Yan wakristo wana matatizo ya akili wanamkataa Muhammad kuwa c mtume lakin wanamkubali mwamposa kuwa ni mtume haya Muhammad c mtume kisa hana siri za mungu mwamposa anajua siri gan ya mungu?
@@MimahMimah-b7k Vyovyote waweza kusema! Swali liko pale pale Qur'an 4: 79 hao akina NASI Waliompeleka Muhammad kuwa mtume ni akina nani na wakamfanya Mwenyezi kuwa shahidi? Hapo Shafi anapiga ngojera
MAA SHAA ALLAH SHEIKH SHAFII,ALLAH AKUZIDISHIE WINGI ELEMU WEWE NA WAHADHIRI WENZI WAKO, ILIMUENDELEE KUWAELIMISHA HAWA NDUGU ZETU WALIOPOTEZWA,NA KALAMU ZA WAANDISHI ZILIZOIFANYA KWELI KUWA UONGO!! WEWE NI UNAEWEZA KUMFUNDISHA YEYOTE NA AKAELEWA!! TUNAMUOMBA ALLAH AWALIPE KHERI NYINGI.
MaashaAllah ustadh shafii yaani hadi raha alafu unafunza kwa unyenyekevu na utulivu huku ukiichambuwa hoja kwenye Maandiko vyema ALLAH Akulipe Kila lakheri ustadh hapa duniani na kesho akhera Allahumma Amin !
Ikiwa wapinza ni hawa.jaa ya wauma.jamani jaa itatutiya motoni.wa ilam kazi tunayo.wanake tukazeni kanga.wanaumu mukaze suruwali na ukanda zisianguke.mwenyezmgu ametupa mtihani.lakini ishaala atatupa wepesi nao.amin
Sheikh shafi unafirahi sana uwrpo wako.mbona naonaraha sana ni kisiliza mawaidha yako.nakupenda buree.sheikh wa pili ninae mpenda mazinge .nyinyi bwana mbona watu wangu sana.nawa kubali sanaaaaaaa
@@AmaniHepautwa uyo Mnaemkaribisha kwenye uislamu ni mpinga kristo mwenzio. AaAcheni kujitekenya wenyewe. Hakuna mkristo mwenye akili ataekubali kumfuata Muhamad makaburini, badala ya Yesu Masihi alie hai.
@@OscarGerald-vp9kx uyo Mnaemkaribisha kwenye uislamu ni mpinga kristo mwenzio. Acheni kujitekenya wenyewe. Hakuna mkristo mwenye akili ataekubali kumfuata Muhamad makaburini, badala ya Yesu Masihi alie hai.
Imani ya Wakristo ni imara sijawahi ona, yaani mtu anatumia jina la imani ya wakristo kuunga mkono uislamu ili iaminike yeye ni mkristo ilihali yeye mwenyewe anajijua fika ni myahudi mpinga kristo wa kiislamu. Muhamad amewapotosha kiasi kwamba sasa mnaanza kuchanganyikiwa. Na apo bado hamjaenda kunywa ile mito yenu ya pombe peponi na wale wanawake mabikra. Uwiii😂😂😂😂😂 Uzinzi tu.
Siku waislamu mkiacha kuweka ushabiki kwenye midahalo hii Roho wa Mungu atawafundisha vizur na kuwaongoza katika toba ya dhati na kumpokea Yesu. Hamna tumaini jingine zaidi ya Yesu Kristo
Ustadhi Shafi jana umeuaaa sana umetoa shule ndefu sana ila kumbuka thummu bukmu.....ikisha ulikuwa kama imani petro (ALLAH ammrehemu, amjaalie pepo ya darja ya juu) unawaonea huruma kwelikweli......sheikh umeuaaa
Wallah shekhe shafii sikutarajia kabsa ulichoenda kukifanya pale🎉🎉🎉🎉 Alaf sasaa ule utulivu wako namna ulivyokatulia yaaaan somo linaendaa taratbu najua hata ndacha ilo swal lake kauliza kwasababu aliliandaa mda mref ila ulishajbu vzur nivle alkuwa anajifarij tuh ila mada iliwashnda mchana kweupe ukichanganya na yale mawe ya mtoto kautaa,,,,, ndo bas tena wallah allah akulipe kher shekh shafii
@@bashirusalumbigapsana673 😂😂😂 Sasa hapo unefundisha nini? Swali liko pale pale Qur'an 4: 79 hao akina NASI Waliompeleka Muhammad kuwa mtume Kwa watu ni akina nani na wakamfanya Mwenyezi Mungu kuwa shahidi? Yaani Mwenyezi Mungu hapo hakuhusika Bali alikuwa shahidi yaani aliyeona tukio bila kuhusika😅😅
@@Annalisejg2ur Mshukuru sana mungu amekupa akili timamu ya kujifunza na kujiuliza maswali ya msingi katika kichwa chako na ukabaini ukweli. Siku ya kiama anaijua Mungu tu katka biblia Yesu kasema ajui na hata mtume ajui wala malaika awajui io cku. Kuna hadithi moja malaika jibril alishuka duniani kwa mwonekano wa binadam akawa anaongea na mtume (S.A.W) kwa kua alikua rafiki sana wa mtume wakat wa maongezi yao Jibril akawa ameshtuka ghafla kuona dunia inatikisika uku ametoa macho uku macho yake yanatazama juu ya anga, anatetemeka kwa uwoga. Baada ya dakika kadhaa malaika jibril akashusha pumzi kwa nguvu mtume akamuuliza Jibril kwanin alikua anaonekana ana hofu kubwa na uwoga ndipo jibril akamwambia mtume sababu ya yeye kushtuka na kuogopa alimwona malaika Israfiil ambaye ni malaika atayepuliza parapanda (baragumu) siku ya kiama amekuja katika uso wa dunia ndomana akaogopa alijua siku iyo ndio kihama kimefika maana malaika Israfiil hana kawaida ya kuja duniani mpaka ile siku ya kiama akipewa idhini na Mungu. Kama Malaika hana ata chembe ya dhambi na anaogopa cku ya kihama vp kwa sisi wenye dhambi. ila point yangu kuu ni Mungu pekee anayejua siku ya kihama sio malaika wake wala manabii au mitume yake
Yaaani kama wakristo awaelewi na hapo basi tena yaaani, Shekhe Shafi umewabainishia haki kama ilivyo wazi wazi na pia mi nilisema akisimama huyu mwamba Shekhe Shafi akuna kinacho alibika biidhnillah, Najisikia raha sana Shekhe Shafi Allah akulipe khery Duniani na Akhera Amiiin na awaongoze kina ndacha na jopo lake wawe waislamu Allahumma Aamiin, daaaaah l'm so proud to be a Muslim: lndeed Islam is a great blessings, if Allah has onored us with the blessings of islam that guarantees genuine happiness in the wodly life and the hereafter, we should never take it for granted but has to be strive in wodly of Jannah.
Swali liko pale pale Qur'an 4: 79 hao akina NASI waliomtuma Muhammad ni akina nani na wakamfanya Mwenyezi Mungu kuwa shahidi? Naona Shafi anapiga porojo akidhani eti kajibu 😂😂😂😂😂
@@Annalisejg2ur Sina Shetani Wala jini Swali liko pale pale acha porojo Qur'an 4: 79 hao akina NASI Waliompeleka Muhammad kuwa mtume Kwa watu ni akina nani na wakamfanya Mwenyezi Mungu kuwa shahidi??😅😅😅😅 Hilo Swali halijibiki mpaka kiama😅😅😅😅😅😅
@@Annalisejg2ur jibu Swali Qur'an 4: 79 hao akina NASI Waliompeleka Muhammad kuwa mtume Kwa watu ni akina nani na wakamfanya Mwenyezi Mungu kuwa shahidi? Nipe jibu matatizo yangu yaishe😂😂😂😂😂😂
😅😅😅 Oustaz Shafi nakupenda kwa ajili ya ALLAH na mtume wetu MOUHAMMAD ❤️ ALLAH akuzidishie kila lakheri mwalimu, nataka niwe ata mwanafunzi wako ili nikuje ku fanya dawa uko kwetu D.R.C🇨🇩🇨🇩
@@ustadhshafiionlinetv ndugu yangu nilitaka nikupigie simu kabla ya mdahalo huu kuna jambo nilitaka nikueleze lakini naona nilichokifikiria kumbe ndicho kilichokuwa akilini kwako. Naona unawanyoosha kweli kweli, Allah akuzidishie kila la kheri.
@@ustadhshafiionlinetv Swali liko pale pale Qur'an 4: 79 hao akina NASI waliomtuma Muhammad ni akina nani? Kisha wakamfanya Mwenyezi Mungu kuwa shahidi? Shafi acha porojo 😅😅
@@SalmanMughal-lq5lt Wasujudia Al hajar Al aswad lililoko Makka ndiyo wa motoni!! Acha kusujudia kuelekea Makka unasujudia Jiwe jeusi bila kujitambua wewe Toka huko😢😢 karibu Kwa YESU KRISTO MWANA WA MUNGU ALIYE HAI AMBAYE NDIYO NJIA YA KWELI NA UZIMA
@@paulmushi2428WW na akili yako Ina changamoto kama hao walimu wako. Umesha ambiwa m/Mungu kutumia wingi ni kuonyesha utukufu wake na pia ni fumbo. Sasa ww una pata tabu wp hapo na tafsiri hiyo ime toka kwenye bibilia yenu. Yani wakristo kiswahili kina wasumbua Sana.
Yaaani mpk raha Shekhe Shafi kawafunika ile mbaya Alhamdulilaah mada usha maliza Shekhe wetu❤❤❤ Nakupenda Shekhe kwajili ya ALLAH. Akhyiii
Sheikh Shafi maa shaa Allah, Allah akulinde akujaalie kila jema inshallah
Ust.Shaffi Allah Akubariki kwa kweli umetufundisha kitu Kikubwa Sana.
MAASHALLAH USTAADH SHAFII SIO MTU WA KAWAIDA SIJAWAHI KUONA UMESHINDWA NA HOJA NA HAWA JAMAA, ALAH AKULIPE KHERI IN SHA ALLAH, AAMIN.
Mashallah ushindi daima...Haqi ikon wazi itaolea tu.
Ustadh shafi km unavomtetea Mtume s.a.w ndivo atakavo kutetea kesho mbele za Allah...kubwa Allah akujaalie IKHLAS....amiin
We ustadhi shafii Allah akupe pepo inshallah
Yan wakristo wana matatizo ya akili wanamkataa Muhammad kuwa c mtume lakin wanamkubali mwamposa kuwa ni mtume haya Muhammad c mtume kisa hana siri za mungu mwamposa anajua siri gan ya mungu?
😂😂😂 umeonaee@@MimahMimah-b7k
@@HanifaOman-oo4pl huu ni mtihani yan ni majanga kwa ndugu zetu Allah awaongoze
@@MimahMimah-b7k Vyovyote waweza kusema! Swali liko pale pale Qur'an 4: 79 hao akina NASI Waliompeleka Muhammad kuwa mtume ni akina nani na wakamfanya Mwenyezi kuwa shahidi? Hapo Shafi anapiga ngojera
InshaAllaAamina😭😭😭😭MtumewetuMuhammadi swalallahu alyhi wassallam kiumbe oraKjlikoViumbevyooote Allahu Akbaru
Allahu Akbar
Allahu Akbar
Allahu Akbar
MAA SHAA ALLAH SHEIKH SHAFII,ALLAH AKUZIDISHIE WINGI ELEMU WEWE NA WAHADHIRI WENZI WAKO, ILIMUENDELEE KUWAELIMISHA HAWA NDUGU ZETU WALIOPOTEZWA,NA KALAMU ZA WAANDISHI ZILIZOIFANYA KWELI KUWA UONGO!! WEWE NI UNAEWEZA KUMFUNDISHA YEYOTE NA AKAELEWA!! TUNAMUOMBA ALLAH AWALIPE KHERI NYINGI.
M/mungu awape maisha marefu mashekhe wetu,sisi ni waumini tu katika dini hii ila elimu ya dini tunaipata kutoka kwenu
Kenya SHEIKH SHAFI
Kaka shaffi uko vizuri sana, shida unaokopa kongo ningekuaĺika uje upige muhadhara wa kimataifa.
Masha allah usth shafii from Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Mashallah ustadh shafy unajitahid sana❤
Sio anajitaidi huyo fundi
MashAllah Allah akuhifadhini wahadhiri wetu
Big proud Sheik Shafi Shomar Pango
Ndacha hasubutu kusimama mbele ya sheikh shaffi
Mungu akulipe sheik shafi ❤❤
Ustadhi Shafi Allah akujaze kheri akihifadhi, kifua chako ❤❤❤
Takbir
Hoja za makafiri ni za ubabaishaji,waislamu wawe macho na wasome.
Masha'Allah hakaika Allah ana waja wake Shafi umetisha
Allah wenu kasha kuombeeni ?
Masha Allah may give you more wisdom
MaashaAllah ustadh shafii yaani hadi raha alafu unafunza kwa unyenyekevu na utulivu huku ukiichambuwa hoja kwenye Maandiko vyema
ALLAH Akulipe Kila lakheri ustadh hapa duniani na kesho akhera Allahumma Amin !
Qur'an 4: 79 hao akina NASI waliompeleka Muhammad ni akina nani na kumfanya Mwenyezi Mungu kuwa shahidi?
@@paulmushi2428 Mwenyezi Mungu ndio kamtuma Muhammad na Mungu mwenyewe ndio shahidi
Ikiwa wapinza ni hawa.jaa ya wauma.jamani jaa itatutiya motoni.wa ilam kazi tunayo.wanake tukazeni kanga.wanaumu mukaze suruwali na ukanda zisianguke.mwenyezmgu ametupa mtihani.lakini ishaala atatupa wepesi nao.amin
Wallahi ustadh shafii mwenye enzi mungu amekupa hikma na ilmu allah akuzidishie
Sheikh shafi unafirahi sana uwrpo wako.mbona naonaraha sana ni kisiliza mawaidha yako.nakupenda buree.sheikh wa pili ninae mpenda mazinge .nyinyi bwana mbona watu wangu sana.nawa kubali sanaaaaaaa
❤❤maashaallah Ostadh Shafi Allah akuekee uepesi n'a akuhifadh
Kweli ma Kristo hamjafahamu kama mndanganywa
Safi sana SHEHE shafii nimejifunza mengi Mungu akulipe ivi nani aliniambia nizaliwe Mkristo 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Karibu kwenye uislam kusilim ni bure
we ulizaliwa ukiwa muislam ila wazazi wako ndo walikupeleka kwny ukristo, wote tunazaliwa waislam
@@AmaniHepautwa uyo Mnaemkaribisha kwenye uislamu ni mpinga kristo mwenzio. AaAcheni kujitekenya wenyewe. Hakuna mkristo mwenye akili ataekubali kumfuata Muhamad makaburini, badala ya Yesu Masihi alie hai.
@@OscarGerald-vp9kx uyo Mnaemkaribisha kwenye uislamu ni mpinga kristo mwenzio. Acheni kujitekenya wenyewe. Hakuna mkristo mwenye akili ataekubali kumfuata Muhamad makaburini, badala ya Yesu Masihi alie hai.
Imani ya Wakristo ni imara sijawahi ona, yaani mtu anatumia jina la imani ya wakristo kuunga mkono uislamu ili iaminike yeye ni mkristo ilihali yeye mwenyewe anajijua fika ni myahudi mpinga kristo wa kiislamu. Muhamad amewapotosha kiasi kwamba sasa mnaanza kuchanganyikiwa. Na apo bado hamjaenda kunywa ile mito yenu ya pombe peponi na wale wanawake mabikra. Uwiii😂😂😂😂😂 Uzinzi tu.
Waislamu wamesoma. Wakristo kaeni karibu nao mnufaike
Siku waislamu mkiacha kuweka ushabiki kwenye midahalo hii Roho wa Mungu atawafundisha vizur na kuwaongoza katika toba ya dhati na kumpokea Yesu.
Hamna tumaini jingine zaidi ya Yesu Kristo
Ustadhi Shafi jana umeuaaa sana umetoa shule ndefu sana ila kumbuka thummu bukmu.....ikisha ulikuwa kama imani petro (ALLAH ammrehemu, amjaalie pepo ya darja ya juu) unawaonea huruma kwelikweli......sheikh umeuaaa
Yan shekhe nakupenda sana kwaajili ya rahman
Mashallah sheikh shafi kiboko
MashaAllah shekhe Mwenyezi Mungu akubariki
Sheikh Shaffih Omar Pango
Mungu akubali na masheikh wengine walioandaaa kongamano hili
Jazakallah
ALLAHUMA BAARIK ALAYHI
Wallah shekhe shafii sikutarajia kabsa ulichoenda kukifanya pale🎉🎉🎉🎉
Alaf sasaa ule utulivu wako namna ulivyokatulia yaaaan somo linaendaa taratbu najua hata ndacha ilo swal lake kauliza kwasababu aliliandaa mda mref ila ulishajbu vzur nivle alkuwa anajifarij tuh ila mada iliwashnda mchana kweupe ukichanganya na yale mawe ya mtoto kautaa,,,,, ndo bas tena wallah allah akulipe kher shekh shafii
Swali liko pale pale Qur'an 4: 79 hao akina NASI Waliompeleka Muhammad kuwa mtume Kwa watu ni akina nani na wakamfanya Mwenyezi Mungu ni Shahid?😅😅😅
@@paulmushi2428Kwanza unajua maana ya nasi au unaropoka?
@@paulmushi2428ngoja nikufundishe wewe
Nasi ni watu ambao Mungu alimtuma mtume muhamad ili aende kuwaongoza hao watu na mungu ni shahidi juu ya hilo
@@bashirusalumbigapsana673 😂😂😂 Sasa hapo unefundisha nini? Swali liko pale pale Qur'an 4: 79 hao akina NASI Waliompeleka Muhammad kuwa mtume Kwa watu ni akina nani na wakamfanya Mwenyezi Mungu kuwa shahidi? Yaani Mwenyezi Mungu hapo hakuhusika Bali alikuwa shahidi yaani aliyeona tukio bila kuhusika😅😅
@@paulmushi2428malaika
SUBHANALLAH
LAILAHA ILLALLAH WAHDAHU LASHARIKALAHU LAHULMULKU WALA HULHAMDU WAHUWA ALA KULLISHAIIN KADER WAANNA SAIDINA MUHAMMADIN RASULULLAHI SWALLAAHU ALAIHI WASALLIM WA BARIK ALAIHI
ALLAHUMA SWALLI ALA SAIDINA MOHAMMADIN WAALI SAIDINA MOHAMMADIN WA BARIK ALAIHI WASALLIM
Barakallahu Feek
Allahu''akibar ❤❤❤
Allaah akubariki kwa Neema zake Ustadh Sheffi
Mashekhe wetu Kwa umoja tuanwapenda sana❤❤❤❤❤❤🎉
Yesu si Mungu . Hata kiama hajuwi ni lini. Na sasa hivi yuko mbinguni mkono wa kulia mwa baba yake
Manabii na mitume wote wako mbinguni Acha uwongo wewe 😂😂😂😂
@@IbrahimMarco yesu si Mungu. Mungu atakosaje kujuwa kaima lini
@@Annalisejg2ur Mshukuru sana mungu amekupa akili timamu ya kujifunza na kujiuliza maswali ya msingi katika kichwa chako na ukabaini ukweli. Siku ya kiama anaijua Mungu tu katka biblia Yesu kasema ajui na hata mtume ajui wala malaika awajui io cku. Kuna hadithi moja malaika jibril alishuka duniani kwa mwonekano wa binadam akawa anaongea na mtume (S.A.W) kwa kua alikua rafiki sana wa mtume wakat wa maongezi yao Jibril akawa ameshtuka ghafla kuona dunia inatikisika uku ametoa macho uku macho yake yanatazama juu ya anga, anatetemeka kwa uwoga. Baada ya dakika kadhaa malaika jibril akashusha pumzi kwa nguvu mtume akamuuliza Jibril kwanin alikua anaonekana ana hofu kubwa na uwoga ndipo jibril akamwambia mtume sababu ya yeye kushtuka na kuogopa alimwona malaika Israfiil ambaye ni malaika atayepuliza parapanda (baragumu) siku ya kiama amekuja katika uso wa dunia ndomana akaogopa alijua siku iyo ndio kihama kimefika maana malaika Israfiil hana kawaida ya kuja duniani mpaka ile siku ya kiama akipewa idhini na Mungu. Kama Malaika hana ata chembe ya dhambi na anaogopa cku ya kihama vp kwa sisi wenye dhambi. ila point yangu kuu ni Mungu pekee anayejua siku ya kihama sio malaika wake wala manabii au mitume yake
Asante Sana UST Shaffi Kwa ilimu unayo
Mungu akupe Janah
Mungu ni ni mungu wa Ibrahim na wa isaka na wa yakobo si mungu waisimaili
Mashallah barakallah fik...❤
Sheikh shafii huwezi kaka, Wafundishe hao
Ustaadhi Shafi hamkujipanga katika video production,mbaya sana hatuoni hadhira wala reaction zozote apo ukumbini
Masha allah usth shafii
Mashaallah mashaallah mashaallah
Masha Allah Sheikh Shafi
Shafii unajuwa sana
Mashallah
MashaAllah❤❤❤❤🎉🎉🙏🙏🙏☝️
Uyo shafi aujuwi kitu tuliya bakufuze maadiko wew
Yesu ni mwana wa Mungu hilo halina ubishi watu wote na waislam wote mnatakiwa kumwamini
Acha uongo
MashaAllah ❤❤❤
Yaaani kama wakristo awaelewi na hapo basi tena yaaani, Shekhe Shafi umewabainishia haki kama ilivyo wazi wazi na pia mi nilisema akisimama huyu mwamba Shekhe Shafi akuna kinacho alibika biidhnillah, Najisikia raha sana Shekhe Shafi Allah akulipe khery Duniani na Akhera Amiiin na awaongoze kina ndacha na jopo lake wawe waislamu Allahumma Aamiin, daaaaah l'm so proud to be a Muslim: lndeed Islam is a great blessings, if Allah has onored us with the blessings of islam that guarantees genuine happiness in the wodly life and the hereafter, we should never take it for granted but has to be strive in wodly of Jannah.
Swali liko pale pale Qur'an 4: 79 hao akina NASI waliomtuma Muhammad ni akina nani na wakamfanya Mwenyezi Mungu kuwa shahidi? Naona Shafi anapiga porojo akidhani eti kajibu 😂😂😂😂😂
@@paulmushi2428hujielewi wewe. Mashatani ya kanisani yashakuchanganya
@@Annalisejg2ur Sina Shetani Wala jini Swali liko pale pale acha porojo Qur'an 4: 79 hao akina NASI Waliompeleka Muhammad kuwa mtume Kwa watu ni akina nani na wakamfanya Mwenyezi Mungu kuwa shahidi??😅😅😅😅 Hilo Swali halijibiki mpaka kiama😅😅😅😅😅😅
@@paulmushi2428 una matatizo kweli mpaka huruma
@@Annalisejg2ur jibu Swali Qur'an 4: 79 hao akina NASI Waliompeleka Muhammad kuwa mtume Kwa watu ni akina nani na wakamfanya Mwenyezi Mungu kuwa shahidi? Nipe jibu matatizo yangu yaishe😂😂😂😂😂😂
Mashaallah
Wenzetu waislamu hawana majini sahihi.
Raha saaaaana al hando liliah
❤❤
Shafi'i kiboko
maashAllah
Shafi bonge lakijana, hamumuwezi
Shida yao hawataki kusoma ndio maana wengi wanadanganywa kwa kusomewa na mapasta kisha wanasherehekea uwongo
Weye auko Saw soma ma adiko apana kukatala kitu Na bado auya soma wew majini ziko mu kishwa yako sana auwezi soma Ama kufata maneno ya yesu
Wekeni na kipande cha KINYOGOLI HAPA JAMANI SIKIONI
😅😅😅 Oustaz Shafi nakupenda kwa ajili ya ALLAH na mtume wetu MOUHAMMAD ❤️
ALLAH akuzidishie kila lakheri mwalimu, nataka niwe ata mwanafunzi wako ili nikuje ku fanya dawa uko kwetu D.R.C🇨🇩🇨🇩
Shukran
@@ustadhshafiionlinetv ndugu yangu nilitaka nikupigie simu kabla ya mdahalo huu kuna jambo nilitaka nikueleze lakini naona nilichokifikiria kumbe ndicho kilichokuwa akilini kwako. Naona unawanyoosha kweli kweli, Allah akuzidishie kila la kheri.
@@ustadhshafiionlinetv acha maelezo ya janja Qur'an 4: 79 hao akina NASI waliomtuma Muhammad Mwarabu Maqureishi ni akina nani? Yaani hata ukeshe ukitoa maelezo huna jibu wewe
@@ustadhshafiionlinetv Waalimu Ndacha na Daniel 🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪💪💪💪💪💪💪💪💪🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Shafi hapo anapiga porojo akidhani eti kajibu😂😂😂😂😂😂
@@ustadhshafiionlinetv Swali liko pale pale Qur'an 4: 79 hao akina NASI waliomtuma Muhammad ni akina nani? Kisha wakamfanya Mwenyezi Mungu kuwa shahidi? Shafi acha porojo 😅😅
Apo kwa mwanzo Mungu alikuwa pamoja na mwanawe yesu kristo
Acha uongo
Watahangaika sana lkn dini ya kiisilamu ndio heshima ukweli na njia
Sheikh shafii Elimu umewapa kazi kwao kuendelea ubishi wao kama kawaida yao lakin umejitoa kwenye lawama
Wape elimu hao wakosa dini
Mwalimu wa kislamu badala ya kujibu swali anfundisha lugha
Jitambue na uzinduke acha matango pori na ubishan ktk din ww..toka ulipo gizan
Hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah. Ndacha na Daniel 🔥💪🔥🔥💪💪🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪💪💪💪💪💪💪🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🙏🙏🙏
Wamotoni utawaona tu
@@SalmanMughal-lq5lt Wasujudia Al hajar Al aswad lililoko Makka ndiyo wa motoni!! Acha kusujudia kuelekea Makka unasujudia Jiwe jeusi bila kujitambua wewe Toka huko😢😢 karibu Kwa YESU KRISTO MWANA WA MUNGU ALIYE HAI AMBAYE NDIYO NJIA YA KWELI NA UZIMA
@@paulmushi2428😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂naona unajaribu kujipa moyo😂😂😂😂😂😂
😂😂😂 🤲 YAA ALLAH WAWEKE WALIMU WETU HAWA
Anasema ni kauli ya Mungu na sisi hatummwoni. Je wao wanasema Yesu ni Mungu, Yesu hakuonekana?
Bwana yesu asifiwe maana yake amani iwe nayi chafi acha ujaja apo ni chida kweli apo ni utatu kwa nini uweeliwi chafi
Sheikh shafi apa kutokea USA 🇺🇸, Allah azidi kukulinda wake number yako ya sim niweze kukutunza inshaallah 🙌🏿
😂😂😂 hapo Shafi kapiga porojo tu Qur'an 4: 79 hao akina NASI waliomtuma Muhammad ni akina nani na wakamfanya Mwenyezi Mungu ni Shahid?😅😅😅
Namba yake ipo kwenye video
From kenya sheikh shafi balaa
@@paulmushi2428 huelewi kiswahili ametoa andiko kwenye bibilia inayo fafanua iyo
@@paulmushi2428WW na akili yako Ina changamoto kama hao walimu wako. Umesha ambiwa m/Mungu kutumia wingi ni kuonyesha utukufu wake na pia ni fumbo. Sasa ww una pata tabu wp hapo na tafsiri hiyo ime toka kwenye bibilia yenu. Yani wakristo kiswahili kina wasumbua Sana.
Islam raha sana jaman nipe namba zako kaka
0713596030
Wakristo hawajuwi lugha hawajasoma taaluma ya fasihi
Muhammad sio mtume lakini Bado mwatumia Quran ya Muhammad
Anaetaka kuja kwenye dini ya haki na dini ya mwanadamu basi njoo katika uislamu full stop
Shafii muoga sana mkutano mkubwa kama huu wanapewa dakika 20?😂😂jebu mjiamini waislam
Tunavaa watu kama sis teyal n wingi shehe
Shafi nipe number yako
Mnafiki shafi,unge weka full video,we umekata kipade ya kwako,potelea mbali
Imekuchomaeeeeeeeeeeee! Polesana ndomambo
Hoja za Daniel hamna kitu hoja zake hata mm tu namjibu ata jasho halitoki
Sijaona ona kwenywe bibilia Aya inaosema Mariamu, Zacaria na Yohana walikuwa wanaswali kumwomba Yesu. Ni upuuzi mtupu. Ukristo ni upagani tuu!
HUYU SHAFI ANASHUSHA NYUNDO ZAMOTO SANA NA HUA ANAPIGA 👊 KWENYE MSHONO
Shafi kwenye Baba unaweekan Mungu then kwenye Mwana unaweka YESU then Kwenye mnakataa kuwa YESU sio mwana wa Mungu😂😂
Tuache utani haka kashekhe kanajua maandiko na kiswahili nilichogundua akina ndacha hawaelewi lugha vizur ndiyo maana wanapotea
Shaf wewe ninoma wew nishida hawkuwezi kabisa waende shurekwanza mungu akurinde
Pesa. Mnakala pekeyenu. Sisi tunabakia. Upambe tu. Acheni uchoyo tugawane pesa zinazopatikana. Katika majadiliano
Majibu ya kihuni hawana majibu kwa wakristo
Mimi niko congo ila nakukubali kweli
Shekh shafi nabak tu nachek kwa Raha umejua kumfundisha mtot mdogo huyo akakojoe akalale😂😂