha wapemba poleni hakuna uchaguzi
Hunaadabu we mama kumbe
Hizo hali zimepangwa kwa makusudi ili wapinzani wakose haki zao
Kwanza huko micheweni ndio yashapita hivyo wakati ushahidi upo
Hamujui hata kuomba
Ninakumbuka katika kipindi cha miaka ya 2000 katika kampeni za kisiasa chama tawala kilikuwa kikinadi majukwaani kuwa chama cuf kitaleta waarabu ili wawatese na kuwachukulia ajira zao wazanzibar.Baada ya takribani miaka 25 kupita sijui ni waarabu gani ambao wapo madarakani Zanzibar huku wakiendelea kupora haki za wazanzibar,kuwaua ,kuwadhulumu pamoja na kuwagawa kwa misingi ya itikadi za kisiasa?Ewe mwenyeezi mungu tunakuomba uwape huruma na mapenzi wazanzibar walioko madarakani na uwatie hisia za kibinaadam ili wawatumikie raia wote wa nchi hii bila ya ubaguzi wowote na kwa uadilifu.Amin
Amiin
Aaaaamin ya rabbi takqabal duwaa
Ya kale bado yapo kumbeeeee
Tume kapewa Mtanganyika , Tuende tu tuone tutfka wapi
@kassimmohd.Naam Tume kapewa Mtanganyika na Mtanganyika mwenzake.
Aaaah CCM madhwalim,hakuna lolote linalokuwa,kwa CCM sawa sawa na kumpigia Mbuzi getaaaaa
Komnyima mtu hakiyake ya kujiandikisha kumchaguwa raisi wake hiyo ni dhulma na mtahukumiwa siku ya malipo kesho akhera
acha hbr izo
Micheweni kwani kuna mkoa au wilaya,bado hamjawa wa kupewa nchi
Hasbunallah Waniimal Wakiil Wewe mtanganyoko maana mzanzibari khalis hawezi kusema unoko wako unonuka Hasbunallah Waniimal Wakiil
@w4058 na mzanzibar hawezi kukaa akalia kipumbavu watu walipigana hapa wakaondoa dhulma kwaiyo nawe kama unaona haki haipo na hii unayolilia ni ibada ingia mtaani pigana khabisi l amal
Hhhhhhhh duh comment zengine zachekesha
Nyie viongozi wetu wa upinzani hapa ndipo munapotuvunja moyo
Na apo ndo mtajua kuwa upinzani hakuna viongozi
Sasa kam mashine hazisomi si wangefanya manual kama zamani. Wanafanya kwa malengo ccm mnaijua leo. Mukijua hili wanajua lile lazima washinde hata kwa kuua na kuiba.
Na huo ndio utaratibu na ushindi wa ccm kwani hamuujuwi hata mukaburuzwa hivi nyie viongozi?Tena Kila uchao
Mama Samia. Simama na Allah kuisimamia HAKI. BADO TUNAIMANI NA WEYE
kwa mungu na chama wapi ww
Mukikosa kuyadhibiti hivi Sasa kitakacho kuja baki ni longa longa tu watu waleee
Act mnachekesha kutoka 95 mpaka leo ccm haijasikia nmapiga kelele
Kiongoz hii ni wilaya sio mkoa
Kesi mnampaje ccm huy ni ndug yenu ila na yy anaruhus mauwaj huku ccm ni ccm tu yy mwenyew anatafta njia za kuiba huku kam hamjui huy samia ndo adui yenu namba moja
Ingieni barabarani msisubir
Wache waingie sisi tupo na boda boda zetu tutawaonyesha matumizi ya barabara
Allahuakbar ikesha tunalingania Amani
We mama kalale wee kwani lazima upige kuraa katafutie watoto chakula
😂😂😂😂😂
Khatib,uswavunje moyo wenzio nao wanahaki sawa na wewe katika kujitafutia mustakbal wao.
@@ahmedalbalooshi8518mustakabal alipaswa kuutafuta katika umri wake sasa kilichobaki atafute mswla na mtasbihi tu sio kitambulisho cha kura
Kwani ivo mukimwambia ivo yeye yupo apo?
Aibu kuliko loo nchi yenyu wenyewe ajabu mnanyimwa haki
Poleni wasipowapa sd walotuandikisha tutakuwakiliaheni kwa ukombozi
Hapo ndipo mnapokosea eti mnamuomba sio mnamuombaa mwambieni tunakwambia ndo iko serious Allah peke yake ndo anastahili kuombwa
Wamwambie Tunataka kadha ...
Hata mja anastahili kuombwa kwa yale mambo yasio fungamana na allah
@@RashidHaroun-c2j Kwani yeye kaajiriwa na wananchi au yeye ndo alowajiri wananchi
@@buchbeats5337 Rais kaajiriwa kwaiyo msimuambie yeye mtafuteni muajiri wake
Wanachotafuta ni ugomvi wa mapema ila wataupata wajinga wakubwa hao
Hakuna jihadi kubwa kuliko kupigana na moyo wako kwaiyo kama unataka vita pigana na moyo wako
Sasa uyo mama awasaidie nini wakati yy mwenyewe ni nyoka kama nyoka wengine wa ccm
Achana na izo propaganda kama vipi liansheni kwani hamna silaha na nyie
Kaka sio kongo huku ukiambiwa amani imetawala ujuwe watu wana maanisha na alianzishe mtu aone
Kwann wasimwambie mwinyi wakati ndo rais wa zanzibar
Hawajui hao wote ni CCM na Ibara ya 5 ndani ya katiba ya CCM inasema kuwa Ushindi ni Lazima ,yaani Samia akubali Zanzibar kuongozwa na AcT na Tanganyika iongozwe na CCM hahahaha hiyo ni ngumu sana
Mwinyi ni rais alochqguliwa kutoka bara dodoma
@nassorseif7907 Eeeeh ila ndio Raisi aliyewafanyia Wazanzibari mengi na mazuri kuliko hao waliochaguliwa Kisiwandui ,na ndie Raisi aliewahi kupendwa kuliko Marais wote waliopita Zanzibar ukimuondoa Mzee Karume Baba.
Asante Bi Salha kwakujitokeza na kupigania hakio,wala usirudi nyuma maana sie wana TUMBE twateseka kwa udhoofu uliopo.
Rajab,hayo ni mawazo yao na wanajua Zanzibar ikiongozwa na upinzani basi uchaguzi ujao na huko bara pia wataula huu
Samia na CCM ndo yule yule musitegemee haki au msaada wwte kutoka kwake
Kwaiyo tafuteni haki kwa omo
@@RashidHaroun-c2jnaaam mpumbavu wewe Hasbunallah Waniimal Wakiil
@@w4058 mpumbavu bibi yako
Katafuteni jembe mukalime
MNALALAMIKIA VIKOSI VYA SMZ HIVI SASA VINASIMAMIWA.NA JWTZ SAMIA NI NANI KATIKA JESHI? SI AMIRI JESHI MKUU? NI MARA NGAPI ?VIKOSI VIMEAJIRI VIJANA WA KVZ AKUONEENI HURUMAA AU ATIMIZE WAJIBU WAKEE SI ALIAHIDI KUSIMAMIA DEMOKRASIA NYINYI HAMUELEWI KUA ZANZIBAR NI KOLONI LA JAMHURI ANAYOIONGOZA SAMIA?
Samia muogopeni Allah Samia umetuhadaa Wazanzibari kwa kuwa mumeo na mkweo pengine ni Watanganyika utajibu mtajibu mbele ya Allah
KIONGOZ MKUU WA NCHI TUNAKUOMBA UINGILIYE KATI HILO TATIZO KABLA HATUJA ANZA NA MGUU SUPU SABABU BWAMDOGO WA MKURANGA NA GROUP LAKE MASHEHA NA TUME YA UCHAGUZI NI MZIGO KWA AMANI YA ZANZIBAR. WAANAJUWA WAZANZIBAR WANACHOTAKA NI KUINUSURU ZANZIBAR. NA MAMLUKI HATUWAEBUU NG'OOO.
Anzeni tu sisi tupo tunataarisha ndimu na pilipili kiinywa iyo supu
Kwani mukimwambia ivo yeye anakusikieni kwani?
Atasikis vipi nae na nyie viziwi wa n
Mioyo yenu mmejipiga mihuri ya udhalim nafsi zetu
Maneno lazima na vitendo
Kwa mungu Kuna meng sana ila dhulma ni mbaya sana
Tatizo maccm wanachokiongea mdomoni hakimo moyoni kiufupi ni wanafik
Omo na wafuasi wake wao ndo wameshika bendera ya unafiki
Tafuteni kadi za ccm kiujanja kwani kura ni siri yako
Lakini tatizo hawahesabu kura wanahesabu wanaojiandikisha kumtangaza wanaemtaka
Kura ya ccm inaendana na kadi zake ukisha kuwa ccm tu au kuwa na kadi tayari kura inahesabika kwani unadhani kila mwenye kadi ya ccm ni ccm
Mimi nasema kila siku watu hmjawa tayari mulikuwa muuwashe moto hapo vituoni mpaka mupate haki yenu hao ccm na nchi wanaichukuwa kama kawa wala hamna lolote. Lazima muwe tayari sio maneno tu. Hao watu munaishi nao mitaani malizaneni nao.
Punguzaa jazba usije ukamalizwa wewe ...
Wamasai wote wamepewa vitambulisho unguja huko na huyo Samia yye ndio alopanga hivyo Wala Hana jicho la huruma mkorofi mkibwa
Ashulikie nani CCM kiboko kweli mpaka leo mambo yale yale mtihani tu ati kwenye nchi ya hupewi haki ya kupewa kitambulisho madhalim kweli CCm na huyo jamáa sawa na baba wote washenzi tu
Kura inaanza hivi Sasa co siku ya visanduku
CHAMA CHA MAPINDUZI
KINAPIGANIA
UKOLONI TANGANYIKA
Wanataka Zanzibar iwe Koloni ya Tanganyika ili Nyerere awe Mtakatifu.