Samahani mwalimu kwa hili lakini shuleni tulifunzwa kuwa kuna aina tatu pekee ya shamirisho isipokuwa Chagizo tofauti na ulivyoeleza. Kwa sababu shamirisho ni nomino inayopokea athari za tendo katika sentensi ilhali chagizo ni sehemu ya sentensi inayofanya kazi kama kielezi bali chagizo ni kielezi na si nomino kama ilivyo shamirisho asante
Nashukuru sana mwalimu 🎉
Kazi safi mwalimu.
We need more videos
video zaidi mwalimu, hasa katika fasihi andishi inayotainiwa sasa.
Samahani mwalimu kwa hili lakini shuleni tulifunzwa kuwa kuna aina tatu pekee ya shamirisho isipokuwa Chagizo tofauti na ulivyoeleza. Kwa sababu shamirisho ni nomino inayopokea athari za tendo katika sentensi ilhali chagizo ni sehemu ya sentensi inayofanya kazi kama kielezi bali chagizo ni kielezi na si nomino kama ilivyo shamirisho asante
Comrade🤝
Bila shaka
Nice keep them coming
Kazi nzuri
Asante mwalimu.Nina swali lakini yeyote anaweza kulijibu swali hili.
Tambua shamirisho katika sentensi ifuatayo (alama 3)
Alipakuliwa chakula kitamu kwenye sinia.
Mwalimu jibu ni lipi?
Asante mwalimu
thanks 👍
👏👏👏👍👍👍
Thanks Tr nmeelewa
thank understood it well
Kuntu kaka.
Thanks
Tuachie number mwalimu kuna topic inanichenga
0711469743