Halafu kelvin duh wewe ninoma sanaa unamfwatilia sanaa suzy upate ukweli mr d anadit na suzy ama lisaa patam hapa halafu humuambii kitu chochot jarufu 😅😅😅 kelvin kiboko sanaaa
Lisa Siku utakuja kukamatwa mamako akajua vyashala Yako atakuchukia WE mtoto nakwambia 😢😢😢hahahah eti Mmewangu 😂😂😂😂😂😂😂 kwani WE risa umeoana na jarufu au? 😂😂😂😂😂
Aya leo nimewahisha nipeni maua yangu 🥰🥰
🎉🎉🎉🎉 hayo hapo baba mnajua kunifurahisha jmn❤❤❤🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤🇰🇪🇰🇪
🌹🌹🌹🌹🌹🌹
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤( Ila Sasa vip mwendelezo wa BABA KIJACHO kuanzia ep ya 6na PEPO LA NGONO EP ya 3 jmn 😢😢😢😢
🎉🎉🎉🎉🎉
Kiufupi kelvin ni MTU mwenye anaushauri sana but anaeshauriwa hajali . Kama unaangalia before I meet you ukiwa umelala tujuane kwa like❤❤❤🎉
Izi nyimbo naona anayeimbaga ni kelvin mwenyewe... hongera sana,
Kumbe uliwaza kama mm
@GreceSianga sauti nmeisikia
Yeah ni sauti ya kevii kbsaa
Ni yeye ndio
Bila Shaka sauti yake haipotei tushamzowea sasa😅
Hogereni sana maana siku Moja kazi mbili hongera sana kelvin na kundi lako 🎉🎉🎉🎉
Si Lisa amfumanie mr d apate sababu ya kumuacha,😂😂😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪
kama upo akilini kwangu vlee
Itakuwa nafaida gani alikula baba na mwana
@MalkaNinik tunahitaji ajue coz anafanya hivo kwa kutokujua kuwa jarufu na mr d ni mtu na mtoto ake
@@MalkaNinikitakua ni kitu cha kushangaza japo hakufanya kwa makusudi 😂
@@MerudaSangajapo kweli anampenda ina maama hajui anaitwa jarufu Nani... 😂
Leo nimechelewa kiasi ila ❤🎉❤kutoka kenya 🇰🇪 ❤❤
Future billionaire anasoma comment yangu🥳🥳... Barikiwa sana. Movie nzuri Wana Donta Tv, keep going ❤️
Amen🙏
Amen
Makopaaa😍😍😍 Mengii Kwa Kelvin Wakeeee😘😘😘😘😘😘😘😘😘
❤❤❤❤❤❤❤❤
Shida nyumba njaa tumboni riziki yaeumbwa miguuni mwake.................. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Biashara ya kudanga haina faida suzi na love 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤🇰🇪
That's great munawaisha adi raha maua yenu mpokee 🎉🎉🎉
Kevin nainjoy the way unaigiza unajuwa sana kaka upewe mauwa yako🎉🎉🎉🎉🎉❤
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
Kelvin mwaka wako huu Yan tukigeuka kitu hatujakaa vizur kitu ngingne keep it up
Haki sijapenda ple me d mmefanya na huyu rafiki wa Lisa kumbe Kuna marafiki wanafiki ple no sijapenda.😂😂
Wa tano Leo kutoka 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 iko 🎉🎉🎉🎉
Napenda kaz zako kelvin zinafundisha saaanaa kwenye hii duniaa
Ila kelvin n m’mbea kinomanoma ila umbea wake unasaidia 😂😂unajuwa sana Smith Julius hongera🎉🎉❤
Km cheusi😅
Mda wote anapenda kuzulula kelvin jamn
Nami niwangapi jamani 🇰🇪 I love it ❤❤
Hongera sn tim Kelvin ❤❤hogera zenu Tim strong Tim ghalfu 💪💪💪 nawatakia mafanikio mema🤲🤲
Bichwa linavimba akiitwa mume wangu mapenziiiii dah nimabaya sana !!!!😂😂😂
Mama love mrembo kushinda mtoto wake mashallah ❤🎉
Kazi nzuri nawapenda sana ❤️💕
Kev uko vzr san brother❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hongereni kwa kuwahisha kazi nzuri❤❤
Mama wa Love kafanana na amina adi ongea yake😂
Atakuwa ni mama yake
Hii comment nlikuw natafta mud mrefu
Wewe Julius umezidi kwa kuchunguza❤❤❤🎉🎉🎉
Kwenye haya maisha nauamini moyo wangu tu hakuna urafiki😢😢😢😢😢
Wow mkia niko apa kazi nzuri sana
Nimejaribu kuwa top ten nawapenda sana wana donta tv
Na nyingine muwaishe Kaz nzuri sana
Jaman name nimekuw wamwisho naomba like hata 5
Naipenda kazi yenu ata mm natamani niwe ivyo nashindwa sina uwezo
Ningepata sponsor kma Mr.D ningenenepa atari,afu loveness acha kutoa mambo yko mengi kwa huyo suzzy aaaaaaaarg
😂😂😂😂😂kelvin unacheza vizuri sana unachunguza kiundani bila Jarufu kujua aty wataka number ya suzy😂😂😂
Hongereni sana..hatimaye mnaleta kwa wakati
❤❤❤❤tunawapenda tupo Oman 🇴🇲 ♥️ ❤️ 🎉🎉🎉🎉
Kelvin acha umbeya wewe mwenyewe jambo usiolijuwa sawanausiku wakiza malizako zinaliwana babu😂😂😂😂😂😂
Kazi nzuri sana nawapenda sana wana donta
Mm nilijua2 km suzy atakuw ana tamaaaa2🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Halafu kelvin duh wewe ninoma sanaa unamfwatilia sanaa suzy upate ukweli mr d anadit na suzy ama lisaa patam hapa halafu humuambii kitu chochot jarufu 😅😅😅 kelvin kiboko sanaaa
Wa mwisho kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪
Huyu mama mzuri mashallah ❤️
Mr d una honga sana baba.... punguza kuhonga ...😅😅😅
😂😂 Et umenikumbusha Mm Ndio Times keeper ❤🎉🎉🎉🎉🎉
Mnazidi kunikosha roi🇧🇮🇧🇮🇧🇮💯💯💯💯💯❤️❤️
Wimbo ni mtamu sana❤❤❤🎉
Kelvin 😂😂😂umbea wako jamani umenishinda tabia jamani😂😂😂
😂😂😂😂😂😂Kelvin kweli watosha maua yako haya 💐💐💐💐💐💐🤗hongera
bon travail frère Kelvin tuna kufata tangu DRC bro
Congratulations team Kelvin khan🎉❤🇰🇪
Yaan kelvin kweny hii movie umekuwa na ushauri pia ni umekuwa mbeya hatari daaaaa😅😅😅😅😅😅😅😅
Kazi Iko sawa kabisa 🎉 Kenya
Kazi safi sana ❤❤❤
Loveness❤ kelvin Khan❤❤
Mimi wa pili toka Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Asant nime fulai sana ❤❤❤🎉🎉
Wow Leo nmewahi😊
Loveness umechezwaa ila yotee sawaa.....tunasubiria episode 12
kelvin mwanaume shujaa namkubari sana jarufu nampa pole
Wow that's good 🎉🎉🎉🎉
Wow good job guys 🎉🎉🎉
Kaz nzur sana inafundisha
Courage ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Wa kutoka congo tujuwane 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
hawa wasichana wame changanyikiwa na maisha pesa yahalaka mutakufa bure😂😂😂😂
Sauti ya nyimbo ni kelvin kabisaaa
Lisa Siku utakuja kukamatwa mamako akajua vyashala Yako atakuchukia WE mtoto nakwambia 😢😢😢hahahah eti Mmewangu 😂😂😂😂😂😂😂 kwani WE risa umeoana na jarufu au? 😂😂😂😂😂
Ivi uyu Julius mwamuelewa kweli mm nlichogundua anawivu na Lisa wake 🎉🎉 kma mwaamin ilo nipen likes atak na mke wake😂😂😂
Before I met you,,,❤❤❤❤❤❤
July ndo time keeper😂😂😂
Kabsaa😂
Mahali salama hapa😂🎉🎉
Jaman mnaoombaga like Huwa mnazipelekaga wapi mniambie na Mimi nizipeleke
Kelvin nimshari san kwa kumchokoza jarufu😅😅😂
Ila Julie unanichekesha eti sai amelala wacha tu tusimuamshe na umepatana naye😄😄
Wimbo❤❤❤❤❤❤❤ Kelvin ❤❤❤❤❤
Weeeuh Liz anavunja recodi 😂 and this is the real Life 😅
Mnafnya Kwel au Michezo 😮😮😮😮
Ila Mr d amezidi kuhonga jaman ndoman anamtia tamaa lisa 😊😊😊
Uyu mama hawezi uharisia
Nimewai Léo WA kwaza🎉🎉🎉
Nice movie 🎉🎉🎉🎉❤❤
Kelvin kazi nzuri sana
Kelvin we hujui mapenzi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 jaruf 🙌🙌🙌
Mashallah ❤❤❤❤
ila kevi jaman nimecheka sana eti mi mwenyw nahis ashaalala saiz ata usimsumbue😅😅
Kevin etingoja nihakikishe ❤❤❤❤❤
Kazi nzuri
Afu kweli hilo wigi halijakupendeza 😅😅😅
Mko vizuriiii ila nyimbo zinaimba mda mrefu jamaniii 😂😂😂
ILa Kelvin na Jarufu mnamambo😂😂😂😂😂
Yani kelvin ananipara raha sana 😂😂😂😂 wee kazi unayo kaka🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Sijapenda kelvin hapo veny umeongea na shemej yako lisaa natak kujua mmeongea nini ama ulikuwa unamtongoz
Saluti kwenu kazi nzuli sana inaelimisha
Kelvin we mmbeya kwel yaan ❤❤❤❤
Ilo sauti la Lisa anavoongea na jarufu kama wapo nyumba moja 😂
Yani Kevin ananchekesha sana kaamua kuchunguza😂😂😂😂
Good donta tv
Watu mnakimbilia likes hadi mnaandika mathogothanio😂😂😂Kuja pole pole Ala..sasaukiandika namikuwe wakanza nipi like ndio nini hiyo😢😂😂
😂😂waambie wasikie, eti anakimbia kuanguka Kisha like😂😂
@violetnyakweba1646 😂😂😂
Ila mama lavnes kafanana na amina
Hata uongeaji wake
Kelvin mauwa yako❤❤❤❤❤❤
Kelvin é muito fofoqueiro 😂🇲🇿