🎉🎉🎉 wimbo mtamu sana tena yenye ujumbe mzuri,,,,, Tuendelee kuziimarisha Jumuiya zetu ndogo ndogo. @Swai @Mdete kazi nzuri mnayoifanya Kaka zangu 👌👌👏👏👏👏
Hongereni sana wanakwaya . Mmeimba vizuri sana na mmependeza mno.Sololist pokea maua yako. Hongera kaka yangu Deogratius Mlay kutuwakilisha vyema ,Mungu akutunze na Malaika wa Mungu awalinde nyote.
🎉🎉🎉 wimbo mtamu sana tena yenye ujumbe mzuri,,,,, Tuendelee kuziimarisha Jumuiya zetu ndogo ndogo. @Swai @Mdete kazi nzuri mnayoifanya Kaka zangu 👌👌👏👏👏👏
Big up Swai organist
Beautiful beautiful...❤❤❤❤
Amen
Heshima Kwaya yangu nawapenda sana sanaaaaa swai na mganyizi na George
Mkuu🙌🏾
Swai na team nzima, hongereni.
Asante sana kaka Herfrid Temba
Hongera mwanangu George Mwendwa 's oyee
🎉🎉🎉🎉hongereni Kwa utume wa uimbaji mungu azidi kuwajalia afya njema wanakwaya wote Ili mzidi kumtumikia mungu katika roho na kwelii
🎉🎉🎉 wimbo mtamu sana tena yenye ujumbe mzuri,,,,, Tuendelee kuziimarisha Jumuiya zetu ndogo ndogo. @Swai @Mdete kazi nzuri mnayoifanya Kaka zangu 👌👌👏👏👏👏
Hongereni sana wapendwa ❤❤❤❤
Asante Eunice
Hakika MUNGU nimwema wimbo mzuri ujumbe umetufikia .mzidi kumtumikia MUNGU Kuimba katika Robo na kweli . Mbarikiwe sanaa
Jumuia ndogo ndogo ni kanisa majumbani🎉🎉🎉🎉🎉 hongereni waimbaji
Asante sana
Hongera sana M-ee Kibonge na kwaya nzima...Hongereni kwa utume
Asantee
Hongereni🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Asante sana Petronila
Hakika twasherehekea...Amina. waimbaji mbarikiwe. ❤❤❤
Jamani huyu kaka Mwendwa aliye solo naombeni kazi zake aisee anasauti
Utazipata kaka
Mbalikiwe sana ndugu zangu wore.
Amen
Hongereni sana, you are best singers
Asante sana
Thanks be to God the most High
Hongereni sana wanakwaya .
Mmeimba vizuri sana na mmependeza mno.Sololist pokea maua yako.
Hongera kaka yangu Deogratius Mlay kutuwakilisha vyema ,Mungu akutunze na Malaika wa Mungu awalinde nyote.
Ameeeen
🕊️ hongera sana kwatabasamu rako umependeza daaaa 🎁
Naipenda hii kwaya hadi nataman kuamia sombetini
Karbu ujiunge nasi
Karibu sana
Karibu
Karibu sana Elly
Karibu Sana
Vizur San Kaz nzuri iliyo na ubora Sana mwenyez mungu awabaliki muweze kuwa na kazi bora Sana zaidi
Amina na Mungu atukuzwe
Interlude ya kinada🎉❤❤❤iko sawa sana, sauti murwaaaaaaa
Amen
Pongezini kwa wimbo mtamu huu bataka za mungu ziwashukie sana hakika mmeupiga mwingi mungu apewe sifa❤❤❤
Waaaoh nlikua nimewamis wana Sombetini.... congratulations...254 twawapenda
Asante sana tunakupenda pia
Wimbo mzuri mno. Asanteni 🤝
Karibu
George safi saana sauti umejaliwa Mungu akubariki sana
Atukuzwe Mungu milele
I love everything in this video❤mmependeza sanaa pia
❤🎉 hongereni sana... Be blessed
Ahsante sana Rabbi
Amina ubarikiwe
Yaani basi tu mpaka viziwi wanaelewa hii NI Raha kwa hii kwaya
Big up katoke product @emily muganyizi
Hakika wewe Ni Mungu aliekuako alieko na atakaekusko Amina wimbo mzuri sna
Barikiwa sana Ndugu
Hongereni sana ndg mmeupiga mwingi
Hongera san dada yang selin priscuss kwa kuendeleza utum wa mama
A marvellous piece of work by this choir.
We thank you very much for producing this presentation.
😢duh! Hii imeenda🎉❤😊
Hakika jumuiya ndogo ndogo za kikristo inapendeza sana
Amina
Tunawapenda kwaya ya Mtakatifu Boniface.Mungu azidi kuwabariki.
Amina, tunakupenda pia mpendwa katika kristo
Tunaomba nyimbo zingine alizo imba huyu solo
Soloist G.Mwendwa❤❤❤❤
❤
Hongera. Sana. Dd. Glory kwa. Utume 🎉🎉🎉🎉🎉 na. Kwaya. Nzima. Kiujumla🎉🎉
Nakubali sanaa wanakwaya shukrani kwa mungu viongozi na walimu wa kwaya .vipaji viendelezwe by.dcm
Asante
Wimbo mzuri sana pia ujumbe muhimu sana Kwa mkatoriki yeyote
Congratulations ❤ very informative
Never Disappointed from Director TM
Kaujumbe kazuri kabisa.
Hongereni sana kwa uimbaji mzuri na utunzi mzuri🎉🎉🎉
Asante karibu
Hongereni sana wimbo umefika na ujumbe mzuri kabsa
Asante sana
Amen
Hongera sana kaka yangu DEOGRATIUS MLAY Hakika nyimbo yenu inabariki sana
Hakika injili lazima isonge mbele🙌🙌🙌🙌😍
Waah 🤗🤗❤️❤️❤️
Ni mimi kaka yenu Izack moyo iko Poa hii kwaya au mnasemaje🙏
Hongereni sanaa wan sombetin nawapenda sanaaaaaaaa by mama yak selina
Asante sana, Barikiwa sana na wewe
Mungu awabariki sana sana. Msalimieeni Mzee wangu Kibonge, tangu enzi za KMC mpaka leo anafanya utume wake vizur sana
Wakola muno kyoma🙏🏾
Amina
Hongera sana kwaya yangu nawapenda🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Karibu saanaaaa❤
Yani apo badoooo mpaka msemeee ndo kwanza Bonifasi kumekucha tumeamka tunaenda jumuiyani au mnasemaje🙏
Hii kwaya NI shida utamu unakolea TU sauti Tami mnoooo
Asante na karibu
Nzuri sana🎉🎉🎉🎉🎉
Asante sana Trizzah Matu
Wachaaaa weee kazi nzur sana hongern kw utume lakin pia tumpongeze director kaz nzur sana
Asante sana
Hakika tuziimarishe jumuiya ndogo ndogo,hakika mmeupiga mwingi Wana Boniface 🙏🏿💯❤️
Asante sana
Mungu awabariki saana katika Utume wenu
❤❤❤❤❤ George Mwendwa
Hongera nyingi kwa wana sombetini
Thanks
❤❤❤kazi nzuri wanakwaya🎉
Mbarikiwe Sana
Hongera sana kaka yangu DEOGRATIUS MLAY,,,Hakika nyimbo yenu inabariki sana
Amen
Asante sana mmenikumbusha enzi zileeee!
Hongereni sana kwa wimbo huu hasa Mwaka huu ambapo tunashehereka Jumuiya ndogo ndogo.❤❤❤
Asante sana
Asante sana
Wooow.... Hongera snaa kakangu Emil MUNGU akutie apendavyo❤
Ahsante sana dada❤🫶🏾
Mandhari safi 👏👏👏 hongereni sana sauti zimetulia ❤
I love you George❤❤❤❤❤
Beautiful.Congratulations
Mwlm swai hongereni na kaz yenu
Wow❤❤
🎉🎉hongeren San kitu kimetulia
Sifa na utukufu ni kwa Mungu aketiye juu
Nice
Very nice Song 🎵 👌 👏
Asante sana
Barikiwa sana ..
Ukisikiliza unawaza mtunzi alikimbia seminari na ukiendelea unagundua ni kweli Muganyizi alikimbia upadre😂😂😂😂anyways,,,,,historia imetulia,,,,ujumbe umesimama,,,,,mziki umekaa mahala pake,,,,sauti tamu,,,utulivu wa kutosha,,,,kongole kwenu,,,,,katika kuinjilisha,,,,,
😂😂😂😂😂😂😂😂
Daaaah mkuu nina nini nawe?🤣
Hongeren sana jmn
Ni hatr sanaaaa
Nakubali mkuu🙌🏾
Tumshukuru Mungu
Kaz nzur mno
Weweeeeee
Mungu ni mwema
❤❤❤❤
Tupo hapa✅
Rabbi🫶🏾
I love it❤❤
nice one
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Njema sana kaka Emily
Asante sana kaka🙏🏾
Kazi safi
So super
Amen
Mungu atukuzwe, nasi tutakatifizwe🙏🏾
Nzuri sana🎉❤❤❤
May💚 most❤️ High💜 bless💙 everyone💛 always 💙much 💛love ❤️Blessings💙 always ☺️ 🎇 🌈 🌐 💯💯✌️✌️💙💜💜❤️💛❤️💜💜💙💙💙
😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘✊✊✊
😂hongereni sana
Perfect ❤❤
Hongera George Mwendwa
🎉🎉⛪⛪
Peace ❤️and💚 Blessings💛 Too💙 My 💚Brothers 💜May💛 most 💙High💜 bless💛 everyone❤️ always💚 May💛 most 💙High 💚bless💛 everyone💙 richly 💜with💛 everything 💙they💜 need💛 always ❤️much💚 love💛 Blessings💚 always ☺️ 🎇 🌈 🌐 💯 ✌️💛💜💚💚💙❤️💙💚💜
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤😂
Ni Mimi kaka yenu Hapana Izack uko poa hii nyimbo 😂
🎉🎉🎉 wimbo mtamu sana tena yenye ujumbe mzuri,,,,, Tuendelee kuziimarisha Jumuiya zetu ndogo ndogo. @Swai @Mdete kazi nzuri mnayoifanya Kaka zangu 👌👌👏👏👏👏
Asante pia kwa kututia moyo