HII NDIO HILA NA UONGO TULIKUA TUNATUMIA KUPAMBANA NA WAISLAM...by Sheikh Yahya

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 331

  • @mrsliverpool4235
    @mrsliverpool4235 4 ปีที่แล้ว +27

    MashaAllah
    Hapa ni mwendo WA kushare tu hadi kieleweke😋😋😋

  • @princebabu6977
    @princebabu6977 4 ปีที่แล้ว +23

    Sheikh Yahya Wallah nakupenda kwa ajili ya Allah, wahadhiri wa Kenya mnafanya kazi kubwa sana kwa ajili ya Allah Allah awalipe Kheiri nyingi sana bila hesabu. Nafatilia sana mihadhara yenu na mmenipa elimu kubwa

  • @habibyumnisfamily4411
    @habibyumnisfamily4411 4 ปีที่แล้ว +24

    Nakuaminia bro yahyah wewe ni moto wa kuotea mbali,unahekmah sana may Allah protect you always

  • @faisalwaafrica7478
    @faisalwaafrica7478 4 ปีที่แล้ว +12

    Mashallah walai nimefurahi sana hawa walikua wabishi wakat huo wa ujahilia Angalia sasa neema ya Allah🤲🤲🤲

  • @pekomisegese7724
    @pekomisegese7724 4 ปีที่แล้ว +58

    Kweli Nimeamini Qur'an Ni Kitabu Cha Mwenyezi Mungu, Na Mtume Muhammad Rehema Na Amani Zimwendee Yeye Ni Mtume Wa Mwenyezi Mungu.

  • @jhayparism1152
    @jhayparism1152 4 ปีที่แล้ว +25

    Sheikh Yahya nakuombea Dua kwa Mwenyezi Mungu aendelee kukupa Uhai ili uendelee Kuitetea Dini ya haki toka kwa Mwenyezi Mungu Àmiina 🤲🏽

  • @khatraadam540
    @khatraadam540 4 ปีที่แล้ว +10

    Masha allah !! Masha allah !! Allah tu ndio atakupa jazaa yako sheikh sisi niwakukutilia dua . Allah akuhifadhi iliuendelee kuitetea dini ya kiislamu. Amiin

  • @abujamalaalghammawiy7470
    @abujamalaalghammawiy7470 4 ปีที่แล้ว +10

    Allah awalinde masheikh wetu wawe upanga mkali dhidi ya masiokuwa waislam

  • @nasrauwimana2559
    @nasrauwimana2559 4 ปีที่แล้ว +10

    Ma in sha a Allah Allah awajaliye kwa kusema ukweli kaka zangu ndugu zengu wa isilmu

  • @fatmaismail13
    @fatmaismail13 4 ปีที่แล้ว +10

    Masha'Allah Allah azidishie Imani, Ikhlas na ucha Mungu

    • @kenyadawahtv90
      @kenyadawahtv90  4 ปีที่แล้ว +1

      Amin

    • @alimussa5560
      @alimussa5560 4 ปีที่แล้ว +1

      Asylum Aleikum, Maanshallah, My Qurstion to these 2 gentlemen is, what is the binding fact that has and will keep you in Islam. ???? I mean tomorrow when your freinds in the church contact and try to convince you to go back christianity . What is it that above all, that will give to stop their approach for that even the wealth of this world has a whole if given , you would not exchange Islam the religion of truth for anything. ??????

  • @rkenea4262
    @rkenea4262 4 ปีที่แล้ว +13

    ya Allah....Alhamdulillaah yaa Rabby

  • @mwajumamwajuma3756
    @mwajumamwajuma3756 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah wisilam 🤝 🙏 wapeni kheri na baraka hawa mungu kawawezesha ❤️🤝

  • @alimatambwe3402
    @alimatambwe3402 2 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah Jazakhallahu kheiri,Allah awabariki 🙏🙏🙏🙏

  • @ammarmtanzania2447
    @ammarmtanzania2447 4 ปีที่แล้ว +12

    Allah bless you

  • @abdiidaawah-yv9bg
    @abdiidaawah-yv9bg 2 หลายเดือนก่อน +1

    MashaAllah Ustadh Yahya kwa Daawah

  • @saraahmed6413
    @saraahmed6413 4 ปีที่แล้ว +4

    Maashallah umeingi Kwenye dini ya haki na umeelewa Quran Allah akuongoze

  • @salimhamisi327
    @salimhamisi327 4 ปีที่แล้ว +2

    Nakukumbuka sheikh Waziri tulipokuwa waa high school . Nilikuwa nikikuombea mungu akuoneshe njia ya haki..lakini kwa sasa naona mungu alikubali dua zangu...alhamdu lillahi

  • @mohamedturanardan8871
    @mohamedturanardan8871 4 ปีที่แล้ว +1

    Innalilah wainailayh raajiun. Family ya Wahshyy msilie sana. Kuna bishara kubwa sana ya ndugu yetu yupo kwenye starehe kubwa sana na hatamani kurudi tena duniani. Allah amlipe Firdaus. Ameen.

    • @CryptoAirforceOne
      @CryptoAirforceOne 3 หลายเดือนก่อน

      Nani kakudanganya wewe? Ndio maana misikitini mwafunzwa mafundisho ya kisenge kweli

  • @alwaysthink0220
    @alwaysthink0220 4 ปีที่แล้ว +3

    Assalam aleikum ma sheikh sheikh Wazir na sheikh Mohammed tuna wa fwata kwa kiini Sana endelyeni na Imani hiyo ameen

  • @zulekhamohamed2564
    @zulekhamohamed2564 4 ปีที่แล้ว +7

    Inshallah kheri inshallah mungu awaogoze

  • @ummunauthar5959
    @ummunauthar5959 4 ปีที่แล้ว +2

    Raha sana wallah ukiwa muislam ni neema kubwa sana tumshukuru Allah kwa neema hii na Allah atuongoze tuitendee haki neema hii

  • @alibell5246
    @alibell5246 3 ปีที่แล้ว +1

    Wallah nimetoa machoz sana allah shahdi allah awaongoze wote mloslim takbiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiir

  • @kingakomarey2921
    @kingakomarey2921 4 ปีที่แล้ว +2

    Waziiri mwaka 2011 nakumbuka mombasa makadara ground ukisema mm sitawai kuingia uislamu na sai nafurahi zaidi haki Ahamdulilah mungu Atufanye wale wataonana peponi sote brother

  • @hamadamabali2895
    @hamadamabali2895 4 ปีที่แล้ว +5

    Sheikh Yahya tuletee Historia za Hawa ndugu zetu zilizowapelekea wao kusilimu In sha Allah

  • @fauzishma8033
    @fauzishma8033 4 ปีที่แล้ว +2

    Sheikh wahshi Allah amsamehe madhambi yake na amweke mahala pema peponi

  • @ambbabu4122
    @ambbabu4122 4 ปีที่แล้ว +7

    MASHAA ALLAH... Yarrab waswamehe waja wako hawa

  • @mussamohanedmohamed7092
    @mussamohanedmohamed7092 4 ปีที่แล้ว +2

    Wallah thhumma,,Wallah,,
    Allah awaongoze,na Inshaa Allah,,muwarudishe,wale mulio,wafanya waritadi INSHAA ALLAH

  • @yaswe5017
    @yaswe5017 4 ปีที่แล้ว +11

    corona jamani ishaa watu waanze miadhara ya Allah tunusuru yaarabi

    • @kenyadawahtv90
      @kenyadawahtv90  4 ปีที่แล้ว +1

      Ndio Dua zetu itaisha inshaAllah

  • @achanifumos1093
    @achanifumos1093 3 ปีที่แล้ว

    Siku zote tunajua kuwa ukweli haufichiki... km alivo sema ALLAH..WAKALIMATULLAHI HIYAL ÙLYA...mwenye enzi mungu azidi kuwaongoza hao na ss na jamii islamu

  • @choloissa3004
    @choloissa3004 4 ปีที่แล้ว +4

    💪 yahya Muhammad wahshi nguvumoja

    • @eastafrica6858
      @eastafrica6858 3 ปีที่แล้ว

      Takbiiiir ndacha akangwe chips

  • @kijangwazay7711
    @kijangwazay7711 4 ปีที่แล้ว +2

    Kaka zangu
    Wahshi na muhammadi mmenikosha sana nawaombea kwa Allah awahifadhishe qur an ndani ya mwezi mmoja tu muweze kuutetea uislam Allah atuondolee huu ugonjwa ili muweze kuzunguka kila kona ya dunia mrejeshe waislam muliowaritadisha

  • @mwanamgenihussein254
    @mwanamgenihussein254 4 ปีที่แล้ว +3

    Masha Allah barakallahu fiikum. Allah awape maono ya ndani kabisa ya Qur'an. From Zanzibar

  • @kijanahodari2080
    @kijanahodari2080 4 ปีที่แล้ว +7

    MashaAllah inafaa wapate mikutano nchi nzima jinsi walivyokuwa wakiweka viraka ili wadanganye watu

  • @jamilshisia5929
    @jamilshisia5929 4 ปีที่แล้ว +2

    MashaAllah ustadhi yahya mwenyezi Mungu aendelee kumuongoza

  • @Kazubassyathyvry89
    @Kazubassyathyvry89 4 ปีที่แล้ว +1

    Karibuni katika uislam,Allah awahifadhi

  • @mk-uf7th
    @mk-uf7th 2 ปีที่แล้ว +2

    Ajaaib. This is exactly what they taught wakina Ndacha na Onyango lakini I have seen so many debates between Ndacha,Onyango na Muslim preachers and 100% it was clear to anyone with their right mind that the Muslim speakers have more knowledge and understanding off head without looking at the Bible or the Koran and were winning their argument thats why so many Kenyans were converting in the muhaadaras even in the presence of Ndacha and Onyango and other preachers. The one thing that I have frequently noticed is that Kenyans are very smart and open minded and they go with what makes sense.

  • @ilovejesus666
    @ilovejesus666 4 ปีที่แล้ว +17

    Natamani ningewaalika kuja kula idd na mim uku Tanzania 🇹🇿 🇹🇿 sema uwezo

    • @popod177
      @popod177 4 ปีที่แล้ว +2

      Waashi ametuacha jana jioni ndugu..innalillahi wainnailaihi rajuun

    • @mahamedabdi1881
      @mahamedabdi1881 4 ปีที่แล้ว +2

      Innalilah wainnilah rajjoun

  • @AliKhan-fr8jt
    @AliKhan-fr8jt 4 ปีที่แล้ว +3

    Wahshi may Almighty Allah grant him in janatul firdaus

  • @godisgreat1845
    @godisgreat1845 4 ปีที่แล้ว +5

    Kwa kweli mimi ni mfuatiliaji wa mihadhara yenu japo sipo Kenya ila nilichokiona kwa Sasa Hawa watu Akina Ndacha Kasina Onyango wameanzisha mafundisho wakiwa nyumbani mwao na wao kwa ujumla wao nimewauliza masuali 12 Sasa ni mwezi wa pili sijapata majibu na naamini hawana majibu hadi siku ya kiama niliwauliza hivi
    1 wanipe majina ya Mungu japo 5 kwa lugha wanazozifahamu ikiwemo kiswahili kwa (maandiko)
    2.Yessu atarudi Duniani JE? Atarudi kama Nani A Mungu B Mtume C Mwana wa Mungu
    3 Yessu alibatinzwa na Yohana kama wanavyodai swali ni Yohana ni Yohana yupi Kati ya wawili na ili kuwa wapi kwa maandiko
    4. Andki katika Bible ukristo ni dini
    5. Kanisa la kwanza lilijengwa wapi mwaka gani
    6. Paulo ni Mtume wa Nani A. Mungu B. Yessu
    7. Torat Zaburi na Injili original ziliandikwa kwa lugha gani na inapatikana wapi kwa Sasa
    8. Yessu laizaliwa mwezi wa ngapi kwa ushahidi maandiko.
    9. Andiko linasema KWA MAANA JINSI HII MUNGU ALIUPENDA ULIMWENGU HATA AKAMTOA MWANA WAKE WA PEKEE ILI KILA AMUAMINIAE ASIPOTEE AWE NA UZIMA WA MILELE JE? Nina alukusudiwa Kati ya Ibrahim Mussa Daud Issa (Yessu ) kwa maandiko.
    10. Krismas ni sherehe ya nini kwa maandiko
    11. Andiko linasema sikutumwa ila kwa kondoo walio poteza wa nyumba ya Israel maneno haya alisema Nani na hili andiko ni la kweli au limetungwa na wandishi ushahidi kwa maandiko
    12 wakristo wanafanya ibada vipi na kwa mafundisho ya kitabu gani ushahidi wa maandiko
    Wallah masuali haya kama hajasima muhadhiri wa Kiislamu basi hakuna kafiri yoyote atajibu

  • @boraihano2612
    @boraihano2612 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyezi Mungu amsamehe ndungu yetu na sisi hote atusamehe mazambi yetu na atubariki Jan amin

  • @asdfnfmd5466
    @asdfnfmd5466 4 ปีที่แล้ว +7

    ASALAM Aleikum ww karibuni sana kaka zetu katika uislam mlipoteza wengi sana kama mnavo sema bac ndugu zetu na nyinyi mjaribu kuwaokowa mlio wapoteza mtakapo weza mnajua ukweli ila hao jama wengi wanaamini hawajui please muwarudishe wenzenu msiwaache wakapotea ziada SubhanaAllah

    • @saidasheikh8215
      @saidasheikh8215 4 ปีที่แล้ว

      ALLAHUAKBAR

    • @moestate9982
      @moestate9982 4 ปีที่แล้ว

      mashaallah Karibu kwenye dini ya haki mwenyezi mungu awajalie afya muitangaze dini yake vizuri Amiin

    • @oman7710
      @oman7710 3 ปีที่แล้ว

      Allahu akbar

  • @sadiaabed6687
    @sadiaabed6687 4 ปีที่แล้ว +1

    Lailahaillah a jamani hawa kumbe wanajuwa kila kitu subhanallah yani mm niliona nimashekhe wanatupa mawaidha kumbe ni wale walokuwa wanakosowa Qur'an mungu awaongoze kwanjia ilio nyooka na mulowatowa kwa uislamu naomba waione hii vedeo wajuwe kweli njia ya haki ni islamu mulowapoteza ili na wao waingie kwa dini yao inshaallah hata huamini kama walikuwa ni mapasta maana hawana hata sura ya kuupotosha uislamu kwanza hata sura zao ni zakiislamu ewe mungu wasaidie waja wako waijuwe dini ya hakki insaallah

  • @hassanidha3744
    @hassanidha3744 4 ปีที่แล้ว +2

    mashaaallah wahshy na mohammad twamuomba Allah asiwaonyeshe tena ile njia ya upotovu na kuwahifadhi na fitna za dajjal

  • @ibrahimhajji6210
    @ibrahimhajji6210 3 ปีที่แล้ว +3

    May Allah forgive our brother wahshi and expand his grave and shower him with his mercy.

  • @ashurar2721
    @ashurar2721 4 ปีที่แล้ว +5

    MMH allah karim

  • @saleheomari7270
    @saleheomari7270 4 ปีที่แล้ว +3

    Allah awaongoze njia sahih inxhallah

  • @lacroquetalacroqueta6813
    @lacroquetalacroqueta6813 4 ปีที่แล้ว +1

    MashaaAllah, Allah awamiminie baraka zake, msema kweli ni kipenzi cha Allah na waombea awahifadhi nakila shari za kila aina, Saum Maqboleen

  • @innocentbaraka7609
    @innocentbaraka7609 3 ปีที่แล้ว

    Hata na ninyi hamukukuwa wakristo wakati wowote , na hamujuwi munacho kikimbiya (Yesu Kristo atabaki yule yule wa Jana Léo na hata milele Amina).

  • @ritanget9174
    @ritanget9174 4 ปีที่แล้ว +2

    Hata shetani apinge yesu atahubiriwa hallelujah

    • @millicentayangokunting3728
      @millicentayangokunting3728 4 ปีที่แล้ว

      Kabisaaaaa

    • @alraident8068
      @alraident8068 4 ปีที่แล้ว

      @@millicentayangokunting3728 tafuteni haki iko wapi. Msome maandiko, uache ushabiki.

    • @samsonezekiel9232
      @samsonezekiel9232 4 ปีที่แล้ว

      Yes

    • @ritanget9174
      @ritanget9174 4 ปีที่แล้ว

      @@alraident8068 hakuna ushabiki Bible isha sema Yesu ni njia kweli na uzima wa milele mtu haji kwa Baba ila kwa njia yangu toa andiko kama hili kwa quran Mohamad ni njia kweli na Uma wa milele niwe muislamu na jina langu nitaitwa Zainab

    • @alraident8068
      @alraident8068 4 ปีที่แล้ว

      @@ritanget9174 Eka promise nikikupa aya utasilimu. Na ukijiita zainab mm nitakuita Mamangu

  • @duniaabdallah2852
    @duniaabdallah2852 4 ปีที่แล้ว +4

    Nimetoa machozi Sana mungu Awalinde wote waliosilimu

  • @mwajumamwajuma3756
    @mwajumamwajuma3756 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallah wisilam maustdh mungu awape kheri waelekeze wakirsto waliosilimu mungu awafanyie wepes insha'Allah 🤝❤️🙏

  • @issmuking3987
    @issmuking3987 3 ปีที่แล้ว

    Allah atupe pepo na awafungulie mwangaza ndugu zetu na sisi Allah atushibishe katka imani na dini ya Allah ameen

  • @hassanhussein5070
    @hassanhussein5070 4 ปีที่แล้ว +2

    Edd Mubarak.taqballahu mina waminkum

  • @innocentbaraka7609
    @innocentbaraka7609 3 ปีที่แล้ว

    Wapotevu ninyi (Yesu Kristo ni mwana wa Mungu aliye pekee)

  • @AbdulAbdul-vp2np
    @AbdulAbdul-vp2np 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah furaha ulioje kujua ukweli, uislamu kweli ni raha

  • @omapuga4571
    @omapuga4571 4 ปีที่แล้ว +2

    Allah awalipe firdausi siku ya kiama

  • @ibrahimkazigo2660
    @ibrahimkazigo2660 4 ปีที่แล้ว

    Sheikh yahya kazi nzuri saaaaana usilamu raha

  • @aishasaid5702
    @aishasaid5702 4 ปีที่แล้ว +1

    Takbiiiir

  • @katibatanzania3089
    @katibatanzania3089 4 ปีที่แล้ว

    Maashaallwaa maashaallwaa mashehe wetu maabruky takbiira

  • @francinensavyimana5601
    @francinensavyimana5601 4 ปีที่แล้ว +4

    🤣🤣🤣🤣 ati viraka vtakukubalisha nini wallah semenikweli ayo nimatunda yawene kulinganiya dini Allah awalipe mimwenyewe nilikua mukristo ivi kunakituca Mutume nikikisikiya nalia kweli kweli Allah atupe pepo nakutulinda muto ule InshaAllah

    • @daudimmary3965
      @daudimmary3965 4 ปีที่แล้ว

      Amiin inshallah, Allah akuongoze zaidi akhh

  • @wariditambi8679
    @wariditambi8679 ปีที่แล้ว +1

    Alihabdulilah uisilam raha jaman nineema kubwa sana

  • @saodashaban3449
    @saodashaban3449 4 ปีที่แล้ว

    Allah awajalie ote hawa ndugu zetu alotangulia mbele ya haki na uyo alokiwa hai mola atujalie mwisho mwema

  • @myoutubecom-gg7sb
    @myoutubecom-gg7sb 3 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah barakat

  • @ritanget9174
    @ritanget9174 4 ปีที่แล้ว +2

    Mwandishi wa kwanza kuandika bibilia ni mungu mwenyewe bisheni

    • @thelalas9204
      @thelalas9204 4 ปีที่แล้ว +1

      Tunasikiliza viongozi wako waliosilimu muda wa kubishana hatuna

    • @jumjumsaid3552
      @jumjumsaid3552 4 ปีที่แล้ว

      Andiko unalo mungu ameandika

    • @wahidashabaz5982
      @wahidashabaz5982 4 ปีที่แล้ว

      @@thelalas9204 😁😁👌senkiyuuu

    • @fahadkhalfan2079
      @fahadkhalfan2079 4 ปีที่แล้ว

      Laiti ungejua asili ya neno bibilia usingethubutu kucomment utumbo huu😅😅😅😅. Ww bisha kiume ila pembeni omba mungu akubakishe ktk ukristo km ukristo ndio kweli na omba mungu pia akupeleke palipo kweli kama ukristo sio kweli. Dua ikikubaliwa utajikuta automatically umevaa kanzu upo zako msikitini, I promise u. Ww omba mungu akulainishe moyo na kukutia nguvu kwenye kweli na haki.

  • @fahadtimimi9335
    @fahadtimimi9335 4 ปีที่แล้ว

    MashAllah mabroook...wamependeza Wana nuru sahii

  • @siwajibufarida3428
    @siwajibufarida3428 4 ปีที่แล้ว +1

    Ma shaa Allah

  • @fatumamohamed4518
    @fatumamohamed4518 4 ปีที่แล้ว +10

    subhanalah
    sijajua kuna vitabu ya ukora
    astaghfirullah

    • @abdimsagati9667
      @abdimsagati9667 4 ปีที่แล้ว

      Tunakoelekea uisilam utaenea ulimwengu mzima mungu anahaza kutenda haki nakuwaondoa kwenye shiliki

  • @duniaabdallah2852
    @duniaabdallah2852 4 ปีที่แล้ว +2

    Sawa sawa

  • @zuwenamohd4372
    @zuwenamohd4372 4 ปีที่แล้ว

    Maa shaa allah, Uislam ni Rahaaa... hauna shaka ndani yke Alhamdulillah..

  • @popod177
    @popod177 4 ปีที่แล้ว +1

    Waashi umetuacha,innalillahi wainnailahi rajuun

  • @najmamohmad6348
    @najmamohmad6348 4 ปีที่แล้ว

    Ma shaa Allah Mungu awape umri mrefu muwe kwenye daawa kuueneza uislam ndio muwaelimishe walio baki

  • @mcharoadam3953
    @mcharoadam3953 4 ปีที่แล้ว

    Allah akuongoze shekh Yahaya kwa kazi nzuri inshaallah

  • @ilovejesus666
    @ilovejesus666 4 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah

  • @hamisimuhammad6225
    @hamisimuhammad6225 2 ปีที่แล้ว

    Allah Akbar

  • @abdinasirmohamed2238
    @abdinasirmohamed2238 4 ปีที่แล้ว +3

    💪💪💪🙏🙏🙏

  • @salimnazir6000
    @salimnazir6000 4 ปีที่แล้ว

    Mashallah ALLAHS nur glowing on ur faces

  • @alhaddajmohammed4768
    @alhaddajmohammed4768 3 ปีที่แล้ว

    Inshaallah simsahau na Askof Gwajima anawaongopea sana Wakristo, anawarithisha Wakristo kukariru uwongo!

  • @sadiaabed6687
    @sadiaabed6687 4 ปีที่แล้ว +2

    Angaliya dini ya kiislamu inao wan'garisha watu kuliko ukristo jamani kanisa jamini huwa nigiza mpaka hata mwili huwa hauna nuru angalia wanavyo n'gara sasa

  • @supumoto6819
    @supumoto6819 4 ปีที่แล้ว +4

    Mbona wakiristo hawa comment? Njooni tunawapenda . Kufundishana nimuhimu

    • @ummunauthar5959
      @ummunauthar5959 4 ปีที่แล้ว

      supu moto wapo maana dislikes zipo wameshindwa tuu cha ku comments

    • @hilalhilal8400
      @hilalhilal8400 4 ปีที่แล้ว

      Washasilimu na washajua ukweli

    • @supumoto6819
      @supumoto6819 4 ปีที่แล้ว

      @@hilalhilal8400 tumempoteza NDUGU yetu wahshy tayar, ametagulia mbele ya HAKI

    • @habelkalume9011
      @habelkalume9011 4 ปีที่แล้ว

      @@supumoto6819 Mbona dhundi alikuwa vizuri wakati wote huo akiuhubiri ukristo sasa amesilimu anakufa taari? Hawa Mabwana muliwaweza ila kama walikuwa wanauhubiri uongo basi mbona watumie vitabu wasome wazi? Ukiacha kuihubiri kweli ukitamania mali,fedha na sifa za ulimwengu huu kwa Mungu hauna umuhimu wa Kuishi tena,,,,,Sasa Ndundi Mungu amempumzisha ili kile kiburi kisiendelee angojee hukumu sasa...Na Waziri Yesu anasema ni mimi unayeniudhi .. .......Wakati upo bado Yesu anakupenda

    • @supumoto6819
      @supumoto6819 4 ปีที่แล้ว

      @@habelkalume9011 ikiwa wataka kujua haki mskilize MANENO ya marehemu dhundi kwa makini utamuelewa VIZURI sana

  • @jaffarumar5258
    @jaffarumar5258 4 ปีที่แล้ว

    Shukran sana Ustsdh yahya nice clip ma sheikh wanachekesha sana hao...sasa sheikh Yahya Tafadhali waite tena na uwape mda mrefu tafadhali ustadh.Wanabamba sana😂😂

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 3 ปีที่แล้ว

    Allah Akbar!

  • @samanthaali873
    @samanthaali873 4 ปีที่แล้ว +1

    Allah Kareem

  • @yussufomar7651
    @yussufomar7651 4 ปีที่แล้ว +1

    MashaALLAH

    • @sapoayubu2374
      @sapoayubu2374 3 ปีที่แล้ว

      Sapo %yaallha tunakuomba wape mwisho mwema nduguzetu

  • @fatumahamis4257
    @fatumahamis4257 3 ปีที่แล้ว

    Allah akurehemu ustadh ndundi

  • @eddyeddy7151
    @eddyeddy7151 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah

  • @aishasaid5702
    @aishasaid5702 4 ปีที่แล้ว

    Wallah wamependeza walivyovaa hizo kofia za kiua Maa shaa Allah

  • @kutailadifi2854
    @kutailadifi2854 4 ปีที่แล้ว

    Ha ha haaa wallah uislam raha SANA karibun ktk dini y hakh na Allah akuongozen sheikh yahya Hongera sana kwakaz Nzur muifanyayo Allah akujaalie pepo inshaallah

  • @khalidawadh1204
    @khalidawadh1204 4 ปีที่แล้ว

    Subhana Allah

  • @d-manb-free3478
    @d-manb-free3478 4 ปีที่แล้ว

    Shukran!Takbir!!!

  • @MoherZO
    @MoherZO 3 ปีที่แล้ว +2

    Uislamu ni dini ya haki Mimi na shahadia kuwa apana Mola apasae kuabudiwa kwa haki ispokua Allah na Muhammad ni mtume wake

  • @bahatihadijabahati7456
    @bahatihadijabahati7456 4 ปีที่แล้ว

    Masha Allah

  • @mussaally6983
    @mussaally6983 4 ปีที่แล้ว

    Munguakujarie

  • @hashim8130
    @hashim8130 4 ปีที่แล้ว

    Maashaallah maustadh

  • @mordally
    @mordally 4 ปีที่แล้ว

    Mashallah Allah awabarik wahadhir wote

  • @nasrauwimana2559
    @nasrauwimana2559 4 ปีที่แล้ว +2

    Yani nina sikiya na furayi kwakweli Mungu azidi kuwajaliya kabsa musi rudi nyuma muzidi katika njiya yahaki

    • @kenyadawahtv90
      @kenyadawahtv90  4 ปีที่แล้ว

      Amin

    • @salmaissa9793
      @salmaissa9793 4 ปีที่แล้ว

      Lkni ni kumuomba Allah iwe wameyafanya kwa yakini na si kwa maslahi yao,, ama kuhadaa,, maana Kuna yule kijana anajiita Paul hassan aliisoma dini vizuri ya kiislamu na mwisho we akawa mkristo na kuchafua uislam na ilmu yake ya dini,, Kisha akarudi Tena kwa uislam kumbe yuko thu a natumiwa na wakristo achafue uislam na kwa mikataba,,, mwisho alirudi kua mkristo thena na Sasa Ana kazi ya kumchafulia sheikh Yusuf Jina kua ananunua wakristo,, ambalo ni jambo baya Sana njama za mapaster,, kujiunga na uislam Kisha kurudi ukristoni na kuharibia wahadhir WA kiislamu majina,,, kama Hawa wameslim ni kwa yaqini kuthoka kwa Allah basi Allah awatibithisshe katika dini na kama ni njama zao,,, basi Allah azivunje zao dhamiri wasiweze kufanikiwa

    • @hansiselemani8025
      @hansiselemani8025 4 ปีที่แล้ว

      @@kenyadawahtv90
      Hao walikuwa wakinanani walioslimu mohamed waziri na mwenzake

  • @khalidawadh1204
    @khalidawadh1204 4 ปีที่แล้ว

    Allah akuifadhi waziri Allah maak

  • @jamilshisia5929
    @jamilshisia5929 4 ปีที่แล้ว +2

    Allah Akbar walai nasikia raha kweli

  • @oman7710
    @oman7710 3 ปีที่แล้ว

    Subhanallah

  • @mrboma4343
    @mrboma4343 4 ปีที่แล้ว +1

    Allah pekee walai

  • @frankmjuli4492
    @frankmjuli4492 4 ปีที่แล้ว

    ALLAH AKBAR UMEIYONA HAQIIIIIIIIIII TAKBIL