VIWANJANI 09/07/2024 | 'Ma-pro' wanne ambao Simba SC inatakiwa kuwatema kuelekea 2024/25

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ค. 2024
  • SIMBA SC: Pata uchambuzi kuhusu usajili wa wachezaji wa kigeni waliosajiliwa Simba SC hadi sasa (08/07/2024) kikosi kikiwa kinakwenda nchini Misri kwa ajili ya kambi ya pre-season.
    Hadi sasa wameshasajiliwa wapya saba, ambao wanafanya jumla kuwe na wachezaji zaidi ya 12 (16) wa kigeni...hivyo kuna wanne wanaotakiwa kuchinjwa...
    Wachambuzi Geofrey Mwamnyanyi na ....wanatoa maoni yao juu ya nani wanaotakiwa kuwatemwa kuelekea msimu ujao 2024/25.
    Je, wewe ungependa nani atemwe?????
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 5

  • @levigodi
    @levigodi 13 วันที่ผ่านมา +3

    Ila kwa Mimi cjapenda San kwa kumuacha kanuti

  • @HogaTuli
    @HogaTuli 13 วันที่ผ่านมา

    Napenda sana mnavyochambua jaman

  • @IbraahimuMadege
    @IbraahimuMadege 13 วันที่ผ่านมา

    Mie leo wa kwanza naomben like zenu

  • @mwanangusana
    @mwanangusana 13 วันที่ผ่านมา

    Will le Andre Esomba Onana ...jina kubwa 😂😂

  • @official_wadex
    @official_wadex 13 วันที่ผ่านมา

    Huyo huyo onana ndo tulikuwa tunasubili