Wanavyuoni Wanasema Nini Kuhusu Arafa-Sheikh Huseein Ismail Aja na Hoja Hizi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ส.ค. 2024
  • usisahau ku subscribe channels hii

ความคิดเห็น • 22

  • @MkindiRama-lp6hy
    @MkindiRama-lp6hy 2 หลายเดือนก่อน +2

    Sheikh yuko sawa maana ana soma vitabu vya wanachuon Tena wa saudia Sasa nyie mnahoji na kutukana

  • @abubakarwazir5572
    @abubakarwazir5572 2 หลายเดือนก่อน +1

    dozi iendeleee

  • @r.m.a7570
    @r.m.a7570 2 หลายเดือนก่อน

    Dah! Ina lillah waina illah rajjiun

  • @abubakarwazir5572
    @abubakarwazir5572 2 หลายเดือนก่อน +2

    mzee mwenyewe kusoma hawezi 😂

  • @JUMAKANYEBWE-hy7ge
    @JUMAKANYEBWE-hy7ge 2 หลายเดือนก่อน

    Jameni mwezi wa kwanza haunekani na wote ndo maana mtume swa akaapisha mtu ili asihesabu vibaya.sikuyapili ya mwezi huoneka na kila mtu akili tu

  • @binzubeir6510
    @binzubeir6510 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kila mtu afuate msimamo wake msiwahangaishe watu.

  • @yusuphhamisi504
    @yusuphhamisi504 2 หลายเดือนก่อน +3

    Utasikia baadhi ya mashekhe wanakwambia sisi Tanzania tukitangaza mwezi saudia wataukubali?Hivi Tanzania nchi ambayo imesema wazi Haina dini utaifananisha na saudia nchi ya mbora ya mbora wa viumbe na inasimamiwa na dola ya kiislamu

    • @user-su7np6sn7s
      @user-su7np6sn7s 2 หลายเดือนก่อน

      Mbona bado we unaishi Tanzania nenda Kule ukaishi Saudia
      Wazazi wako si wamezaliwa Kule Saudia
      Hata we hapo ulipo si unaishi Saudia
      Ndomana Tanzania haina Dini
      Je mwezi ukionekana Palestine Saudia watafunga

    • @yusuphhamisi504
      @yusuphhamisi504 2 หลายเดือนก่อน

      @@user-su7np6sn7s huu ndo ujinga tunaoukataaa khabari za Palestine zinatokea wapi
      Acha umimi Palestine katoka Nani? Muhammad?

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@user-su7np6sn7s KWANI MTUME SAW ALIPOSEMA TUSHUHUDIE MWEZI KWA MUISLAMU MMOJA INATOSHA AU KWA NCHI YA SAUDIA INATOSHA?. YAANI UNATAKA KUWAAMINISHA WATU HUO UJINGA WAKO YA KUWA, MWEZI AKIUDHUHUDIA MTU AMBAE SIO MSAUDIA HATA KAMA MUISLAMU BASI USHAHIDI WAKE HAUFAI AU VIPI?!!!. EEEH JAHILIA MURAKAB LA KIWAHABIA WEEEEE😂

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@user-su7np6sn7sushahidi Ni NCHI au muislamu?

  • @r.m.a7570
    @r.m.a7570 2 หลายเดือนก่อน

    Wazungu wanatushinda wao ndo wanafata uislam ila ss sasa tunafata yakwao

  • @JUMAKANYEBWE-hy7ge
    @JUMAKANYEBWE-hy7ge 2 หลายเดือนก่อน

    Ukiambiwa mwezi umetoka kubali mtaharibu tarehe nyinyi

  • @daymalhomebae9488
    @daymalhomebae9488 2 หลายเดือนก่อน

    Tueleweni... Kwa kuwa kimasaa tuko sawa na 'Suudiya' haimaanisha lazima tutakuwa sawa kuuona mwezi... Ulimwengu wa Science na ipo katika Qur'an...

    • @suleimanh1826
      @suleimanh1826 2 หลายเดือนก่อน

      Lakini nyakati zetu za sala ni tofauti. Hebu jaribu kufuatilia saudia wanasali magharibi saa ngapi na sisi huku tunasali saa ngapi. Ukipata jibu rudi utueleweshe

    • @daymalhomebae9488
      @daymalhomebae9488 2 หลายเดือนก่อน

      Kama tumepishana basi dakika chache mno radio zetu za kiislamu kila zikitangaza saa zinasema ' sawia na saa za Makkah'

    • @daymalhomebae9488
      @daymalhomebae9488 2 หลายเดือนก่อน

      @@suleimanh1826 Ndivyo nilivyomaanisha kwamba magharibi yetu na ya Suudiya ni tofauti ikizingatiwa wakati jua linazama na kila mahali na kwa wakati tofauti... Angalia hata Ramadan timetable Malindi na Mombasa wanafungua kivyao.

    • @daymalhomebae9488
      @daymalhomebae9488 2 หลายเดือนก่อน

      Saa zetu zipo wakati mmoja, japo jua kuzama na mwezi kuonekana zinapishana. Sasa hatukuambiwa tuangalie saa...

  • @r.m.a7570
    @r.m.a7570 2 หลายเดือนก่อน

    Kla mtu anatoa fatua kwel uislamu ume vamiwa bla kujijua

  • @yusuphhamisi504
    @yusuphhamisi504 2 หลายเดือนก่อน

    Mfano Leo jumapili. Na saudia jumapili. Kizungu Leo Ni TAREHE 16/06/2023 na saudia Ni hivyo hivyo
    Muda pia Ni tunafanana iweje tupishane kwenye TAREHE ya kiislamu. ?

    • @jumafaki2891
      @jumafaki2891 2 หลายเดือนก่อน

      wasaudia wenyewe ndio wanotuambia tusiwafuate Sasa tuwalazimishe Kwa Nini na Hali hawataki tuwafuate

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@jumafaki2891kwani jee unataka kuwaambia watu haijawahi kutofautiana tarehe ya kiislamu?.