BabaLevo Afunguka Diamond kumaliza Bifu na Harmonize namuonya Mwijaku,Dotto waache Shobo watafungwa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 มี.ค. 2024
  • #babalevo #diamond #harmonize #exclusive #interview #diamondnaharmonizewapatana #bifu
    #bingoonlinetz
    #sisisiowepesi #TunakupaKwaWakati
    Ahsante kwa Kuiamini na ku SUBSCRIBE BINGO ONLINE TZ
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 105

  • @magomakabanja480
    @magomakabanja480 4 หลายเดือนก่อน +18

    Ndio Maana Mimi Namkubali Sanaaa Baba Levo Ndio Chawa Mwenye Akili Kuliko Mwijaku

    • @ghulamhaji7856
      @ghulamhaji7856 4 หลายเดือนก่อน +2

      Ni kweli akili zake zipo juu sana hadi anataka kuzaa na diamond

    • @alibinali_
      @alibinali_ 4 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli kabisa

    • @nanaritho6850
      @nanaritho6850 4 หลายเดือนก่อน +1

      Yaaani baba levo ana uchawa usiokera na Wala hamtukani mtu

    • @user-vv1te9fu8q
      @user-vv1te9fu8q 4 หลายเดือนก่อน +1

      ​@ghu😂😂😂😂😂😂😂lamhaji7856

    • @syprianamghoimacharo7155
      @syprianamghoimacharo7155 4 หลายเดือนก่อน

      We ongea mwenzako anasonga mbelewe ndie unamjua sisi wengine hatujui ogopa jela​@@ghulamhaji7856

  • @eliachaula6542
    @eliachaula6542 4 หลายเดือนก่อน +13

    Leo ameongea kweli baba levo

  • @nashommagwe5112
    @nashommagwe5112 4 หลายเดือนก่อน +7

    Mungu akubariki Baba levo

  • @MarthaBura-or8fe
    @MarthaBura-or8fe 4 หลายเดือนก่อน +22

    Baba levo siku hizi unaongea kwa point pia hekima imeongezeka

  • @user-yd3me5rr2z
    @user-yd3me5rr2z 4 หลายเดือนก่อน +2

    Baba levo nakukubali sana kwa maneno yko yaliyobeba hekma kubwa sana 🙏

  • @mariamalongo8803
    @mariamalongo8803 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kiukweli kondee hajawahi kumkosea Simba.
    Halafu B Levo na Mwijaku hamna tofauti.

  • @naimanimo4925
    @naimanimo4925 4 หลายเดือนก่อน +2

    I love this guy is a real gentleman Blevo❤

  • @fabianlaurent6144
    @fabianlaurent6144 4 หลายเดือนก่อน +3

    Baba Levo big up, you have content and you're smart in mind, physically ohhh good of you

  • @ericanodoriano1012
    @ericanodoriano1012 4 หลายเดือนก่อน +7

    Abari ya Radio ya mpinzani wa Diamond kwanzia ana tota ina endeleaj ??
    #Diamond kabisa kabisa utajiri wa #Africa na muokozi wa mziki wa Tanzania mu mkubaki mtafuka mbali coz ana uwezo waku toka mwa iyo ichi na aka fanya vitu vikubwa na kuwa acha muedelee naku kamuwa ila ana ipenda ichi yake na wana inchi na kubadilisha inchi
    #Diamond mungu akubariki kaka ila sisi wasani wa ichi jirani tuna kueshimu sana naku kupenda . Diamond ❤

  • @mckobatz5861
    @mckobatz5861 4 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu mwamba yupo smart sana

  • @JudithFrad-nk1di
    @JudithFrad-nk1di 4 หลายเดือนก่อน +6

    Kiukweli baba levo yupo vzur

    • @Jal210
      @Jal210 4 หลายเดือนก่อน

      Baada ya kichapo cha Harmonise

  • @HalfaSaid-vl6ki
    @HalfaSaid-vl6ki 4 หลายเดือนก่อน +2

    Baba Levo Akili imemuingia baada ya Kipgo 😂😂😂

  • @user-ve1xm7gn9y
    @user-ve1xm7gn9y 4 หลายเดือนก่อน +2

    Diamond Platnumz wamemumaliza na Uchawi na Harmonize amechukua hio responsibility 😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @user-ze5wg5wp7j
    @user-ze5wg5wp7j 4 หลายเดือนก่อน +1

    Uku Burundi 🇧🇮 kwetu tunamukubali Babalevo abarikiwe n'azidi kumukuza Mwijaku bila wewe mwijaku hangelijulikana umemutengeneza

  • @othinielkamyola3697
    @othinielkamyola3697 4 หลายเดือนก่อน +1

    B levoo nomaaaaa❤❤nikataka ❤

  • @chrisantushokororo8450
    @chrisantushokororo8450 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hajaona vita ni ngumu wameamua kupatana ,ongea vizuri

  • @WardaMauwa-hk8vl
    @WardaMauwa-hk8vl 4 หลายเดือนก่อน

    Mara ya kwanza ku sukia maneno yaki sage ku toka mu kinya kya baba levo. Leo nime kupa mauwa kwa mara kwanza 🌹🌹🌹

  • @HazardHbcomEmmanuelprodduseign
    @HazardHbcomEmmanuelprodduseign 3 หลายเดือนก่อน

    🇨🇩🇨🇩très bien baba levo

  • @riverlolence
    @riverlolence 4 หลายเดือนก่อน

    Bro baba revo point unajua kushauli asante

  • @babalao3250
    @babalao3250 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mtu wa maana sana baba levo

  • @bboyseck6680
    @bboyseck6680 4 หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana

  • @SymphorienMasudi
    @SymphorienMasudi 4 หลายเดือนก่อน +1

    Iyonikweli babalevo muguakubari ukonahakilinyingisanaa

  • @user-er7oe6de3j
    @user-er7oe6de3j 4 หลายเดือนก่อน +1

    Iyo drip nimeikubali ni moto🔥🔥

  • @chisongastephen7299
    @chisongastephen7299 4 หลายเดือนก่อน +1

    Upo sahihi kaka

  • @user-kj7zx3ol2v
    @user-kj7zx3ol2v 4 หลายเดือนก่อน +1

    Baba levo anaakili sana

  • @user-fo6jh9hj5i
    @user-fo6jh9hj5i 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sana baba love

  • @samirmswahili
    @samirmswahili 4 หลายเดือนก่อน +3

    Baada ya kupigwa na konde kichwa kimeongeza hekima 😂

  • @rehemathoya8754
    @rehemathoya8754 4 หลายเดือนก่อน +1

    Leo umesema vizuri

  • @ndayijeanclaude5094
    @ndayijeanclaude5094 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu Baba Levo anaongea kidiplomasia 😀😀

  • @hamzaamash8814
    @hamzaamash8814 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sijawai mpinga uyu bro

  • @ladislausmoris9638
    @ladislausmoris9638 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amenyoka mr ngada!!!

  • @mikeniyokwizera3619
    @mikeniyokwizera3619 4 หลายเดือนก่อน +1

    🇧🇮🇧🇮🇿🇲🇿🇲🇿🇲baba levo umeongea ukweli bro simba aw makini 🦁🦁🦁🤍🤍🤍💥💥💪💪🦁

  • @issashabanihusseniwewe9024
    @issashabanihusseniwewe9024 4 หลายเดือนก่อน +3

    Kwaiyo diamond yeye hakosei kawa mtume ama vipo

  • @lunangabenjamin3121
    @lunangabenjamin3121 4 หลายเดือนก่อน +5

    😅😅😅 ivi kijana mtangazaji iyo style yako ya kunyowa inatwaje?mbona kama kofiya za kiyaudi.baba levo hamo anajuwa kama mna kesi naye na ulisha mshitaki nilazima apitiye kwa baba yake ili yaishe kimya kimya.juu anajuwa kwamba baba yake anakumudu.

  • @OMONDIMTUKAZIOG
    @OMONDIMTUKAZIOG 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nakubali chawa wa rukuga

  • @kilungahamis1270
    @kilungahamis1270 4 หลายเดือนก่อน +1

    Chawa asiyepayuka, hapigi kelele ka nguruwe.
    Hapo angekuwa mwijaku sasa, kelele ka zote. Mwehu yule

  • @user-ei4ue8xu7q
    @user-ei4ue8xu7q 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mkorofi tu baba levo

  • @joebinarysignals
    @joebinarysignals 4 หลายเดือนก่อน +2

    Baba levo kweli hana akili maana bado anaongelea mamb ya ushindan mara aseme harmonize aliona kazidiwa ndomana kaomba msamaha

    • @JackOchwele
      @JackOchwele 4 หลายเดือนก่อน

      I doubt your understanding Sir.

  • @ndayijeanclaude5094
    @ndayijeanclaude5094 4 หลายเดือนก่อน +1

    Dati izi 😀😀

  • @user-kv6li2ij6u
    @user-kv6li2ij6u 4 หลายเดือนก่อน +1

    Father majumba

  • @PrinceBonnyTz8
    @PrinceBonnyTz8 4 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu mwandishi ni Dem au mwanaume 🤣

  • @user-yl6xh5up8d
    @user-yl6xh5up8d 4 หลายเดือนก่อน +4

    Natoka Congo kweli baba levo wenimkweli sana Ila iyo l'onde fyoto ana ogopa Simba jomana ana ona Aachen bifu mapema kesho asiabike nakonde fyoto Yake ange nyongwa n'a Simba dume

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 4 หลายเดือนก่อน +2

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 utapigwa tena

  • @user-oo3ts3sn6f
    @user-oo3ts3sn6f 4 หลายเดือนก่อน +4

    Nyimbo zimebuma Popo amebuma basi Harmonize aombe Radhi Watanzania 🙏🇹🇿

  • @riverlolence
    @riverlolence 4 หลายเดือนก่อน

    ❤🎉

  • @user-uj5wg9mm2t
    @user-uj5wg9mm2t 4 หลายเดือนก่อน +1

    We mbona unamuhitaga harmonise kilandage au ndo kunya anye kuku??😂😂😂😂😂😂badiliken wote

  • @jumasango9793
    @jumasango9793 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mlimsikiya kwa sauti harmonize akiwa anamuomba msamaa?

  • @mkudesimba9518
    @mkudesimba9518 3 หลายเดือนก่อน

    Nyinyi wrote mmesahau vitabu vys Mwenyezi Mungu !sasasijawelewa vyema fhamira zenu na jamii ya Tz! Kama Harmonize MNA wasiwasi nae kapekueni vitabu vitakatifu vinaelezeaje swala kama hili ? Kwani hayo yote yameshatafsiriwa yote !ktk dini mnapoteza jamii mpo kidunia sana kuliko akhera ! Wrote nyinyi no wahsribifu ewa jamii ya TZ!nyang',au

  • @ejorepeter7980
    @ejorepeter7980 4 หลายเดือนก่อน

    Usiseme wazungu.. sema wakenya 🇰🇪"if you can't beat them join them😂😂😂😂 tz

    • @alibinali_
      @alibinali_ 4 หลายเดือนก่อน

      Wacha makasiriko wewe hujaitwa huku 😂😂😂😂😂

  • @emmanuelkemoi
    @emmanuelkemoi 4 หลายเดือนก่อน

    Wacha arudi njo moto iwake hona hii wimbo ya kwanguaru wameyoka mbali sana

  • @user-hf1wo3zd2m
    @user-hf1wo3zd2m 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mwijaku mshamba anapeda sifa cn

  • @user-ne5cg4vv1h
    @user-ne5cg4vv1h 4 หลายเดือนก่อน

    Nyinyi ndio wagombanishi mmeanza agalizo kalud kwa wema au kumumaliza akiwa jirani hayo maneno yanaonyesha hamjapenda hivi basi kumbe hawatapatana kamanijema ongeleeni jema tu sio maangalizo yanini

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 4 หลายเดือนก่อน +1

    Bola ivo

  • @saidilome-ue2df
    @saidilome-ue2df 4 หลายเดือนก่อน

    Bangii ameshawasulubu vby mnoo na amesema wazi ameshakua tajiri Hana hajaa ya bifu.kimziki kaitupa Africa mashariki mbali mnoo.na wale walikua kibiashara si ameshafaidika bangi.lazima awacheke bila kujijua

  • @user-sr3eo8mv7c
    @user-sr3eo8mv7c 4 หลายเดือนก่อน

    Mbona hammzungumzii mtangazaji sio poa😂😂

  • @syprianamghoimacharo7155
    @syprianamghoimacharo7155 4 หลายเดือนก่อน

    Huu ni mwezi mtukufu wa ramadhani mi naona tuachane na maneno ya watu tufunge na kusali

  • @magomakabanja480
    @magomakabanja480 4 หลายเดือนก่อน

    Mimi Namtaka Harmonize Ndio Ahojiwe na Ajibu Aliyo yatangaza

  • @hassandaddy1638
    @hassandaddy1638 4 หลายเดือนก่อน

    Sasa babalevo ww mbn unamwita harmonize kirandage

  • @Am-vo5cu
    @Am-vo5cu 4 หลายเดือนก่อน

    Kikana mtangazi ni mdada au hivo inakaa vioi kama mwanamke jinga la mtangazaji kama mdada

  • @richkaja3317
    @richkaja3317 4 หลายเดือนก่อน

    Unafaa kua kiongozi wa serikali unaelimu Boy

  • @rodgerushindi85
    @rodgerushindi85 4 หลายเดือนก่อน

    Umevaa Kama Police ,FFU

  • @simonpeterofficial.2332
    @simonpeterofficial.2332 4 หลายเดือนก่อน

    Ati Jeshi la polisi😂😂😂😂

  • @kulwahemedi1110
    @kulwahemedi1110 4 หลายเดือนก่อน

    Kaongea ukweli gani harmo ajamfata mtu pale harmo amefata wito wa serikari uyu jamaa anaonhea vitu tofaut nambwida uyu

  • @joebinarysignals
    @joebinarysignals 4 หลายเดือนก่อน

    We ndomana ulitaka kumzalia diamond maana unaongelea kama unamjua sana

  • @Cryptocurrency_bitcon_Pi_Coin
    @Cryptocurrency_bitcon_Pi_Coin 4 หลายเดือนก่อน

    Uyu jamaa nanguo zake izoo izoo amenipita na Honda bakola hapa makumbusho ila izoo nguo unabadili au zipo pacha 😂😂

  • @SalmaAthuman-hp3en
    @SalmaAthuman-hp3en 4 หลายเดือนก่อน

    Mwehu wala harmo ajashindwa na wala harmo hajarudi kwa sadala acha kuropoka vitu huvijui acha kumuongelea mtu hujui bwege ww

  • @user-qp7dx6jf4d
    @user-qp7dx6jf4d 4 หลายเดือนก่อน

    Ajarudi ila anachotaka hamo ni kuwa pamoja ili wauvushe mziki zaidi sio ww mbwa unavyo ongea

  • @user-mf9dj3bf8z
    @user-mf9dj3bf8z 4 หลายเดือนก่อน

    Babalevo anasema ukwl sio ulefala mwijaku wakulopokalopoka

  • @user-vi9bu7xv6h
    @user-vi9bu7xv6h 4 หลายเดือนก่อน

    Mukimaliza kesi anakutwanga tena

  • @edwardmkwelele
    @edwardmkwelele 4 หลายเดือนก่อน

    Kwani wewe ni MSEMAJI wa Diamond

  • @LukasSaimon
    @LukasSaimon 4 หลายเดือนก่อน +2

    Baada ya kipigo ana heshima sikuizi

  • @user-fm2pw7il4l
    @user-fm2pw7il4l 4 หลายเดือนก่อน

    Harmonaizi kashajipata kitambo iyo ni shidi zenu tu zakujifanya nyinyi ndo kilakitu 😂😂😂😂😂😂

  • @Am-vo5cu
    @Am-vo5cu 4 หลายเดือนก่อน

    Wabongo na media na kkkkk

  • @walengamwamaua-ws6io
    @walengamwamaua-ws6io 4 หลายเดือนก่อน

    Utapigwa tena, hajataka amani kwahiyo njiya mmbwa, uchawa umeisha Ndo wivu unaho, si umesema amejutia kwa nini amsitukie kwa hilo

  • @Lanihsarumu
    @Lanihsarumu 4 หลายเดือนก่อน

    Konde amekunyosha uko uzurii😂

  • @Jal210
    @Jal210 4 หลายเดือนก่อน

    Acha kubeza wasanii wengine

  • @user-vv1te9fu8q
    @user-vv1te9fu8q 4 หลายเดือนก่อน

    Baada ya kipigo unaongea kwa adabu konde nuksi

  • @rajabdibwa6415
    @rajabdibwa6415 4 หลายเดือนก่อน

    Nikajua ni mgambo😂😂

  • @AbuuNachacha
    @AbuuNachacha 4 หลายเดือนก่อน

    Mshamba ww kwanza unalelewa na mwanaume

  • @doricemitanto7481
    @doricemitanto7481 4 หลายเดือนก่อน

    🙄🙄🙄🙄🙄😂😂😂

  • @user-qz2sk3is9c
    @user-qz2sk3is9c 4 หลายเดือนก่อน +5

    Babalevo mbona hataji jina kilandage ?

    • @user-qz2sk3is9c
      @user-qz2sk3is9c 4 หลายเดือนก่อน +1

      Babalevo ameacha kutumia neno kilandage au

    • @john_1trader
      @john_1trader 4 หลายเดือนก่อน

      Tushaungana konde na wasafi kitukimoja

  • @musiccaentertainment100k8
    @musiccaentertainment100k8 4 หลายเดือนก่อน +1

    Baada ya kupigwa akili zimekaa sawa

  • @ramak.9587
    @ramak.9587 4 หลายเดือนก่อน

    Kitu watu hawaelewi Harmonise hajaenda ikulu kumuomba Diamond msamaha. Ile ilikua sadfa ambayo Mwinjaku ndio aliitengeneza. Harmonise hajapanga kuomba radhi diamond wala hajaota. So mtoe iyo mafikirio mko nayo

  • @suleimansaid2633
    @suleimansaid2633 4 หลายเดือนก่อน

    Senge

  • @user-gf4zp4si6x
    @user-gf4zp4si6x 4 หลายเดือนก่อน +1

    Harmonize kazingua sana KUJISHUSHA KUJISHUSHA SANA

    • @svt3
      @svt3 4 หลายเดือนก่อน +4

      Harmonize kajishusha aje wakati mda wote iko chini ya Diamond? Sio kwa mauzo ya music, sio kwa uwekezaji, sio kwa ku promote na kusimamia wasanii, sio kwa ubalozi wa makampuni makubwa Diamond iko juu ya Harmonize kwa kila kitu sasa Harmonize kajishusha kwa lipi?

  • @jumabuckary7698
    @jumabuckary7698 4 หลายเดือนก่อน

    Mpumbavu zako ujui kuongea maneno ya hekima

  • @walengamwamaua-ws6io
    @walengamwamaua-ws6io 4 หลายเดือนก่อน

    Huna lolote wcb

  • @officiallymercymargaret3259
    @officiallymercymargaret3259 4 หลายเดือนก่อน

    Negative mind set

  • @user-td4kg7sw7l
    @user-td4kg7sw7l 4 หลายเดือนก่อน

    Utapigwa wewe ongea ujinga hapo

  • @kondoomix
    @kondoomix 4 หลายเดือนก่อน

    Konde kapiga tena
    th-cam.com/video/5_6gUGtOy_U/w-d-xo.htmlsi=Xomb1LQvY3Knm0cH

  • @ericanodoriano1012
    @ericanodoriano1012 4 หลายเดือนก่อน +1

    Abari ya Radio ya mpinzani wa Diamond kwanzia ana tota ina endeleaj ??
    #Diamond kabisa kabisa utajiri wa #Africa na muokozi wa mziki wa Tanzania mu mkubaki mtafuka mbali coz ana uwezo waku toka mwa iyo ichi na aka fanya vitu vikubwa na kuwa acha muedelee naku kamuwa ila ana ipenda ichi yake na wana inchi na kubadilisha inchi
    #Diamond mungu akubariki kaka ila sisi wasani wa ichi jirani tuna kueshimu sana naku kupenda . Diamond ❤

  • @tigejuma9865
    @tigejuma9865 4 หลายเดือนก่อน

    Toka upigwe umekua mkarimu...mwana FA alisemanga mkate mitama ashike Adhabu babu 😅😅

  • @ericanodoriano1012
    @ericanodoriano1012 4 หลายเดือนก่อน +4

    Abari ya Radio ya mpinzani wa Diamond kwanzia ana tota ina endeleaj ??
    #Diamond kabisa kabisa utajiri wa #Africa na muokozi wa mziki wa Tanzania mu mkubaki mtafuka mbali coz ana uwezo waku toka mwa iyo ichi na aka fanya vitu vikubwa na kuwa acha muedelee naku kamuwa ila ana ipenda ichi yake na wana inchi na kubadilisha inchi
    #Diamond mungu akubariki kaka ila sisi wasani wa ichi jirani tuna kueshimu sana naku kupenda . Diamond ❤