Nimeitazama sana hii video, na pia nimeisikiliza Sana hii nyimbo, Nikagundua nyimbo ni kali Sana haswa kwa upande wa Producer Manecky, Hii Video ni Professional pia ni Nzuri Sana, ila haiendani Sana na Maudhui ya nyimbo hii, Ungeitolea uvivu brother Nisher pengine ungeifanya vyema sana.. Beside your one of the Best Directors ambao ninajifunza vingi kutoka kwenu. ONE-LOVE™ .
Creativity iko sawa and SIMPLE nyimbo ya mahaba sasa ulitaka aweke nini😂 everything is perfect, Nyimbo nyingi za saiv zinafanana ukifananisha na hii video ya kitambo sana lakin sabab nyimbo ilifanywa kwa feelings hadi Video imefanywa kwa feelings ndio maana HAICHUJI
Hii nyimbo siku mara kwanza kuisikilizai ilikuwa pale savanna lounge posta nikiwa nasoma ifm mwaka 2014 nadhani muda huo ndo nyimbo ilikuwa imetoka Basi siku muda huo nilikuwa mwaka wa pili nadhani ndo nilimuona mwanamke nilimpenda sana hapo savanna lounge tulipishana hapo savanna getini nikafall inlove huku huu wimbo ndo ulikuwa unatambulishwa nae nikamuona muda huo ni alikuwa mzuri narudia alikuwa mzuri sana yaani chuoni ifm watu wengi aliwachanganyia sio mimi tu hadi nje ya chuo ilikuwa full competition yaani ... Japo nilikuja kumpata baadae sana two years baadae nikiwa last year nilifanikiwa kuwa nae kwa muda mfupi sana basi hii nyimbo inakumbusha akitabasam huku akiwa bia yake pendwa ya HEINKEN nyumbani kwangu siku hiyo alinitembelea nilifurahi sana.... aliendelea na maisha yake nikaendelea na yangu Now sasa mimi mfanyabiashara china to tanzania yeye ni DAS mkoa fulani huko lla Kila nikisikia huu wimbo huwa namkumbuka maana ulikuwa unapigwa hapo savanna lounge posta benjamin tower na mimi ndo nikamuona Popote ulipo D i still love you ....... Maisha ni kitabu kuna memory zingine ukikumbuka ziko too sweet
video moja classic A plus sio video za siku hizi macho hayaonekani ya waliopo kwenye video japo wanaenda south, hebu jifunzeni kwa Nisher video zake 100 full HD ✍🏽🙏🏾👏🏽
2024 njoeni tuongeze likes kwa Kumuenzi NISHER CLASSIC hapa❤
Hadi leo inadum.. mélodie nzuri
Kama ulimuelewa mshikaji gonga like twende pamoja
november 2024 likes ziongekeke wakuu
Sema alinidhurum ela yangu makubaliano aje tufanye kazi akagoma kuja studio, akawa ananipanga, but namkubali Sana bonge la song fire
Hii Video nilikuwa nikimfananisha Nasri na Diamond 😄😄 Daah Rest in Peace Nisher😢😢
Upumzike palipo patulivu nisher video zako zlkuwa kali sana mnyamwezi.
Nasri yupo wap wazee kawa kimya sana
Wazee Hii Video Jamaa alimlipa Shingap Mareham nisher ??? Bonge moja La Video 😊😊
Hivi Hawa watu wanapoteaje mbon ni Kama sielewi elew mim.??? Ebu like hapa tuwatafute
Cjui n nn jaman
Hahahaaa zama zina change, halafu watu wanalewa na kelele za kina mindi
Nani yupo nami Nov 10 2020,Kuna nyimbo zitaishi milele yote nyimbo tamu masikioni hadi moyoni.❤️
Nyimbo nzuri Sana haichoshi
jamaa yangu nakuunga mkono sna nyimbo kama hizi ni nadra sana jaman dah jamaa anaimba vzr wimbo mzr na anaimba kwa hisia atar
4lever
2022😂
Leo ni November 22, 2022 hakikaaaa Bado itabambaaaa daima kabisaaaa haiweziii kuchujaaaaa daima......
Daaaa nyimbo hua naangalia zaid ya mara 5
LEO NI ALHAMIS TAREHE 11 MWEZI WA 4 MWAKA 2024
LEO NI JUMAMOSI TAREHE 25 MWEZI WA 5 2024
dah huyu director ni mzuri..anajua kudirect kweli..
Amazing video 📸. RIP Nisher , you will be missed!
He died wen😢
🤗Tuliofanikiwa kufanya na AM RECORDS ndo tunajua raha ya bongofleva halisi,.. continue resting in peace Director NISHER
Sasa Nasry amepotelea wapi maana anajua sana daah 2024
nitaffute nikupeleke alipo
2019 bado tu ni mpya kwng
Daaaah nyimbo yngu pendwa Sana ilvly you ba Morgan wngu aman mbilinyi
Baada ya kifo cha nisher 😢😢tujuane
bro I found out after months that crazy RIP
Kama umekuja hapa baada ya kusikia kifo cha director Nisher tujuane
Nimeitazama sana hii video, na pia nimeisikiliza Sana hii nyimbo,
Nikagundua nyimbo ni kali Sana haswa kwa upande wa Producer Manecky,
Hii Video ni Professional pia ni Nzuri Sana, ila haiendani Sana na Maudhui ya nyimbo hii,
Ungeitolea uvivu brother Nisher pengine ungeifanya vyema sana..
Beside your one of the Best Directors ambao ninajifunza vingi kutoka kwenu.
ONE-LOVE™ .
Good song
Bonge la song
Creativity iko sawa and SIMPLE nyimbo ya mahaba sasa ulitaka aweke nini😂 everything is perfect, Nyimbo nyingi za saiv zinafanana ukifananisha na hii video ya kitambo sana lakin sabab nyimbo ilifanywa kwa feelings hadi Video imefanywa kwa feelings ndio maana HAICHUJI
2019 like zenu jaman tujuane
nawaza nini sasa beby,,,unalia nini sasa mummy,,,,,,,woooooow
Mwana kaimba sana umu dah ni vile tu bahat haikuwa kwake
jamaa yuko vzr sana nasry cjui kwann hii ngoma haipigwi sana redio
2024 sasa goma linatoka nko chuga dadeki 🔥🔥🔥🔥
Asante nasry sichoki this song
brother upo juuuuuuuuuuuuuu achia kingine mwanangu
Hii ngoma ilikua kali hiyo miaka dar kweli maisha hayaaa dah
Nov. 9, 2020 naitazama na kucomment kuwa ni wimbo mzuri sana naipenda zaidi chorus yake, yu wapi Nasry?
Nasri uko juu bt kwa hii umenikoxha
Hii nyimbo sijawahi kuichoka video poaaa beat sauti mdada kacheza nafasi yake vzr yaan kafeel yupo kwenye true lovee,,nasry come back man.......
Yupo bunju anavuta mjani tu daaah maisha Aya mungu ndo mtaalam yote
ebwanaee hii video kali .. wasanii wa tz neema hii mungu kawaletea kazi kwenu kuitumia neema hii
huyo lucas wa ogopa hana lake hapa
Anaefunga Mwaka 2020 na huu wimbo tujuane
Kama bado unasikiliza nyimbo hii hadi sasa 2022 Gonga like ...... Nice song💖💖💖
Wimbo mzuri vidio kali sichoki kuitazama kwakeli na kuisikiliza
Basi tufanye Ibada atuepushie na mengi ya Dunia weeeeeee
Hongera baba yake na sheira ila nasri
Tukiacha quality ya video + mashairi ya Nasry. Dah! Huyu vixen ananifanya niirudie hii video mara dufu.
hii nyimbo inanikumbusha mbali kipindi niko tanzania kigoma kasulu nyarugusu camp 📞📞📞unaweza nini sasa bby hunalia nini sasa mom 🙏🙏
sina njaa kwenye ili ngoma gud bro nassri
My all time favourite song
I'm here in 2023 to retrieve a memory of an old girlfriend
This song can do that...
here i 2024 replying to myself, still thinking about that old girl
Chupa kali Dunia ili naipenda ii vidio kinyama maana ni kali sana inang'aa,nyimbo nayo ni nzuri sana
Nani anaangalia 2023 hii tujuane
Tena mm baada ya kujua nisher ndo director 😄
July 2024 tuko hapa
"We don't search for old songs"
"We search for gold memories"🎶🎶
20...
Everlasting masterpiece🎉😊
Wimbo huu naukubali sana jamaa sijui aliendaga wap Nasry duh gud sana
Mwajina unajua Sana sema sijui kwann uko kmy san
Leo july 10 mwaka 2024 njooni ❤❤❤😂 wenzangu
😭😭 All those first love memories zimekuja kwa akili....
Huyu jamaa Ni mbaya Sana sijui yupo wapi dah😢
naupenda mnooooo 💠💠💠💠💠💠💠♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥
I like this song more,yaani ni kwikwi
Nyimbo kama hizo zitaishi milele ,wakati huo mi kijana kabisa 20yrs now more thirty and something bado inabamba sana2.big up nasry
I still listening this song to this day
Hii nyimbo siku mara kwanza kuisikilizai ilikuwa pale savanna lounge posta nikiwa nasoma ifm mwaka 2014 nadhani muda huo ndo nyimbo ilikuwa imetoka
Basi siku muda huo nilikuwa mwaka wa pili nadhani ndo nilimuona mwanamke nilimpenda sana hapo savanna lounge tulipishana hapo savanna getini nikafall inlove huku huu wimbo ndo ulikuwa unatambulishwa nae nikamuona muda huo ni alikuwa mzuri narudia alikuwa mzuri sana yaani chuoni ifm watu wengi aliwachanganyia sio mimi tu hadi nje ya chuo ilikuwa full competition yaani ...
Japo nilikuja kumpata baadae sana two years baadae nikiwa last year nilifanikiwa kuwa nae kwa muda mfupi sana basi hii nyimbo inakumbusha akitabasam huku akiwa bia yake pendwa ya HEINKEN nyumbani kwangu siku hiyo alinitembelea nilifurahi sana.... aliendelea na maisha yake nikaendelea na yangu
Now sasa mimi mfanyabiashara china to tanzania yeye ni DAS mkoa fulani huko lla
Kila nikisikia huu wimbo huwa namkumbuka maana ulikuwa unapigwa hapo savanna lounge posta benjamin tower na mimi ndo nikamuona
Popote ulipo D i still love you .......
Maisha ni kitabu kuna memory zingine ukikumbuka ziko too sweet
nimependa story yako
nisher ni balaa....nimeielewa video balaa
MAANA HALISI YA KIPAJI KUTOKA KWA MWENYEZ MUNGU🙌🏼🙌🏼
Hinoma
Mpaka
Congo tunakukubali
Kwauwezo wa mungu mwanangu sana atarudi kwenye chati soon subilini vitu vizuri
hii ngoma naipenda mnoo
Wimbo mtamu huu daah nakumbuka mbalii sanaa
Toujours là pour ce chef-d'œuvre depuis Congo Kinshasa 🇨🇩❤❤❤
oh unatisha xan na video imebamba nom i love from rose shirima!!! lik me??
Unakumbuka wap ukiisikia hii nyimbo brother
Duh kwel nimeamini kwa nyota ndotatizo
I watched this video 6x,the video is amaizing na nyimbo ndo usiseme.This work is PROFESSIONAL.
video moja classic A plus sio video za siku hizi macho hayaonekani ya waliopo kwenye video japo wanaenda south, hebu jifunzeni kwa Nisher video zake 100 full HD ✍🏽🙏🏾👏🏽
Hii nyimbo haitakaa ichuje💞💞💞💞😍😍😍😍
Huyu angekuwa zaidi ya Mondi leo ila, Kaacha mapambano. 🥲
Nasry katk ngoma zako zote hii kwang ndo bora had leo ninayo
Hawajamaa wakishafanya vizuri wanabweteka ndomana wanapotea
Jamani wapi nasri 😟😕 mziki unabakwa huku na mtoto wa tandale
Bonge moja la video jamna daah❤️
NASRY umepotea kwenye game ulikuja vizuri
hallow huu wimbo mzur sanaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nakumbuka mbali sana hii nyimbo..... kipindi iko nko swax form five hahahaaa
Ahaaaa
Shule gani
Yaan nymbo ipo on fire ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Ihi nyimbo naikumbuka sana 2014 nilikua naenda kununua kiwanja changu baga moyo noma sana jamani
Loves so much this song! Gud job coz u can make!!"
Video kaliiii....Nimependa hiyo MADE IN TANZANIA..lol
classic
uyu vdeo Queen cjui nitampata WAP ,mwenye no yake anpe plz
Jamaa anajua xana nisher
ni moto naisikiliza kwa hisia
Hii ngoma naielew xana mpaka leo inaixhi kweny moyo wang
Da Ngoma ya kily ludi naipenda sana
Kazi nzuri Nisher. Kama kawa shots za hatari. Nimependa picha zinavyotembea. Wimbo wa kawaida lkn
🔥😘
kazi nzuri saaana mpka raha
this song always make myheart melt,,love it
Jamn kuna kaka aliimba ale v,e,I,w nimemsahau jina lake
Kali san
huyu jamaa akiingia kingsmusic atafika mbali
For real
2020 nimekubali pia Dr nisha ni moto balaa
Nimeipenda iko poa sana uko juuuuuuuuuuuuu big up xana
Kali cna nyimbo
dogo uko vzr fanya kweli usipotee man
Nafungua mwaka kwa hili goal kaleeeee
2021
Nyimbo bado nzur, tatizo msanii alishapotea
Nakumbuka zamani sanaaaa
Brrrrrliant! Cnt have enough of this tune.
Kazi nzuri My young brother! Be blessed and Bigup
Nyimbo naipenda san hii miaka hiyo bado mdada
Kijicho cha kwanza kula wewe cha pili nipe Mimi ukishimba wewe ndo nimeshimba Mimi Jana 2021 mko wap like zenu
muziki mzuri ndo unapotea!!!
MY ALL TIME FAVORITE SONG!!!!