Samahani wapendwa. Nawashukuru sana kwa comments zenu. Ili tusaidiane kuelewa vizuri hoja hii, naomba kujua yafuatayo. 1. Hoja ya tatizo ni maombi ya kukesha, au hoja ni kukesha siku ya mwisho ya mwaka? 2. Je, kuna shida kuwa na mkesha siku yoyote? 3. Je, tatizo ni kukesha siku ya sikukuu ya mwaka mpya? Naomba kujua kisha sote tujadili hapa kwa kutumia maandiko, isiwe hisia zetu au mazoea.
@pr.eliasnyangusu9540 hoja sio kuwa na maombi ya mkesha,ila hoja ni kwanini yawe ya mwaka mpya? Unajua pastor nyangusu,upagani hauwezi ukaingia directly bali huanza indirectly,na kanuni ya shetani haijawahi kubadilika,yeye huchanganya ukweli na uongo kwa wakati mmoja,anaweza akaanza na UKWELI, UKWELI alafu akamalizia na UONGO au akaanza na UKWELI Kisha UONGO na kumalzia na UKWELI. Kwahyo ni vile atakavyochagua yeye aanzeje, Hivyo pastor kua na maombi ya kukesha sio shida, shida ni kwann yawe ni ya usiku wa mwaka mpya? Ambapo wapagani wote siku hyo wanakuwa na mkesha huohuo wakiusubiria mwaka uingie. Kwahyo kufanya maombi ya kukesha hyo ni UKWELI,lakni ktk siku ya mkesha wa mwaka mpya huo ndo UONGO. Kulikua na siku nyingine ambazo tungefanya mkesha wa maombi,na hii ambayo ni ya kidunia tungewaachia wenye kuianzisha.maana hata huo mkesha tulioufanya,unaitwa kwa jina lile lile la kidunia "mkesha wa mwaka mpya". Kwahyo pastor tusikubali kuanza kuingia kwenye upagani Pole pole kwakuu sanitize na UKWELI. Maana kweli yetu yapaswa kuwa kweli tu,wala haipaswi kuchanganywa na uongo.
Asanteni kwa comments nzuri wapendwa. Ili tusaidiane vizuri, naomba kujua shida ilipo. Je kosa ni kukesha usiku kucha, au kosa ni kukesha usiku wa kuamkia tarehe1?
Watu Shida Yao ni Kukesha Kuamkia Tarehe 1 😂😂Siku zingine Wenyewe Hata wakiambiwa Waje Kukusha nakuomba hawaji Tumekuwa Watu wakulalamika Bila hoja na Kufuata tu Mkumbo
Kwani kukesha kumshukuru Mungu kuna ubaya gani? Au kwa vile madhehebu mengine yanakesha? Mbona hata mahubiri ya Wasabato kuna namna fulani siku hizi zinaendana na baadhi ya madhehebu mengine? Sio kila lililo jema likifanywa na wengine,basi Wasabato hawawezi fanya sababu watakua kama mataifa Kukesha kumsifu na kumshukuru Mungu hakuna ubaya wowote. Au ubaya upo kwa kukesha kuamkia tarehe 1? Tafadhali tuendelee kueleweshana maana sijaelewa kosa liko wapi
Wapendwa tumefikaje hapa! ni kwa sababu ya muungano wa SDA na madhehebu mengine kimafundisho, Vinginevyo kusingekuwa na umuhimu wa mkesha wa mwaka mpya!!! Watu wa Mungu hukesha kila siku, hiyo ni kujaribu kuzoeza washiriki wasione utofauti wa SDA na Makanisa yaliyoasi hii ikiwa ni utimizo wa Unabii wa 2SM 384.3-385.3 Kwamba viongozi watafanya iwepo tofauti ndogo kati ya watu wa Mungu washikao sheria yake na wasiotii...
Kuna changamoto ya watu wengi kuwa na dini ya mazoea. Hivi kwa mfano, tunapokuwa na wiki nzima ya maombi ambapo hata siku ya jumapili tunalazimika kwenda kanisani; je hiyo ni kusema Wasabato wameanza kuabudu jumapili??? Kwani licha ya mwaka mpya, kanisa tukikubaliana kwamba mwisho wa mwezi huu tuwe na maombi kumshukuru Mungu kwa kutulinda mwezi mzima, hapo kuna kosa gani ikiwa lengo ni kumshukuru Mungu? Kwa siku ya Krismas ikiangukia siku ya Sabato na tunaenda kanisani, ndiyo kusema kwamba tutakuwa tunaabudu Krismas?.?
Kipi kinakufanya useme tumeisha? Kosa ni lipi hapo rafiki. Na ni andiko lipi limekosewa labda ili tujirekebishe? Tusaidiane jamani, sote tunatamani kuokolewa
Muende mbele zake kwa moyo wa shukrani na kusifu...kuna kitu alikihubiri Pastor kwamba ingewezakana kila mwisho wa mwezi au mwisho wa week watu wangekutana kumshukuru Mungu maana hii pumzi hatuilipii. Ukielewa hilo tu bas utaelewa kwa nn watu wa Mungu walikesha katika Sinagogue
Bwana saidia waja wako!!!!!!
Mmh! Kwahyo na wasabato mmeanza mikesha ya mwaka mpya!!!, YESU uje tu
Samahani wapendwa. Nawashukuru sana kwa comments zenu. Ili tusaidiane kuelewa vizuri hoja hii, naomba kujua yafuatayo.
1. Hoja ya tatizo ni maombi ya kukesha, au hoja ni kukesha siku ya mwisho ya mwaka?
2. Je, kuna shida kuwa na mkesha siku yoyote?
3. Je, tatizo ni kukesha siku ya sikukuu ya mwaka mpya?
Naomba kujua kisha sote tujadili hapa kwa kutumia maandiko, isiwe hisia zetu au mazoea.
@@pr.eliasnyangusu9540Yaani Shida ni Hoja No 1 na 2 Tarehe 31/12😅😅Watu tunacomplicate Sana Basi ni tuwaombee tu waelewe
@pr.eliasnyangusu9540 hoja sio kuwa na maombi ya mkesha,ila hoja ni kwanini yawe ya mwaka mpya?
Unajua pastor nyangusu,upagani hauwezi ukaingia directly bali huanza indirectly,na kanuni ya shetani haijawahi kubadilika,yeye huchanganya ukweli na uongo kwa wakati mmoja,anaweza akaanza na UKWELI, UKWELI alafu akamalizia na UONGO au akaanza na UKWELI Kisha UONGO na kumalzia na UKWELI. Kwahyo ni vile atakavyochagua yeye aanzeje,
Hivyo pastor kua na maombi ya kukesha sio shida, shida ni kwann yawe ni ya usiku wa mwaka mpya?
Ambapo wapagani wote siku hyo wanakuwa na mkesha huohuo wakiusubiria mwaka uingie.
Kwahyo kufanya maombi ya kukesha hyo ni UKWELI,lakni ktk siku ya mkesha wa mwaka mpya huo ndo UONGO.
Kulikua na siku nyingine ambazo tungefanya mkesha wa maombi,na hii ambayo ni ya kidunia tungewaachia wenye kuianzisha.maana hata huo mkesha tulioufanya,unaitwa kwa jina lile lile la kidunia "mkesha wa mwaka mpya".
Kwahyo pastor tusikubali kuanza kuingia kwenye upagani Pole pole kwakuu sanitize na UKWELI.
Maana kweli yetu yapaswa kuwa kweli tu,wala haipaswi kuchanganywa na uongo.
Ole wenu ninyi mnaotimiza unabii wasabato mnaiiga Dunia haya
Kitabu Cha matukio sura 4 inawatazama endeleeen tu na mapokeo.
Mmmm! Ndo tumefika huku?
Sasa kama walikubali kuingiza mungu wa utatu nini kinachofanya wasiwe na mikesha hii ya kipagani
Mungu tubariki
Siku hizi mambo ya duniani yanaingia kanisani taratibu lakini kwa hakika
Yaan sikuizi mikesha na wasabato kama tungekubali maneno ya nabii tusingefika huku ,nabii aliandika kiambo kuhusu kanisa kuacha njia 4T ,210
Aliandikaje? Tunaomba hiyo nukuu hapa
Shida inatoka wapi kama mtakesha mkimpa Mungu utukufu wapendwa.!
Asanteni kwa comments nzuri wapendwa. Ili tusaidiane vizuri, naomba kujua shida ilipo. Je kosa ni kukesha usiku kucha, au kosa ni kukesha usiku wa kuamkia tarehe1?
Watu Shida Yao ni Kukesha Kuamkia Tarehe 1 😂😂Siku zingine Wenyewe Hata wakiambiwa Waje Kukusha nakuomba hawaji Tumekuwa Watu wakulalamika Bila hoja na Kufuata tu Mkumbo
Kwani kukesha kumshukuru Mungu kuna ubaya gani? Au kwa vile madhehebu mengine yanakesha? Mbona hata mahubiri ya Wasabato kuna namna fulani siku hizi zinaendana na baadhi ya madhehebu mengine?
Sio kila lililo jema likifanywa na wengine,basi Wasabato hawawezi fanya sababu watakua kama mataifa
Kukesha kumsifu na kumshukuru Mungu hakuna ubaya wowote.
Au ubaya upo kwa kukesha kuamkia tarehe 1?
Tafadhali tuendelee kueleweshana maana sijaelewa kosa liko wapi
Wapendwa tumefikaje hapa! ni kwa sababu ya muungano wa SDA na madhehebu mengine kimafundisho,
Vinginevyo kusingekuwa na umuhimu wa mkesha wa mwaka mpya!!!
Watu wa Mungu hukesha kila siku, hiyo ni kujaribu kuzoeza washiriki wasione utofauti wa SDA na Makanisa yaliyoasi hii ikiwa ni utimizo wa Unabii wa 2SM 384.3-385.3
Kwamba viongozi watafanya iwepo tofauti ndogo kati ya watu wa Mungu washikao sheria yake na wasiotii...
Kosa ni Kuamkia Tarehe 1 hakuna Kingine Ndugu
Kuna changamoto ya watu wengi kuwa na dini ya mazoea. Hivi kwa mfano, tunapokuwa na wiki nzima ya maombi ambapo hata siku ya jumapili tunalazimika kwenda kanisani; je hiyo ni kusema Wasabato wameanza kuabudu jumapili???
Kwani licha ya mwaka mpya, kanisa tukikubaliana kwamba mwisho wa mwezi huu tuwe na maombi kumshukuru Mungu kwa kutulinda mwezi mzima, hapo kuna kosa gani ikiwa lengo ni kumshukuru Mungu?
Kwa siku ya Krismas ikiangukia siku ya Sabato na tunaenda kanisani, ndiyo kusema kwamba tutakuwa tunaabudu Krismas?.?
Ikigongana hamna shida lakini kwa hilo la pr mbwana sijaelewa kabisa tumeisha
Ama kweli sijawaelewa kwa nini manunguniko
Kipi kinakufanya useme tumeisha? Kosa ni lipi hapo rafiki. Na ni andiko lipi limekosewa labda ili tujirekebishe? Tusaidiane jamani, sote tunatamani kuokolewa
Upumbavu ni pale unapojua kua huu ni uongo lakini bado unazidi kuuamini
@@sindabahabwoyaanacret660Mungu akusaidie na akafungue akili yako usiishi kwa mazoea
Kama imefika hapo kwetu sda tunakesha nini
Wasabato nanyie mnakesha. Kushelejea Nini?matumbo yamejaa pesa za kuuza loho zawatu.mnapndisha maandiko wapi biblia imeandika. Nitumie walishelekea mwaka mpya.??
Muende mbele zake kwa moyo wa shukrani na kusifu...kuna kitu alikihubiri Pastor kwamba ingewezakana kila mwisho wa mwezi au mwisho wa week watu wangekutana kumshukuru Mungu maana hii pumzi hatuilipii. Ukielewa hilo tu bas utaelewa kwa nn watu wa Mungu walikesha katika Sinagogue
Mmmm! Ndo tumefika huku?