Hata Kama nyie hamliamini jeshi la polis Kila siku nikutukana vyombo vya ulinzi na usalama lakini ndo vinawalinda acheni ubabaishaji musiwadanganye watanzania
Ni kweli umevaa bullet lakini kichwa kipo wazi upande wa juu shingoni na kwenye mabega pako wazi risasi nzinapenya sasa Kwa Nini walau usiongeze ulinzi Kwa gari la ziada liwe nyuma Yako hatua 200 Kila unapoenda pia uombe silaha za kununua na uweke walinzi wenye shabaha hasa askari jeshi wastaafu Ili walau uwe salama Kwa hili tishio na omba wananchi wakuchangie kuwalipa walinzi
Lissu Mungu akulinde
Wali wa kushiba unaonekana tu kwenye sinia 😊😊
Mungu akulinde... tunakupenda sana
😂😂 vijana hawa wanapenda utani nyie mpo siriaz mtu na mwenyekiti wake wanachezeana
Lisu lisu ✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️
Kamanda mungu yupo na wanao jaribu kukutengenezea mazingira ya kufa watakuacha ukiwa hai ila watapotea bila kujua
Lisu mungu mwema Yuko upande wako
Ndani ya CHADEMA kuna siri nzito ambayo bado haijawekwa hadharani.Tutaendelea kuijua taratibu taratibu.
LISSU LISSU LISSU😂😂😂😂
Lissu mungu akutangulie.
Abduli aliletwa na nani mh. Lissu
Mnakishushia chama heshima, haukua wakati wa kufanya hayo unayoyafanya maana hata waliokua wanakuamini watapoteza imani na wew... 😢
😮😮😮😮😮jisemeee ww binafsi usitujumlishe sawa,kujihami ni muhimu saana muache yeye ndo anatafutwabna sio wewe
Ulimsikiliza vyema Lisu lakin? Shida sio chadema bali wasiojulikana wananjama ya kumsingizia mbowe
Lissu juu
Hakika wahenga walisema "KAMA HUJUI KUFA CHUNGULIA KABURI".
Watu tushindwa usukununu ? Scrutiny ...! Thinkig before decisions
Banson hamuamgalii tundu lisu uson hii inatupa picha gan.
Kuna mnyama fisiem anasema eti unataka uonewe huruma ni mnyama. Na nusu
Good bigi
Jeshi la mtu mmoja
Ivi lissu huwa anatumia kilevi gani😂😂😂😂 kichwa ngumu
Kuku wew
Tunategemea kwa umoja wenu kama Chadema mpambane na vyama vingine na siyo mwenyekiti na makamu! Mnakela
Tunakupenda sana anti pasi ila nashauri na kichwani vaa helmet itapendeza sana
😂😂😂😂😂
yaaani kaanza kuchanganyikiwa sijui😁😁😁😁😂😂😂😂😂😂😂😂😂@@KayagwaElisha
😂😂😂
Tupo pa1 kura yangu unayoo
Hawa wanasiasa haha bora tubaki na kijani yetu tu watatuletea sera za wale
Ujinga elimika
Hiyo ni staili yake hata kwetu ipo unaandaa watu wanakuja kukiomba....
Lissu ni kichwa hasa
Unavaa bulet pruf uonewe huruma,tatizo wewe ni msanii c mwanaciasa.
Kumbe kunaweza kua na hongo kwa wapiga kura
Kisa Cha chama kuwa baridi, Ukweli utakuweka huru Amin 🙏
Msig2a amekugharimu
Hata Kama nyie hamliamini jeshi la polis Kila siku nikutukana vyombo vya ulinzi na usalama lakini ndo vinawalinda acheni ubabaishaji musiwadanganye watanzania
Ukistajabu ya musa utaona ya firauni
Mashitaka ni mazito.
Oky
Ni kweli umevaa bullet lakini kichwa kipo wazi upande wa juu shingoni na kwenye mabega pako wazi risasi nzinapenya sasa Kwa Nini walau usiongeze ulinzi Kwa gari la ziada liwe nyuma Yako hatua 200 Kila unapoenda pia uombe silaha za kununua na uweke walinzi wenye shabaha hasa askari jeshi wastaafu Ili walau uwe salama Kwa hili tishio na omba wananchi wakuchangie kuwalipa walinzi
Usidhani unapendwa sana