Ni ngumu sana kuelewa. Ile Mimi nilikua Roma catholic, now nisali pentekoste. Lakini ukweli huu nimeuelewa na tayari nimeanza kufundisha hiyo, japo napingwa
Jee Maana ya yohana 1:1-..............hapo mwanzo Kulikua na Neno nae neno alitoka kwa Mungu nae neno alikua Mungu.......,......., ,, huyo neno akakaa kwetu........................... Tukisema neno ni Yesu na neno ni Mungu. Soma hapo vizuri mtumishi na unajua bila shaka unafanganya watu...
Hata sisi tuna umoja vile Baba na Mwana walivyo na Umoja..je tunakuwa aje na Umoja na Kristo tutakuwa wanne?hakuna Utatu mbona mitume hawakujibu swali hili Mthw16:13-16 mbona hawakujibu wewe ni Utatu mtakatifu?
Soma Qur'an Na Vitambu UnaVyo Amini Vyote then Ukuje Usome Bibilia Yote Wewe Mwenyewe Bila Ya Kusomewa Na Mtu. Uki Maliza Utajua Ukweli Uko Wap❤.(Usiwe Shabiki To).
Mungu akuongezee nguvu zakuendelea kumutumikia mheshimiwa Pst Ndacha napenda sana ujuzi ulio nawo.
Kazi yako njema Mwalimu ubarikiwe sana
Barikiwa mtumishi. Sku zote ukweli unauma
Ukweli inauma na ni lazima isemwe ili watu wa MUNGU waokolewe
sema tu kweli, taji iko tayari...
Uo ndo ukweli
Watching from DR Congo 🇨🇩 Utatu 👈 haipo kwa Biblia, Utatu ❌Ni fundisho la kipagani.
Karibu sana kutoka Congo
@@gospelcorner1885 Asante sana nime kwisha karibia
Ni ngumu sana kuelewa. Ile Mimi nilikua Roma catholic, now nisali pentekoste. Lakini ukweli huu nimeuelewa na tayari nimeanza kufundisha hiyo, japo napingwa
Jee
Maana ya yohana 1:1-..............hapo mwanzo Kulikua na Neno nae neno alitoka kwa Mungu nae neno alikua Mungu.......,......., ,, huyo neno akakaa kwetu...........................
Tukisema neno ni Yesu na neno ni Mungu. Soma hapo vizuri mtumishi na unajua bila shaka unafanganya watu...
Et mungu bab 😂😂😂
Na watatu hawa ni umoja
Hata sisi tuna umoja vile Baba na Mwana walivyo na Umoja..je tunakuwa aje na Umoja na Kristo tutakuwa wanne?hakuna Utatu mbona mitume hawakujibu swali hili Mthw16:13-16 mbona hawakujibu wewe ni Utatu mtakatifu?
Umoja lakini SI mmoja
Wako watatu washuhudiao mbinguni
Baba,neno na roho 1yohana 5
Wrong 😂
Mimi na baba TU umoja SI mmoja
Shida ya ndacha ni kulazimisha watu waamini chenye yeye Ana Taka ama kuamini
Ndacha alazimishi mtu kuamini chochote..??. Leta hoja Yako kwake tuone kutoka Kwa Biblia 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@@mjombawallace4966 huo ndio ukweli juu siwezikubaliana na wewe
Soma andiko uelewe
@@onkeowilson nilikuambia siwezikubaliana na wewe Wacha kujisumbua
Soma Qur'an Na Vitambu UnaVyo Amini Vyote then Ukuje Usome Bibilia Yote Wewe Mwenyewe Bila Ya Kusomewa Na Mtu. Uki Maliza Utajua Ukweli Uko Wap❤.(Usiwe Shabiki To).