Faces of Kenya: A Real Life Story of a Kenyan Domestic Worker in Saudi Arabia | Tuko TV

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
  • A real life story of a kenyan woman in Saudi Arabia for Faces of Kenya on Tuko TV. Unemployement in Kenya as country gets most Kenyan youths especially vulnerable girls to seek job opportunities in the countries in the middle east. Maria Mmboga now a gospel music artist was one such kenyan who escaped a life of torment in Saudi Arabia. She narrates her ordeal in this middle eastern country.
    Subscribe to Tuko TV on TH-cam: goo.gl/y8QBbm
    __
    Top-5 | Tuko TV - Kenyan Top List - bit.ly/2G2RR75
    Would you like to be the first one to know the latest news about Kenya and Africa? Tuko TV can definitely make it happen. These top 5 videos contain the most interesting and shocking data on politics, sports, medicine, residents of Kenya, and many other important facts about the country. The Kenyan Top List contains the most shocking miracles by African pastors, the most surprising facts about Kikuyu people, and even medical miracles achieved by the Kenyan Doctors! Save this playlist to get an access to the Kenya Best Lists and stay updated with the latest stories and trends in Kenya.
    Entertainment news in Kenya | Tuko TV - bit.ly/2G0C1JX
    In this playlist, you can find the best Entertainment news in Kenya. Do you want to hear about the latest celebrity news in Kenya and Africa? Tuko.co.ke has collected the most intriguing and fascinating Kenya news that will leave you speechless. Do you want to find out why Kenyan women cook “maini” for their husbands? What is a female condom and how to properly use it? Save this playlist and be the first one to find out all of the answers!
    Special projects of Kenya | Tuko TV - bit.ly/2Iu6ntz
    Are you ready to hear the most horrific facts of Africa? Tuko.co.ke is ready to present you the most interesting documentaries and stories that recently happened in Kenya. Watch the people telling stories about child marriages, small businesses ideas, gender violence, and many other important topics among Faces of Kenya. Do you want to hear a story of a Kenyan domestic worker in Saudi Arabia and find out how a Kenyan man is spending millions to change his gender? Save this playlist and stay informed about all of the latest updates and topics in Kenya.
    Current affairs in Kenya | Tuko TV | Kenya News - bit.ly/2IdnUTO
    In this Tuko.co.ke playlist, you can find all of the current affairs in Kenya! It is full of the latest news from Kenya, including politics, scandals, reactions, and statements. Do you like watching people’s reactions and opinions on different life situations? Are you interested in being the first one to share the news of Kenya among your friends and family? Save this playlist and be updated on every major situation and problem happening In Kenya at this very moment.
    Tuko BUZZ | Tuko TV - bit.ly/2KRtFIb
    On Tuko BUZZ, you can find the latest collection of Kenyan music news and facts. This playlist will come in handy for all of the music lovers out there. We explicitly created this playlist on Tuko.co.ke to help you stay informed about all of the influential Kenyan singers, including their relationships, family lives, marriages, and life crisis. Do you want to know what is going on with your favorite Kenyan artists today? Save this playlist and stay informed on the popular Kenyan artists and their lives at the moment.
    __
    Connect with Tuko TV Online!
    Site Tuko: www.tuko.co.ke/
    Follow Tuko TV on Facebook: / tuko.co.ke
    Follow Tuko TV on Twitter: / tuko_co_ke
    Tuko Lifestyle: / @tukoextra
    __
    Visit TUKO’s official TH-cam channel to get today’s breaking news, latest and most relevant updates, most pressing issues in Kenya, Nairobi news, entertainment news, sports news. #tukotv #tukonews #tukocoke #

ความคิดเห็น • 1.7K

  • @sheilanafula768
    @sheilanafula768 6 ปีที่แล้ว +55

    Mmmm siezi sema anadanganya au anasema ukweli,manake anajua mwenyewe ukweli ni upi na uongo ni upi!Am in saudia 4yrs hv just started the first month of a 5th year,but i have never even seen a snake live...through i have never worked in remote arears,but wat i have passed through is mistreatments hv gone to my office 2 tymes and gone to solve in police station 1tyme and also hv been arested 2 tymes being released.I just pray God to protect me from more evils and keep me save because i still need more chance to work in saudiarabia.Saudi has changed my life...So help me God🙏

    • @leilaayimba8018
      @leilaayimba8018 4 ปีที่แล้ว +2

      Anadanganya

    • @scovyaporsha777
      @scovyaporsha777 4 ปีที่แล้ว +1

      @@leilaayimba8018 A few minutes into the interview I knew she was lying. Glad people saw through that as well. May be ni story ya mtu mwingine

    • @nyapambonyakadongo9814
      @nyapambonyakadongo9814 4 ปีที่แล้ว +1

      Mimi haki nashangaa hawa watu wanaema zitu zingine haki.Am just shocked.Mwarabu hawezi chapa mkenya.
      Kwani ulikuja kufanya nini ukose kupewa pasa uiiangalia.Mtu akalie pesa yako ukiangalia nini?

    • @essyjaredkinuthia6745
      @essyjaredkinuthia6745 4 ปีที่แล้ว +2

      Hiii story ni ya guess,,esh hatha

    • @rianissabellah2412
      @rianissabellah2412 4 ปีที่แล้ว

      Can you look a job for me where is safe please

  • @fatoumatadiarra8437
    @fatoumatadiarra8437 6 ปีที่แล้ว +176

    Why can’t you write the translation in English for more people to be informed and warned. Thanks

    • @romeonaananiraboiye2121
      @romeonaananiraboiye2121 5 ปีที่แล้ว +3

      My brother or sister, what do we need. African countries have gold diamond oil timber cocoa coffee uranium . Unite bring yourselves together. Cater for the people's need 1st . What is 1st humans need? Food, shelter , Medicine education. Most most especially shelter and Education which scatters all most and every Family

    • @elimasydywaivy7801
      @elimasydywaivy7801 5 ปีที่แล้ว +3

      My condolences to the families of our late sisters worked in gulf and killed innocently always saudi is un bearable country but i wonder y our prezoo accepts again my fellows to go work in saudi may god have mercy on those animal pple

    • @شيخهالزويد-ط8ز
      @شيخهالزويد-ط8ز 5 ปีที่แล้ว

      If yu cannot go middle East cos salary ni 20k it depending mi nafanyia hizo na my kids were in school wahuna humbira nda gikuyu ni gia kiunuhu

    • @jordanfromyt2861
      @jordanfromyt2861 4 ปีที่แล้ว

      Fatoumata Diarra ur right ooo

    • @elimasydywaivy7801
      @elimasydywaivy7801 4 ปีที่แล้ว +2

      @@lammohreports not only zombies but mad zombies

  • @skemunto7649
    @skemunto7649 6 ปีที่แล้ว +240

    You guys claiming that she's lying😏were you there with her?? Did you stay with her in the same house in Saudi Arabia,, Kenyans though😏 ama mnataka CCTV footage so that you finally believe that she was mistreated?
    Anyway, this saudi Arabia thing has to stop, fanyeni kazi hapa Kenya yetu,

    • @raptureceballos5917
      @raptureceballos5917 6 ปีที่แล้ว +7

      Thee spence you sound ignorant kenya can a maid be paid 30k 0r 40k so crawl under your rock..

    • @skemunto7649
      @skemunto7649 6 ปีที่แล้ว +4

      logan sanchez so why crave to be paid a mere 30k under mistreatment, your priorities though

    • @raptureceballos5917
      @raptureceballos5917 6 ปีที่แล้ว +1

      You know mistreatment is in kenya too so lets blame arabs who make us build houses with their money

    • @skemunto7649
      @skemunto7649 6 ปีที่แล้ว +4

      logan sanchez seems like these Arabs have done a great deal in your life ,enjoy! Signing out

    • @raptureceballos5917
      @raptureceballos5917 6 ปีที่แล้ว

      Ya Thee am rich coz of them and so millions kenyan men so lets generalise the arabs countries

  • @Amishjuma
    @Amishjuma 6 ปีที่แล้ว +34

    Mimi hulipwa on 26th iswear hakuna mahali naweza sema mshahara wangu ilikuwa noma kulipwa nashkuru mola.

  • @anitaparks8945
    @anitaparks8945 4 ปีที่แล้ว +7

    I am originally born/raised in Germany. Immigrated to the USA,met Filipino nurses here that told stories of some of their people working in Saudi Arabia.
    Told stories about being looked down on and degraded,disrespected. Kinda like Saudis think they are better/superior ect.than others.
    DO NOT work for them if at all possible !!

  • @estheronyoro1452
    @estheronyoro1452 6 ปีที่แล้ว +66

    Uku nikuomba mungu tu 🙏

  • @josieluis8416
    @josieluis8416 6 ปีที่แล้ว +108

    This happened to me too in Saudi ..I thank God nlitoka kwa Hiyo nchi nkiwa hai🙏

  • @Saba1njiru
    @Saba1njiru 5 ปีที่แล้ว +6

    They close the fridge with a padlock 🔐 and chain. Waarabu very selfish people. Kenya 🇰🇪 is a country where you have to pay your workers. We treat them very good. My grandma who was my everything showed me to treat mama wa kazi like my mommy. If you have a house mom you still have to wash dishes and clean your house yourself. People abuse these mums because they’re evil and they’re taking advantage and abusing the system. We all belong to the same God and nobody has to suffer from another human being. We all want a good life and happiness.

  • @annwanjiku9808
    @annwanjiku9808 5 ปีที่แล้ว +11

    Y'all here claiming she is lying,,mkishafika mnatusumbua na oh help me,sijui nini

  • @Keepus
    @Keepus 4 ปีที่แล้ว +14

    Kenyans seriously at this time and age our people are still being exploited for slavery, we need to stop this ASAP. We better believe in ourselves,work harder, create opportunities for ourselves and children, if you have to create your own business do it, or better your talents than going for this deadful jobs.

  • @shirujoseph5321
    @shirujoseph5321 6 ปีที่แล้ว +16

    Naomba tu kwa heshima siku moja nifanywe interview

  • @queentermuthoni3904
    @queentermuthoni3904 4 ปีที่แล้ว +104

    Thnk you God for protecting me.. saudi 2yrs n half..
    Now in Qatar 7mnths n I thank God He has dressed me with favor..

  • @agnessnthenya1824
    @agnessnthenya1824 6 ปีที่แล้ว +13

    Weee mi nko abroad 5yrs my dear kusema ukweli ukipata watu wabaya iko hivyo na plus mwezi ukiisha npe aki yangu

  • @cynthiaonyango1267
    @cynthiaonyango1267 4 ปีที่แล้ว +9

    I thank God that my boss is like a mother to me her kids treat me like a sister naomba wawe hivio hidi nimalize contract yangu wakio hivio

  • @kake_alicios7620
    @kake_alicios7620 6 ปีที่แล้ว +90

    Aki comments ni tamu kuliko hata story yenyewe 😂😂.

    • @mutomubaya
      @mutomubaya 6 ปีที่แล้ว +2

      Mimi nimechapa huku over 20 years. Na hiyo shida mimi sijaiona. Ukikaa na waarabu vizuri hata utajua kuongea hiyo lugha yao. Waambieni huku, wahindi na wanepal wako huku. Na wafilipino na wa Indonesia etc, ili waelewe

    • @kenya-yj3eq
      @kenya-yj3eq 6 ปีที่แล้ว +2

      kake Alicios Hahahaha mimi napita tu niko Dammam miaka saba sasa

    • @paulinepolly1750
      @paulinepolly1750 6 ปีที่แล้ว +2

      very true comments 😄😄😄 amazing

    • @wenif.constantino3161
      @wenif.constantino3161 6 ปีที่แล้ว

      Domestic helpers are low life in the eyes of few judgemental employers. No doubt about it.😔
      Employers who maltreated their house help as slaves which is beyond words. Employers who even had a lustful desire . And with no mercy giving food even the animals will refuse to eat.
      Unlucky are those house help who work for employers that will see to it that the money they paying for is worthy of the service.
      I salute few kindred spirits employer who humanely treat their house help with RESPECT.😍

    • @catherineirumbi1618
      @catherineirumbi1618 5 ปีที่แล้ว

      kake Alicios uuuuuiiiii

  • @nellyakoth4618
    @nellyakoth4618 6 ปีที่แล้ว +16

    With God you can stay anywhere and achieve great things

    • @marrionwatima797
      @marrionwatima797 5 ปีที่แล้ว

      Amen sister nothing is impossible with God

    • @faithkamanthe4230
      @faithkamanthe4230 4 ปีที่แล้ว

      Yes with God you can

    • @doreenkadenyi215
      @doreenkadenyi215 4 ปีที่แล้ว

      Yes

    • @big.r5550
      @big.r5550 3 ปีที่แล้ว +1

      What a bunch of nonsense are you talijg about ? Those that already died in Saudi knew the so called God too.
      And yet they died.
      Stop misleading people with your God nonsense!

  • @katungukitambala4561
    @katungukitambala4561 6 ปีที่แล้ว +6

    Hongera Kenya mumeendeleya, primary school free. Free gizari and unji . I appreciate your hand working so much. I was a refuge there and I found peace compared to my country DRC, at least I didn't hear guns shot, but buring people alive, bombing. US conglees we are suffering more than you think. I pray that God brings peace one day.

  • @mishibakarikanwa3055
    @mishibakarikanwa3055 5 ปีที่แล้ว +1

    Nilikua saudia kuanzia 2011 mpaka 2016 sikusikia maneno hayo .tabia zanu mukitoka saudia ndio mwarokota story za nchi nyengine mukipaka saudia matope ili wambiwe waislam niwabaya na mbona hamkomi bado mwasafiri

    • @valeriemoraa7838
      @valeriemoraa7838 5 ปีที่แล้ว

      Saudi ni worst country kama uko mahali pazuri shukuru

  • @osmokheseng9903
    @osmokheseng9903 4 ปีที่แล้ว +8

    I can imagine Saudi is difficult and miserable while working as a professionals.. we get illtreated at every form as long as your form African/poor country. I can imagine the hardship of working as servants😭😭.. it's bad here... rather starve at your home country

    • @scovyaporsha777
      @scovyaporsha777 4 ปีที่แล้ว

      I'm in the UK and I always say that. People are so Naive to what abroad is

  • @bubolojoshua6809
    @bubolojoshua6809 5 ปีที่แล้ว +26

    Thank God, she came back alive ,,most of our Uganda ladies died there,,and am seeing other pipo saying she z lying...

  • @lonalady5242
    @lonalady5242 6 ปีที่แล้ว +93

    I don't know why people said this women is lie,if you get a good place their that good, but most of our children their suffered and even died.

    • @jannet506
      @jannet506 6 ปีที่แล้ว +5

      Lona Lady I Agree with u

    • @preciousdavids7467
      @preciousdavids7467 5 ปีที่แล้ว +7

      True that am also a savivor from the middle east human trafficking all in search for greener pastures which end up being slavery.

    • @carolinasuli2860
      @carolinasuli2860 5 ปีที่แล้ว +4

      Lona Lady ......That lady is lying may God forgive her .....ashindwe kabisa ...im in Saudia for 10ys nozing like zat .....Dont

    • @jesicajessy8695
      @jesicajessy8695 5 ปีที่แล้ว +2

      @@carolinasuli2860 thank God sis cos there are evils here am telling you

    • @mountzion2495
      @mountzion2495 5 ปีที่แล้ว +1

      Don't even understand your English

  • @jesusfirstchurch4162
    @jesusfirstchurch4162 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamani acheni kwenda uarabuni...toshekeni na nyumbani...kila Mara watu wamekufa..acheni kuwa kafara kwa hao watu jamani

  • @moneymindriders3969
    @moneymindriders3969 4 ปีที่แล้ว +13

    Being abroad is so hard..I have been here for a long time now and I just realised why people from back home end up using drugs or commit suicide😭😭life is too hard here iyooh

  • @jeffdagoo3265
    @jeffdagoo3265 6 ปีที่แล้ว +1

    Mabooch wajinga kweli... if you are safe wherever you shukulu mungu na unyamaze!! Because not all are safe and some have come back home in coffins!!!

  • @evelyneazenga8002
    @evelyneazenga8002 6 ปีที่แล้ว +11

    Hebu mtangazaji nialike siku moja niseme ukweli usidanganywe na mtu anaesema i'mbora christian,wengi wao ni wale wanaenda na tamaa zao.utakuta wanalala na maboss ama ni wezi wakikujua tabia yako hautawaona wazuri kwao my friend.Wengi wakikosa vile wametarajia wanarudi na rumours mbaya

  • @catekelly8534
    @catekelly8534 5 ปีที่แล้ว +13

    I don't know why people act like idiots..u are not in any position to say that she's lying and if she is that's for the most high to judge...so do u need to see dead bodies or someone in ICU to prove that she's telling the truth...if u meet a good family thank God..yeah some people lie but not all so leave the judgement to God caz he knows it all

    • @fgcds1871
      @fgcds1871 5 ปีที่แล้ว +1

      She is laying pia ss ni dems natuko Huku mengine anaongezea wenye we wanaogopa paka kombomwiko utakula nyoka

  • @khadijahussein3492
    @khadijahussein3492 4 ปีที่แล้ว +6

    I love my country kenya aki i'd rather die here in poverty

  • @ismahan6642
    @ismahan6642 3 ปีที่แล้ว +1

    Mateso nayo iko saudi lakini huwezi kula snake hiyo nayo niuongo mtupu i have stayed in saudi for 20 years and i have never seen a snake, and saudi people don't eat snakes. But mateso iko.

  • @motivation2558
    @motivation2558 6 ปีที่แล้ว +76

    What ever she says is true and not framed, in Saudi everthing can be possible thanks to god she is alive, Tell your fellow not to go there because Saudians and most arabians are the worest human on earth

    • @mohamedomarhasan5377
      @mohamedomarhasan5377 6 ปีที่แล้ว +2

      Mustafe Ismail Gulf States believes that they are above the Law supported by the US / UK for fear of their blood contracts US and its allies will not blame this autocratic Regimes now we are in 2018 we have seen what happened in Libya Arabs never change

    • @rosendichu1725
      @rosendichu1725 5 ปีที่แล้ว +1

      Uongo

    • @wacmber2131
      @wacmber2131 5 ปีที่แล้ว +1

      Si wote

    • @irenewangari94
      @irenewangari94 5 ปีที่แล้ว

      True

    • @kawtharxh
      @kawtharxh 4 ปีที่แล้ว

      Mustafe Ismail it’s such a pity,, such low life words are coming from a fellow Muslim.

  • @jessicamorrison289
    @jessicamorrison289 6 ปีที่แล้ว +1

    Nimeishi Saudi Arabia, wale sio binadamu. Nimekaa miaka mitatu. Bora usikie tu kwa watu lkn yasikukute. Anasema kweli. Watu wanakufa. Nafikiri ni vizuri washuhudie ili wengine wajue.

  • @kheylam
    @kheylam 5 ปีที่แล้ว +32

    As much i like watching Kenyans stories, I have zero understanding in swahili, but i am learning hard. So please maybe the editor can do us a favour to subtitle in English. I will learn fast, not only learn but we would understand the whole story. Thank you very much. From Namibia

    • @nomalangaradebe4336
      @nomalangaradebe4336 5 ปีที่แล้ว +3

      I don't understand the language but I c other peoples comments, she's not lying Arabic's they don't know how treat a human even their wives and kids so what more to u

    • @patremagilbert8787
      @patremagilbert8787 4 ปีที่แล้ว

      I wish they had sub titles too as I know only English sadly.

    • @thembelinhlembuyane5503
      @thembelinhlembuyane5503 4 ปีที่แล้ว +1

      I wish too the editor can do subtitle. I enjoy to watch the stories but I find it difficult to understand what the storyteller is saying. Please provide subtitle in English

    • @nancywanjiru1146
      @nancywanjiru1146 4 ปีที่แล้ว

      Wew wacha unjinga wewe hiyo niudako huko line haiyedagi through ikigia Mimi nimekaa saudia six years

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 4 ปีที่แล้ว

      @@nomalangaradebe4336uongo

  • @estherirambona3460
    @estherirambona3460 4 ปีที่แล้ว +1

    Nikweli whatsapp hakuna kupiga simu ukipigasim niujanja wako kusimu ila wengi tunafungiwa

  • @janeokousha7561
    @janeokousha7561 6 ปีที่แล้ว +41

    Sio warabu wote ni wabaya kutalingana na mkono yenye uneangukia,,, God is everything

    • @violetkigongo1753
      @violetkigongo1753 4 ปีที่แล้ว +1

      But the majority are cold hearted

    • @ayushjhay1979
      @ayushjhay1979 4 ปีที่แล้ว

      kweli ata kenya si wote wazuri nikama huko

    • @neontrees3360
      @neontrees3360 4 ปีที่แล้ว +1

      Heeh dada heri you assume the worst in all of them hii hopefulness itakumaliza huko

    • @ahmadmadhi8147
      @ahmadmadhi8147 4 ปีที่แล้ว +1

      Naona ajabu ni nchi gani katika saudiya ulipelekwa. Hata mimi nimeishi saudiya lakini sijasikia au kuona wa saudi wanakula nyoka. Kweli iko wanyama kama mburu kenge wanakula. Lakini hawa ni wale mabedui ambao wako mjangwani. Lakini nyoka si halali kw muarabu pengine mchina. Kisha si wasaudi wote ambao ni wabaya, kwenda huko, ni mtu na bahati yake ,ataangukia tajiri gani. Kweli kazi wengine wanapigisha wafanyi kazi masaa mengi hata mpaka usiku wa manani. Huwatuma wafanyi kazi. Kwenda huko yataka mtu awe na subra sana. Maana ni nchi tofauti na kwetu na culture yao tofauti. Haswa inchi za gulf mfanyi kazi wa nyumbani huchukuliwa maadamu ametoka kwao kuna shida na atafanya kazi hata mpaka usiku. Musiende huko. Maana ni kubahatisha tu.

    • @jarofclay6458
      @jarofclay6458 4 ปีที่แล้ว +1

      Ikiona warabu maxuri anakuchekesha kuna vile anakuvinyilia hapa ni kunyamaza na sura ya kazi,my fon my best friend nikiingia fb nachekanga kama hakuna Kesho bt nikiona nyarabu sura inachange ndio mimi huyu I avoid in all means to be close to this ungrateful things

  • @alhagiesediaceesay4312
    @alhagiesediaceesay4312 6 ปีที่แล้ว +1

    shit I can see on comments sections other's are saying she is lying!! I'm 100% sure she is not lying all what she's saying depend on her own experience and the society or the kind of boss she was having with in Saudi Arabia!! so please stop those trash and believe her even if you're in Saudi for 100 year's you don't encounter similar hardships doesn't mean she didn't experience.. I was in Libya and I'm 100% sure Arab people's can do anything to other African citizens... so let her be is her own experience you don't experience something in your life doesn't mean she doesn't..

  • @kaveresylvia9521
    @kaveresylvia9521 5 ปีที่แล้ว +14

    Huyu Dada ameongea ukweli those who are lucky to find good places are quick to defend Arabs but sisi tunatusiwa day and night food hatupewi

    • @mercykhasoa7624
      @mercykhasoa7624 3 ปีที่แล้ว

      Nilikutuma huko

    • @maggiemegghan4330
      @maggiemegghan4330 3 ปีที่แล้ว

      For me am happy still here happy...working my boss is good

    • @mathewdyzymaleyafrica9128
      @mathewdyzymaleyafrica9128 3 ปีที่แล้ว

      TZ TWAENDA OMAN ZNZ TUNA RELATION NYINYI MWAENDA SAUDIA NA KESI ZA KUWAUA NYINGI BADO MNAGANGANIA THA F

  • @dianasimiyu8853
    @dianasimiyu8853 4 ปีที่แล้ว +1

    Not all Arabs people are bad we have some and that things happen all over the world not only Saudi Arabia even Kenya our own Kenyans wanatutesa. What needs more it's prayers when we went to work for them. We stand in a very powerful prayers and God fight for us.

  • @elizabethwanjiro6652
    @elizabethwanjiro6652 6 ปีที่แล้ว +3

    Niko saudi very comfortable l really thank God ma mama teks me as her daughter l thank God for ma employer her sons en daughters sees e as thea sister.Grace ya God imekua sufficient she even bought me a new smart fone na Wifi ni yake am pround of her.shes fear Allah.

  • @nancynganga6731
    @nancynganga6731 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwani hukua umeenda na office, team hammam advice pple to use offices not free visas

  • @hannahw4769
    @hannahw4769 5 ปีที่แล้ว +14

    Is there anyone in Kenya who is not a gospel singer???

  • @brendangesa7144
    @brendangesa7144 6 ปีที่แล้ว +1

    Learn to listen hajasema yy ndio alikula nyoka it's a friend ndio alimshw hivyo na nyoka ziko everywhere kwanza kuna ma nyoka zinapenda desert 🌵 and I believe Saudi ni desert.

  • @benten2369
    @benten2369 5 ปีที่แล้ว +34

    Wakenya wako uarabuni vile wanamchukia ati ni mwuongo, this is her story and many more wenye wanarudishwa wakiwa maiti au wamepigwa . If you're lucky kupata a good employer usifikiri wote ni wazuri.

    • @nasranassor2333
      @nasranassor2333 5 ปีที่แล้ว +1

      Kazi yes nakubali ni mingi lakin mengine uongo

    • @everlyneminayo6126
      @everlyneminayo6126 4 ปีที่แล้ว +3

      Ukifanya muchezo na bwana wa mwarabu wewe Ni kifo au mateso wanapenda watoto wao na mabwana zao ukiwa uko kaa mbali na bwanake mama

    • @nasranassor2333
      @nasranassor2333 4 ปีที่แล้ว

      @@everlyneminayo6126 kabisaaa

    • @b.3940
      @b.3940 4 ปีที่แล้ว

      @@everlyneminayo6126 Mimi nilikuwa security guard UAE na nilipiga daughter ya boss kuni akazaa kamkikuyu. Sasa Niko Bahrain na nikipata kengine ni kuni tu.

    • @millicentayangokunting3728
      @millicentayangokunting3728 4 ปีที่แล้ว

      @@b.3940 🤣🤣🤣🤣🤣 kumbe wko na umalaya hivyo...nitafutie pia nami ya security

  • @omaradan8062
    @omaradan8062 6 ปีที่แล้ว +1

    Wacha noma rudi nyambani usi kubali kusukumwa kwa ukuta maisha ni raha ukiwa na uhuru au sio

  • @margretwangari1018
    @margretwangari1018 6 ปีที่แล้ว +152

    Weeee nilijenga nyumba na pesa ya saudi,hakuna mahali perfect hata Kenya ukiandikwa Kuna shida zake,so nikuomba MUNGU nakuchapa kazi

    • @stellatabby4604
      @stellatabby4604 6 ปีที่แล้ว +4

      Margret Wangari pia mimi kwangu kuna wateja kila mwezi napata more than 20k

    • @veronican3486
      @veronican3486 6 ปีที่แล้ว

      Margret Wangari mtu anakujaje uko pls

    • @margretwangari1018
      @margretwangari1018 6 ปีที่แล้ว

      veronica n through egent

    • @veronican3486
      @veronican3486 6 ปีที่แล้ว

      Margret Wangari where are u exatly ,lebanon or saudi arabia? Na ni lazima mtu achapwe

    • @margretwangari1018
      @margretwangari1018 6 ปีที่แล้ว +11

      veronica n nilikua Saudi 2years ago but sai Niko Dubai bado nafanyia waarabu,sio lazima uchapwe bora usicheze na mbwana ya mwarabu ama vijana zao,unatuliatu naye MUNGU anakusaidia unafaya kazi yako vile umeelezwa hamutaulizana kitu

  • @nicholastoroitich2638
    @nicholastoroitich2638 4 ปีที่แล้ว +1

    Home is the best

  • @magdalinebosibori995
    @magdalinebosibori995 6 ปีที่แล้ว +7

    Freedom nayo hakuna inataka uvumilivu

  • @doreennamachanja1980
    @doreennamachanja1980 4 ปีที่แล้ว +1

    mimi bato nko huku saudia mutuombee turuti salama na sisi it's really story

  • @reemiiomar9386
    @reemiiomar9386 6 ปีที่แล้ว +9

    Huyu Dada n muongo mm niko n line yng y Kenya sai n 4years nasijarudi kenya n nimejenga house waarabu hawafungi nyoka sijaona wala kuskia japo kila mtu ako n bahati yk

    • @lovedbyjesus4882
      @lovedbyjesus4882 5 ปีที่แล้ว

      She gave her experience, thank God u fell in good hands....so don't say its its a lie.

    • @cynthianduta4096
      @cynthianduta4096 4 ปีที่แล้ว

      But she is not you she is explaining her story thenks God you are in Good hands

    • @linahbwibo8148
      @linahbwibo8148 4 ปีที่แล้ว

      they keep snakes as pets saudi is the worst place to be

    • @electinenabwaya2718
      @electinenabwaya2718 4 ปีที่แล้ว

      We shukuru Mungu, basi haujapatana na waarabu wanaitwa Badu, wale wa mashambani nyoka, some types of lizards na wanafugwa na kuchinjwa na kuliwa, av been there 3 times but, only once nilipata mdosi alikuwa better in dammam, the other two times, ata ctakingi kukumbuka niliyoyaona Saudi 😭😭😭😭😭😭

    • @rhodanjerirhoda5867
      @rhodanjerirhoda5867 4 ปีที่แล้ว

      Wewe nyamaza hujui yenye watu wanapitia🙄🙄🙄

  • @deqaali4799
    @deqaali4799 6 ปีที่แล้ว +1

    Uwongo wewe ataa nyoka ni chakula haramu kwa watu wa saudia so dont lie

  • @marywanjiku8910
    @marywanjiku8910 5 ปีที่แล้ว +3

    question is,were you her employer?take it or leave it,,if you like,go get your own experience...🙄🙄Rubbish

  • @sheillahchisika8414
    @sheillahchisika8414 6 ปีที่แล้ว +1

    Nismesoma coments watu wenye mko poa mshukuru mungu kuna watu wanateseka ni vile hawana uwezo ndio hamwaskii.

  • @dyanaedwards9308
    @dyanaedwards9308 5 ปีที่แล้ว +15

    My advise to those in Saudi n those planning to go never show them u come from a poor family or u are uneducated always be clever then don't go with the mentality that u will be tortured or killed plus always listen to ur instincts that voice that talks first in ur mind always respect it Cox it's the one that saved my life,the same day I escaped is the same day my kafeel called home n said am dead.it's been more than 5 yrs n I have never understood why they lied that am dead or what was their intention of they could have found me

    • @Serahpaul84
      @Serahpaul84 4 ปีที่แล้ว +2

      Very true u put God first and everything else will follow

  • @fredericcomonguzzi9652
    @fredericcomonguzzi9652 5 ปีที่แล้ว +2

    na hawa watu wako saudi mbona they hate it mwenzao akisema anateseka huko na mbona wote wanapenda kusema wako huko five years na mbona wote wana sema wame jenga nyumba na salary ya 20 k we all know that is imposible salo ya 30 k hainipeleki nje ya nchi

    • @شيخهالزويد-ط8ز
      @شيخهالزويد-ط8ز 5 ปีที่แล้ว

      But apana wakenya wengi waongo sana.muarabu akikupiga umejipiga mwenyewe ukicdwa na kazi wacha kuharibu jina ya nchi ya wenyewe.na vile kwenu Kenya hakuna kazi.mboch wanalipa five k ausheeeeeeee

    • @fredericcomonguzzi9652
      @fredericcomonguzzi9652 5 ปีที่แล้ว

      @@شيخهالزويد-ط8ز why risk your life na salo ya 30 k na hata unaweza ikosa urudi maiti life is more precious and priceless. Its number one in human rights violation so sijui unaisupport kiaje.

    • @wacmber2131
      @wacmber2131 5 ปีที่แล้ว

      30k silipi nyumba sinunui nguo wala cha kula nifanye 5yrs nkose kujenga pesa yote itakua imeenda wapi

  • @msonar3h
    @msonar3h 6 ปีที่แล้ว +6

    Her expressions dont match her story.

  • @ياسرعبدالعزيز-ت8و
    @ياسرعبدالعزيز-ت8و 6 ปีที่แล้ว

    hehehe wewe mama wacha uongo niko saudi arabia na my boss wananipenda sana hawataki niende home shauri yako nimenunua shamba mbili na nimejenga nasomeza mtoi wangu na pexa za mwarabu hehehe ujui chenye unasema utakufa maskini nasiunda hizi pexa zawadi mbali mbali kutoka kwa marafiki wa madam

  • @jakleengakleen1304
    @jakleengakleen1304 6 ปีที่แล้ว +46

    Saudi ni kama Kenya upate wabaya au wazuri, niliushi saudi na watu wazuri kuliko Kenya, kila mtu na bahati yake

    • @jacquewilson377
      @jacquewilson377 6 ปีที่แล้ว +1

      Jakleen Gakleen kabisa

    • @elsharawiradzo4142
      @elsharawiradzo4142 6 ปีที่แล้ว +2

      Jakleen Gakleen aposawa

    • @trendyshow7461
      @trendyshow7461 6 ปีที่แล้ว +2

      saudi sio pahali pa kwenda.......

    • @katecathlyne4148
      @katecathlyne4148 4 ปีที่แล้ว

      Kabisa

    • @yunizcollins3612
      @yunizcollins3612 4 ปีที่แล้ว

      Mm siwezi sana ubaya wa Saudi nilikaa huko 3yrs ukitakaa uwarambuni keep God first, pia Kenya Kuna watu wabaya na wazuri, uyu ni mucene inaguo

  • @kamaumary3028
    @kamaumary3028 4 ปีที่แล้ว +1

    But simcard ya kenya ulipigia boss wako aje?hata kama kazi ni nyingi huku people shd talk the truth kiasi eeiish!

    • @JaneTonnymax
      @JaneTonnymax 3 ปีที่แล้ว

      Inaweza work dear some countries huwork especially Saudi, my cousin was there and we used to chat with her bora tu tumuekee credit

  • @Sam-sj1cy
    @Sam-sj1cy 6 ปีที่แล้ว +23

    I can't believe how heartless some human beings are

    • @lionsimba723
      @lionsimba723 4 ปีที่แล้ว +1

      Religion is a scam. It makes pipo heartless towards those outside the religion. Have a personal direct relationship with God the creator

    • @fatmawaithera1327
      @fatmawaithera1327 3 ปีที่แล้ว

      Kuna mtu amewalazimisha kwenda

    • @fatmawaithera1327
      @fatmawaithera1327 3 ปีที่แล้ว

      Hio ni stroy hakuna kitu kama hio

  • @billtev9846
    @billtev9846 4 ปีที่แล้ว

    Kenya Government should stipulate these agents pay bond fees which covers up to a year's wages which are reimbursed when worker comes home for Christmas. Also host family details must have there details in Kenyan dept of labor all this crap will never happen.

  • @lillgathogo
    @lillgathogo 4 ปีที่แล้ว +17

    Why does the rest of the world mistreat AFRICANS?
    From America, to U.K to Middle East and now even our fellow Africans In South Africa...
    My soul cries to the living God for our people. May God arise and fight for us!!

    • @mondaonyancha8823
      @mondaonyancha8823 4 ปีที่แล้ว +3

      That is why Corona has confronted them.

    • @ninjamutant6305
      @ninjamutant6305 4 ปีที่แล้ว +1

      But in Saudi all foreigners are mistreated and deprived of their rights

    • @suzannem700
      @suzannem700 4 ปีที่แล้ว

      The hatred is deeper than the physical it's spiritual It's all bibilical it was meant to be that way

    • @patiencembongwe8444
      @patiencembongwe8444 3 ปีที่แล้ว

      Not in South Africa

  • @emmabays9963
    @emmabays9963 6 ปีที่แล้ว

    tatizo wanawake mob mnataka kufanya ukahaba ichi zawatu nakama ulikua umeenda unadhani jamaa mwenye hao atakukatia my dear pole.ukisafiri kuelekea warabuni jatbu ku lock kinyama chako mambo na manyoka hapo sihakika

  • @janenjeri6390
    @janenjeri6390 6 ปีที่แล้ว +11

    Madam wacha kuogopesha watu Aki, yes kuna watu wanateseka but sio wote...kufanya job upto to late ni kawaida,I think lack of freedom dio huwa inafanya watu waone kaa ni mateso,but kila kitu ni kuzoea. Mm cijawahi ona nyoka, na pia ubwa na paka sio rahisi kuona kwa mwaraabu unless kwa road but sio kwa nyumba..Saudi with prayers u'll make it na pia ujue chenye kilikuleta basi...na wenye tuko na amani,let's pray fr those who are not ok

    • @tashamwaura236
      @tashamwaura236 4 ปีที่แล้ว

      jane njeri lazima ukweli isemwe ndo mtu ajue ni nini anaenda kufanya

    • @rebeccawanjiku2531
      @rebeccawanjiku2531 2 ปีที่แล้ว

      True dear,c kila mahali N kubaya I thank God nko place Poa en cjawahi ona ata panya tangu nicome

  • @jawaherkaseyi3767
    @jawaherkaseyi3767 6 ปีที่แล้ว

    haki natamani sana one day kuongea kwa media. coz hawa watu hulipa pesa wakitoa mtu kenya na pesa wanazipata pia kwa jasho, hakuna mtu anaweza peana pesa kama 200k just kuleta maid just inthe name of kuchapwa, mbona asikuchape siku umeingia, hata kenyans wako vichwa ngumu wengine wajui kunyenyekea, wengine walienda tu juu fulani ameenda. sio sinda, hapo ndio wakifika then wakumbuke maisha yao ya home wanabeba vichwa.

  • @marlotnicenice8912
    @marlotnicenice8912 6 ปีที่แล้ว +71

    Ukiwa kwa nyumba poa say thank you lord am sure Kuna watu wanateseka sana.

    • @janekchannel5074
      @janekchannel5074 6 ปีที่แล้ว +1

      nice nice ni kweli kunao wanyama.thanks to God for the gd family

    • @paulinepolly1750
      @paulinepolly1750 6 ปีที่แล้ว

      very true

    • @margretmakungu599
      @margretmakungu599 6 ปีที่แล้ว +2

      Ni ukweli kabisa ukiangukia muharabu mupoa Glory to God waharabu Ni wanyama

    • @mercymugala8846
      @mercymugala8846 4 ปีที่แล้ว

      True me I thank God for a good family

    • @aishamother9943
      @aishamother9943 4 ปีที่แล้ว

      That's true

  • @Roselyne985
    @Roselyne985 6 ปีที่แล้ว +1

    awa wote wanasema Kwa comments eti Saudi ni mzuri hawajawai ata fika uko, uyu msichana hadanganyi

    • @merutraveldiaries8474
      @merutraveldiaries8474 4 ปีที่แล้ว

      Most of them ni agents. Trying to convince people eti vile ni kuzuri

  • @fartuneyebrows4496
    @fartuneyebrows4496 6 ปีที่แล้ว +4

    Ooh my almighty I'm very sorry wt hppn to u and ur friend

  • @pamelanabokolweojuma1964
    @pamelanabokolweojuma1964 5 ปีที่แล้ว +2

    pesa Kula kulala hamamu na udaku hiyo ndiyo Kazi Yao na madharau na uchafu

  • @anglefhatz9363
    @anglefhatz9363 6 ปีที่แล้ว +4

    Saudia mtu ikiona panya huenda Maio ya marathon akiona paka 100 meters akiona menda relay akiona inzi chini ya kitanda soo na shangaa Akiona nyoka itakuwaje. ...... 😢 hayo niyale nimeya soma hapa. ..... napitatu cjui huyu alikuwa side ipi

    • @jemimahtopista9434
      @jemimahtopista9434 6 ปีที่แล้ว

      Angle Fhatz same here.

    • @wambui185
      @wambui185 6 ปีที่แล้ว

      Hata mende wakiona they shout n they can't catch it

    • @anglefhatz9363
      @anglefhatz9363 6 ปีที่แล้ว +1

      +Alice Wambui That's true

    • @mutomubaya
      @mutomubaya 6 ปีที่แล้ว

      wakiona mende wanasema, Sarsuuuuur

    • @hannahmontana7666
      @hannahmontana7666 6 ปีที่แล้ว

      hahahaha xjui shinda yake ni nn.kama hawa waarab huogopa mende na nyoka?Aiiiii wacha uongo ww mwanadada.

  • @topestamohammed3538
    @topestamohammed3538 6 ปีที่แล้ว

    Mimi hapa mkenya kuna samaki ingine wakenya wanaiita samaki kamba wengine wanaiita samaki nyoka juu ni ndevu kama kamba kwa wasiojua kwa mara ya kwanza ukiona unadhani ni nyoka juu ya ushamba nimejengea mama yangu nyumba nzuri na hizo pesa za warabu na iyo anasema nyoka si nyoka ata penye nnafanya kazi napika iyo samaki kitu nnashuhudia kwa waarabu kuna kazi mengi waafrika tunaogopa kazi ndo maana watu wanachukia warabu ju kazi ni mingi no work no money fanyeni kazi tuondoe umaskini.

  • @lesegomonare7433
    @lesegomonare7433 4 ปีที่แล้ว +17

    Guys...m a south african can we please english subtitles on our untold stories. I love u Kenyans

    • @mpumesibiya6820
      @mpumesibiya6820 4 ปีที่แล้ว +1

      Same story here. It's sad to see a productive story that you really wish to follow and learn from but you can't coz it's in a foreign language.

    • @bellabella7899
      @bellabella7899 4 ปีที่แล้ว +4

      Simply said, she is saying she went to Saudi Arabia as a house girl but was treated like a slave, beat up, underfed and made to eat snakes. She is warning ladies not to go to Saudi Arabia. She went nearly 10 months without pay. Had to escape.her boss took her phone from her so she could not call for help.

    • @ruhinayakub4478
      @ruhinayakub4478 4 ปีที่แล้ว

      We love u 2

    • @ruhinayakub4478
      @ruhinayakub4478 4 ปีที่แล้ว

      @@bellabella7899 dada relax I know how cruel the Saudis can be I have witnessed mauritian and Philippine ladies returned home after tortured

    • @johnstonegathogo9919
      @johnstonegathogo9919 4 ปีที่แล้ว +1

      There are captions now

  • @mundiakarue8849
    @mundiakarue8849 6 ปีที่แล้ว +1

    Handanganyi wengi wamekuja wakiwa wameuawa alafu mwasema yeye mdanganyifu,kama uko sekta mzuri usifikirie kwote kwafanana.

  • @moyodebrah8749
    @moyodebrah8749 5 ปีที่แล้ว +14

    I wish u speak English, watching from SA

  • @AishaAli-lk7gh
    @AishaAli-lk7gh 6 ปีที่แล้ว

    am not supporting this ladie nilikua saudi for 2yrs sijaona mchezo wakula nyoka wala mbwa huyu ukutaka kazi na aliogopa kukesha na muarabu the all night coz mchana ndio usiku kwa muarabu ushindwe wewe nimesomesha watoy wangu na pesa ya muarabu shenzi type ww

  • @eva9119
    @eva9119 6 ปีที่แล้ว +6

    Don't scare those who are coming these ends,Wivu ju hukuweza kazi, mtu hushindwa na kazi kama akili yake inamawajo zingine. .Inchi za wenyewe ukitoka funga mdomo ..si ulishindwa na yako?

  • @morganmutwirimukwanjeru6475
    @morganmutwirimukwanjeru6475 6 ปีที่แล้ว +2

    poor pay,lack of respect for workers,corruption,na mambo mengi yafanya watu kwenda huko!

  • @saidahj2543
    @saidahj2543 6 ปีที่แล้ว +10

    Uongoo madam..sema tu ukweli what happened...six yrs in saudi bt still pushing..just respect arabs mkifika huku kiburi ndio kazi yenu...

    • @merciemungai4141
      @merciemungai4141 5 ปีที่แล้ว

      This is what I will say ....if you're comfortable where you're thank God coz there are people who go through hell in middle East

    • @reemann2490
      @reemann2490 5 ปีที่แล้ว

      saidah usiseme ni uongo cz pia nilikua nasikia watu wakisema watu udanganya bt yenye nimepitia nmekuja kujua akuna mtu undaganya ni true story

    • @lifegood8665
      @lifegood8665 4 ปีที่แล้ว

      Thank God ur lucky but others are suffering my dia

  • @lilianmuthoni6951
    @lilianmuthoni6951 6 ปีที่แล้ว +1

    mfàa kuamini venye anasema juu mnasema niuongo aje ? na unasema atakama hujaenda uko unafaa kuamini juu amejionea watu watu achangeni mchezo jameni

  • @philipreynold5103
    @philipreynold5103 6 ปีที่แล้ว +4

    When you go back to your country you should let others know

  • @reginawambui8816
    @reginawambui8816 6 ปีที่แล้ว

    Nilikua saudi 2yrs 6mnth but sikukutana na watu wabaya kwa ivo pengine alikutana na wabaya juu wako inakuaga bahati ya mtu,kaa mimi nilipotoka saudi nilienda dubai uko nilikutana na wambaya sana nilkaa kidogo nkarudi kenya then sai nko Bahrain abapo nilikutana na watu wazuri sana akuna mateso but hua naomba sana sana

  • @nazasha5584
    @nazasha5584 5 ปีที่แล้ว +3

    Pole sanaaaa,Never go to Saudis fr jobs unless God is really on yourside

  • @shabanyasin2761
    @shabanyasin2761 5 ปีที่แล้ว +1

    Acheni upumbavu,ww kama uliishi vizur ni ww,sio wote kila mtu anasimulia yaliyomkuta.achen kuwa watumwa,hata kwenu maisha yapo tu

  • @leilaoduor9134
    @leilaoduor9134 4 ปีที่แล้ว +3

    Am a victim of this gulf country, n whatever she’s saying can’t be a lie. N it’s never our to go there but circumstances forces someone.

  • @genovevaoiso2111
    @genovevaoiso2111 2 ปีที่แล้ว

    Raisi.wa.Kenya.Katie.watu.wako.uko.saudia.jamani.kila.siku.utaletewa.marehemu.uchoki funga.na.iyo.ofisi ya.ubalosi.wa uko

  • @santajohnson8998
    @santajohnson8998 6 ปีที่แล้ว +18

    If you are in a better place in middle east just thank God...I agree✔with you madam we pass through many problems here....bt in all God is faithful.

    • @florencewanjiku6715
      @florencewanjiku6715 3 ปีที่แล้ว

      Who is dis wit a profile of pastor Alph lukau...wao I love it

    • @lydiaogoya9606
      @lydiaogoya9606 3 ปีที่แล้ว

      I thank God I passed through pain in Qatar but now in Dubai I an fine n I thank God coz it wasn't an easy work to complete my contract

  • @اميرة-ق4ب
    @اميرة-ق4ب 3 ปีที่แล้ว +2

    Uongo
    Nyoka na umbwa ni haraam in muslim homes🙏

  • @evaeva3298
    @evaeva3298 6 ปีที่แล้ว +6

    Hata mtututishe I'm there 4yrs now nimebuy shamba my siblings wamesoma juu yangu sibanduki haaata!

  • @aishamwatunza8765
    @aishamwatunza8765 4 ปีที่แล้ว +2

    It's true Iam in Saudi Arabia at the moment kuteswa ni true.iam passing true hell here

    • @aishamwatunza8765
      @aishamwatunza8765 4 ปีที่แล้ว

      For the nyokas sijasikia but mateso kupigwa kunyimwa chakula Iam experincing worse here

    • @evelynkunga1609
      @evelynkunga1609 4 ปีที่แล้ว +1

      Pole Dada may God fight for you dear

  • @frenkymabilane5001
    @frenkymabilane5001 5 ปีที่แล้ว +12

    IT WOULD BE BETTER IF THE CHANNEL CAN TRANSLATE THE STORIES IN ENGLISH SO THAT PEOPLE ACROSS THE COUNTRY CAN LEARN SOMETHING AND RELATE TO EVERYDAY LIVING

    • @votojoseph6178
      @votojoseph6178 2 ปีที่แล้ว +1

      Why can't you speak Swahili?

    • @SasaSasa-wy9wu
      @SasaSasa-wy9wu 2 ปีที่แล้ว +1

      Go to settings and select English. I’m able to see English subtitles

    • @anitaguddy7021
      @anitaguddy7021 ปีที่แล้ว

      Tap on eng"i

  • @eucabethosebe9046
    @eucabethosebe9046 5 ปีที่แล้ว

    Nimekusikia tena vixuri sana pole kwa yale yote uliyoyapitia now tis ma point siwatetei lkn naezasema bahati yako diyo ilikuwa mbaya mimi nilikaa Saudia from 2013 to 2017 nikahome 3mths nikaja Qatar sijaona unyama uo na nimesaidika sana na pesa xao na nimefanya mengi kujiedelexa I thank God mpaka Leo hi I niko Qatar na cna haraka kuhome

  • @PramodKumar-dy3iu
    @PramodKumar-dy3iu 6 ปีที่แล้ว +3

    Total lies.First umesema line ya simu, card ya kenya haifanyangi kazi uko.tena abt nyoka????Good things ongea but usiekee chumvi saaaana.

  • @mufush
    @mufush 4 ปีที่แล้ว +2

    Hmmm 2.34 if the SIM card has been spoiled me I bet the phone says insert SIM card and no service 🤥🤥🤥🤥🤥🤥

  • @pamelanabokolweojuma1964
    @pamelanabokolweojuma1964 5 ปีที่แล้ว +26

    it's true we have good people ad bad people in everything God first

    • @swesschao3095
      @swesschao3095 3 ปีที่แล้ว

      True GOD first!!!! May GOD PROTECT us all in gulfs!!! AMEEEEEN!!!!

  • @tishtash5531
    @tishtash5531 4 ปีที่แล้ว

    African government's...... should stop this.....wasirusu watu waende huko......na wale wanafanya siri...washtakiwe

  • @musukiawu2447
    @musukiawu2447 4 ปีที่แล้ว +2

    You are right about our African leaders. If they are United we can live a better life in other parts of Africa.

  • @stephenodhiambo7556
    @stephenodhiambo7556 4 ปีที่แล้ว +1

    I get very angry when I see my sisters suffering like this when politicians steal everything.

  • @jaynendichu4303
    @jaynendichu4303 6 ปีที่แล้ว +29

    Have been working in saudia since 2011.....Before I came here I used to pray to God to go before me and indeed He did... .it's 7yrs now and I thank God for my employers....have bought 2 plots of land,one in thika and another one in kiambu and almost completing building my mum a stone house..Personally i thank God for Saudi si wote wabaya BTW

    • @violetmugatsia5801
      @violetmugatsia5801 6 ปีที่แล้ว

      Jayne Ndichu nitafutie huko

    • @kenya-yj3eq
      @kenya-yj3eq 6 ปีที่แล้ว

      Jayne Ndichu me too dear niko Dammam tulikuja mwaka moja

    • @veronican3486
      @veronican3486 6 ปีที่แล้ว

      Jayne Ndichu my dear connect me

    • @SamanthaSmnkandla
      @SamanthaSmnkandla 6 ปีที่แล้ว +1

      After building they will kill u you will be lucky if u get to stay in ure new houses

    • @preciousdavids7467
      @preciousdavids7467 5 ปีที่แล้ว +3

      People U need to know that the Arabs there are not the same. Some are changing from their beliefs but others still rely to their old values and beliefs l forgot the name of their law which says a foreigner is not a human as them sum really aply this law in how they handle foreigners. So don't judge her she suffered and l understand her l also didn't finish my contract and went back home thank God lam alive bcox they can kill U again even after U finish Ur contract those people are really HEARTLESS. You need to spend a hour with them to understand them in fact Mariah she xperience the very worst of experiences l feel for her thank God she is alive.

  • @jennifermukami8781
    @jennifermukami8781 4 ปีที่แล้ว +2

    Kenyans are big headed. U r told not to go but u still go.shauri zenu.

  • @faybaibe9023
    @faybaibe9023 6 ปีที่แล้ว +26

    Natamani cku moja niwe kwenye interview ndo niwaambie sasa ukweli sa saudia lkni si story zingne za kutishia watu infact arabs waogopa nyoka sana. Ila kazi ni nyingi na lazma uifanye cz io ndo ilikupeleka kule.

    • @bintimohammedrashidrashid4929
      @bintimohammedrashidrashid4929 6 ปีที่แล้ว +1

      Fay Baibe umeona eeeh hawa wangu waogopa mpaka makombamwiko

    • @paulinepolly1750
      @paulinepolly1750 6 ปีที่แล้ว

      +binti mohammed Rashid Rashid 😄😄😄😄

    • @rahmajuma1647
      @rahmajuma1647 6 ปีที่แล้ว

      Fay Baibe hapa umeongea ukwel kabisa mm niko huku kaz mob BT siulifata kaz hujafata starehe😋😋😋😋😋bt ayo mambo anaongea sio kwel kabisaaaaa

    • @bintimohammedrashidrashid4929
      @bintimohammedrashidrashid4929 6 ปีที่แล้ว

      pauline polly 😂😂😂😂kweli akimuona apiga nduru sembuse nyoka si atazikwa mzima

    • @dotytido547
      @dotytido547 6 ปีที่แล้ว

      Fay Baibe kula tano yuwataka freedom akising alising freedom au house work nyambafu

  • @olabenne5519
    @olabenne5519 4 ปีที่แล้ว +1

    Tafuteni documentary ya domestic workers in Saudi and Qatar kama hamumuamini

  • @doreenakhwivisa8525
    @doreenakhwivisa8525 6 ปีที่แล้ว +18

    7years and still there, never set my eyes on a snake in this desert.

    • @mellahgweth2586
      @mellahgweth2586 5 ปีที่แล้ว

      Me too 5yrs sikuwai ona

    • @prettyaysha7892
      @prettyaysha7892 5 ปีที่แล้ว

      Me too 5 years now na sijaona

    • @marrionwatima797
      @marrionwatima797 5 ปีที่แล้ว

      Me too 6yrs sijaona then she's lying eti kila mtu anaharibiwa line me sijaona hiyo honestly some parts ni uongo haki.

    • @lucysifa4050
      @lucysifa4050 5 ปีที่แล้ว +1

      @@marrionwatima797 mm pia niko huku 6yrs now nasijaona hata jongoo wallah hii niuongo🙆

    • @mariachepkulel3467
      @mariachepkulel3467 4 ปีที่แล้ว +5

      Don't say she is lying just thank God you were lucky,what will she gain from lying?

  • @suzeemnati8356
    @suzeemnati8356 6 ปีที่แล้ว +2

    Sijawai ona nyoka .....nko Saudi Arabia Riyadh 4 years now ukileta kichwa utakipata.....kua roho safi na utakaa na wa doss wako kama umezaliwa huko........lakini ukijifanya kausi lazima waku touch touch kiasi.........unaweza pata hau poa na zingine mbaya