Nimerudi Tena hapa 2024 ku salute marehemu Albert ngwea...if you will be here by 2050 just know Kuna best rapper from Tz aliitiwa ngwea a.k.a cow boy wizzy... great of all time like hapa Kama unampenda Albert ngwea na hili song...
Yani mimi nimpenda ngwea tokea nipo mdogo Nina miaka 4,, basi tu yani,, huyu jamaa angekuwepo ningemzalia hata mtoto mmoja tu yani ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😢😢😢😢🙏🙏🙏🙏🙏😭😭😭
Imenigharimu miakka kukumbuka huu wimbo unaitwaje na kaimba Nani nimejikuta naandika I give all my money song from Tanzania ndio umekuja, huu wimbo nilipousikia niliumia sana coz ngwair kaimba video kakosa
Wadau masela kuanzia 45 Mpaka 32 chekelea na 26 kipaji mtafutaji yeyote alie Angalia hiiiii Ngoma Kwa mara nyinginee wakati na muda kama WA leoooo like Zako muhimu hapa kumuezi NGWEA Alafu like kimy kimy 😢❤❤❤
katika video kali hii nisher nimekukubaliii aseeee ningekua no yako ningekutumia hela ya sodaaaa tisha sanaaa na ku surrport 100% aseeee big upppp mwanaaa aseeee nitakupatunzooo aseeeee umewafunika hadi ogopaaa video nisher big upppp sanaaa tuuuuuu nishidaaaaaa
jaman mmesahau na mwenye ngoma Jordan amefanya poa sana....ila yote kwa yote wote alifanya vizuri ngoma ni tamu na haichuji kama imedondoka Leo. r.i.p Ngwear
Mwezi wa 8, 2024 tujuane wazee 🙌❤️
Nipo hapa.. Saa simba vd Azam
Sn
We are here
Tusgaingia mwezi wa 9, 2024
Albert is missing
2024 nikama ngoma ya juzi!likes za 🇰🇪
Nimerudi Tena hapa 2024 ku salute marehemu Albert ngwea...if you will be here by 2050 just know Kuna best rapper from Tz aliitiwa ngwea a.k.a cow boy wizzy... great of all time like hapa Kama unampenda Albert ngwea na hili song...
Its 2023 and still am in love with this song🙌❤️
it's good song all tiym
Very true Bado ni hit song kama vile imetoka jana
Iyeeai....iyeeaiiii ngoma Kali sana haijawahi kuchuja
Who ask u
Sure
Wimbo hauna matusi, video haina picha za utupu, beat kali, vocal flow nzuri, hii ngoma itatudumu 💪
Leo Saturday July 6, 2024 naiona huo wimbo kama umetoka leo ❤🙌🏾🔥🔥
Ngwea, Ngwea, RIP aise yaani kama ngoma ya leo ❤haichuji
We Jordan ulipotelea wapi
2020 weka like kumuenzi ALBERT MANGWAIR
Rest in peace #Ngwair
Hakuna mpaka leo mkali free style cowbama rest iz paradise
naipenda sana hii ngoma......siichoki.......hakuna atakae tokea kama ngwea
Loveness _G .....ni kwel kabsaaaa...lovenes
oyoooo ngwea mungu akulaze mahala pema pepon
Loveness _G hakuna km ngwea bongo
Ngwear ni complete rapper & mcs
Ndio maana yeye akawa ngwear so hafanani
Tuaoisikiliz 2024 gong like hii ngom ikipigw clab unaeza usitamni iish
Yeah man tena uwe na pisi kali pemben unataman aelewe kinachosemwa😂
Yani mimi nimpenda ngwea tokea nipo mdogo Nina miaka 4,, basi tu yani,, huyu jamaa angekuwepo ningemzalia hata mtoto mmoja tu yani ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😢😢😢😢🙏🙏🙏🙏🙏😭😭😭
Mwezi 11,2024 kama ngoma mpya vileeeeee oooyooooooo🎉🎉🎉🎉
Ni 10+ years zimepita.. sasa naelewa how creative these melodies zilikuwa, missing good old days😍..
Imenigharimu miakka kukumbuka huu wimbo unaitwaje na kaimba Nani nimejikuta naandika I give all my money song from Tanzania ndio umekuja, huu wimbo nilipousikia niliumia sana coz ngwair kaimba video kakosa
Dah asee noma sana yani kama imetoka leo vile
Hatar na nusu
Kama unaipenda hii ngoma,adi Leo gonga,like
Hii ngoma kali aisee... Very harmonizing....
@@makavelliini1877
Kama u
Nipigie plz#0714504538
Yeah nzur sana
Dude la kutisha sana halichuji
Wadau masela kuanzia 45 Mpaka 32 chekelea na 26 kipaji mtafutaji yeyote alie Angalia hiiiii Ngoma Kwa mara nyinginee wakati na muda kama WA leoooo like Zako muhimu hapa kumuezi NGWEA Alafu like kimy kimy 😢❤❤❤
Tuko wote msela wang
Ngoma kali kinoma niliicheki kitambo nimeiludia Tena 2020
Kwa walioicheck 2020 tujuane
👇🏿. 👇🏿
Mie piah
Still here 2021 .... Apa ndoo naelewa ile “kizuri hakidumu “ngwea katutoka now CPWAA nae tena 😢 😢😢😢😢
RIP to all this legend never been forgotten
Mm nawa like lakn nichawahi kumuahidi mwana ume lakn duh nakumbuka vingi kuhusu wimbo huu
Who is listening 2020 in the memory of mangwair keep rest easy legend ♥️
Remember Alibat mangwe ilove you sou march
19 December 2020
Am still listening this till this 2021
Rehema Kiwale here we are 2021..good music live
Monica 2022
"We don't search for old songs"
"We search for gold memories"🎶🎶
20...
Everlasting masterpiece🎉😊
Njooni 2024 tu enjoy mziki mtaaam
Tupo hapa
Ngoma haichuji hii kila day kama vile ndo imetoka
Who is here in 2019🤗 It's been 4years already and the song is still a hit🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Miss you Ngwea.... R. I. P 🙏🙏
Rip
2023 bonge la ngoma
Kitambo sana lkn Wimbo bado unabamba 2024,, Jordan na mirror wapo wapi?
Hapa nilikuwa nampenda mtoto wa mama mkwe jaman yan moyo wangu ulikuwa hoiiiii kama nawewe ilikuwa hivyo weka like nyingi tujuane.
Pumbu limetulia qulity bomba sana sana ngwe uyu mwana nae kauwa mbaya sana kinyamwezi big kubwa sana NGWEEEEAAAAAAAAA 🙌🏻🙏🏻
One of Bongo's great video.
R.I.P Ngwea😣
I real like dat song waooooohhh
Duh! Hii video itaishi miaka mingi sana vizazi na vizazi
Ukisikiliza katika utulivu hadi mapigo ya moyo yanaenda tofauti
❤❤❤❤❤ good job
Sanaaa
Listening to this masterpiece december,2024 🔥
Bonge la nyimbo 28/06/2024
wooo ni noma sana kama ngwea angeshiliki ktk video God never sick
My favorite song this two months April and may 2024
Ngoma kali sana
Huyu msenge humu kaua sana Jordan dah kaflow kinyamwezi kabisa
Dah this song 💪🏽
Hivi Mirror aliendaga wapi sijui 🥲
Still listening one of the best song produced in Tanzania its 27th October 2023 RIP Ngwea also We miss Mirror Melody it’s dope🔥
Can’t still get enough of this song..still listening
2022 still listening good music 🎶 daaa rest easy ngwea
Am the first
Noma sana
aisee nimejikuta namkumbuka albert mangwair, RIP ngwair.
Nani Yuko hapa jamaniiiii 2021 dondosha like tafadhali♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️💯
Nipoooo
Nipo
Bro unajua mpaka kichwa knauma yaan mpka keroo s/o to u n ur entertainment
From Kenya bt a big fan of NGWEA...RIP BIG BRO! bongo ain't nice without your 'Eminem' rap
Ngwear ni T.I wa bongo 2024
Duuuuh?!!!pini liko pw sanaaaaa huchki kuisikiliza
It's 2023 and Still DENJAVUU MUSIC 🎧🎤🎵 IS ON FIRE...🔥🔥🔥🔥🔥💪💪💪💪💪🙌🙌🙌🙌🙌
2024 Still is on Fire 🔥🔥🔥🔥🔥
Watukama hawa wangekuwa mpaka leo mziki wetumzuri ungekuwa unaishi mpakaleo Rip mwamba asee❤❤❤❤
R.I.P ngwea,hajatokea wa kuziba pengo lake
Mirror Dah what a chorus... Who is here in 2019
2020
2023
2024🎉
2024
Ngoma ya moto sana video kali ile ile. Pumzika palipo patulivu ngwear na nisher bidhaa adimu sana zimeondoka.
Rip#NGWEA#MCHIZI WA EAST ZOO DOM TOWN#MAJENGO SOKONI TUNAKUKUMBUKA KWA KILA NGOMA#
Bonge LA dude
Nilipiga nae buku huyuu jamaa mangwea,, sent John chuo
Huyu jamaa yuko wapi ngwea alivo fariki jamaa akatoka uko wapii
katika video kali hii nisher nimekukubaliii aseeee ningekua no yako ningekutumia hela ya sodaaaa tisha sanaaa na ku surrport 100% aseeee big upppp mwanaaa aseeee nitakupatunzooo aseeeee umewafunika hadi ogopaaa video nisher big upppp sanaaa tuuuuuu nishidaaaaaa
2023, old is Gold... rip ngwea
Huuu wimbo naupendaga Sikujua Nani kaimba dooo naidanlod sasa😘
Sauti tu inatikisa kwenye hii ngoma je anagekuwepo??? Mwamba hatari sana RIP Ngwea
Mwamba anajua mziki sana... Sijui yupo wapi!!!!
yaani duuuh! haichuj milele
kweli loveness mi mwenyew ii ngoma siichoki
Ngwea popote ulipo rest in peace ✌... ila Mwenyezi MUNGU alikupa uwexo mkubwa sana ... #respect_earned
bado tunaishi nayo september 2024🔥🔥
miaka mingi imepita still naendelea kusikia mdundo wa dhahabu
😮WAOOOOH NGOMA YA YAZAMANI ILA AWAJAMAA WALIKUWA MBELE YA MUDA NGOMA KAMA YA JANA VILE VILIKUTANA VICHWA🔇💥💥💥💥
Bonge la choruuuuuuuuuus mirror ni mbaya ngwea ndio jini RIP KING NGWEA
24/10/2020........it feels like new song everyday in me love it......!!!!!!!
Unapotezeaje ngoma kali mana hii huhuhuu 😍😍😘😘😋😋
Broh ngwear pumzika kwa amani🙏 huko uliko bado tunakukumbuka😭😭😭🕊🕊
Kwann mirror hajatokea hapa
2020 in the memory of The King Himself "Sir Albert Mangwea"
Hii ngoma haijawai kupoa miaka yote kama unaamin ngonga like hapa
We kaka kwani uko wap rudi bhna kwenye game
Moja ya Video nzuri zilizowai tokea mwaka huu
Rip nisher
2024 mirror na jordan wamepotelea wapi asee talents
Keep resting easy legendary Ngwea we still love you 🤍🤍🤍🕊🕊🕊
Nyimbo ilitendewa hak, mpaka machoz nadondosha jaman daaa ngwea bhaaana
this is a masterpiece..more love from kenya 2024
I really love this song.. listening 31st January 2022. One love to chamber squad ..
🎉🎉🎉🎉ngwea ngwea lip ais akun ngom ya leo tuijuan
Bruh Nisher mpe salamu ngwair 🙏😢 mwambie bado yupo masikioni mwetu
R.I.P DIRECTOR NISHER😢😢😢
Huyu mirror was meant to be a superstar ❤
Daaaah kudadadeki baridi tuuuu 🙌🙌🙌🙌🙌🙌 Love hip hop song ever 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🎯🎯🎯🎯
jaman mmesahau na mwenye ngoma Jordan amefanya poa sana....ila yote kwa yote wote alifanya vizuri ngoma ni tamu na haichuji kama imedondoka Leo. r.i.p Ngwear
Jordan hatarii
Naikubali sna
Naupendaga Sana ngoma hii yaan inanikumbusha enzi hizo
Yeah Mimi napenda woote walio imba humu mbona mirror simuoni Gonga like 7/2/2020/18:21 tz Mwanza misungwi piah Naimba saana #naseershiner utapata ngoma zangu
hope you inherited everything from your *father* the late cowbama.... good music let the legend rip 🕊️
R.i.p bro ngwear since uondoke no one has take ur place up today
Yooh U kill It Br, . R.I.P NGWEA, UM WATCHING FRM SOUTH AFRICA 🇿🇦 CAPE TOWN CLAREMONT
Ilikuaje had kufarik kaka.. nackia alikuwa anatua uko
Mwezi 12 mwaka 2024🔥🔥🔥🔥
hatar ngwair! rip our hero...
Mirror you are something else Wallah... Mrangi wewe upo juu
Daah mpak nashindwa chakusem hii bonge LA ngoma mafundi watupu
tunaelekea 2021 gonga like kama bado unaipenda ngoma
Daaaaaaah mmekimbiza mbaya voice mwaaaaaa
yani ikitoka dole this is the next dope video from you nisher
Hapo vipi katika matumizi ya VPN 2020
Amazing song... still on my playlist 2023 ✌️
Kwan wahusika wa huu wimbo kwann hawakushoort video mbona bonge la pin hili💪🖐️
Yaan ingezid kunoga bonge la hit❤
duuu yan broo mmetisha mbaya nice
I gave all ma money 💰💰💰✌ we still miss yuh legend R I P
Mambo niyapenday r.i.p gwea...izi zlikua nyimbo