Video Tenzi no 56. Ni siku kuu (MBARIKIWA)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 25

  • @queenesther2639
    @queenesther2639 ปีที่แล้ว +6

    Hongera Sana Mtu wa BWANA YESU makanisa duniani yamejazwa na wanawake lkn kanisa hili ni kinyume ni kanisa la Kwanza kuwa na wanaume wengi kiasi hiki

  • @petermwenda6470
    @petermwenda6470 ปีที่แล้ว +3

    Wimbo huu ukiisikiliza Kwa earphones unasikia kila tone na hisia zabmwimbaji. Ubarikiwe Sana pastor umeimba Kwa hisia Kali zinazofanana na kilichoumbika moyoni mwako

  • @jacquelinemassengo5466
    @jacquelinemassengo5466 ปีที่แล้ว

    Barikiwa baba Mbarikiwa, kila na pedal ku sikiya ihi nymbo, amen siku ku ni Ile YESU ameoshia Nzambi zangu musalabani

  • @jacquelinemassengo5466
    @jacquelinemassengo5466 ปีที่แล้ว +1

    Amen Amen Amen ❤, Asante Mbwna kwa siku ume nihoshia Nzambi zangu,Mungu baba uni saïdiye nifike kanisani ya baba Mbarikiwa 🎉❤

  • @SEMANKA97
    @SEMANKA97 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu wetu aliyehai katika utukufu wake wa milele

  • @eligiuselias4469
    @eligiuselias4469 ปีที่แล้ว +1

    Amen amina baba amina, ni sikukuu ya kwoshwa dhambi zanguu kuuuu💪

  • @noelmwembe
    @noelmwembe ปีที่แล้ว

    Hakika wimbo umejaa neema mpaka imezidi sana sana sana

  • @jacquelinemassengo5466
    @jacquelinemassengo5466 ปีที่แล้ว

    🎉❤Mungu amibariki Sana baba Mbarikiwa

  • @ugalidona-cs2yn
    @ugalidona-cs2yn ปีที่แล้ว

    Kweli Mwokozi mpaka hapa mlipo mmemkili MWOKOZI, Na Dunia Imejua kuwa yupo Alie Mkuu kuliko wao na kuliko Vyeo Vyote Vya hapa Duniani.,Amina.

  • @jacquelinemassengo5466
    @jacquelinemassengo5466 ปีที่แล้ว

    Alleluia amen, être avec toi mon sauveur Christ c'est avoir la paix du Coeur et joie de vivre ici bas, prenné tout mais laissez moi Jésus mon seigneur ❤🎉❤❤❤

  • @dominiqueharerimana5536
    @dominiqueharerimana5536 6 หลายเดือนก่อน

    Namimi ndo siku kuu yangu

  • @dominiqueharerimana5536
    @dominiqueharerimana5536 3 หลายเดือนก่อน

    Unajifikili kwa nebo hili (tuliisha kupatana yeye wangu Mimi wake.)?

  • @Mja1rz
    @Mja1rz ปีที่แล้ว

    "...Na umonaki (UTAWA wa MAPADRI) wameuzua wao. Sisi hatukuwaandikia hayo, ila kutafuta radhi za Mwenyezi Mungu. Lakini hawakuufuata inavyo takiwa kuufuata. Basi wale walio amini katika wao tuliwapa ujira wao. Na wengi wao ni wapotovu." (Qur'an 57:27)

  • @sarifusteven4634
    @sarifusteven4634 ปีที่แล้ว

    Songambele Mtumishi

  • @dominiqueharerimana5536
    @dominiqueharerimana5536 10 หลายเดือนก่อน

    Amen and amen and amen and amen and amen and amen❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @dynesdaud564
    @dynesdaud564 ปีที่แล้ว

    Ameeen 🙏🙏

  • @jacksonprosper3267
    @jacksonprosper3267 ปีที่แล้ว

    Barikiwa Sana baba

  • @sayunimkongwa9830
    @sayunimkongwa9830 ปีที่แล้ว

    Ni sikukuu ya kuoshwa dhambi

  • @hongerapatrickmtweve6765
    @hongerapatrickmtweve6765 ปีที่แล้ว

    Ameen

  • @dovickybruno3861
    @dovickybruno3861 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @AloyceDuma
    @AloyceDuma ปีที่แล้ว

    Au Is

  • @Yoram_Changala
    @Yoram_Changala ปีที่แล้ว

    Ni sikuu kuu siku ile niliyookoka tarehe 25/5/2017 pia na ile niliyonza kusali kikosi kazi tarehe 25/5/2021

  • @rehemabrown8241
    @rehemabrown8241 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @esperenceamris
    @esperenceamris ปีที่แล้ว

    Amen