CHADEMA HALI SIO SHWARI, TUNDU LISU ATANGAZA KUWA ATAONDOKA CHADEMA, WACHAMBUZI WASEMA HALI SIO HALI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ย. 2024
- If you find any error in material provided please take a minute to tell us about it. We will resolve it at the earliest.
COPYRIGHT VIOLATION
For Copyright Issues: We try our best to verify the ownership of content with the contributor. If you think your material is wrongly used, or if its a violation of copyright.
Hii nchi tunasafar ndefu sana kwani ninyi mnaamini chadema ni mama yake na Lisu
Kwangu mimi nakuomba utoke hicho siyo chama ni walewale wa ovyo na hawana tena hoja za kuijenga Nchi yetu wewe na Kaka yangu Heche nawaomba mtoke uko mtengeneze chama kingine
Huko kumekucha 🚴🚴🚴🚴🚴
MH. MBOWE , KUNA NINI TENA ?. JE YA MSIGWA NI KWELI? MSITUKATISHE TAMAA.
MSIGWA NI MALAYA WA SIASA LISSU HAWEZI KWENDA CCM
HATA KAMA AKIANZA NA CHAMA CHAKE TUTAMUUNGA MKONO KWA NGUVU ZOTE
uongo mtupu lisu anavyoipenda chadema aondoke mnajidanganya
Haki mnakuza maneno
NIAKI YAKE KUAMIA CHAMA CHOCHOTE KWANZA LISU UKWELI ANASTAIRI KUPEWA NAFASI KUBWA SERIKARINI KWANI LISU BADO ANAMCHANGO MAKUBWA SANA TZ
Mbona hatuoni moshi acha kupotosha uma
Hata ukiondoka chama kitasimama imara sepa
Ila chadema ni zamani bana sasa km viongonzi hamuelewani mnategemea mnakoelekea ni panzuri wengi naona wanahamia ccm cha cha majambazi tanzania chukua chako mapema wanamalinzia shamba la bibi
Mbowe jiiangalie Chama kitakufikia mikononi
Mbowe ni akili kubwa hata kama alikabidhiwa na mkwe. Wake lakinin kimekuwa limekiwa dude mbowe ni mtu na nusu na nyie fisiemu hamtaiua chadema kwa sababu kiko kwenye mioyo ya watu mtatumia kila mbinu hamtaweza muulizeni mwenda zake
Nimegundua kumbe waandishi wetu ni wakuza maneno na sio waandishi ni uchwala lissu kaulizwa swali nae kalijibu vizuri sana kwa kutumia mfano wa mwalim nyerere ina maana nyerere aliondoka ccm baada ya kauri yake? Si amefia ccm sasa lissu ajasema naondoka chadema kwa sababu ya kupoteza misingi ya chama ndio maana yupo na wazifa wake makamu mwenyekiti sio kupotosha watu
Na wewe mwambie MKWEO akukabidhi chama kama ana ubavu.
Lisu achana na sakos nenda kaunge mkono juhudi 🤣🤣🤣🤣
Mimi sio chadema lakini huyu mama mlea wezi na mafisadi wa Kodi zetu simkubali hata kidogo raisi alikuwa magufuri
Mfuate aliko
@@omarybakunda2554 🤣🤣🤣🤣 umenichekesha we acha tu
@@Hussein-gx4qusasa cjui tunakusaidiaje maana ndo keshakufa na wachungaji wote tanzania hakuna aliyejitokeza kumfufua, kwaiyo ushauri wangu kwako km hujaridhika na rais aliyekaa badala yake na ww huna uwezo wa kukaa urais ukatuongoza bas usilalamike jinyonge umfuate magufuli
@@IbnuAlly-wm8il huyu mama mlea wezi na mafisadi atupishe hafai kabisa uwezo wa kuongoza Hana kiujumla amefeli huo ndio ukweli huyu mama kaingia muda mfupi shilingi yetu imeshuka thamani kwa asimia 11 bidhaa zinapanda bei kiholela Kila kitu kinaenda shagala bagala ye anaishia tu kulalamika bila kuchukua hatua yeyote. Sasa SI atupishe TU
Mbowe ndodume
Waandishi wa habari wa Tanzania ni uchwara sana na wajinga... Mheshimiwa Lissu alizungumza hivyo kutokana na maswali ya mwandishi. Ninyi mnakuza mambo nyie ni waandishi wapuuzi hata hamjui chochote.
It is either ninyi ni wajinga au hamjui kutafsiri taarifa. Wapi amesema ataondoka Chadema? Ametumia kauli ya Baba wa Taifa, je, Baba wa Taifa aliondoka CCM? Nonsense!
Uongo
Huwa tunawambia kila siku Chadema ni chama cha mbowe na alikabidhiwa na baba mkwe wake.