CHOZI LANGU 💞 Sad story | DONTA TV

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 458

  • @Dontatv255
    @Dontatv255 9 หลายเดือนก่อน +239

    Leo nimekuwa wa kwanza 😅

  • @lucyalto7320
    @lucyalto7320 9 หลายเดือนก่อน +58

    Nampendaga huyo mama wa kambo wa loveness anajua sana kuigiza uhalisia

    • @laddyfaida
      @laddyfaida 4 หลายเดือนก่อน +1

      Kabisa 👍

  • @Elizakilisipinilikolika1996
    @Elizakilisipinilikolika1996 9 หลายเดือนก่อน +34

    Nakupenda sana loveness unaroo nzuli sana nakupenda sana kipenzi changu loveness❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

    • @LinasMjema
      @LinasMjema 9 หลายเดือนก่อน +1

      Pamoja sana❤

    • @SelemaneMomadeFormassane
      @SelemaneMomadeFormassane หลายเดือนก่อน

      Loveness nakupenda sana dada ninguependa uwe mugu akujalye Yoshi milele nakupenda nikumbuke loveness!❤🎉🎉🥀💐🌹

  • @JaneJane-h2i
    @JaneJane-h2i 9 หลายเดือนก่อน +15

    Hakika Victoria wewe ni mtu mwenye roho nzuri yeye na kelvin nawapenda

  • @Jacksbalampa
    @Jacksbalampa 9 หลายเดือนก่อน +9

    Kazi nzuri na yenye mafundisho

  • @YusuphyKalebu
    @YusuphyKalebu 9 หลายเดือนก่อน +9

    Yani mayo na mamako hayoooooo!!!! Embu yaangalie yalivyokuwa manafiki kama malaya kuona bia mezani hamzipati hizo mali lione ety mtu yoko kwenye sala linamfyonza hivi unafikiri huyo MUNGU nimchawi mwenzio kione kilivyokuwa sura imekishuka kama chapati iliyoungua kwenye flamben hata hakijui kilizaliwa na nan, mapua yamekipanuka ka makamatio ya mikasi

    • @ZurfaKhamisi
      @ZurfaKhamisi 9 หลายเดือนก่อน +1

      😅😅😅😅😅 nimecheka ad Kwa sauti jaman maana so Kwa mipua iyo😢

    • @lidiasaumu7116
      @lidiasaumu7116 8 หลายเดือนก่อน

      umejua kunichekesha😂😂😂😂😂😂

    • @lidiamageta9958
      @lidiamageta9958 8 หลายเดือนก่อน

      😂asante😂😂😂😂

  • @barakajafari7575
    @barakajafari7575 8 หลายเดือนก่อน +10

    sijawai kutowa pongezi lakin hiyi imenigusa sana hongelen sana kwa kazi nzur

  • @damarismomanyi4818
    @damarismomanyi4818 8 หลายเดือนก่อน +131

    Uyu mama na mtoto wake wanaonea loveness wangapi wanapenda loveness like zake jamani

    • @VanisyJonathan
      @VanisyJonathan 7 หลายเดือนก่อน +1

      Wazaz Kam huyo mama Huwa wanatengeneza bomu ndan ya nyumb na likilipuka hushindw pa kukumbilia

    • @FaithAMBETSA
      @FaithAMBETSA 4 หลายเดือนก่อน +1

      Bana n laana

    • @FaithAMBETSA
      @FaithAMBETSA 4 หลายเดือนก่อน +2

      Wamama aki kuwe na utu

    • @laddyfaida
      @laddyfaida 4 หลายเดือนก่อน +1

      Mimi hapa

  • @KhumboLyzer-gz4sk
    @KhumboLyzer-gz4sk 3 หลายเดือนก่อน +3

    Maya wew n mzuri ila nampenda sana loveness na Mama wa kambo ni wabaya. Maya lilia haki yako ajue baba yako ninan

  • @alexngamilaga7359
    @alexngamilaga7359 9 หลายเดือนก่อน +4

    Mmeleta ngoma kali sana ,big up donta tv

  • @NimbonaUdhaifa-jw2lo
    @NimbonaUdhaifa-jw2lo 8 หลายเดือนก่อน +6

    Wachezaj wote wanao cheza kwenye donta TV na mpenda sana loveness na mkurugenzi wawo ❤❤❤❤

  • @dannymodestyamungu7775
    @dannymodestyamungu7775 9 หลายเดือนก่อน +16

    Victoria yaani nikikutana na wewe nakuowa maana Leo umetoka kinoma noma.

    • @florencekanze
      @florencekanze 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

  • @موكاء-ظ9ج
    @موكاء-ظ9ج 9 หลายเดือนก่อน +4

    Dadaa wa kazi ❤❤ very nice 👌

  • @chiitvshow7940
    @chiitvshow7940 5 หลายเดือนก่อน +4

    Jamani hii movie 🎬 🎞 🎥 nimeipenda sana yeah is nice 👌

  • @MussasamliMawazo
    @MussasamliMawazo 8 หลายเดือนก่อน +12

    Safi sana Vitoria wakili umeona mbali pambania haki ya lavines

    • @LeilathHassan
      @LeilathHassan 5 หลายเดือนก่อน

      Naupenda San kazin zen

  • @SiwemaJohn-o5d
    @SiwemaJohn-o5d 2 หลายเดือนก่อน +4

    Love nimependa uigizaji wako❤❤saana

  • @OmanOman-y7z
    @OmanOman-y7z 9 หลายเดือนก่อน +4

    Hongeleni sanaa kwa kazi nzur 🎉🎉❤❤❤

  • @furahaeto6193
    @furahaeto6193 7 หลายเดือนก่อน +5

    Nikweli uyu mdada movie zake kweli nzuri mno zinanifuza kujuwa kuishi nawatu wanafki ❤❤❤❤

    • @laddyfaida
      @laddyfaida 4 หลายเดือนก่อน

      Kabisa

    • @MarryHenjewele
      @MarryHenjewele 2 หลายเดือนก่อน

      😢😢 22:20

  • @Nadzuamwatsenze
    @Nadzuamwatsenze 9 หลายเดือนก่อน +6

    Kz nzuri sn 🎉🎉🎉🎉

  • @AlphonsinaSilayo-ff3pe
    @AlphonsinaSilayo-ff3pe 8 หลายเดือนก่อน +4

    Pole sana love huyo mama wa kambo mbaya anaroho mbaya

  • @WahdaMabulah
    @WahdaMabulah 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nampenda dad lovenes na kaka kelvn Ila wote nawapenda Ila so ni my favorites

  • @LikuShinji
    @LikuShinji 8 หลายเดือนก่อน +6

    Love ninampenda 2 yaan hakuna zaid ya hawa vitu

  • @Kelvin-en2pv
    @Kelvin-en2pv 9 หลายเดือนก่อน +9

    Nakupenda sana loveness uwe na roho kaa hiyo

  • @Aishaynah_innah
    @Aishaynah_innah 8 หลายเดือนก่อน +5

    Shangaz unajua kunikosha kila nafas uko vzur ❤

  • @YunissMeshack
    @YunissMeshack 9 หลายเดือนก่อน +16

    Loveness Naomba uwe na rohoo iyo iyo ata uko unako ishi day 😢

  • @husnamwijaka
    @husnamwijaka 7 หลายเดือนก่อน +2

    Nampenda sna loveness namhurumia alaf

  • @Karembo-yx5ut
    @Karembo-yx5ut 9 หลายเดือนก่อน +9

    Kaz zenu ni nzuri akh ❤❤❤

  • @JamesGichunge-i8r
    @JamesGichunge-i8r 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kwel lovenes keep it up... nakupeda sana

  • @SuzanyJohn
    @SuzanyJohn 9 หลายเดือนก่อน +31

    Kelelee ya kwanzaaa kwa Victoria wakeeeeeeeee

    • @maryNdakidemi
      @maryNdakidemi 8 หลายเดือนก่อน +1

      Weeeéeeeeeeee😂😂

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 9 หลายเดือนก่อน +6

    Tujifunze walezi tujifunze wamama na wababa rohombaya haijengi

  • @LovenessJames-r9l
    @LovenessJames-r9l 9 หลายเดือนก่อน +46

    Nimeshapata chakuangalia nilikuw naranda randa uku jmn😂😂

    • @RizikiZiki
      @RizikiZiki 9 หลายเดือนก่อน +1

      Pole sana 😂😂

    • @Prettyprecious-u5j
      @Prettyprecious-u5j 9 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂 kama Mimi jamani

    • @MaombiPeter-j5g
      @MaombiPeter-j5g 9 หลายเดือนก่อน +1

      Nimepata mwenzangu😂😂😂😂

    • @LovenessJames-r9l
      @LovenessJames-r9l 9 หลายเดือนก่อน

      @@Prettyprecious-u5j ndy jmn

    • @LovenessJames-r9l
      @LovenessJames-r9l 9 หลายเดือนก่อน +1

      @@RizikiZiki asantee jmn

  • @MussasamliMawazo
    @MussasamliMawazo 8 หลายเดือนก่อน +3

    Usijali lavines Mungu atakua upande wako mambo yatakuwa poa kwako muda si mrefu

  • @joycemuenimutua4506
    @joycemuenimutua4506 9 หลายเดือนก่อน +8

    Wa mwisho leo, loveness nakupenda tu bure 🇰🇪

  • @CizaFrancine-
    @CizaFrancine- 9 หลายเดือนก่อน +6

    Nzuri sana ❤❤❤

  • @BrianKhan-nq7ob
    @BrianKhan-nq7ob 9 หลายเดือนก่อน +10

    Hata leo mm pia nina haki ya kupewa like

  • @ChanceAkonkwa
    @ChanceAkonkwa 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu awa bariki awape mwisho muzuri kuliko mwanzo

  • @sportstartv3781
    @sportstartv3781 9 หลายเดือนก่อน +6

    Sitaki kuwa wa kwanza wala wa mwisho... mimi nataka namba ya Loveness tu inatosha

  • @MercyMercy-l1k
    @MercyMercy-l1k 9 หลายเดือนก่อน +2

    🎉🎉🎉🎉whaauuuii kazi zurisana

  • @SmilingBird-fi9sj
    @SmilingBird-fi9sj 8 หลายเดือนก่อน +4

    Nyote nawapenda mumeeigiza vizuri

  • @RahmaNgombo
    @RahmaNgombo 5 วันที่ผ่านมา

    hongera lavu nimekupenda sana,

  • @Anastazia-rq4wf
    @Anastazia-rq4wf 9 หลายเดือนก่อน +5

    Kazi nzuri 🎉

  • @LolimoLialo
    @LolimoLialo 8 หลายเดือนก่อน +2

    Uyo love alimloga Kelvin Kwene mkanda wa dada WA kazi

  • @YusuphyKalebu
    @YusuphyKalebu 9 หลายเดือนก่อน +5

    Mama wa kambo katili sana huyo amemfukuza loveness baada ya kuwaona mkiingia ananataka huyo malaya mwenzake amiliki mali za babake love hawafai kabisa wanamnyanyasa sana huyo dada

    • @laddyfaida
      @laddyfaida 4 หลายเดือนก่อน

      Daaah dunia iiiii😢

  • @EsterNambeye
    @EsterNambeye 9 หลายเดือนก่อน +5

    Yani nyie wa mama wakambo mungu anawaona

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 9 หลายเดือนก่อน +4

    Eeeeh uyo mm wa kambo kiboko unasema uongo namutu ukonae ndani 😢pole yenu kweli angetoka kwanza ukaaibika pole sana lavenesi Vicky umeongea ukweli afwatiliye kabisa

  • @JescaSimon-sg3rt
    @JescaSimon-sg3rt 8 หลายเดือนก่อน +11

    Balaa wamefanana sana

  • @elvinakalu6991
    @elvinakalu6991 9 หลายเดือนก่อน +3

    Iko sawa sana ❤❤❤❤

  • @naomimzava9371
    @naomimzava9371 8 หลายเดือนก่อน +5

    Jaman wamama wakambo achen roho baya ujuwe mtoto wamwezio niwako mungu hapendi jaman pia nilan kunyanyasa WATOTO

    • @laddyfaida
      @laddyfaida 4 หลายเดือนก่อน +1

      Safi sana

  • @ashaali1343
    @ashaali1343 9 หลายเดือนก่อน +10

    Muna roho mbaya mama wa kambo sio wote lakini

  • @SilviaDirecto.
    @SilviaDirecto. 7 หลายเดือนก่อน +9

    mungu saidia watoto mayatima

  • @gogoloveofficial5666
    @gogoloveofficial5666 9 หลายเดือนก่อน +8

    Love from GOGO LOVE OFFICIAL TO BURUNDI 🇧🇮

  • @sylvanjosam3402
    @sylvanjosam3402 9 หลายเดือนก่อน +4

    Mama watoto na komwe hilioooo hawo wakambo nawachukia sjuih😢

  • @GraceKenya-i4j
    @GraceKenya-i4j 3 หลายเดือนก่อน +1

    Vicky uko swa kila pande mama 🎉🎉🎉🎉🎉 🇰🇪🌺

  • @FlorahKapinga
    @FlorahKapinga 5 หลายเดือนก่อน +3

    olalala nmependa sanaa❤

  • @DicksonKimoso-ds4xw
    @DicksonKimoso-ds4xw 9 หลายเดือนก่อน +5

    Kwenye maisha tusiwanyanyase watoto ambao hawana wazazi na pia tuwajali sio kuwateza

  • @lukamavoice5377
    @lukamavoice5377 9 หลายเดือนก่อน +6

    Hivi ya leo nimeelewa sana

  • @OmmyDseven
    @OmmyDseven 9 หลายเดือนก่อน +3

    Mama wewe nimekupenda ble Yaan uko uwalisia kabsa

  • @MariamHamduni
    @MariamHamduni 8 หลายเดือนก่อน +10

    Lovenes mung akupe nguv ❤❤❤❤ jmn duh

    • @julianabenjamin8621
      @julianabenjamin8621 7 หลายเดือนก่อน

      Eyr and a very good guy who is a very good guy and is the best 👌 👍 😍 🥰 ☺️ 💖 👌 👍 😍 the first one that I love and all that ❤️ 💙 💖 💕 😘 💗 ❤️ 💙 💖 💕 😘

    • @laddyfaida
      @laddyfaida 4 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa 😢❤

  • @joanitainancioestevao3987
    @joanitainancioestevao3987 9 หลายเดือนก่อน +2

    Nakupenda sana dd vitória na laviness ❤❤

  • @amosjuma9794
    @amosjuma9794 9 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi nzuri🙏🙏

  • @Kinyua-ye8kk
    @Kinyua-ye8kk 9 หลายเดือนก่อน +12

    Mwanamke mbaya wadanganya waziwazi kbisa

  • @meddyferdinand8221
    @meddyferdinand8221 9 หลายเดือนก่อน +7

    Shangazi kila sehemu we mchungu tuu ata sura yako yafanana na matendo jaribu kuvaa uhusika wa huruma ata siku moja basi loh

    • @madazee4251
      @madazee4251 8 หลายเดือนก่อน

      Kabsa kila sehem roho mbaya eeh labda ndo venye alivyo reality

  • @carolinesiakora3024
    @carolinesiakora3024 9 หลายเดือนก่อน +3

    Diana 🎉🎉kazi zako nzur sana

  • @BeatriceGeorge-iv3gx
    @BeatriceGeorge-iv3gx 9 หลายเดือนก่อน +4

    Dyana anajua sana❤❤

  • @ENOCKTVSHOPSHOP
    @ENOCKTVSHOPSHOP 9 หลายเดือนก่อน +6

    REO nimekuwa wa5 naomba Like

  • @Emmanueloloishiro
    @Emmanueloloishiro 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mama Mmbaya kaficha love

  • @LazaroKereto-xc4zr
    @LazaroKereto-xc4zr 9 หลายเดือนก่อน +12

    Da Mungu awabariki sana ❤❤❤

  • @jumaAyub-m4b
    @jumaAyub-m4b 9 วันที่ผ่านมา

    Kaz nzuri Sanaa

  • @smartdiamondOfficial
    @smartdiamondOfficial 9 หลายเดือนก่อน +13

    nilikuwa nataka kuzima data sizimi tena mana nilikuwa sion chakuangalia

  • @Raysel-one.
    @Raysel-one. 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mm je hamnipi like❤❤❤❤

  • @reginaIssa-m2j
    @reginaIssa-m2j 9 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤ nzuri sana 🔥

  • @mariamabdulla7868
    @mariamabdulla7868 3 หลายเดือนก่อน

    Imefika sku ya kufa nyani miti uteleza😂😂😂😂😂😂 my friend lovenes tulia❤❤❤❤

  • @furahaeto6193
    @furahaeto6193 7 หลายเดือนก่อน

    Iyo macho ya lovenes naipenda mno ❤❤

  • @MishiGambo
    @MishiGambo 8 หลายเดือนก่อน +1

    Muko vizur sana Allah amuongoze

    • @queengirl-km1yh
      @queengirl-km1yh 7 หลายเดือนก่อน

      Loveness anajua. Kuigiza nataman hiyo nafas ingekua yang

  • @MwanaishaChileta
    @MwanaishaChileta 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaa Allah muko vizuri 🎉🎉🎉🎉

  • @laddyfaida
    @laddyfaida 4 หลายเดือนก่อน

    Na mimi na mpenda sana tena sana❤❤❤

  • @aligeslivingstone4046
    @aligeslivingstone4046 7 หลายเดือนก่อน +1

    Napenda sana ,nafuatilia kutoka Kenya

  • @halifaalhabsi9883
    @halifaalhabsi9883 หลายเดือนก่อน +1

    Victoria chukuwa 💯 kwa 💯 ❤

  • @MariamRashidi-n7u
    @MariamRashidi-n7u 9 หลายเดือนก่อน +2

    Hatari kbs🎉🎉🎉😢😢

  • @Emmanueloloishiro
    @Emmanueloloishiro 9 หลายเดือนก่อน +3

    Wao mtoto ana omba ameni pentasa sana Mimi alafu uyo mama nitahira kweli

    • @MarryHenjewele
      @MarryHenjewele 2 หลายเดือนก่อน

      Ndio uyo ajitambui

  • @PillyEliasa
    @PillyEliasa 6 หลายเดือนก่อน +1

    Jaman hili maya lina roho mbaya 😏 sijawahi kumpenda 😢

  • @MlongoChai
    @MlongoChai 9 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu azidi kutenda myuujiza

  • @mukamanaesperancesrhope4357
    @mukamanaesperancesrhope4357 8 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana kwenye kazi nziri yaani mmetuatia somo nzuri❤

  • @GhaniaNassor
    @GhaniaNassor 5 หลายเดือนก่อน

    Uyu mama na mtt wake Wana roho kubwa duh jaman lovenes wangu ❤ maskin

  • @FamilySingers96
    @FamilySingers96 9 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi nzurii

  • @furahaeto6193
    @furahaeto6193 7 หลายเดือนก่อน

    Jamani mimi niwakwanza kumupenda uyu dada ❤❤❤❤🎉🎉

  • @appsplay4324
    @appsplay4324 9 หลายเดือนก่อน +4

    Kaz nzur ❤❤❤

  • @FatumaMwidini-se7sz
    @FatumaMwidini-se7sz 9 หลายเดือนก่อน +2

    Sem iihh muv inafundisha sana

  • @-GloriaObonyo23
    @-GloriaObonyo23 9 หลายเดือนก่อน +4

    Nawapenda Bure ❤❤❤
    Ila sijapendezwa na vile Lovess kadhurumiwa!

  • @beatriceachieng3933
    @beatriceachieng3933 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mama na mwanao maya mwache kumchukia lovely kiasi hicho

  • @KhadijaKhadija-jh9of
    @KhadijaKhadija-jh9of 8 หลายเดือนก่อน +6

    Nimeipenda sana

  • @HellenaYuda
    @HellenaYuda 8 หลายเดือนก่อน

    Job nzur mnafanya hongereni xanaaa

  • @AlamunyakMakeku
    @AlamunyakMakeku 9 หลายเดือนก่อน +3

    Eeee kweli hii ni🔥🔥🔥🔥🔥

  • @MaryamNurru
    @MaryamNurru 9 หลายเดือนก่อน +4

    jameni move nzuri

  • @AsmaRamadhani-ok6iv
    @AsmaRamadhani-ok6iv 9 หลายเดือนก่อน +6

    Vai na maya wanafanana au ni mtu mmoja

    • @BrianKhan-nq7ob
      @BrianKhan-nq7ob 9 หลายเดือนก่อน

      Kumb naww umljua hlo nilisani nmm peke ndo naona hvo

  • @BatolBatol-e9m
    @BatolBatol-e9m 4 หลายเดือนก่อน

    Mm nampenda sana loveness❤

  • @LazaroKereto-xc4zr
    @LazaroKereto-xc4zr 9 หลายเดือนก่อน +1

    Da Mungu awabariki sana ❤❤❤

  • @AgnesMwende-p9w
    @AgnesMwende-p9w 9 หลายเดือนก่อน +4

    Diana hpo Kwa mama wa kambo unaaweza

  • @JanetRiziki-ut2is
    @JanetRiziki-ut2is 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ukiamini yote yanawezekana usichoke kuomba mungu loveness kila kitu kitakua sw

  • @Zahra-i5h6k
    @Zahra-i5h6k 8 หลายเดือนก่อน +2

    Wow nice ❤️