Amon & Upendo Kilahiro Nani Kama Wewe 'Nyimbo Za Kuabudu' Official Video

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 34

  • @samsonamugune9395
    @samsonamugune9395 5 ปีที่แล้ว +10

    this songs will never grow old, I love the way God is using this wonderful couple.

  • @florameza9529
    @florameza9529 4 ปีที่แล้ว +5

    Ila shetani huyu siamini kama mmetengana upendo ukafunga na ndoa kabisa wakati umesema nani kama bwana

  • @bettyjohn2978
    @bettyjohn2978 3 ปีที่แล้ว +3

    Hongera sana dada nyimbo zako zinanifariji sana hasa katika magumu nayopitia ubarikiwe sana na bwana

  • @machumumujaya3449
    @machumumujaya3449 7 ปีที่แล้ว +6

    jamani kuna nyimbo hadi inasisimua mwili.mbalikiwe saana watumishi..AMEN

  • @Beviy
    @Beviy 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hata nikitingizwa na shida za dunia bado utabaki kuwa Mungu nyakati sote

  • @gianahosea8934
    @gianahosea8934 3 ปีที่แล้ว +3

    2021Tunasikiliza

  • @zakariajoseph3538
    @zakariajoseph3538 3 ปีที่แล้ว +2

    Wow naupataje wimbo huu

  • @Kibaadvocate
    @Kibaadvocate 2 ปีที่แล้ว +2

    Duuuu maisha haya eti wametengana eeeee MUNGU turehemu

  • @florameza9529
    @florameza9529 4 ปีที่แล้ว +4

    Upendo, upendo mungu anakuona umefunga ndoa nyingine marekani huyu mungu uliyekuwa unamtukuza sooo painful

    • @emmanueljohn8970
      @emmanueljohn8970 3 ปีที่แล้ว

      Sababu za kuachana ni nini yaani nipo kwenye Devotional saa 6-7 usiku huu MPAka nimesikitika.

    • @florameza9529
      @florameza9529 3 ปีที่แล้ว

      @@emmanueljohn8970 waimbaji wetu hawako ki mungu wako kimaslahi upendo aliondoka kumbe alikuwa na mwanaume kufika marekani akafunga ndoa na alishajifungua

  • @irenesamson4178
    @irenesamson4178 8 ปีที่แล้ว +4

    ni kweli hakuna Mungu kama Mungu wetu mtenda maajabu, mfanya ishara kuu.Alfa n Omega.. ooh I love this God..He is soo amaizing

  • @luciangallet8050
    @luciangallet8050 3 ปีที่แล้ว +3

    This song is always new

  • @halimamashed1904
    @halimamashed1904 4 ปีที่แล้ว +2

    Amen 2020 tunakushukuru Bwana kwa maana wewe ni mwanifu na hujibu kwa wakati

  • @nattannzowa9075
    @nattannzowa9075 4 ปีที่แล้ว +1

    nani kama mungu hakuna mwengne zaidi ya mungu asante kwa kuniponya yesu

  • @jacquelineraphael3934
    @jacquelineraphael3934 3 ปีที่แล้ว +2

    Hakuna km wewe jehovah📖🙏

  • @rebound2179
    @rebound2179 3 ปีที่แล้ว +1

    God abundantly bless the Kilahiro family for this wonderful praise song.

  • @judithndoweka7938
    @judithndoweka7938 5 ปีที่แล้ว +2

    Mkowap jamani nyie huwa mnanibalikili Sana haswa nikiwaga ktk magum huinuliwa na Nyimbo zenu mungu awainue tuwaone mkihubili kupitia Nyimbo za Mungu.

  • @estherjohn8821
    @estherjohn8821 6 ปีที่แล้ว +2

    huwa nikiskiliza nyimbo zenu mr &mrs kilailo mnanibariki sana

  • @kentismurylah4790
    @kentismurylah4790 7 ปีที่แล้ว +3

    napenda nyimbo zenu sana
    natumai bado mnatunga na kuimba nyimbo zingine nyingi za kuabudu mmekua wabaraka sana maishani mwangu barikiweni nanyi pia

  • @jacquelineraphael3934
    @jacquelineraphael3934 3 ปีที่แล้ว +2

    Hakuna mwingine km🙏 wewe Bwana

  • @rinharinha2262
    @rinharinha2262 6 ปีที่แล้ว +4

    Penda sana izi nyimbo mbarikiwe sana

  • @sinaibillionare3614
    @sinaibillionare3614 7 หลายเดือนก่อน +1

    2024 GOD IS GOOD ALWAYS 🔥🔥🔥

  • @danielgeoffrey3119
    @danielgeoffrey3119 6 ปีที่แล้ว +2

    Mungu awabariki sana wapendwa

  • @nonyiisaya7822
    @nonyiisaya7822 7 ปีที่แล้ว +1

    good nice, hakuna mkuu chini ya jua

  • @victorkimutai1158
    @victorkimutai1158 3 หลายเดือนก่อน

    God is always good

  • @judithdonath6731
    @judithdonath6731 5 ปีที่แล้ว +3

    Jaman amon ndo kaachwa dah upendo not good kuolewa tena

  • @onethingremains2853
    @onethingremains2853 6 ปีที่แล้ว +2

    Keeli hakunamwemgine mubarikiwe

  • @henrytimothy3048
    @henrytimothy3048 ปีที่แล้ว

    Fungueni huu wimbo tuudounlod kwa utukufu wa bwana tunauangalia kwa bando tukikosa mioyo yasononeka

  • @mathewmselle7331
    @mathewmselle7331 2 ปีที่แล้ว

    Mshiriki wa tatu katika huu wimbo anaitwa nani?....anaefanya backup kwa upendo mwishoni