SHEIK SHARIFF FIRDAUS KUHUSU KUUZA MAFUTA YA UPAKO KWENYE UISLAMU, BAADA YA HUTOBA YA SHEIK KISHIK

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 42

  • @anwardamnan3616
    @anwardamnan3616 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Subhanah Allah shirki waziwazi .Allahu mustaanu

  • @athumankagoro4187
    @athumankagoro4187 54 นาทีที่ผ่านมา

    Jamani!! Subhaana allah,, mara ya kwanza umesema siku 60,, mara ya pili unasema siku 40 Waalah kishk yupo sahihi tumuogope Allah

  • @kazinaimwishehe-ec3xu
    @kazinaimwishehe-ec3xu 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Kikshi yupo saihiii akuna duwa kwenye mafuta bana sisi ni maji na dua apo ni biashara tu mbina amgawi bure kama ni yamungu mnauza acheni utaper uislamu aupo ivyo

  • @humoudseyd7310
    @humoudseyd7310 วันที่ผ่านมา +2

    We mtangazaji rekebisha kauli hajatumwa na Mungu aje kufanya ushirikina katumwa na iblis...in sha Allah...Allah amgeuzie atubu haraka in sha Allah

    • @MutoniwaseMadinah
      @MutoniwaseMadinah 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Angalia na nguo anazo vaa kama vile kitu hakieleweki 😅😅

    • @ShannyBrowntz
      @ShannyBrowntz 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kwaiyoo wewe nikiboko ya Wachawii Tapeliii mmojaaa co Kishkiii anakuchukia Kwaiyoo yeyeni Mchawiii

    • @AishaIssa-ld8lw
      @AishaIssa-ld8lw ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@ShannyBrowntz anachukia yeye ndo mungu nayeye pia anatoka roho yeye Mbona alifungwa gelezani kama sio ubinafsi ndo kutunga vitabu Qur ,an

  • @humoudseyd7310
    @humoudseyd7310 วันที่ผ่านมา +1

    We kweli mshirikina mara tu umesahau nini umesema mwanzo ulisema siku sitini mara umesahau ukasema siku arbaini tubia weww wacha ushirikina nk khatari mche Allah tubiq ndugu yangu achana na mambo hayo please 🙏

  • @MaulidFakiKhamis
    @MaulidFakiKhamis 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Tapeli mkubwa Kisha hakuna mtu mjinga kama muafrika huyu dogo kama ni nchi zenye maadili alingali kua ashachukuliwa hatua kali

  • @dulasele-ud8cw
    @dulasele-ud8cw 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Lakini jina la shalifu kaaza na huyu tu Au ndo nanyie mashehe munasababisha uislamu utukanwe kwakupitia nyie mashehe 😢😢😢

  • @DStarTz-if2ko
    @DStarTz-if2ko 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Dalili za mtu mweny din aya huw nyingi kuliko maelezo

  • @AllyRamadhani-wl3um
    @AllyRamadhani-wl3um 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwa hiyo nyie waisilamu msiojielewa mnafurahi waisilamu wNavomiminika kwa manabiii wanaritadi mnafurahi anapotokea muisilamu mwenzetu anasomea maji Dua anatumia dawa za kisuna mnamuita mchawi mh

  • @RahmaKassim-vf6tv
    @RahmaKassim-vf6tv 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wana kupinga ju hizidi kuficuwa siri zawa cawi wanataka watupotezey hawo wanayo dayi kama unapoteza wato afunguw ofice yikes ili atibu so aping pinge tu na hana msaada na jamii atuwoneshe hiyo tiba anao dayi ni sahihi afunguwe ofice sio kusema sema tu bila usaidiz wowote

  • @AhmedAladhary
    @AhmedAladhary 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Huyu ni mfuasi wa sheetano

  • @directorbitomedia
    @directorbitomedia 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Shida amumielewi uyu mwamba mnao tukana mikundu yenu😂

  • @aminaadam6964
    @aminaadam6964 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Naona na wewe umekuwa mwamposa una maji ya upako
    Muogope Allah hapa duniani tunapita utakuja kuulizwa kwa huo uwongo wako unaowadanganya watu

  • @SaadIssa-c9o
    @SaadIssa-c9o 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wewe mwandishi wa habari tenguwa kauli yako huyo hajatumwa na mungu,huyo ni tapeli kama wengine tu.

  • @IdrissaMoussa-tx7jy
    @IdrissaMoussa-tx7jy 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Uyu sgalifu ni mufanya byashara kama Dr sulle na shilikina wengine.

  • @aminaadam6964
    @aminaadam6964 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kijana mdogo utapeli tu kusoma aaa

  • @salisali3738
    @salisali3738 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Maji yametiwa manjano halafu tuna danganywa jiombee uwe huvaii hiyo miwani kama kweli ww bingwa

  • @dulasele-ud8cw
    @dulasele-ud8cw 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ikiwa jina la shalifu ni la familia yamtume Sasa Hawa wanaojiita Omar Au Abubakar ni familia ya maswahaba midomo yenu na elimu zenu munasababisha uislamu utukanwe

  • @alwatanalgilgilan-y3078
    @alwatanalgilgilan-y3078 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Masharifu wachawi na matapeli.hayo maji yako unaowauzia watu yamepita tbs???au ni maji ya mto unaowapa watu.mume wa wachawi nae pia ni mchawi.

  • @kadhyanassor5046
    @kadhyanassor5046 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ok sasa kama huyu anatibu watu basi apelekwe hosp akatibu wagonjwa ....

  • @AlickGondwe-z3p
    @AlickGondwe-z3p 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wameanza Kuja mdogomdogo

  • @kamalmukaddam1521
    @kamalmukaddam1521 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Asomee quran hata yaseen na rukiya tumsikie 😂

  • @yakubaosman7439
    @yakubaosman7439 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    uyo mganga wa kienyeji kama mwamposa

  • @aishahazary4097
    @aishahazary4097 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wee nawe simulizi unataka kujifunza uchawi kwa hao washirikina?.Unang'ang'ania kumhoji mtu mshirikina na mchawi.Unataka kuchukuwa ujuzi nini??

  • @Munatiyahilwa
    @Munatiyahilwa 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Apana mganga sio doctor..doctor ni doctor ama daktari..ila mganga kitu kingine

  • @abdullahikipkirui9688
    @abdullahikipkirui9688 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😂😂huyu jama ni Mongo ame Sema siku sitini mara siku arubaini Ana changanya mane maneno

  • @SabihaibrahimRajabu
    @SabihaibrahimRajabu 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tutajiye ukoo wako hebu tuusikiye

  • @zahraalbaloochi2841
    @zahraalbaloochi2841 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Acheni utapeli wenu ktk mitandao hizo njaa zenu mumezidi wanafiki nyiee

  • @FatemaA-ov5ue
    @FatemaA-ov5ue 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huu ni utapeli

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Haka kachawi, na machawa huwa ni wanafiki sana

  • @MikidadiSalim-xk9dc
    @MikidadiSalim-xk9dc 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Uchawi upo sharifu tena wachawi wanakera mno....tukiachana na hiyo yakufanya biashara kwenye nyumba za ibada.....wanaokupinga wengi khs huduma zako kuwaadabisha hao wanaopulizia mafundoni na nguvu za kiroho basi ni wachawi!!!!!!

    • @abdullabdull5771
      @abdullabdull5771 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Tapeli huyo zinduka sharifu hajui hata kusoma suratul fatha

  • @MutoniwaseMadinah
    @MutoniwaseMadinah 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Eti sharif 😂hana nuru ata kidogo,mshirikina wewe

  • @msafirimaulidi5054
    @msafirimaulidi5054 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Uyu ni fala km mafala wengine

  • @ramadhanyusuf2401
    @ramadhanyusuf2401 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ukiendelea kutuletea vijana wasiotupa faida kwa sababu ya maslahi yako mimi nta unsubscribe kwa channel yako nkt

  • @ChampioniMjelumani
    @ChampioniMjelumani 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    nilicho kigundua mim waislam wengi washilikina

    • @DStarTz-if2ko
      @DStarTz-if2ko 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Bora waisilamu wengi lkn wakiristo ni wote washirikina

    • @mutomubaya
      @mutomubaya 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Acha uwongo. Waislamu wa wapi...?