Watu maarufu walioshinda na kushindwa kura za maoni CCM

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ก.ค. 2020
  • Wafahamu ‘vigogo’ na watu maarufu walioshinda na kushindwa kura za maoni CCM.
    #AzamTVUpdates #AzamNews #UchaguziMkuu2020 #UchakuziMkuuTanzania #UchaguziMkuuZanzibar #KuraZaMaoniCCM
    Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
    ► bit.ly/2wB6zmR
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►INSTAGRAM: / azamtvtz
    ►INSTAGRAM: / azamsports2
    ►TWITTER: / azamtvtz
    ►FACEBOOK: / azamtvtz
    ►WEBSITE: www.azamtv.co.tz

ความคิดเห็น • 28

  • @gibonsabonike2720
    @gibonsabonike2720 4 ปีที่แล้ว

    Safi sana tena wana chama kama hawa tuwe macho sana maani iko wazi kuwa wana tafuta kwa masrai yao na si kwaaji jamii

  • @bernadmwansile5146
    @bernadmwansile5146 4 ปีที่แล้ว

    Safi sana msaliti ni msaliti tu

  • @fredreckmwakalinga3475
    @fredreckmwakalinga3475 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimefurahishwa sana na kura za maoni za ccm kweli makufuli amewakomesha watoa rushwa waliokuwa wanazoea

  • @swed21saidy10
    @swed21saidy10 4 ปีที่แล้ว

    Safi sana

  • @dctbawiliahmadimasato6486
    @dctbawiliahmadimasato6486 4 ปีที่แล้ว +1

    Kafulila alitokea chadema kwenda ccm Azam mnapotosha Uma baada yakutoka nccr alikuumba chadema hakudum Sana ndio akatimkia ccm

  • @hamiduajaba2618
    @hamiduajaba2618 4 ปีที่แล้ว

    Tukiskia uchaguzi tunahama vyama vyetu na kujifanya wenyeji sehem tulipo hamia. Bila kufikili walio kuepo hawahitaji uongoziji jiulize

  • @andersonsimbeye714
    @andersonsimbeye714 4 ปีที่แล้ว

    Siasa za Tanzania zipo mikononi mwa wananchi na si mikononi mwa viongozi

  • @nassirnassor8603
    @nassirnassor8603 4 ปีที่แล้ว

    Watangazaji wengi WA siku hizi mnabowa... Mnameza mate katikati ya Habari. Si mumeze kabla hamjaanza kuongea.... Mnaondosha ladha ya utangazaji

  • @mwangonjimwangonji9238
    @mwangonjimwangonji9238 4 ปีที่แล้ว

    Swaaafi

  • @denissanga454
    @denissanga454 4 ปีที่แล้ว

    mambo n moto

  • @mhayaboy9646
    @mhayaboy9646 4 ปีที่แล้ว

    mungu mkubwa

  • @dintazdintaz7311
    @dintazdintaz7311 4 ปีที่แล้ว

    Malipo ya usaliti ni hapa hapa chini so jikazen karbu uraian tu

  • @witneskilinda5034
    @witneskilinda5034 4 ปีที่แล้ว

    harisoni bhana umepigwa

  • @omanoman1576
    @omanoman1576 3 ปีที่แล้ว

    😂😂😂bola hvy walaf wa madalaka wapuuz

  • @jamhurigeorge7730
    @jamhurigeorge7730 4 ปีที่แล้ว

    Wametia aibu wakimbizi wa siasa hao

  • @margarethorgenes4874
    @margarethorgenes4874 4 ปีที่แล้ว +1

    Kafulila, Patrobas, Silinde na Lijualikali msijali pambaneni baadaye. Wana CCM wameonana wao kwa wao Ni malipizi Hayo. Tulieni chapeni kazi mjipange upya. Ila Kafulila na Patrobas mliishapata nafasi hamkua na sababu ya kuhangaika Tena. Mlipaswa,, mmefanya haraka kuachia nafasi mlizozipewa mngepaswa kuzitumikia kwanza.

  • @bishopmosesmagadula7572
    @bishopmosesmagadula7572 4 ปีที่แล้ว

    WENGINE walisababisha damu kumwagika hasa huyo mtulia damu ya akwilina inamfuatilia madhara ya kununuana hayo...

  • @fredreckmwakalinga3475
    @fredreckmwakalinga3475 3 ปีที่แล้ว

    Hapa kidogo kafulila alikuwa maarufu sio hao mazombi

  • @mathayowilson1525
    @mathayowilson1525 4 ปีที่แล้ว

    WAENDE TU KUWA WANACHAMA TU SIO MPAKA MUENDE KUWA WABUNGE.....HAPO NI DARASA...

  • @jrm9448
    @jrm9448 4 ปีที่แล้ว

    Kuna haja hasa ya mtu kumwambia huyu mtangazaji hizo mbwembwe za kuongea kama muarabu aliyefilisika anaboa.