yani lisu na mbowe wawaachie vijanaaaaaaa sijui wanakwama wapi ilitakiwa wachukue form wawe hata watano ndo wapambane kwa sera sasa wenyewe chadema sijui hawana vijana wenye nyota za uongozii
Huyu jamaa ana wadhifa wowote huko chini ,au katumia pasi refu kwenda kuwania nafasi ya urais kwasababu hatujawahi kumuona kwenye uongozi wowote wa chama
Haya tena mambo hayo, nikisema huyu ni pandikizi nitakuwa nimekosea? Nijulisheni ndugu zangu, maana yake huyu jamaa sijamuona kabisa kwenye meza kuu au vp jamani?
Ccm hakuna demokrasia mwenyekiti wao wa ccm taifa hawachagui wanasubiri raisi wa nchi ndio wana chukulia form moja kisha wanampigia kura zoote za ndio anakuwa mwenyekiti tofauti na chadema wagombea wanashindana kwa sera then wanapatikana mshindi
@@ramadhanmahongole9293weeee mbn ccm huwa wanachagua sera za maoni.....chadema ndo wanakwamaaa yani wenywewe wanataka wawe wenyeewe tu mfano mbowe toka liniamekuwa kiongozi ni miaka sasa mingi tu...me hadi nikajua chadem ni chama cha mbowe
kumbe kwenye kung,angania madaraka. mpka cdm muna figisu. siwaamin tena. munafnya. wtt wa watu wanatekwa wengine wamekufa siasa. za. bongo. upumbavu mtu bola lisu alivyogombea amefnya tuone mambo mengi
Samia mitano tena❤❤❤❤❤
Mwakahuu chadema imeingiliwa😂😂😂😂 sijui ndo anguko lake
❤❤🎉
Mbowe hajipumzishe kidogo maridhiano yake ni kumkumbatia mama abdull kashampa pesa aitumiee kukiuua chama kwa kujifanya mwenyekiti wa milele
Hapo sawa na waongezeke wengine kuchukua form
Tafadhali ukaojaze vizuri,husikatwe jina lako kwa kukosea ujazaji form.Mungu akupe nguvu.
kweli kabisa
yani lisu na mbowe wawaachie vijanaaaaaaa sijui wanakwama wapi ilitakiwa wachukue form wawe hata watano ndo wapambane kwa sera sasa wenyewe chadema sijui hawana vijana wenye nyota za uongozii
Huyu jamaa ana wadhifa wowote huko chini ,au katumia pasi refu kwenda kuwania nafasi ya urais kwasababu hatujawahi kumuona kwenye uongozi wowote wa chama
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Amsha Popo ndugu yangu.
Chadema tunajidharilisha sana lissu kuchukua fomu,,anapigwa mawe kama mhaini shida nini,,
Asante kwa kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti Taifa ili tuwafunge midomo, tumechoka na ujinga.
Eeeheee kumekucha wanandugu
Hii sura ya kuchukua nchi!!!!!
Mungu akubariki,,hiyo ndio demokrasia ndani ya chadema,,hiyo itapunguza mawe kwa nabii lissu
wawe watano kabisa afu lisu na mbowe wawaachie vijana sijui wanang'ang'ania nini
Hii ndio demokrasi..sio mnamkumbatia mbowee..who is mbowe...... huyuuuuuu anashinda
Unaitwa nani?
Safi sana waongezeke wenge waje na sela zao democracy itawale
umeona eeeeh
Patamu sana,wacha inyeshe tuone panapo vuja
Haya tena mambo hayo, nikisema huyu ni pandikizi nitakuwa nimekosea? Nijulisheni ndugu zangu, maana yake huyu jamaa sijamuona kabisa kwenye meza kuu au vp jamani?
😂😂😂
Haahaa hii ndo demokrasia inayostahili
Mhuu bora hamia CCM
Ccm hakuna demokrasia mwenyekiti wao wa ccm taifa hawachagui wanasubiri raisi wa nchi ndio wana chukulia form moja kisha wanampigia kura zoote za ndio anakuwa mwenyekiti tofauti na chadema wagombea wanashindana kwa sera then wanapatikana mshindi
@@ramadhanmahongole9293weeee mbn ccm huwa wanachagua sera za maoni.....chadema ndo wanakwamaaa yani wenywewe wanataka wawe wenyeewe tu mfano mbowe toka liniamekuwa kiongozi ni miaka sasa mingi tu...me hadi nikajua chadem ni chama cha mbowe
Usimsute mbowe kuwa na akili Kama unachukuwa form uchukuwe Kama wewe
Acheni ujinga, nihaki yake kuchukua form mtu mwingine
Chadema hiyo ndiyo demokrasia ya ukweli
CUF walikuwa 10
Huyu ndio anaegawa pesa na aliyemtaja Lissu mamluki
Wachukue ht kumi kusudi watu wachje anayetakiwa
kumbe kwenye kung,angania madaraka. mpka cdm muna figisu. siwaamin tena. munafnya. wtt wa watu wanatekwa wengine wamekufa siasa. za. bongo. upumbavu mtu bola lisu alivyogombea amefnya tuone mambo mengi
mbinu za mbowe hizo kupunguza kura za lisu,
Huyu alikuwa wa kwanza kutangaza kabla ya lisu
Kiswahili tu shida ila utashinda
Unataka kiswahili cha pwani kwani kiswahili cha Bara hukijui