Utukufu na ukuu hakika unayeye hongereni sana Bonifasi kwa kazi nzuri Rajo,mozen pro big up sana,hongera pia despina na wanakwaya wote proud of you guys.
Bonjour, félicitation mes frères, j'ai toute une collection de vos chansons lesquelles très souvent vous êtes à trois accompagnés de Madame Anastasia. Bien que c'est en swahili, à kin nous parlons lingala. Merci beaucoup si Dieu le veut comme j'ai une connaissance à Nairobi je viendrai et on se verra. Que Dieu vous bénisse
Mungu azidi kuwawezesha wapendwa .Amefufuka kweli kweli.mbele daima kwa kumtukuza Mungu wetu.hapakosekani Changa moto ila tunaposhinda ndiyo Imani yetu inaenda viwango vingine na Mungu anainuliwa zaidi.Tusikate tamaa
The choir is amazing...Nice rendition with daspina doing her thing...though not clear yet we needed more of daspina's amazing voice..all in all well done Amefufuka kwetu...Yesu mshinda mauti.
wow. Catholic music has real transformed to the next level in recent years and still it has not lost its identity. Good music, nice video, liturgical,, and so much more.. Big up
Utukufu na ukuu hakika unayeye hongereni sana Bonifasi kwa kazi nzuri Rajo,mozen pro big up sana,hongera pia despina na wanakwaya wote proud of you guys.
Asante sana kaka Lawrence Kameja na karibu sana
Hongerenii sana mmependeza pamoja na sauti zenu nzurii mzidi kumtumikia mungu bila kuchoka
Hongera sana kwaya kwa sauti nzuri.
Hongera my lovely brother Deo Mlay.
Hongereni sanaaa...namuona mdogo angu Alice
Asanteee 🙏🙏🙏
Hongereni Sana kwaya ya Mt. boniphace askofu na Shahidi 🙏mmeimba vizur sanaaa Mungu awabariki sanaaa..... Nawapenda sana
Asante sana
Utukufu na ukuu hakika una yeye kwel kwl tujipongeze Sana kwa kaz nzur
Asante mkuu
Hongera sana Boniface choir sombetini Arusha
Asante sana
Wimbo mzuri sana. Hongereni sana wapendwa katika Kristu.
Sifa na utukufu apewe Mungu
Tukiwa bado tunafurahia ufufuko wa Yesu kristo,nabarikiwa sana na wimbo huu hasa zaidi kipande cha mwisho nakipenda sana
Kuimba nikusali mara mbili …Mwenyezi Mungu awabariki kwa uenezaji huu wa injili… sombetini mnajua mnajua mnajua tena
Asante kwa kutupongeza
Amina
Hongereni sana, utukufu na ukuu umwendee yeye aliyejuu
Amen❤🎉
Sifa kwa Mungu asanteni Bonifasi Kwayaaa
Amen
Kazi nzuri sana. Wakati sahihi. Hongereni sana
Mungu atukuzwe Daima🙏
Waoh bravo 👌👌 ..
So amazing ...
Big up guys hongeren sana wapendwa ❤️❤️
Asante sana
Mko vizuri wimbo unaujumbe mzuri kwnza mmechangamka mmnaimba kwa furaha mbarikiwe
Asante sana
Kazi njema Sana...... Hongera!!!
Asante sana
kazi nzuri sana
Asante sanaaaa
Hongeren sana mungu azidi kuwabariki 😇
Amina🙏
Kazi nzuri karibuni tena Monica
Asante sana
Tutakuja
Hongereni wimbo mzuri sana Mungu ni mwema sana kwenu nawapendaa❤
Ogereni sana mpaka natamani namm
nice one kwali Dunia lazima ifurahi kwa Bwana yetu Yesu Kristu kafufuka 👍
Bonjour, félicitation mes frères, j'ai toute une collection de vos chansons lesquelles très souvent vous êtes à trois accompagnés de Madame Anastasia. Bien que c'est en swahili, à kin nous parlons lingala. Merci beaucoup si Dieu le veut comme j'ai une connaissance à Nairobi je viendrai et on se verra. Que Dieu vous bénisse
Merci beaucoup, que Dieu vous bénisse
Mt. Boniface ❣️... UTUKUFU NA UKUU HAKIKA UNA YEYE. Happy Easter to you all watu wa nguvu!
Shujaa Yesi
Mungu ni mwema kazi mzuri sanaaaaa
Asante sana Noel
Hongera Sana kwa kazi nzuri
Wow this is so beautiful 😍... beautiful song, beautiful video, beautiful everything..Big up choir ya Mt Boniface Sombetini.. we love u
Asante tunakupenda pia
Hongereni sana kwaya yangu pendwa
Asanteee sanaaa
Wimbo mzuri sana na mmeutendea haki hongereni sana
Thanks much
Nawapongeza wanakwaya wenzang 👏👏👏👏
Asante na karibu
i like that soloist ongera kwa sauti tamu
Thanks much
Mungu azidi kuwawezesha wapendwa .Amefufuka kweli kweli.mbele daima kwa kumtukuza Mungu wetu.hapakosekani Changa moto ila tunaposhinda ndiyo Imani yetu inaenda viwango vingine na Mungu anainuliwa zaidi.Tusikate tamaa
Amen
Mambo ni motooo
Well organized and arranged kazi nzur sana kaka rajo
So nice proud to be in sombetini parish mbarikiwe
Amen
Hongereni sana 🎉🎉🎉🎉🎉 Kweli amefufuka 🎉🎉 Rafiki yangu Tumaini Swai nakuona 👀👀. Doing what u do best 👍👌👌
Karibu sana Sombetini@Felistas Mburugu
Asante sana 🙏🙏🙏🙏
Huu wimbo umenipendeza Sana, ubunifu, vyombo, sauti, kila kitu.... Kizuri. Hongera wote waliofanikisha haya...
Waooo hongeren sanaa wanakwaya wenzangu imependeza sanaaa namis sana kuimba
Asante na karibu
Nimebarikiwa sana kupitia huo mwimbo by lucy florian🎉❤😅
Hakika Mungu apewe sifa tunaomba utusaidie Ku share kwenye ma-group mengine🙏
Beat, instruments, Sauti nampangilio mzima. Hongera kwa aliyetunga, aliye record audio video waimbaji na despina mwenyewe
Hongereni sanaa wanakwaya wote na wote mliyoshiriki
Asante mnoooooo
Waooo mwanzo pazuri nyie na mwisho hadi raha
Umeona eeeh
Touching Message! Super choir
Asante sana
Barikiweni sanaa kwa Wimbo mzurii
Hongereni Sana
Fantastic song God bless you allow
thanks for the great work of evangelism
Swai waambie wanaBonifas nikitoka huku napitia MKuu wananigusa sana
Amina mwalimu wangu karibu sana
The choir is amazing...Nice rendition with daspina doing her thing...though not clear yet we needed more of daspina's amazing voice..all in all well done Amefufuka kwetu...Yesu mshinda mauti.
Ok
Authenticly beautiful😇😇👌
Amen
Huyo mwanadada ana sauti nzuri sana
Hakika
Hongereni sana watoto wa kaka yangu kipenzi father Pro..Tesha kazi nzuri 👏👏👏
Asante sana, Barikiwa sana
Mnatisha wimbo mzuri sana
Asante sana dada Upendo
Oh my God, I so much love the song 🤗🥰 proudly a Catholic, wish I can get the copy,so we can learn it oh
wow. Catholic music has real transformed to the next level in recent years and still it has not lost its identity. Good music, nice video, liturgical,, and so much more.. Big up
Hongereni sana kwa kazi nzuri 🔥🔥
Asante sana
Big up wimbo mzuri sana sauti safi zenye uhai🎉🎉🎉🎉😅
Amen
Hongereni sana wapendwa kazi nzuri mno,Mungu awabariki sana
Hongereni sana wapendwa katika jina la Bwana!!! Mbarikiwe
Hongereni sana kaz nzuri san
Asante sana
Kazi nzuri
Asante
Wow🥳🥳🥳 mkuu Swai tena🔥🔥🔥🔥
Kaka kaka
Amazing 🔥🔥🔥
Asante sana kaka Musa Mabogo kwa niaba ya Mozen Pro.
Mbarikiwe sana wana wa Mungu
Nawapenda🥰😋😘😘
Asante sana
Mmenikosha sana jaman ndugu zanguu
Mungu Atukuzwe zaidi
Wow utangulizi mfupi na mtam...heko kwenu
👌
Hakika nimefurahi kuona hii kaz yetu leo
Amen
Soo much talent in one piece, jissu, ray , swai en despina..moto sana
Well organized. Keep it up
Thanks
Mbarikiwe sana ❤❤❤
cogratulation ❤
Thanks much Robert
Hongera sana.wimbo Bora zaidi.
Asante sana Mary
Kazi nzuri ❤
Greetings from Cameroon Africa. Plus I suggest you guys should ask lyrics in English so we can all enjoy the beautiful praise together. God bless you
hongereni sana
Ahsante sana, Yote ni kwa utukufu wa Mungu
Hakika ni mwana wa mungu aliyeteswa sana na amefufuka
Well organized. Nice song I like it congratulations to you all.glory to be God. 🙏
Deo Deo Deo deooo nakuona....
Hongereni kwaya yetu pendwa Aleluya Amefufuka
Mt. Boniface mmetisha sana
Atukuzwe Mungu Milele
Tamu❤
Hongeren kw wimbo mzuri
Hongera sana Wana Bonifasi, mmefuni. Hakika mambo ni Moto.
Hongereni sana
♥️♥️♥️♥️♥️
Hakika wimbo huu nimtamu
It's a great voice❤❤❤
Good one
Thanks
❤❤❤❤❤❤
Nice song
Amina
😘😘😘
👌
❤❤❤
♥️♥️♥️♥️
Safi sana
Asante sana
❤❤❤😍😍🙏🙏
❤
Hongeren San wimbo mzur
Asante sana Dinatha
Bon
NGOMA KALI SANA
Asante sana kaka
😂🎉
Nyimbo nzuriii❤️❤️
🙏
Mbarikiwe sana wana wa Mungu
Soo much talent in one piece, jissu, ray , swai en despina..moto sana
❤❤❤