Ni kiingereza sio kingelez. Jifunze kukiongea, kusikiliza na kuandika ili usikasirike au kuona wivu wengine wakiongea. Ni lugha tu kama lugha zingine na TH-cam inafuatiliwa na wengi sio Waswahili tu. Mtu kuchanganya lugha sio sifa, sio ushamba ni COMPETENCE (Uwezo/Ustadi n.k) tu na anaweza kuongea apendavyo.
She seems to be very humble girl
Editor kwa kiasi umetuangusha, na mmeruhusu ipande ivyo ivyo. Nadhani umakini kwenye editing
Mimi kukupenda nakupenda,nakuheshimu bado kutafuta kazi tu. Naendelea kufanya mazoezi ya kuwa mme wako.
Bangi
@@Chui_lama_chui😂😂😂😂😂😂mbona bangi°
Editors dakika ya 10 mpaka ya 12 swali zina chelewa ku appear kwenye screen
Ata mimi sipendi kuosha vyombo
❤
Mambo ya opochuniti
Hiyo i don no nini kila sentensi i do no
Aloooo
Mkiw kwenye mahojiano kingelez chann au ndo sifa
Ni kiingereza sio kingelez. Jifunze kukiongea, kusikiliza na kuandika ili usikasirike au kuona wivu wengine wakiongea. Ni lugha tu kama lugha zingine na TH-cam inafuatiliwa na wengi sio Waswahili tu. Mtu kuchanganya lugha sio sifa, sio ushamba ni COMPETENCE (Uwezo/Ustadi n.k) tu na anaweza kuongea apendavyo.
@@queenandchill91📌📌🤣
Sio sifa, ni lugha tu kama lugha nyingine.
Kwa kweli umesema yote@@queenandchill91