![JHOPE MEDIA](/img/default-banner.jpg)
- 631
- 127 969
JHOPE MEDIA
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 19 ก.ค. 2023
Tunafanya LIVE STREAMING: Mikutano ya dini, harusi, mahafali.
Tunatengeza MATANGAZO ya sauti (voiceover)
Tunakodisha TV, CAMERA NA VIFAA VYA LIVE STREAMING
Tunafanya recording ya KESHA LA ASUBUHI, BIBLE STORY
Na Mengine mengi, kwa mawasiliano zaidi tupigie...
+255 762 418 674 Au +255 753 923 868

HOFU NA MASHAKA | UNAMFANYIA NINI KWA YOTE MEMA AMEKUFANYIA?
HOFU NA MASHAKA | UNAMFANYIA NINI KWA YOTE MEMA AMEKUFANYIA?
มุมมอง: 609
วีดีโอ
🔴 LIVE | MAANDIKO YANASEMA |RUMI YA KIPAGANI | MNYAMA NWENYE PEMBE KUMI
มุมมอง 112หลายเดือนก่อน
🔴 LIVE | MAANDIKO YANASEMA |RUMI YA KIPAGANI | MNYAMA NWENYE PEMBE KUMI
UWAKILI || UCHUMI&FEDHA | HATIMA KATIKA MALANGO YA UKOO WA MBUTI NA MILEMBE | PR BOSCO TUNGARAZA
มุมมอง 146หลายเดือนก่อน
UWAKILI || UCHUMI&FEDHA | HATIMA KATIKA MALANGO YA UKOO WA MBUTI NA MILEMBE | PR BOSCO TUNGARAZA
SHULE SABATO | HITIMISHO KAMBI LA VIJANA NGBF 2024 | NITAKWENDA NA YESU BILA KUOGOPA
มุมมอง 266หลายเดือนก่อน
SHULE SABATO | HITIMISHO KAMBI LA VIJANA NGBF 2024 | NITAKWENDA NA YESU BILA KUOGOPA
IBADA | HITIMISHO KAMBI LA VIJANA NGBF 2024 | NITAKWENDA NA YESU BILA KUOGOPA
มุมมอง 278หลายเดือนก่อน
IBADA | HITIMISHO KAMBI LA VIJANA NGBF 2024 | NITAKWENDA NA YESU BILA KUOGOPA
USIOGOPE PIGANA NAE | KAMBI LA VIJANA NGBF 2024 | NITAKWENDA NA YESU BILA KUOGOPA
มุมมอง 152หลายเดือนก่อน
USIOGOPE PIGANA NAE | KAMBI LA VIJANA NGBF 2024 | NITAKWENDA NA YESU BILA KUOGOPA
UONGOZI | KAMBI LA VIJANA NGBF 2024 | NITAKWENDA NA YESU BILA KUOGOPA
มุมมอง 124หลายเดือนก่อน
UONGOZI | KAMBI LA VIJANA NGBF 2024 | NITAKWENDA NA YESU BILA KUOGOPA
USIOGOPE HATA HADITHI YAKO ITASIMULIWA | KAMBI LA VIJANA NGBF 2024 | NITAKWENDA NA YESU BILA KUOGOPA
มุมมอง 169หลายเดือนก่อน
USIOGOPE HATA HADITHI YAKO ITASIMULIWA | KAMBI LA VIJANA NGBF 2024 | NITAKWENDA NA YESU BILA KUOGOPA
UOGA WAKO MTEGO WAKO SHAURI YAKO | KAMBI LA VIJANA NGBF 2024 | NITAKWENDA NA YESU BILA KUOGOPA
มุมมอง 139หลายเดือนก่อน
UOGA WAKO MTEGO WAKO SHAURI YAKO | KAMBI LA VIJANA NGBF 2024 | NITAKWENDA NA YESU BILA KUOGOPA
UIMBAJI | KAMBI LA VIJANA NGBF 2024 | NITAKWENDA NA YESU BILA KUOGOPA
มุมมอง 170หลายเดือนก่อน
UIMBAJI | KAMBI LA VIJANA NGBF 2024 | NITAKWENDA NA YESU BILA KUOGOPA
UONGOZI | KAMBI LA VIJANA NGBF 2024 | NITAKWENDA NA YESU BILA KUOGOPA
มุมมอง 70หลายเดือนก่อน
UONGOZI | KAMBI LA VIJANA NGBF 2024 | NITAKWENDA NA YESU BILA KUOGOPA
PINAPLE PROGRAM | KAMBI LA VIJANA NGBF 2024 | NITAKWENDA NA YESU BILA KUOGOPA
มุมมอง 102หลายเดือนก่อน
PINAPLE PROGRAM | KAMBI LA VIJANA NGBF 2024 | NITAKWENDA NA YESU BILA KUOGOPA
KAHAMA PROGRAM | KAMBI LA VIJANA NGBF 2024 | NITAKWENDA NA YESU BILA KUOGOPA
มุมมอง 109หลายเดือนก่อน
KAHAMA PROGRAM | KAMBI LA VIJANA NGBF 2024 | NITAKWENDA NA YESU BILA KUOGOPA
UONGOZI | KAMBI LA VIJANA NGBF 2024 | NITAKWENDA NA YESU BILA KUOGOPA
มุมมอง 119หลายเดือนก่อน
UONGOZI | KAMBI LA VIJANA NGBF 2024 | NITAKWENDA NA YESU BILA KUOGOPA
UIMBAJI MCHANA | KAMBI LA VIJANA NGBF 2024 | NITAKWENDA NA YESU BILA KUOGOPA
มุมมอง 260หลายเดือนก่อน
UIMBAJI MCHANA | KAMBI LA VIJANA NGBF 2024 | NITAKWENDA NA YESU BILA KUOGOPA
JE, UMEWAHI KUPIGANA NA YESU | KAMBI LA VIJANA NGBF 2024 | NITAKWENDA NA YESU BILA KUOGOPA
มุมมอง 305หลายเดือนก่อน
JE, UMEWAHI KUPIGANA NA YESU | KAMBI LA VIJANA NGBF 2024 | NITAKWENDA NA YESU BILA KUOGOPA
UJASIRIAMALI PART TWO | NAMNA YA KUANZISHA BIASHARA YAKO NA KUJIAJIRI | KAMBI LA VIJANA NGBF 2024
มุมมอง 75หลายเดือนก่อน
UJASIRIAMALI PART TWO | NAMNA YA KUANZISHA BIASHARA YAKO NA KUJIAJIRI | KAMBI LA VIJANA NGBF 2024
🔴 LIVE | USIOGOPE SONGA MBELE | KAMBI LA VIJANA NGBF 2024 | NITAKWENDA NA YESU BILA KUOGOPA
มุมมอง 119หลายเดือนก่อน
🔴 LIVE | USIOGOPE SONGA MBELE | KAMBI LA VIJANA NGBF 2024 | NITAKWENDA NA YESU BILA KUOGOPA
UJASIRIAMALI | NAMNA YA KUANZISHA BIASHARA YAKO NA KUJIAJIRI | KAMBI LA VIJANA NGBF 2024
มุมมอง 69หลายเดือนก่อน
UJASIRIAMALI | NAMNA YA KUANZISHA BIASHARA YAKO NA KUJIAJIRI | KAMBI LA VIJANA NGBF 2024
KAMBI LA VIJANA NGBF 2024 | MABALOZI GEITA CENTRAL
มุมมอง 174หลายเดือนก่อน
KAMBI LA VIJANA NGBF 2024 | MABALOZI GEITA CENTRAL
KAMBI LA VIJANA NGBF 2024 | NITAKWENDA NA YESU BILA KUOGOPA | USIOGOPE KUANZA ITAISHA VIZURI
มุมมอง 117หลายเดือนก่อน
KAMBI LA VIJANA NGBF 2024 | NITAKWENDA NA YESU BILA KUOGOPA | USIOGOPE KUANZA ITAISHA VIZURI
🔴 LIVE | KAMBI LA VIJANA NGBF 2024 | NITAKWENDA NA YESU BILA KUOGOPA
มุมมอง 326หลายเดือนก่อน
🔴 LIVE | KAMBI LA VIJANA NGBF 2024 | NITAKWENDA NA YESU BILA KUOGOPA
🔴 LIVE UIMBAJI | KAMBI LA VIJANA NGBF 2024 | NITAKWENDA NA YESU BILA KUOGOPA
มุมมอง 261หลายเดือนก่อน
🔴 LIVE UIMBAJI | KAMBI LA VIJANA NGBF 2024 | NITAKWENDA NA YESU BILA KUOGOPA
MCHUNGAJI MTOTO | SHUHUDIA AKIHIBIRI TENA KAHAMA MJINJI | MOTO WA KUOTEA MBALI
มุมมอง 725หลายเดือนก่อน
MCHUNGAJI MTOTO | SHUHUDIA AKIHIBIRI TENA KAHAMA MJINJI | MOTO WA KUOTEA MBALI
MCHUNGAJI MTOTO AHUBIRI KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO KAHAMA CENTRAL LEO HII
มุมมอง 13K2 หลายเดือนก่อน
MCHUNGAJI MTOTO AHUBIRI KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO KAHAMA CENTRAL LEO HII
🔴 LIVE | SIKU YA 4 | JUMA LA UWAKILI MTAA WA KAHAMA MJINI
มุมมอง 752 หลายเดือนก่อน
🔴 LIVE | SIKU YA 4 | JUMA LA UWAKILI MTAA WA KAHAMA MJINI
#live IBADA KUU | HITIMISHO JUMA LA UWAKILI NA UAMSHO SANAWARI ARUSHA 2024
มุมมอง 1032 หลายเดือนก่อน
#live IBADA KUU | HITIMISHO JUMA LA UWAKILI NA UAMSHO SANAWARI ARUSHA 2024
SHULE YA SABATO MEZANI MEZANI MTAA WA SANAWARI | JUMA LA UWAKILI NA UAMSHO 2024
มุมมอง 1122 หลายเดือนก่อน
SHULE YA SABATO MEZANI MEZANI MTAA WA SANAWARI | JUMA LA UWAKILI NA UAMSHO 2024
JUMA LA UWAKILI MTAA WA KAHAMA CENTRAL | KUTII SAUTI YA MUNGU
มุมมอง 1362 หลายเดือนก่อน
JUMA LA UWAKILI MTAA WA KAHAMA CENTRAL | KUTII SAUTI YA MUNGU
Asante baba umetuponya
Amen sana pastor ubarikiwe na YESU msabato
Amina
Tumebarikiwa wapendwa
Amina amina amina. Barikiwa Pastor. Nafata kutoka DRCONGO
Mungu akubariki paster
Amen, nabarikiwa nikiwa dr kariakoo Tanzania 🇹🇿
Barikiwa sana pr
Amina Pastor
Amen
Amen
Amen amen
Amina
🙏🏼🙏🏼
Ubarikiwe ❤❤❤
Huu ni upagani
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
wapi
Hadith za uwongo hizi mna walisha watu uchafu na uwongo
Sasa kama walikubali kuingiza mungu wa utatu nini kinachofanya wasiwe na mikesha hii ya kipagani
Bwana saidia waja wako!!!!!!
Kwani kukesha kumshukuru Mungu kuna ubaya gani? Au kwa vile madhehebu mengine yanakesha? Mbona hata mahubiri ya Wasabato kuna namna fulani siku hizi zinaendana na baadhi ya madhehebu mengine? Sio kila lililo jema likifanywa na wengine,basi Wasabato hawawezi fanya sababu watakua kama mataifa Kukesha kumsifu na kumshukuru Mungu hakuna ubaya wowote. Au ubaya upo kwa kukesha kuamkia tarehe 1? Tafadhali tuendelee kueleweshana maana sijaelewa kosa liko wapi
Wapendwa tumefikaje hapa! ni kwa sababu ya muungano wa SDA na madhehebu mengine kimafundisho, Vinginevyo kusingekuwa na umuhimu wa mkesha wa mwaka mpya!!! Watu wa Mungu hukesha kila siku, hiyo ni kujaribu kuzoeza washiriki wasione utofauti wa SDA na Makanisa yaliyoasi hii ikiwa ni utimizo wa Unabii wa 2SM 384.3-385.3 Kwamba viongozi watafanya iwepo tofauti ndogo kati ya watu wa Mungu washikao sheria yake na wasiotii...
Kosa ni Kuamkia Tarehe 1 hakuna Kingine Ndugu
Kama imefika hapo kwetu sda tunakesha nini
Yaan sikuizi mikesha na wasabato kama tungekubali maneno ya nabii tusingefika huku ,nabii aliandika kiambo kuhusu kanisa kuacha njia 4T ,210
Aliandikaje? Tunaomba hiyo nukuu hapa
Kuna changamoto ya watu wengi kuwa na dini ya mazoea. Hivi kwa mfano, tunapokuwa na wiki nzima ya maombi ambapo hata siku ya jumapili tunalazimika kwenda kanisani; je hiyo ni kusema Wasabato wameanza kuabudu jumapili??? Kwani licha ya mwaka mpya, kanisa tukikubaliana kwamba mwisho wa mwezi huu tuwe na maombi kumshukuru Mungu kwa kutulinda mwezi mzima, hapo kuna kosa gani ikiwa lengo ni kumshukuru Mungu? Kwa siku ya Krismas ikiangukia siku ya Sabato na tunaenda kanisani, ndiyo kusema kwamba tutakuwa tunaabudu Krismas?.?
Ikigongana hamna shida lakini kwa hilo la pr mbwana sijaelewa kabisa tumeisha
Ama kweli sijawaelewa kwa nini manunguniko
Kipi kinakufanya useme tumeisha? Kosa ni lipi hapo rafiki. Na ni andiko lipi limekosewa labda ili tujirekebishe? Tusaidiane jamani, sote tunatamani kuokolewa
Upumbavu ni pale unapojua kua huu ni uongo lakini bado unazidi kuuamini
@@sindabahabwoyaanacret660Mungu akusaidie na akafungue akili yako usiishi kwa mazoea
Asanteni kwa comments nzuri wapendwa. Ili tusaidiane vizuri, naomba kujua shida ilipo. Je kosa ni kukesha usiku kucha, au kosa ni kukesha usiku wa kuamkia tarehe1?
Watu Shida Yao ni Kukesha Kuamkia Tarehe 1 😂😂Siku zingine Wenyewe Hata wakiambiwa Waje Kukusha nakuomba hawaji Tumekuwa Watu wakulalamika Bila hoja na Kufuata tu Mkumbo
Wasabato nanyie mnakesha. Kushelejea Nini?matumbo yamejaa pesa za kuuza loho zawatu.mnapndisha maandiko wapi biblia imeandika. Nitumie walishelekea mwaka mpya.??
Muende mbele zake kwa moyo wa shukrani na kusifu...kuna kitu alikihubiri Pastor kwamba ingewezakana kila mwisho wa mwezi au mwisho wa week watu wangekutana kumshukuru Mungu maana hii pumzi hatuilipii. Ukielewa hilo tu bas utaelewa kwa nn watu wa Mungu walikesha katika Sinagogue
Shida inatoka wapi kama mtakesha mkimpa Mungu utukufu wapendwa.!
Ole wenu ninyi mnaotimiza unabii wasabato mnaiiga Dunia haya Kitabu Cha matukio sura 4 inawatazama endeleeen tu na mapokeo.
Mungu tubariki
Mmmm! Ndo tumefika huku?
Mmmm! Ndo tumefika huku?
Siku hizi mambo ya duniani yanaingia kanisani taratibu lakini kwa hakika
Naendelea kufatilia nabarikiwa sana
Mmh! Kwahyo na wasabato mmeanza mikesha ya mwaka mpya!!!, YESU uje tu
Samahani wapendwa. Nawashukuru sana kwa comments zenu. Ili tusaidiane kuelewa vizuri hoja hii, naomba kujua yafuatayo. 1. Hoja ya tatizo ni maombi ya kukesha, au hoja ni kukesha siku ya mwisho ya mwaka? 2. Je, kuna shida kuwa na mkesha siku yoyote? 3. Je, tatizo ni kukesha siku ya sikukuu ya mwaka mpya? Naomba kujua kisha sote tujadili hapa kwa kutumia maandiko, isiwe hisia zetu au mazoea.
@@pr.eliasnyangusu9540Yaani Shida ni Hoja No 1 na 2 Tarehe 31/12😅😅Watu tunacomplicate Sana Basi ni tuwaombee tu waelewe
@pr.eliasnyangusu9540 hoja sio kuwa na maombi ya mkesha,ila hoja ni kwanini yawe ya mwaka mpya? Unajua pastor nyangusu,upagani hauwezi ukaingia directly bali huanza indirectly,na kanuni ya shetani haijawahi kubadilika,yeye huchanganya ukweli na uongo kwa wakati mmoja,anaweza akaanza na UKWELI, UKWELI alafu akamalizia na UONGO au akaanza na UKWELI Kisha UONGO na kumalzia na UKWELI. Kwahyo ni vile atakavyochagua yeye aanzeje, Hivyo pastor kua na maombi ya kukesha sio shida, shida ni kwann yawe ni ya usiku wa mwaka mpya? Ambapo wapagani wote siku hyo wanakuwa na mkesha huohuo wakiusubiria mwaka uingie. Kwahyo kufanya maombi ya kukesha hyo ni UKWELI,lakni ktk siku ya mkesha wa mwaka mpya huo ndo UONGO. Kulikua na siku nyingine ambazo tungefanya mkesha wa maombi,na hii ambayo ni ya kidunia tungewaachia wenye kuianzisha.maana hata huo mkesha tulioufanya,unaitwa kwa jina lile lile la kidunia "mkesha wa mwaka mpya". Kwahyo pastor tusikubali kuanza kuingia kwenye upagani Pole pole kwakuu sanitize na UKWELI. Maana kweli yetu yapaswa kuwa kweli tu,wala haipaswi kuchanganywa na uongo.
True
Mungu atukuzwe sana
PR nyangusu mungu akutie nguvu
Uzia ni funzo zidi ya maisha yetu hii leo Barikiwa na Bwana pr Brayson
Amina, barikiwa sana Pr nakupata vyema kutokea Dar Es Salaam, Mubashara kabisa
Mhuuuuu unhu
Mbarikiwe wapendwa
Nimebarikiwa
Nabarikiwa sana
Amina ubarikiwe pastor ila fundi mitambo waangalie sauti inajirudia rudia unapoongea
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥🔥🔥