Mbona kaka aliyeimba nyimbo ya Ben Pol amefanya vizuri, alistahili kwenda dar kabisa. Mara nyingine hii haki haitendeki kama ilivyokua kwa Kingdavid Mwanza 🤦🏾♂️
Hapo umewashauri vizuri shaba ranks,Maxie priest,murder she wrote,Romain vigro wao,worry not ,cronixc jah cure oi wasanii,bolingo,sebene,sweet reggae oi
Jaji wanatoa mtu kwa kusema laha, wao wanasema 'Imba Nyimbo nyingine' badala ya 'wimbo Mwingine' .. 'nina sarura ya sehemu nyingine' 'niwakabisi'..eh! Hata kama wakenya tuna upungufu wa ufasaha, mara Nyingine Watanzania mnatudanganya sana
MAJAJI WENYEWE HAMJUI MZIKI HUWEZI UKAMUACHA HUYO JAMAA WA MANENO MANENO KAMA UNAJUWA MUZIKI SHIDA NA NYIE NDO WALEWALE LABDA TUWALETE KINA MBOSSO KINA BARNABA NDO WAJAJI MUZIKI SIO NYIE
Muitikio kushuka kutoka kwa washiriki iwe funzo kwenu majaji...kaa hamuoni shida inayokua jiandaeni kuua kitu cha kitanzania cheme thaman kubwa kinyama
lakini mbona mtu kujileta kuimba kizungu ilhali lugha zetu huku Africa tukiongezea kiswahili tuko tops kabisa..Masta please unafanya sawa kabisa, entertainment with no emotions is nothing
Daaah uyo dada alie rap ni katisha sana sikumdhania dadek namjubali sana Yuko poa...namuombea pia
Umesahau kama hata witnesy ni mutoto ya mbeya😂😂
Ameweza yes baba tunakukubali from Burundi
Majaji wa ovyoo hawa wakemwacha stela na jamaa wa manen manen afu wamebeba hamnazoo looh🙌🙌
Tunaomba mje muende na tabora napo panavipaj pia hamjawahi enda tangu muanze bss 🙏
Huyu msichana Wa Rap Akikosekana Ata nyinyi tuwakose. Huyo atakuwa Nikiminaj Wa Africa mkimutengeneza nawambia🇰🇪🇰🇪🇰🇪
SHISHI leo kafanya kazi kuliko 100% kweli nakukubali leo sana
No 0056 Anajua sana tu bx tu lbd hawajampenda tu
Salama 😂 ATI braza kuna ugomvi duh Salama punguza basi mishale😂😂😂
Aisee kuna watu wanajua sana wamebaki😢
Sema uyo kaka wa 3 mumemuacha bule anajua sana alie vaa kofia nyeusi
Sure😢
Hakuna judge anaejua mziki kote duniani ambae angeweza kumtoa huyu jamaa alieimba maneno maneno hakuna mtu kaimba vzr kama huyo mbeya that's my opinion
Sure
Hey Judges, hamjatenda haki kwa jamaa aliyeimba wimbo wa maneno, anastahili kwenda dar.
Kabisa walai😢
Kabisaaaaa
Kabisa wamenikela sana hawa majudge😢
Huwa napenda sana kipindi hiki nacheka sana😅😅😅😅
madam Rita hii platform inasaidia sana keep it
Shishi ❤❤😂😂uliamuwa kumuimbiya jamani daah umefanya vizuli umemtia moyo
Sasa salama amekuwa mtt tena jmn😂😂😂coz icho kibanio cha nywele ni cha wtt wadog coz kin ua kwa mbel
igunga kuna vipaji sema shishi unatuchukia kisa tulikuvua❤😊
Mwangu wapili omando from swax yan nawakubali na mwangu dabeto nawaombea mfike mbali 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Jaman john good job brooo u're goooood
Mbona kaka aliyeimba nyimbo ya Ben Pol amefanya vizuri, alistahili kwenda dar kabisa. Mara nyingine hii haki haitendeki kama ilivyokua kwa Kingdavid Mwanza 🤦🏾♂️
Wamemuacha mshindi
Kalee kadada wamekataaa ety wanachukuaa huyo dada aliyepewaa viatu huko ni kuzngua
Majaji Wapo vidhuriii watu waongo jamani 😂😂😂😂
Wako na Degrees za uongo kabsa ,Mbeya WApo vidhurii 😅
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
Jamani naombeni mnielekeze namna ya kujiunga bongo😢 searchs naitaji kuonyesha kipaji changu na mimi
Yan huyu wa Singida mbona kaharibu nauli yake😂😂😂 si bora angekunywa bia iyo hela😅
😂😂😂😂😂
Huyo shilole mwenyewe hajui kuomba yeye na snura
Sharifa kamaindi kweli .. sasa hujui kuimba tukudanganye 😂😂😂
Nimepata yes tatu majaji wapo vizuri 😂
😂😂😂😂😂khaaa nimechekaa
@@AswefaaMohd master ameniambia nikaze kwahiyo dar tunaenda😂😂😂😂😂😂😂 Mbeya watani zangu wamenishinda tabia kwa uongo 🙌🙌
Hahaha, Yes tatu ninazo 😂😂 ila tukutane Dar 😂😂
😂😂😂😂😂
@@kisakim5660 😂😂😂😂😂kivumbiii
Huyo stella akomae anakipaji kuliko wote hao walio ambiwa wanaenda dar sema salama hakumpenda
mbona fursa hiz sizipati . mbeya lini tena ? naona vjana weng wanafeli kizembe 👏
Big up bss love from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 visit Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Naona ntapata dhambi tu hiku jamani
Ila BSS ni very funny
Dah mweny kofia nyeusi ana kit
Anawezaaaa
Mtaji wako ndo mtaji😂😂😂😂😂
John mwasomola Mungu akutangulie kaka I see in very different standards ❤❤
Ibrahim anajua sana , hata aimbe nyimbo gani bado jibu litakua yes.
Hapo umewashauri vizuri shaba ranks,Maxie priest,murder she wrote,Romain vigro wao,worry not ,cronixc jah cure oi wasanii,bolingo,sebene,sweet reggae oi
Jaman kuna wat wametokw na aibu😂😂 duh maisha haya😂
Milele festival since#2013
Huyo kaka alivaa koti la jeans na shati la draft kweli hakustahili hata kurudi kesho kweli! Swagg angejifunza tu
Yani huyu kaka aloimba watatu anastaili kabisa kwenda dar anajua mnoooooo😢
Mbeya wamezengua .. nahisi Vanny boy kasepa na nyota zote😅😅
The judges are not fare, it's so sad the one's who did good are not going to dar esaalm😢😢😢😢
Kumbe nawe umeona
Two gays😢
Jamaa kavaa glasses wow ana kipaji mpaka anagera
Jinsi ninavyocheka nikitazama hii show😂😂dah watu wa mbeya
Jaji wanatoa mtu kwa kusema laha, wao wanasema 'Imba Nyimbo nyingine' badala ya 'wimbo Mwingine' .. 'nina sarura ya sehemu nyingine' 'niwakabisi'..eh! Hata kama wakenya tuna upungufu wa ufasaha, mara Nyingine Watanzania mnatudanganya sana
MAJAJI WENYEWE HAMJUI MZIKI HUWEZI UKAMUACHA HUYO JAMAA WA MANENO MANENO KAMA UNAJUWA MUZIKI SHIDA NA NYIE NDO WALEWALE LABDA TUWALETE KINA MBOSSO KINA BARNABA NDO WAJAJI MUZIKI SIO NYIE
Katika siku salama umezingua ni Leo.
Duh mshiriki number3 😂😂😂😂 eti tumia vipaji vyako vyote 😅😅😅
Ni kwenye msimu? Au kwene msimu?
Kiswahili sahihi ni kipi?
ibrahimu anajua kwa mtazamo wangu
😂😂ila nyieee mbeya uwongo uwongo mwingi khaaa 🤣
Wakitoka nje wanajimwambafai😂😂😂
Kidog nijikojolee baada ya namba 0167😅😂
Majudgi hao jaman hamna kitu waamuzi gani hawajui kuimba saah,, 😢 eti jaji shilole😅😅 utopolo tu tuna danganyana jmn
Ni macho yangu au masikio yangu?? Jamaa kaimba wimbo wa Ben Pol - Maneno kaambiwa haendi Dar??? WHAAaat.!!!
Ni ujinga wa kiwango cha juu
John akiendelea hivi atakuwa kwenye top3
Kwan watu wa mbeya mna shida gan😂😂
Sauti yake Kali Ina mamlaka😂😂😂
Minah Minah 🥰🥰🥰🥰🥰
Dah uku mbeya naona na maliza bando laku bure asa mbona Arusha nienjoy xana uku weng km hawapo siliaz ivi
Watu wanawaimbia wapenzi wao wanapewa yes nyie mnawapa no kwanini lakini 😅😅😅😅😅😅😅😅😅
😂😂😂😂
Kuomba hujui una kazi ya kujiramba midomo tu nakujiweka kisera
kwann watu wasi urudie hiyo back ground music ya bongo start search maana iko moto
Jamaa mwenye amimba kizungu Ako poa bt majaji hawajuwi kitu show kma hizi hazifai zinfaa kufungwa sababu zinavunja watu moyo
Yaan ni wewe tu kutaka kuvunjika moyo, coz kama wote wangekuwa wanavunjika moyo basi harmonize asingefika hapa, nae aliambiwa hajui ila hakukata tamaa
Muitikio kushuka kutoka kwa washiriki iwe funzo kwenu majaji...kaa hamuoni shida inayokua jiandaeni kuua kitu cha kitanzania cheme thaman kubwa kinyama
Stella mmemuonea
John anajua sanaa
Mbeya wamezengua snaa😂😂😂😂
Jamani naomba mtu aniambie huu wimbo wa mwisho aloimba john mwenye miwani unaitwaje? Anyone plz
Nimependa saaaana hiii show ❤❤❤❤❤❤❤
Shilole hamna kitu hapo...mrudisheni judge kitime au quick racka switcher..hao walijua judging
Mbeya ni yamwagona wasafwa
Huyu dada wa Hip hop mtunzi mzuri
Hawa majaji washamba sana, yaani mtu unamkandia badala ya kumtia moyo ivoivo. Kwan wakati mwingine ajarib
Shilole amekua kama kigunia😂😂😂
Huyu kijana anajua kutangaza saana
yaan wenye vipaj wameachwa duuhh!! 😢😢
Jamaa kaonyesha sababu ya kurud mbeya
Mwenye namba ya uyo mdada aliechana bila viatu naomba 🙏🏾🔥
Nadhani sasa ina bidi muikumbuke tanga wale jamaa wana jua pia
Mikoa ya pwani ina msaada mkubwa sana kwenye sanaa please have a look on them
🤣🤣 I LOVE THIS SHOW
Tuna wasuburi muje apa burundi
Mtangazaji ujumbe unausoma mkononi😆😆
Nimepata yes tatu 😂😂😂
Anduuuu😅😅😅😅
Asanteee❤
Mbeyaa hua kun vipaji sana meshack alitoka mbeya
Love you ibrahim
Shilole kachukuliwa tu kwa umaarufu,ila kwa ujudge hamna
Shishi pendeza sana
Mbona mnatuletea vituko
Hiv si mje na musomaa mara mbon mnapatenga san
Ety jmn
mtawapiga majaji😂
@@MaryamaAllydah😂😂😂😂
Mbali uko😂😂😂😂
Msoma kabisa, Kuna vipaji jamani🤣🤣🤣🤣
Mbeya bana ulijaribu tu imeenda
Majaji nendeni zanzibar
Akuna vipaji labda vya kaswida 😅
lakini mbona mtu kujileta kuimba kizungu ilhali lugha zetu huku Africa tukiongezea kiswahili tuko tops kabisa..Masta please unafanya sawa kabisa, entertainment with no emotions is nothing
master j acha kuvimba
Muniambiye Dodoma munakujalinii
ahahhh Ritha anasema nlikupa kumi salama anasema ulimpa 8 nyie majudge bna msituchekeshe sana
Kuna washirik hawajui kuchagua nyimbo
Munauwa hip hop hii situation hip hop ilivyopata malenia kuna jamaa mister ………. Salama wewe mwenye kujua utamu wa hip pop umemuacha
J umekosea kumsukuma uyo jamaa.😢
Natamani bss ya mwaka huu imtoe mwanamke mwenye kipaji ashinde mshindi wa kwanza