EBÉMBÈ TO THE WORLD 🌎. JAMANI NDUGU ZANGU WA BÉMBÉ POPOTE MLIPO BASI. TUFANYA KUISAPOTI HII? NGOMA. KWA NGUVU SANA PIA NAKUIPROMOTI. ILI BAADA YA WIKI MOJA. IWE IMISHA PIGA. 1M. PLEASE GUYS. NAOMBA TUSHIRIKIANA KWA PAMOJA TUNAWEZA ❤❤❤❤
huu sasa ndio wimbo Bora wa mwaka 2024 ,wimbo mkali Kwa nyimbo zote Tanzania mwaka huu 2024 , wewe ni mti mkubwa wa Africa ,watu wakuache kbs uimbaji ulizaliwa naho Kwa kweli ✍️✍️
Ninamkumbuka Shiko romain alivyoipeperusha bendera ya ubembeni wakati ulee tulikuwa tungaliki wadogo sana Enzi zilee za mtangazaji maarufu asia emedi wa redio Burundi 🇧🇮 alivyokuwa anazipiga sana nyimbo za kibembe za mwimbaji huyo maarufu chiko romain wanao nikubali nipeni Like zangu ili tujuane hapa
Ubarikiwe sana tena sana christian bella kwa kuimba lunga yetu ya kibembe ❤❤❤🎉🎉 naipenda sana nyimbo yako nilihirudiliya kuisikiya safari 10 niko na play
La meilleure chanson de l'année 2024👍👂👂👂👂🌍🌍🌍👏👏 ,cette chanson concasse toutes Les chansons de 2024 . Christian Bella tu es champion d'Afrique , la chanson de l'an son succès reignera durant 100 ans . Christian Bella Chaleur à toi ,Tu es le BAOBAB d'Afrique .
Wimbo wangu pendwa wa mwaka2024 Ebembe to the world 🌎 walio ukubali tujuane hapa kwanye like 👊👊👊
Wimbo upi
Jamani wabembe mko wapi njooni uku tufikishe 20M wimbo wetu tayari kama wewe ni mbembe Mmbondo basi basi like apa jamani 😊😊😊🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Tuko 🎉🎉🎉🎉
@@RizikiAdventine Asante sana my
Tupo kama kawaida 🎉🎉
@@Mrsflower-g2n Asante sana my
Tupo kbs
Tafadhali ndugu zangu wa bembe naomba tufikishe 1M baada ya wiki moja kama ww ni m'mbembe jitaidi ufanye Ivo🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Tufike ata 2M kwa wik❤❤❤❤🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉
Wabembe wote hawafiki 1 million kulingana na esabu ya mwaka 2019
Ukweli kabisa, tuzidi ku share kila mahali
@@AlinotiMilingita wewe hizo hesabu ulizo fanya kwenye nchi ngapi maana wabembe wapo nchi nyingi
Kama uko Congolais like 1m, force a toi mwana mboka🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Big respect to you brother 🙌🏾🫡
Babondo oyeeeeeee like here if you are proudly MUBEMBE
Babondo mwakilhé
watu wa ANANDA/MTAMBALA wekeni likes❤️👍 zenu Kama munamkubali Christian Bella Obama kwa wimbo huu.
Kama wewe ni mbembe basi nipe like zangu ❤❤❤❤
Congratulations wa bembe tupoo🇨🇩🇨🇩❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥 like kama wewe nimbembe jamani wabembe oyeee💯💯
Tupo tupo
Na Mimi ninapenda sana🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Kama wewe. Ni mlala ngonga like Hapa twende Sawa ebembe to the world 💥💥💥Hiii imeenda sana Christian bella kaupiga mwingi 🔥
Ebembe to the world watu wa usa tuweke like zetu apa sasa wana
Babungwe oyee kama wewe ni mubungwe usipite bila ku like apa
Nilijua itakuwa hivyo tu 😂 babembe bhana 🤣
Oyeeee wa BUNGWE tujuwane
Bungwe
😂 bungwe family
Tuko hapa
Naomba like hapa kama wewe ni bembe nation
Wabembe tushimame sote tum suport mpaka tufikishe. 1M.
Wimbo wangu pendwa 2024. Kama wewe ni m'bembe gonga like twende
Kazi nzuri sana❤️❤️❤️❤️❤️
EBÉMBÈ TO THE WORLD 🌎. JAMANI NDUGU ZANGU WA BÉMBÉ POPOTE MLIPO BASI. TUFANYA KUISAPOTI HII? NGOMA. KWA NGUVU SANA PIA NAKUIPROMOTI. ILI BAADA YA WIKI MOJA. IWE IMISHA PIGA. 1M. PLEASE GUYS. NAOMBA TUSHIRIKIANA KWA PAMOJA TUNAWEZA ❤❤❤❤
Tunahisapoti sn tu
Tuzidi ku share every where
Iyi Ni yetu ❤
Kama wewe ni mtombwe gonga like hapa 😄 ebembe to the world 🌎 ❤️🙏🔥🔥
Wabembe Muko waaaaaaapi njoooni araka huku tafazali 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Cristiano Bella umetutowa ahibu Kaka wa bembe tume sikika tunashukuru Mungu akubariki
Mwakole manga king 🤴 of the best melody, tunashukuru sana
Apo safi sana, ndungu zangu nyumbani ninyumbani anaye chukia luga yake ni mchenzi, apo kwentu.
Christian Bella umechokoza. Kabila mbaya. Utakuwa wakwanza. Mwaka mzima
Vraiment
Ni atari😅
Kibembe to the world 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 je m'abonne
🎉🎉🎉napenda sana mungu akupe uwenzo ❤❤mwingi kwakufanya iyo kazi yaki bembe 🎉🎉🎉 niyangu wimbo pendwa wa 2024 2:52
Christian Bella Never Disappoint 🔥🔥🔥 FIzi 🇨🇩 ndo nyumbani
Wa bembe amkeni jamani uyu njo wimbo wetu wa 2024
Ebembe to the world 🌎🌎, proud to be BEMBE 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Niatari
huu sasa ndio wimbo Bora wa mwaka 2024 ,wimbo mkali Kwa nyimbo zote Tanzania mwaka huu 2024 , wewe ni mti mkubwa wa Africa ,watu wakuache kbs uimbaji ulizaliwa naho Kwa kweli ✍️✍️
Ebembe to the world 🌎 ✨️ ❤❤keep fighting my brother
Christian Bella ❤️🔥🔥😁
❤❤❤
Nagomb namber yako
Mwaka huu ni wetu sisi
Mwakole manga sana Christian bella sibio
Wabungwe tupoeeee Butamusana kweli 🔥🔥🔥🌹❤️❤️❤️
EBEMBE EBONDO to the WORLD UMEUPIGA MWINGI SANA bella c UPEWE mauwa yako 🎉🎉🎉🎉🎉
NI ÙKOLELE holande ama SUPER 😊😅🎉🎉✅✅🫡🫡🫡RESPECT YA mingi kwako bela
Proud to be mubembe 💪🏼
Tufikishe 5M kwa week 2 wabembe wenzangu
Bembe to the wold 💪💪💪💪
Nguvu Moja ❤hachana na watanzania wabangusi wahoogo matapel pia😢 rundi home 💪💪💪
😂😂😂😂 yaani Sisi matapeli?
Kama Kuna ichi tatu za matapel watanzania ndo wakwaz😢
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂dont mind him for real @@DannyElias-t3v
My Favorite artist, Umeuwa king 🤴 Proup to be Mmbembe 🇨🇩 👏👏👏👏
Mwana ncongo
Ohh 🔥Huu wimbo mtamu sana my people 🇨🇩🇹🇿 let’s show some love ❤️ 🫶🏿 ebembe to the world.
Wabembe njooni huku jamani tufikishe 3M
Wimbo wa mwaka wabebe tukojuuuu sanaaaaa💪💪💪💪🙏🙏🙏
m! Best song of this year 2024 ❤❤❤❤❤❤
Ninamkumbuka Shiko romain alivyoipeperusha bendera ya ubembeni wakati ulee tulikuwa tungaliki wadogo sana Enzi zilee za mtangazaji maarufu asia emedi wa redio Burundi 🇧🇮 alivyokuwa anazipiga sana nyimbo za kibembe za mwimbaji huyo maarufu chiko romain wanao nikubali nipeni Like zangu ili tujuane hapa
Vraiment un Vraiment culture du pays tu deviens un vrai bembe❤❤❤❤ toujours la Rdc qui gagne🇨🇩🇨🇩🇨🇩🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ebembe to the world.
Wetú Mwana We Ebembe
Wabembe oyeee
Muimbaji na wimbo pendwa 2024
Christian Bella weeee😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Kakosekana Kiba tu kuweka kionjo
Le vrai bémbé243😂❤🇨🇩
Nipeni link yangu Mimi njo wa kwanza
Link au like
Byangene manga bwankubwa
Watombwe muko wapi ??? Muone mtoto wetu ule✌️🇨🇩🇨🇩
Bembe 2 the World💪💪💪
Tupo ndugu
Ubarikiwe sana tena sana christian bella kwa kuimba lunga yetu ya kibembe ❤❤❤🎉🎉 naipenda sana nyimbo yako nilihirudiliya kuisikiya safari 10 niko na play
From Toronto ontario, I enjoyed so much watching this song, Christian Bella. You did a great job, God bless you
Ingoma Mniachiye mwenyewe na Ihangalia kila siku asubuyi na Jioni kuakikisha tuna pata 1M kabla ya week
Kama na wewe upo pamoja na mi basi weka like😂❤
À chaque communauté sa culture.
Mwakole, mwakole, mwakole longé
Nice🎉
Kitok makasi christian Bella lûembo mwangene manga sana
On 🔥🔥🔥
Kazi nzuri sana Christian bella ❤🙏🙏🙏🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩💪
Congo 🇨🇩 🇨🇩 🇨🇩
Christian Bella number 1 dunia
Bembe boys for life🇨🇩🇨🇩from malinde
Tuna semaga EBEMBE To The World 🌍🌍 BISOSHIIIhH weeh 💪💪💪
Big up sana
Asante pet mauzo,ile ndo Luga ya wazalendo,watoto wa DRC,Fizi champion,wabembe juuh,tumuunge mukono
Kweli nimependa sana wimbo wetu unahimbwa mu lugha yangu,
ma chanson préférée de l'an 2024!
nawapenda bure kaka zangu
Christian Bella Welcom to Ebembe to the world From 🇨🇩🇺🇸 Jean Pierre Bemba wa POTO Deghana 🤳👀
Kitu fire 🔥 ❤
Vraiment nilikuwa bado sija hona bayama kumbe dunia ndo jisi inaenda hivi Big up sana un talent inébranlable from fizi gonga like please dah
🎉🎉🎉🎉 wbembe kama wbembe tuko pamoja Leo jmn🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
OUI OUI
Wakwanza Hapa kama una mkubali christin bella Ni Mbembe Mwezetu Dondosha Like chini hapo
Bembe to the Word
Anaweza sana bella
Acheni mambo yenu😂
😂😂😂nikawaida yetu😂😂😂@@mwashiwamwashi5620
Christine bella siyo mubembe hacha Bongo pete mauzo ndo mubembe wa ngandja
Christian bella mtoto wa mboko, Asante 🙏 Sana kukumbuka nyumbani mboko tarafani fizi
Share kila mahali
Ongera bella oza likolo upewe mauwa yako
La meilleure chanson de l'année 2024👍👂👂👂👂🌍🌍🌍👏👏 ,cette chanson concasse toutes Les chansons de 2024 . Christian Bella tu es champion d'Afrique , la chanson de l'an son succès reignera durant 100 ans . Christian Bella Chaleur à toi ,Tu es le BAOBAB d'Afrique .
Wow wimbo mzuri sana sana naomba like zangu jamani
Babungwe tuko juu like zenu bass ❤❤❤❤
nakubali sana❤🎉❤🎉❤🎉
Kibembe to the world 🌎 pig up sana christ bella petit mauzo ngolo cha bobembe twabyola ❤😊
Ongera sn kijana mahuzo, na kumbuka tulikua,wote nyange,
Ebembe to The world 🇨🇩 fizi
We called it BEMBE 2 The WORLD
wa kwanza kibembe to the world 🌎
Babungwe tujuwanee ❤❤
Ebembe to the world 🎉🎉God knows how many time i watched 🙏🙏🙏🙏
Nakukubali san christian upo fit kaka
Duuh 🔥🔥 kali saana
CHRISTIAN BELLA Wetu mwana
Huuu wimbo 🥰🥰💞 kibembe my language 💞 obe na Mtema wionga
Je valide bien...kibembe
Best mélodie from Christian bella
The 👑
👑 Bella 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🥳
Good sana jmn wabembe tujuwane Daah🤝❤️❤️🥰🥰
Omzabi nime kubali
This song need to get Award winning
Umemaliza wa Bembe ivo umekuwa M'MBONDO
Najivuniya kuwa mbondo
Bembe to the world 🌎 big up sana bella & petit mauzo
Always the king of best melodies, CBO
🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇬
Wimbo wa adabuuu🎉🎉🎉🎉🎉
C.B.O Kali sana hiyo Star Wang number 1 , naomba zile like za bembe to the world 🌎 zidondokeye hapa please