ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Kazi nzuri mwalimu @valentine oseso. Naomba tu kujua iwapo mzizi wa neno 'shangilia' ni 'shangili-' au ni 'shangil-'
Kazi nzuri mwalimu. Maelezo yako yamewasaidia wanafunzi wangu sana.Naomba unisaidie notes ulizotumia tafadhali
Kazi mufti. Nitaainishaje neno 'Apendwaye'
a- nafsi ya tatu umojapend- mziziw- kauli ya kutendwaa- kiishioye- kirejeshi 'o' tamati
Tafadhari tupeee video ya aina za sentensi pamja uchanganuaji wa sentensi kwa njia ya jedwali matawi na mshale
Unasomesha vizuri
Sawa 👍
Mwalimu 2naweza wasiliana
Nitumie nambari ya simu
Mwalimu samahn Katka orodha ya maswali yako uliyotoa je uchambuzi wa viambishi katka neno WALISOMESHANA UKOJEJE ,N HIVI (kwaufupi)wa-li-somesh-ean-a
Mwalimu samahani naomba unisaidie hili swali. Kila kiambishi ni mofu lakini si kila mofu ni kiambishi thibitisha kauli hii kwa hoja tano
kazi ya ka katika a-ta-ka-ye-m-som-esh-a ni nini tafadhali?
Viambishi,!!!
Je viambishi vya neno vumilia ni?
Habari mwalimu naomba unisaidie ili swal kila kiambishi ni mofu lakini si Kila mofu ni kiambishi.thibitisha kauli hiyo kwa hoja sita ,kila hoja iwe na mifano sita ya maneno ya kiswahili yenye asili ya lugha ya kiarabu
SAUT students 😊
@@bizzydecharles9621😂😂😂😂🎉😢
Tupee video ya virai na vishazi pliz
Nitashughulikia...
Kazi nzuri mwalimu @valentine oseso. Naomba tu kujua iwapo mzizi wa neno 'shangilia' ni 'shangili-' au ni 'shangil-'
Kazi nzuri mwalimu. Maelezo yako yamewasaidia wanafunzi wangu sana.
Naomba unisaidie notes ulizotumia tafadhali
Kazi mufti. Nitaainishaje neno 'Apendwaye'
a- nafsi ya tatu umoja
pend- mzizi
w- kauli ya kutendwa
a- kiishio
ye- kirejeshi 'o' tamati
Tafadhari tupeee video ya aina za sentensi pamja uchanganuaji wa sentensi kwa njia ya jedwali matawi na mshale
Unasomesha vizuri
Sawa 👍
Mwalimu 2naweza wasiliana
Nitumie nambari ya simu
Mwalimu samahn
Katka orodha ya maswali yako uliyotoa je uchambuzi wa viambishi katka neno WALISOMESHANA UKOJE
JE ,N HIVI (kwaufupi)
wa-li-somesh-ean-a