Wabembe ujiji kigoma, nyimbo za kibembe

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ย. 2024
  • Mbembe mbondo ujiji kigoma

ความคิดเห็น • 7

  • @aminaathumani6832
    @aminaathumani6832 3 ปีที่แล้ว +1

    Kigomaaa kwetuuu mupooo 💃💃💃💃💃💃💃💃💃👌👌👌👌🙋🙋🙋🙋😂😂😂😂mwishoo wa reriii nimepamicc

  • @cocogenie542
    @cocogenie542 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante saana kwa kufanya utamaduni mila vijulikane ulimwenguni.(la culture) une riche incontournable. Mumetete vingi hapo na duniani hacheni wasioyo juwa wabaki bila kujuwa. Mungu ametupa utufauti na akili tufauti, na wabembe go go go

  • @felixphilipo1959
    @felixphilipo1959 4 ปีที่แล้ว

    Wabembe wa Tanzania hawana hiyo bendera wewe ni mkimbizi

    • @nyembomajidi3027
      @nyembomajidi3027 3 ปีที่แล้ว

      sio hiyo kila mipaka ya inchi kuna kabila lengine pande wapili na wengine pande wapili kuna wabembe Congo na wabembe Tanzania kuna wa manyema Tanzania na wamanyema Congo na kila mipaka ndo ilivio bora tuilinde Amani yetu, ukitaka kulieajua kwa wale wanotembea Bara lafrica burundi, Uganda, Congo, Tanzania, Kenya, Malawi, Angola, brazavile, Nigeria, na mengineko wote tuna fanana ki rangi na ufupi wakati ndo wa bathu, sisi wa batu tuko nyingi Sana.

  • @paulomrisho19
    @paulomrisho19 4 ปีที่แล้ว

    Ngoma yetu urithi wetu

  • @habibumasudi1567
    @habibumasudi1567 3 ปีที่แล้ว

    Nomaa

  • @lwangosango4536
    @lwangosango4536 4 ปีที่แล้ว

    Ok