KIPYENGA CHA MWISHO - Episode 300 | Utata kadi nyekundu Yanga Vs Coastal Union

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ย. 2024
  • Tazama kipindi cha Kipyenga cha Mwisho ambapo Mwamuzi Mstaafu wa Soka Nchini,Osman Kazi akisawazisha utata wa matukio mbalimbali yaliyojiri kwenye mechi za NBC Premier League.
    Lipo tukio la Kadi Nyekundu ya Lameck Lawi wa Coastal Union aliyopewa kwenye mchezo wao dhidi ya Yanga SC.

ความคิดเห็น • 33

  • @user-um1vp8to2u
    @user-um1vp8to2u 4 หลายเดือนก่อน +3

    Kwa TFf hii hata ingekuwapo VAR. Ingezimwa......kama waliweza kulitia aibu taifa kuchezesha mechi uwanja umejaa maji na kuonekana na nusu dunia .je kulihitaji VAR????? Au kipenga cha mwisho kilijadili hil??????

  • @user-kk3tv6kw1o
    @user-kk3tv6kw1o 4 หลายเดือนก่อน +3

    Kipindi cha kuibeba Azam, kuitetea Simba na kuikandamiza Yanga

    • @firdawsrammy9992
      @firdawsrammy9992 4 หลายเดือนก่อน

      Kabisa, nikajua naona peke yangu😢

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 4 หลายเดือนก่อน

    Maadam yuko vizuri...!..safi sana kipyenga cha mwisho

  • @user-um1vp8to2u
    @user-um1vp8to2u 4 หลายเดือนก่อน +2

    TFF NA HAO KIPENGA.ni kuleta fitna tu baada ya mchezo.siku hio coastal Union waliugusa mpira ndani ya box na refa hakutoa penalti.kipenga cha mwisho hamkusema kitu wala Tff.lkn kadi imefutwa.

  • @AllyGolota
    @AllyGolota 4 หลายเดือนก่อน

    Tokarini kazi akaitaja yanga vizuri

  • @JuhudiKasanga-yq5ks
    @JuhudiKasanga-yq5ks 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu kazi shabiki wasimba na coastal ataisemeaje yanga kwaukweli labda kwa unafiki TU tukio la yanga ndo anao sio vinginevyo

  • @soomoche
    @soomoche 4 หลายเดือนก่อน

    Mzee hapo nadhani anamaanisha DOGSO (Denying an Opponent a Goal Scoring Opportunity)

  • @kassimkifile1123
    @kassimkifile1123 4 หลายเดือนก่อน

    Kiukweli bila ya kuwepo VAR mpira wa miguu lawama haitakosekana , na kuwepo kwa kipenga cha mwisho hakuwezi kurudisha kilichoamuliwa labda baada ya kupokea riport ya kamishna wa mechi ndo kamati iwafungie waamuzi. Hata uyo Kazi alikuw na makosa mengi ya kibinadamu wakati anachezesha. Turejee mechi ya yanga na mamelod var ilikuwepo wakat lomalisa anafanya faulo na ikaamua sio kadi nyekundu.

  • @issahaji1910
    @issahaji1910 4 หลายเดือนก่อน

    Kipindi cha kesho aje na clip ya goli la timu ya Tabora United lilo kataliwa

  • @user-vw6ic4ho4r
    @user-vw6ic4ho4r 4 หลายเดือนก่อน

    Kipindi cha kishenzi. Masimba watupu

  • @Khalidniya380
    @Khalidniya380 4 หลายเดือนก่อน

    Kila mpenzi wa soka akituliza akili aache kujifanya hamnazo atakubaliana na mimi kama hii sio red card

  • @MussaKitaluta
    @MussaKitaluta 4 หลายเดือนก่อน

    Nyinyi mnasema kwasababu mnaangalia kwenye marudio ya tv. Lakini naamini hata ninyi mngechezesha mngefanya makosa kibo na hasahasa wewe unaye jiita mwamnzi Kwa kuangalia tu kwenye tivi ndivyo mlivyo, ujuaji mwiiingi. Ulaya yenyewe inasaidiwa tu var, bila hivyo hakuna mkamilifu. Acheni kuzingizia watu.

  • @lucymsheshi5871
    @lucymsheshi5871 4 หลายเดือนก่อน

    Muwaonyeshe watazamaji nawakati tv mmeweka mnaona wenyewe studio

  • @karegesa3176
    @karegesa3176 4 หลายเดือนก่อน

    Kaze shida sio var inatakiwa tupate saa ha kuamua goli ndo suruisho

  • @officialsalim3955
    @officialsalim3955 4 หลายเดือนก่อน

    Azam Tv Sinema Zetu. Tunaomba Tamthilia za Kiswahili zioneshwe kwa mda wa lisali 1 na sio dakika 30...

  • @JuhudiKasanga-yq5ks
    @JuhudiKasanga-yq5ks 4 หลายเดือนก่อน

    Hata var ikija wakipewa watu wanafiki kwa baadhi ya timu sio tiba

  • @inearclassictz1233
    @inearclassictz1233 4 หลายเดือนก่อน

    Mwl Mteza 🙏🙏🙏

  • @makamemawe1072
    @makamemawe1072 4 หลายเดือนก่อน

    Muongo kazi acha ujinga hio ni red haina shida yyte ila kwakua tff wameikataa mmeona mukae kuwasapoti ujingatu

  • @makamemawe1072
    @makamemawe1072 4 หลายเดือนก่อน

    Kipenga cha mwisho bado mmefeli mbona msemaji wa yanga hayupo hapo ila wa cost yupo behind the scene kulikua na nn tukio la mkono kipindi cha kwanza mbona sio mjadala acheni kuchambua kwa chuki

  • @user-um1vp8to2u
    @user-um1vp8to2u 4 หลายเดือนก่อน

    Kipenga cha mwisho ndio Tiro.pocho.ndio kilaza. Ndio Z.
    Neno mwisho haliko sawa. Ndio mana mna chuki na baadhi ya maono yenu feki..kabombe unatiwa chaka na hicho kipindi kibovu achana nacho.

  • @user-we3cm7db2h
    @user-we3cm7db2h 4 หลายเดือนก่อน

    Nice kipyenga cha mwisho unatutatuliaa mattz kwenye mpira

  • @proisolution7166
    @proisolution7166 4 หลายเดือนก่อน

    OTHMAN KAZI WACHA UBABAISHAJI ANGALIA ALIPO GUEDE,AZIZ,NA HAO MABEKI WAPO POSITION GANI

  • @frankvituz2991
    @frankvituz2991 4 หลายเดือนก่อน

    acha uchoko ww unasikia timu yenu inabebwa tuu kwan uogo imefikisha mara mbili

  • @user-kk3tv6kw1o
    @user-kk3tv6kw1o 4 หลายเดือนก่อน

    Alipomvuta Azizi ndio yule mwingine akaonekana

  • @selemanhussein
    @selemanhussein 4 หลายเดือนก่อน

    Yanga wana nunua wa marefalii

  • @shabanihugo8332
    @shabanihugo8332 4 หลายเดือนก่อน

    Siangalii tena kama huyo mdada anavaa hivyo

  • @MwedadiMwedamsangi
    @MwedadiMwedamsangi 4 หลายเดือนก่อน

    Azam walitufunga goli la offside likaambiwa ni kosa la binadamu

  • @proisolution7166
    @proisolution7166 4 หลายเดือนก่อน

    MWISHO WA MNAUTAMBUAJE

  • @edwinmchele3002
    @edwinmchele3002 4 หลายเดือนก่อน

    Me leo wa kwanza

  • @khamisidrisa4216
    @khamisidrisa4216 4 หลายเดือนก่อน

    Angalieni mechi ya Jana Kati ya Kaizer Vs Mamelod tukio la Red card

  • @proisolution7166
    @proisolution7166 4 หลายเดือนก่อน

    HALAFU MZINGATIE TUKIO LENYEWE,ULE MPIRA ULIKUWA UNAMILKIWA NA COASTAL HATA HUYO DEFENDER WA PILI HAKUWA TAYARI JE,GUEDE MNAMTAFSIRI JE KWENYE HILO TUKIO KAMA YULE DEFENDER WA PILI ANA TAJWA NA JE AZIZI ANGEACHWA SI INGEKUWA TWO AGAINST ONE.

  • @chng1990
    @chng1990 4 หลายเดือนก่อน

    Assistant referees they are problem