Zuchu tunakupenda sana sisi mashabiki wako hongera dada mwenyezi mungu aendeleye kupatiya nguvu utufurahishe sisi wakwako. Unefanya album nyimbo nzuri sana 🥰🥰🥰🥰🥰
Call Zuchu what you want, hate her or love her, one thing stands out….she handles very, very maturely. She’s extremely intelligent and talented in handling even pesky and intruding questions . Congrats Zuchu !!!
Lioness Queen Zuchu is a highly intelligent lady.God will bestow you with more wisdom,knowledge & understanding IJMN amen. It's Lioness Queen Zuchu &Lion Diamond Platnumz forever IJMN amen.
Unasema huwez kuend kinyum n alichokipanga mungu zuchu 😢kwann unavaa uchi na mungu hapendii mungu sio mchoy anatoa ata kwa wale wanaomkosea kil mtu Anampa rizki ila unaend kinyume sana na mngu
Saaaana Ila kwenye camera anajitirisha huruma Kama hanaga majigambo maneno yenyewe yakwenye nyimbo majigambo matupu!alaf huyu mwgzaji hapa kujifnya mtiifu
Akija kujibu ujinga wenu hamtaki mnasema anajigamba, ko mnataka mumpande kuchwani, zuchu has boundaries and lives within her principles ndo kicho hamkipendi hapendi kupandwa kichwani
@@SimoniThomasizuchu na kujitilisha huruma in the same sentence kama kuna mtu anajiamini and stands by what she believes in wether right or wrong ni zuchu
Yaani wa bongo yote aliosema hiyo ndio uliosikia? Huyo mtoto mnamchukia bila sababu. Yaani atasema vitu vingi vya maana mnabeba hiyo point isiunomaana🙄🙄🙄. Acheni roho mbaya na chuki kwa mtoto wa watu . Angesema msanii mwengine wala msinge sema.
Eti biashara ya elf10 itakupa nn!kwa taarfa yako baadhi ya watu tunajua ww ni mjigambi tena ww ni mwgzaji mzur tu ukiona kamera wajifanya uko piece,mama dangote ashajua ww ni majigambo ndo maan hajakuzingatia na mond hawez kuruhusiwa kukuoa ww maake unajikuta
Mashabiki kwa zuchu gonga like hapa❤
I would listen to this girl all day. Very level headed, articulate and mature👌
Zuchu tunakupenda sana sisi mashabiki wako hongera dada mwenyezi mungu aendeleye kupatiya nguvu utufurahishe sisi wakwako. Unefanya album nyimbo nzuri sana 🥰🥰🥰🥰🥰
❤❤❤❤❤ Amiina
Zuchu ana hekima mashaallah ❤️❤️❤️
Ndo aseme efukumi itampa nn😥
Mimi zuchu nampenda tangu nimjue and l will love you forever
Anaroho nzuri sana ❤ nivigumu mwanamke kumsifia mwenzake ila kabisa ka show love kbx kwa huyo dada mtangazaji
Nimependa majibu yako zuchu❤
I love this gal for free,, maturity level 👌👌
Ukimpata yyte utamtii Inshallah my🎉🎉🎉 utapata hitajio lako🎉🎉
Kuachana na talent , Zuchu yuko smart Sana kichwani..
Kabisaa ❤❤❤
noma sana
❤❤❤❤❤ Kabis Umeongea Point San 💯 Zuch Genius🎉🎉🎉
Sana ci msomi ❤
Zuchu very talented and ambitious girl 👏👏🎉
Yaan zuchu kachangamka sana kama ameumwa na siafu 😂😂😂 Hadi Raha jaman❤❤
Napenda sana zuchu jinsi anavyo jihamina hatetereki binti wakopa,
Call Zuchu what you want, hate her or love her, one thing stands out….she handles very, very maturely. She’s extremely intelligent and talented in handling even pesky and intruding questions . Congrats Zuchu !!!
Zuhura you are blessed mdogo wangu tupo na wewe ktk nyakati zote❤love you forever
Zuuuuuh kazuri jmn 😘😘😘
I love the album Zuchu keep it up, nyimbo zote 💯 ❤
Kazuchu kawaida sana ila kana akili❤
Zuchu hanaga roho mbaya ❤❤❤❤mtoto mzuri tu
Huyu mdada nampenda sana mimi na watoto wangu .❤❤❤
Nampenda😂zuchu❤❤
My friend saraphina your the best❤❤❤
Lioness Queen Zuchu is a highly intelligent lady.God will bestow you with more wisdom,knowledge & understanding IJMN amen. It's Lioness Queen Zuchu &Lion Diamond Platnumz forever IJMN amen.
Allah akuhifadhi zuhura mwana wa khadija
zuchu shout-out to you love you so much bby you are so amazing 😍😍😍
Hiyo voice ya zuu ❤❤
Yuko makini sana sista etu❤❤❤❤
Mungu amusaidie aworewe in lshaAllah
❤❤❤❤❤❤mine zuchu
Unasema huwez kuend kinyum n alichokipanga mungu zuchu 😢kwann unavaa uchi na mungu hapendii mungu sio mchoy anatoa ata kwa wale wanaomkosea kil mtu Anampa rizki ila unaend kinyume sana na mngu
Habipty ndio mana M.mungu anatusamehe tunaporudi kwake, kutoka na kuwa tuna mapungufu .Tusihukumiane
Weeeeeeee kwenda unafanya nini huku
Yeye ni msanii bana anavaa uchi ndio nini kwani ulishawahi kuona uchi wake😡😡
Akuna alie kamilik wew pia Uko na madhaifu yak
Wewe hujawahi kutoka nje ya ndoa yako? Au unaona kuvaa uchi ndo dhambi kubwa kuliko zinaa na ushirikina?
Nampenda Zuchu sana❤❤❤❤❤❤
Nampenda zuchu Sana zaidi ya sana
❤❤ zuchu
nakupenda mwanangu maashaallah
Mtangazaji ni mzuri 👏👏
❤❤❤❤ luv u zuuuu
❤😊😊 nampenda Zuchu
Nakupenda sana
My favourite💗💖
Atachokisema Mungu lazima ukifatishe " mbna vicroptop au pia kasema
Aww!! Good interview 😊
Zuchu 💪🔥🙏🔥🔥🥳
She is good 👍
Napenda sana ulivo na huruma
5:58 ❤❤❤
Zuchu you should choose one thing music or marriage you cannot serve two masters at one time 😂
Mie shabiki ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Umenifundisha kitu Mkubwa Zuchu Wewe
❤
Good❤❤
Aadui number one ni Harmonize hadi kuroga😅😅😅😅😅😅
😂😂😂
❤❤❤❤
Kigali ❤
Saraphinsa uko vzr
🔥🔥🙌🙌🙌❤️👏👏👏
M napenda anavyoongea co hombo😊
❤❤❤ zuu
Hongera sanaaaaa
I love u❤❤
anachokisema Mungu Zuchu anafuata tu huwa hana kujadiliana. kama mmeelewa basi tuendelee kuomba duwa.
Hafai dada wa kiisilam nahata kama angekuwa .kiristo kwadesturi zetu pia sio sawa kabisa
🎉🎉🎉🎉
unaakilisana mtoto umejibu vizuli sana
🦋🥂
Dada mtangazaj unajua kuhoji nimekupenda
Mwanamke na nusu she's wife material anajiamin anajua kujieleza
🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤🤲🤲🤲💯💯💯🔥🔥💕💕🎉🎉🎉
Wanasema ukipenda mtu mpende lkn uache akiba
Urongotu,,, mim wala hata sipend tabia za zuchu maana anaroho ya kujigamba sana
Saaaana Ila kwenye camera anajitirisha huruma Kama hanaga majigambo maneno yenyewe yakwenye nyimbo majigambo matupu!alaf huyu mwgzaji hapa kujifnya mtiifu
Akija kujibu ujinga wenu hamtaki mnasema anajigamba, ko mnataka mumpande kuchwani, zuchu has boundaries and lives within her principles ndo kicho hamkipendi hapendi kupandwa kichwani
@@SimoniThomasizuchu na kujitilisha huruma in the same sentence kama kuna mtu anajiamini and stands by what she believes in wether right or wrong ni zuchu
Kasoro yake anakaa uchii
Mimi elf 10 itanisadia nini
😂
Kweli unajikuta biashara ya elfu kumi itakupa nn,, mh
Yaani wa bongo yote aliosema hiyo ndio uliosikia? Huyo mtoto mnamchukia bila sababu. Yaani atasema vitu vingi vya maana mnabeba hiyo point isiunomaana🙄🙄🙄. Acheni roho mbaya na chuki kwa mtoto wa watu . Angesema msanii mwengine wala msinge sema.
Jinga wewe
Hapo kachemsha jibu lake
Roho mbaya ndo zimewajaa! Maskinii mtaendelea kuwa maskiniiii kwa namna na fikra hizoo
Wambie kweli @@miriamadams7939
Katumwa hasid aimed sherehe yako ya jana. A trend yeye na umasikini wake wa akili
Yan na mwenzake alivyompozea xax😂
Eti biashara ya elf10 itakupa nn!kwa taarfa yako baadhi ya watu tunajua ww ni mjigambi tena ww ni mwgzaji mzur tu ukiona kamera wajifanya uko piece,mama dangote ashajua ww ni majigambo ndo maan hajakuzingatia na mond hawez kuruhusiwa kukuoa ww maake unajikuta
Atakuoa😂😂😂
Atakuoa ww kwanza dunia nzima mwanaume ni yy tyu embu mtupishe machawa
Hujackia maneno mengne zaid ya hilo mchawi mkubwa ww😏
@@ZaiJuma-c5f😂😂
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤
❤❤❤❤❤
❤❤❤❤
❤❤❤