Pamechimbika Kihoja -Ustadh Shafii Amtandika Mchungaji Ndacha -Inshu ya Utambuzi wa Yesu kwa Mungu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 125

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 5 หลายเดือนก่อน +13

    Napenda how humble ustadh shafi is, hana fujo Wala kelele but to the point with hikma

  • @JuniorTz-s7x
    @JuniorTz-s7x 3 หลายเดือนก่อน +1

    Penda sana shehe wangu mungu akujahalie uwe na mwisho mwena penda sana uislam god is one 🙏🙏🙏🙏🙏💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖❣️💖❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️

  • @SukariSukari-sq9tf
    @SukariSukari-sq9tf 5 หลายเดือนก่อน +7

    Wlh sikuizi Zote ulimwnguni waislamu huvunja hoja ya wakristo.

  • @Catherine-mh8sw
    @Catherine-mh8sw 5 หลายเดือนก่อน +2

    Shafii umesafisha leo. Kila kitu cheupeeee pe 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MohamedMohamed-u3t1n
    @MohamedMohamed-u3t1n 5 หลายเดือนก่อน +2

    Hivi ni moja katika vibano walivyopokea wakristo wakiongozwa na ndacha ambavyo watakumbuka maisha yao yote

  • @BintalliMbakuha
    @BintalliMbakuha 5 หลายเดือนก่อน +5

    Shafi mwalimu mzuri ,hanafujo

  • @samxx411
    @samxx411 5 หลายเดือนก่อน +3

    Shafi kampiga ndacha nyundo za kichwa vibaya sana

  • @UswegeJohn-ov3ym
    @UswegeJohn-ov3ym 5 หลายเดือนก่อน +2

    NDACHA WEWE NI MSOMI HASWAA!!

  • @Catherine-mh8sw
    @Catherine-mh8sw 5 หลายเดือนก่อน +2

    Wakristoooo yesu si Munguuuuu ni mtume wa Munguuuuuuuu

    • @hamisiwesonga2496
      @hamisiwesonga2496 5 หลายเดือนก่อน +2

      ukweli kabisa

    • @nassorsharifu9837
      @nassorsharifu9837 5 หลายเดือนก่อน +1

      Wengi wanajuwa hilo lakini watawashije kondoo wao

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 5 หลายเดือนก่อน

      @@nassorsharifu9837 hatari kweli

  • @OmanOman-il3dc
    @OmanOman-il3dc 5 หลายเดือนก่อน +3

    Ustadhi shafii wew unajua had unajua tena wallah niburudani kubwa😊

  • @Catherine-mh8sw
    @Catherine-mh8sw 5 หลายเดือนก่อน

    Njoooni njoooniiii kijana wa mafya kafunga dimba🎉🎉🎉❤❤❤❤. Shekh shafiiii ni kijana maridadi sana. Tunashukuru 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥

  • @nassorsharifu9837
    @nassorsharifu9837 5 หลายเดือนก่อน

    Mashetani na mapepo ndio walioanza kumwita Yesu mwana wa mungu na shetani mkimbwa ni petro

  • @Catherine-mh8sw
    @Catherine-mh8sw 5 หลายเดือนก่อน

    Sheikh Shafii umememaliza mjadala leoooo case closed. Takbiiiiiii. Kijana wa kinyagatwa kafanya vitu vyakeeeeee. Njoooniiii. Kimeumana hukuuuuu. ALLAH AKBAR 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤

  • @ziadayasin711
    @ziadayasin711 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mashasllah ❤ ustdhi wetu shafii Allah akujalie kherr ❤❤

  • @Catherine-mh8sw
    @Catherine-mh8sw 5 หลายเดือนก่อน

    Leo Ndacha kasema yesu si mungu. Bali ni mwana wa Mungu.

  • @Catherine-mh8sw
    @Catherine-mh8sw 5 หลายเดือนก่อน

    Shafiiiiiiiiii🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ 🔥 🔥 🔥 🔥

  • @MrishoRamadhani-k1s
    @MrishoRamadhani-k1s 5 หลายเดือนก่อน

    shekh shafi allah akuongezee umri mrefu wenye baraka ndani yake

  • @albertmwangi3297
    @albertmwangi3297 5 หลายเดือนก่อน

    Kwa kweli nimeamini kua Yesu ni mwana wa Mungu halisi

  • @Catherine-mh8sw
    @Catherine-mh8sw 5 หลายเดือนก่อน

    Sheikh shafii moto wa kuotea mbali

  • @amoursalum797
    @amoursalum797 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ndacha sijui kama si mgonjwa, baadhi ya midahalo yako unasema yesu Mungu ss sijui tukueleweje

  • @Catherine-mh8sw
    @Catherine-mh8sw 5 หลายเดือนก่อน

    Sheikh shafii leo umemmaliza Ndacha kweupe peeeeeeee.

  • @MiriamMtende
    @MiriamMtende 5 หลายเดือนก่อน

    Shafii Mwalimu mkuu🎉🎉🎉🎉

  • @selemanihamisi-yu5uw
    @selemanihamisi-yu5uw 5 หลายเดือนก่อน

    Masha-allah sheikh shafii, Allah akuzidishie ziada katika elimu na akuzidishi ufahamu

  • @MrishoRamadhani-k1s
    @MrishoRamadhani-k1s 5 หลายเดือนก่อน

    wakristo hamna jambo mnaipinga hadi bibiia yenu wenyewa

  • @rayaalhabsi1725
    @rayaalhabsi1725 5 หลายเดือนก่อน +4

    Eti ana amkia rehma na amani ziwe juu yenu hakuna tena yesu asifiwe ana anza taratibu kufahamu ukweli. Subhana Allah

    • @ShaukhanSaidy
      @ShaukhanSaidy 5 หลายเดือนก่อน

      Mungu asimfishe mpaka asilim inshaallah❤❤❤

    • @nassorsharifu9837
      @nassorsharifu9837 5 หลายเดือนก่อน

      Ndacha anafahamu ila anahofia mafao

  • @Catherine-mh8sw
    @Catherine-mh8sw 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ndacha anatia huruma

  • @BoboManya
    @BoboManya 5 หลายเดือนก่อน

    Shafi ule ni masikini tu na awezi juwi kitu kama aujuwi maadiko sema tu kwambiye siye bazazi yako ba christu siyo kwa ule shafi acha moyo mungumu majini uko nazo kuya kwa yesu atazitowa

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 5 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @favoritebrayo
    @favoritebrayo 5 หลายเดือนก่อน +2

    waislam hawawezi jielewa ata siku moja

    • @HabeebiHabeebi-rr6rk
      @HabeebiHabeebi-rr6rk 7 วันที่ผ่านมา

      Waislamu wanajielewa kupitia maneno ya Allah Subhaana matukufu.kwani Yesu kaabudu wapi jamani,kanisani ama sinagogi?

  • @charlesmapunda-g5l
    @charlesmapunda-g5l หลายเดือนก่อน

    Kazi ya Waislam ni kusema mashalha pamoja na kwamba wanasikia kwamba Yesu alikuwepo kabla ya ulimwengu kuwepo lakini bado wameziba masikio kwa kujilazimisha ili tu wabaki na Mungu wao anaejua kiarabu tuu

  • @alidingongo443
    @alidingongo443 5 หลายเดือนก่อน

    Maa Shaa Allah km hawakuelewa hawataelewa maana katika macho yao na masikioni mwao mna visibo

  • @ismailkasim9060
    @ismailkasim9060 5 หลายเดือนก่อน

    Sisi wenyewe mungu baba yetu , tusalipo tunasema " baba yetu wa mbiguni , Jina lako litukuzwe , ufalme wako uje , utusamee mazambi yetu"

  • @ZayyanaBamuni
    @ZayyanaBamuni 5 หลายเดือนก่อน

    Kumbe kwa ukristo kuna waungu wawili,leo ndio nimejuwa

  • @WaziriSalehe
    @WaziriSalehe 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ndacha hoiiiiiiii

  • @MrishoRamadhani-k1s
    @MrishoRamadhani-k1s 5 หลายเดือนก่อน

    wafundishe ao shekh shafi

  • @rajabusira400
    @rajabusira400 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ndacha pole sana, umeyakanyaga

  • @HassanMadura
    @HassanMadura 5 หลายเดือนก่อน +3

    Kubalini nkataba muiliyoo kubaliyana na wazungu, ukristo sio Dini ila tu munafata hela.

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 5 หลายเดือนก่อน

    Waislam tuisome dini yetu kwa kweli huyu ndacha akikutana na mbumbu anaweza muumiza ila ongera Sheikh Shafi unajibu kisomi sana.

  • @abdulnasuma9729
    @abdulnasuma9729 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ila shafii ni nomaaa sana

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 5 หลายเดือนก่อน

      Shafii yuko vizuri sana

  • @MrishoRamadhani-k1s
    @MrishoRamadhani-k1s 5 หลายเดือนก่อน

    tatizo ndacha hajui ki2 apewe elimu tu

  • @KhamisJuma-ni1vk
    @KhamisJuma-ni1vk 5 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah Sheikh Shafii

  • @ShebbyTheparadiso-hf6fz
    @ShebbyTheparadiso-hf6fz 5 หลายเดือนก่อน +2

    Kwa according ya biblia mm na ww pia mwana wa mungu kwa mujibu ya maneno ya Yesu Yohana 20:17

    • @mussamohd-b4h
      @mussamohd-b4h 5 หลายเดือนก่อน

      MUNGU Hana mwan ww mpofu

    • @ShebbyTheparadiso-hf6fz
      @ShebbyTheparadiso-hf6fz 5 หลายเดือนก่อน

      @@mussamohd-b4h Yeah mungu hana mwana kwa mujibu ya waislamu ila nimemjibu hiyo kwa upande wa ukristo

  • @ShakurAKBAR
    @ShakurAKBAR 5 หลายเดือนก่อน

    ALLAH akuzidishiye kheri ya sheikh

  • @Catherine-mh8sw
    @Catherine-mh8sw 5 หลายเดือนก่อน

    Kumbe ndacha ni comedian leo ndiyo nimejuwa.

  • @BobgIsmail
    @BobgIsmail 5 หลายเดือนก่อน +3

    Wakiristo lau kama wengujua kitawakuta kitu hiki wasingeichagua hii mada .maana wao husema yesu ni mungu leo mwana yaani hawaeleweki

    • @evansmogusu8113
      @evansmogusu8113 5 หลายเดือนก่อน

      Myopic thinking 😊

  • @farajsogoma9370
    @farajsogoma9370 5 หลายเดือนก่อน

    Shafii ...🔥🔥🔥🔥🔥

  • @AbdulRahman-ds5iq
    @AbdulRahman-ds5iq 5 หลายเดือนก่อน

    Ndacha afundishi anashindana

  • @BoboManya
    @BoboManya 5 หลายเดือนก่อน

    Manda gani weye miye nilishaka shangala Na mweye baesilamu muwe nasoma maadiko kwanza ule siyo mutume ni mutume wa mweye sharati amujuwi mungu ata kidogo

  • @jorgitolucasbaluth8903
    @jorgitolucasbaluth8903 5 หลายเดือนก่อน

    Ndacha Atali

    • @WaziriSalehe
      @WaziriSalehe 5 หลายเดือนก่อน

      Uatar wake upo wapi anapiga kelele

  • @muryangoissa794
    @muryangoissa794 3 หลายเดือนก่อน

    Kweli wa kristu kama mnaakili timamamu ndacha anawapoteza anayumba yumba

  • @BoboManya
    @BoboManya 5 หลายเดือนก่อน

    Weye ni muesilamu auwezi elewa lakini ujuwe mwisho wako ni moto siwezi Fata mutume mwenye aliowa mtoto wa miaka 6 mpaka Na dada yake Fata yesu upate uzima wa milele dungu yangu

  • @jorgitolucasbaluth8903
    @jorgitolucasbaluth8903 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ndacha Anaweza sana

    • @MohamedMohamed-u3t1n
      @MohamedMohamed-u3t1n 5 หลายเดือนก่อน

      Anaweza nini mara ngapi kaweka viraka maaandiko karudishwa

    • @salehrwigemagisa81
      @salehrwigemagisa81 5 หลายเดือนก่อน

      Anaweza makelele ndio!

  • @BintalliMbakuha
    @BintalliMbakuha 5 หลายเดือนก่อน

    Ndacha nendaukasome kiswahili,kiswahili anachokielewa nimuislam

  • @rajabusira400
    @rajabusira400 5 หลายเดือนก่อน +2

    Ndacha hayo makelele hayaonyeshi kama umetoa point, ongea taratibu kama kidume Shafii

  • @Catherine-mh8sw
    @Catherine-mh8sw 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu kamzaa yesu kumbe du🤔

  • @bibleknowledge-b1y
    @bibleknowledge-b1y 5 หลายเดือนก่อน

    Yohana 3:14-15
    [14]Na kama vile Musa alivyomwinua yule nyoka jangwani, vivyo hivyo Mwana wa Adamu hana budi kuinuliwa;
    [15]ili kila mtu aaminiye awe na uzima wa milele katika yeye.
    Ivi ambao hawaamini Kristo aliteseka, kufa a kufufuka msamaha wa dhambi zao wanautolea wapi…
    Angalia Mawazo ya kibinadamu/ibilisi ambayo hata petro kabla hajajua alikuwa nayo..
    Mathayo 16:21-23
    [21]
    Tangu wakati huo Yesu alianza kuwaonya wanafunzi wake ya kwamba imempasa kwenda Yerusalemu, na kupata mateso mengi kwa wazee na wakuu wa makuhani, na waandishi, na kuuawa, na siku ya tatu kufufuka.
    [22]Petro akamchukua, akaanza kumkemea, akisema, Hasha, Bwana, hayo hayatakupata.
    [23]Akageuka, akamwambia Petro, Nenda nyuma yangu, Shetani; u kikwazo kwangu; maana huyawazi yaliyo ya Mungu, bali ya wanadamu.
    Kwa damu ya Yesu tunapata msaaha wa dhambi tuliupata kalvari( Alilipa deni zetu kwa sisi tunaookolewa)…
    Yohana 3:14-15 [14]Na kama vile Musa alivyomwinua yule nyoka jangwani, vivyo hivyo Mwana wa Adamu hana budi kuinuliwa; [15]ili kila mtu aaminiye awe na uzima wa milele katika yeye.
    Yesu aliteseka, kufa na kufufuka kwa ajili ya dhambi zetu.. Bila hivyo hakuna msamaha...
    Wakolosai 1:14 [14]ambaye katika yeye tuna ukombozi, yaani, msamaha wa dhambi;
    Warumi 3:25
    [25]ambaye Mungu amekwisha kumweka awe upatanisho
    kwa njia ya imani katika damu yake, ili aonyeshe haki yake, kwa sababu ya kuziachilia katika ustahimili wa Mungu dhambi zote zilizotangulia kufanywa;
    Dhambi zilizotangulia(watu wa agano la kale)ziliachiliwa kwa njia ya kuteseka, kufa na kufufuka YESU KRISTO..
    Yeye ni njia ya kwenda mbinguni... Kama ulidanganywa amini leo...Watakwambia muamini Ibrahimu,yusufu nawengine haita kusaidia chochote kama hutoamini Yesu Kristo aliteseka ,kufa na kufufuka... Yesu kristo ndio njia ya kwenda mbinguni...Yeye pekee anasema mimi sio wale sisi au yoyote bali yeye tu...( Yesu Kristo ni uhalisia kama vile walivyokuwa wanaenda kutoa sadaka za wanyama hekaluni sio kivuli tena)
    Yohana 14:6
    [6]Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
    1 Yohana 2:2
    [2]naye ndiye kipatanisho kwa dhambi zetu; wala si kwa dhambi zetu tu, bali na kwa dhambi za ulimwengu wote.
    Yohana 3:14-15 [14]Na kama vile Musa alivyomwinua yule nyoka jangwani, vivyo hivyo Mwana wa Adamu hana budi kuinuliwa; [15]ili kila mtu aaminiye awe na uzima wa milele katika yeye.
    Yesu aliteseka, kufa na kufufuka kwa ajili ya dhambi zetu.. Bila hivyo hakuna msamaha...
    Wakolosai 1:14 [14]ambaye katika yeye tuna ukombozi, yaani, msamaha wa dhambi;
    Warumi 3:25
    [25]ambaye Mungu amekwisha kumweka awe upatanisho
    kwa njia ya imani katika damu yake, ili aonyeshe haki yake, kwa sababu ya kuziachilia katika ustahimili wa Mungu dhambi zote zilizotangulia kufanywa;
    Dhambi zilizotangulia(watu wa agano la kale)ziliachiliwa kwa njia ya kuteseka, kufa na kufufuka YESU KRISTO..
    Yeye ni njia ya kwenda mbinguni... Kama ulidanganywa amini leo...Watakwambia muamini Ibrahimu,yusufu nawengine haita kusaidia chochote kama hutoamini Yesu Kristo aliteseka ,kufa na kufufuka... Yesu kristo ndio njia ya kwenda mbinguni...Yeye pekee anasema mimi sio wale sisi au yoyote bali yeye tu...( Yesu Kristo ni uhalisia kama vile walivyokuwa wanaenda kutoa sadaka za wanyama hekaluni sio kivuli tena)
    Yohana 14:6
    [6]Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
    1 Yohana 2:2
    [2]naye ndiye kipatanisho kwa dhambi zetu; wala si kwa dhambi zetu tu, bali na kwa dhambi za ulimwengu wote.
    Yote aliyoyapitia ilileta suluhu kwamba yeye ambaye hakutenda dhambi alipitia aliteseka(alitukanwa, alidharauliwa, alitemewa mate, aliitwa amechanganyikiwa, ndugu zake walimkataa alipigwa na kuharibiwa licha ya hilo tu alienda kaburini yaani alikufa....
    Isaya 53:3-5
    [3]Alidharauliwa na kukataliwa na watu;
    Mtu wa huzuni nyingi, ajuaye sikitiko;
    Na kama mtu ambaye watu humficha nyuso zao,
    Alidharauliwa wala hatukumhesabu kuwa kitu.
    [4]Hakika ameyachukua masikitiko yetu,
    Amejitwika huzuni zetu;
    Lakini tulimdhania ya kuwa amepigwa,
    Amepigwa na Mungu, na kuteswa.
    [5]Bali alijeruhiwa kwa makosa yetu,
    Alichubuliwa kwa maovu yetu;
    Adhabu ya amani yetu ilikuwa juu yake,
    Na kwa kupigwa kwake sisi tumepona.
    Waebrania 4:15
    [15]Kwa kuwa hamna kuhani mkuu asiyeweza kuchukuana nasi katika mambo yetu ya udhaifu; bali yeye alijaribiwa sawasawa na sisi katika mambo yote, bila kufanya dhambi.
    Sasa hayo yote aliyoyapitia kama sisi wenye dhambi tunaweza fanyiana dhambi na kusema tumeonewa ni mfano tu wa habili ambaye alivyuliwa na kaini na kulalamika mbele za Mungu (Mwanzo 4:10
    [10]Akasema, Umefanya nini? Sauti ya damu ya ndugu yako inanililia kutoka katika ardhi.) lakini Sasa kama sisi wenye dhambi tunaweza kukoseana na kulalamika mbele za Mungu( kuacha madeni) kwa maana maandiko yanamuonesha kwamba Yesu Pekee ndio hakuwahi kutenda dhambi hivyo Mungu aliweza kuleta suluhu za dhambi kwamba akimtazama Yesu Kristo mbona huyu hakutenda dhambi ambaye hakufanya dhambi lakini aliteseka mpaka kufa hiyo ilikuwa inaleta suluhu bila bila na kuleta haki kwamba kwa njia ya hayo aliyoyapitia ndipo tupate msamaha / Ondoleo la dhambi… Yesu Kristo alitukanwa, alidharauliwa, alipigwa, alikataliwa na ndugu zake( Wayahudi), alikufa lakini waliyo yafanya Yote hay oni watenda dhambi…… TUMEPATA USHINDI KWA DAMU YA YESU…
    Waebrania 2:17
    [17]Hivyo ilimpasa kufananishwa na ndugu zake katika mambo yote, apate kuwa kuhani mkuu mwenye rehema, mwaminifu katika mambo ya Mungu, ili afanye suluhu kwa dhambi za watu wake.
    Amini Amini... Hakuna ondoleo la dhambi bila damu yake Yesu... Mwamini Yesu Kristo kwamba alipitia hayo kwa ajili ya dhambi Maana wapo wanaohubiri Yesu Mwingine ambaye siyo wa kweli kitabu chochote mfano kila mwandishi wa biblia lazima aandike habari za Yesu Kristo wewe ni nani ukatae....
    2 Wakorintho 11:4
    [4]Maana yeye ajaye akihubiri Yesu mwingine ambaye sisi hatukumhubiri, au mkipokea roho nyingine msiyoipokea, au injili nyingine msiyoikubali, mnatenda vema kuvumiliana naye!
    1 Wakorintho 1:18
    [18]Kwa sababu neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuzi, bali kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu.
    injili ni kuteseka, kufa na kufufuka kwa Yesu Kristo.. NDO USALAMA WETU NA KMBILIO LETU TUMTAZAME YEYE ALIYEWEKWA KAMA MUSA ALIVYO MUINUA NYOKA WA SHABA...
    Mathayo 12:40
    [40]Kwani kama vile Yona alivyokuwa siku tatu mchana na usiku katika tumbo la nyangumi, hivyo ndivyo Mwana wa Adamu atakavyokuwa siku tatu mchana na usiku katika moyo wa nchi.
    ~ASIJE AKAKUDANGANYA MTU AMA KUKUPOTEZA.....YESU KRISTO NI HAKI ALIOONESHA MUNGU NI UZIMA WETU...
    Wapo ambao wanasema hivi wanasema vile ili kudanganya... Wapo wanao sema malaika amewatokea.... Kuwa makini Hta shetani anaweza jigeuza kujifanya kama malaika...
    2 Wakorintho 11:14
    [14]Wala si ajabu. Maana Shetani mwenyewe hujigeuza awe mfano wa malaika wa nuru.
    TATIZO KUBWA LA MWANA DAMU NI DHAMBI NA SOLUTION YAKE NI YESU KRISTO....Kwamaana dhambi ndio iliyotufarakanisha na Mungu...
    Mwamini Yesu Kristo upate msamaha wa dhambi... Nje ya hapo utakuwa umeluka step...
    Manabii wote Musa, isaya, nehemia, Ezekiel, Daniel kwa ujumla vitabu vya agano la kale(Manabii) na Agano jipya(Mitume) lazima mwandishi andike habari za Yesu Kristo aliteseka, kufa na Kufufuka…..Mwandishi ambaye hajaandika hayo epuka upoyevu…
    Matendo ya Mitume 3:18
    [18]Lakini mambo yale aliyohubiri Mungu tangu zamani kwa kinywa cha manabii wake wote, ya kwamba Kristo wake atateswa, ameyatimiza hivyo.
    Apo anasema manabii wote lazima waandike ukombozi ulio katika Yesu Kristo kuteswa….

  • @salehrwigemagisa81
    @salehrwigemagisa81 5 หลายเดือนก่อน

    Ndacha anavyopaparikaga utamuona mjuzi kumbe debe tupu!Hana lolote kichwani zaidi ya makelele.

  • @HemedSerious
    @HemedSerious 5 หลายเดือนก่อน

    Mr. Makelele kamalizika 😂😂😂😂 ndacha hoi😂😂😂😂

  • @huseinshedrack6180
    @huseinshedrack6180 5 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😂😂wamepigwa tena😂😂😂😂😂😂😂wallah ahsant Mungu kunitoa kwenye ukafir

  • @TuliOreshnik
    @TuliOreshnik 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ndacha tatizo kiswahili hajiwi lakini kwakupiga kelele na vitisho ila nimtupu

  • @SukariSukari-sq9tf
    @SukariSukari-sq9tf 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ndacha mkikuyu hawezi elewa kiswahili , inabidi ajifunze kiswahili kabla asimame kwa jukwa

  • @MiishHassan-qm1et
    @MiishHassan-qm1et 5 หลายเดือนก่อน +1

    Shafi umejua kumnuoosha 😂😂😂😂😂 akasome huko asituchoshe😂😂😂

  • @Catherine-mh8sw
    @Catherine-mh8sw 5 หลายเดือนก่อน

    Ndacha kumbe hana akili , leo ndiyo nimejuwa

  • @rayaalhabsi1725
    @rayaalhabsi1725 5 หลายเดือนก่อน

    Wewe achana na dini isio ya kweli rudi katika imani ya kweli ulio zaliwa nayo, ikiwa mwalimu wako ame ukubali Uislam Wewe uta kuwa ahsani kumshinda yeye

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 5 หลายเดือนก่อน

      Mwalimu wa ndacha ni nani?

    • @rayaalhabsi1725
      @rayaalhabsi1725 5 หลายเดือนก่อน

      @@Catherine-mh8sw mu ulize yeye ndacha ata kujibu

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 5 หลายเดือนก่อน

      @@rayaalhabsi1725 OK. Isiwe tabu. Nimekuuliza wewe kwa kuwa ndiyo uliyesema

  • @Catherine-mh8sw
    @Catherine-mh8sw 5 หลายเดือนก่อน

    Yesu si Mungu kumbe. Kumbe baba yake ndiyo mungu. 😂😂😂😂😂

  • @swabrahassan9191
    @swabrahassan9191 5 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 pole ndacha umeyakanyaga mbona poleeeee

  • @ukweliwauislamu9590
    @ukweliwauislamu9590 5 หลายเดือนก่อน

    Ndacha hana lolote bali kutumia tu ujanja

  • @swabrahassan9191
    @swabrahassan9191 5 หลายเดือนก่อน

    Ndacha Acha kelele tunajua kua dini yakweli unaijua ila unatetea ugali wako tu apo

  • @ibrahimmsafiri2656
    @ibrahimmsafiri2656 3 หลายเดือนก่อน

    ikiwa Mungu anamwita Yesu MUNGU hapo kuna maana kuna Miungu 2. Mbona Mbona wasitangaze wanao miungu 2? Ndacha ni muigizaji tu hana elimu ya kikristo

  • @MarKarim-km2yh
    @MarKarim-km2yh 5 หลายเดือนก่อน

    Yaan leo ndo nimejionea kama ndacha amna kitu 😂😂😂😂😂😂

  • @amoursalum797
    @amoursalum797 5 หลายเดือนก่อน

    Msinishike Kwa maana sijapaa kwenda Kwa baba nanyi ni baba yenu Mungu wangu nanyi ni Mungu wenu mgonjwa ndacha fahamu maandiko biblia yako lakini huifahamu na wakiristo wenzako wanaokusikiliza mbumbumbu

  • @BoboManya
    @BoboManya 5 หลายเดือนก่อน

    Weye Acha poyoyo ule shafi ajuwi kitu weye ku akili yako kweli unaweza sema mutume mwamede ni mutume wa mungu yesu yéyé alitabiriwa Na manabii wote mu bibilia mutume mwenye tu ndo amujuwi sasa weye Acha rohoo mungumu kuya kwa yesu upate uzima wa milele

  • @ZayyanaBamuni
    @ZayyanaBamuni 5 หลายเดือนก่อน

    Mnataka muimbiwe wimbo mwengine wkt huo mmoja miaka nenda miaka rudi bado hamujaujuwa

  • @saidichemasuet
    @saidichemasuet 5 หลายเดือนก่อน

    Biblia inasema mungu ni roho ankesema roho ata zaa roho na mwili ata zaa mwili mbona roho akamuza mwili kwani mungu ni mwili

  • @BintalliMbakuha
    @BintalliMbakuha 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ndacha anamaliza mda kwakuzungumza nonsense, lakini kakwepa maandishi

  • @SukariSukari-sq9tf
    @SukariSukari-sq9tf 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ukiona mtu anapiga kelele ujue ilmi ndogo

  • @MrishoRamadhani-k1s
    @MrishoRamadhani-k1s 5 หลายเดือนก่อน

    Ndacha unajikweza tu lakini ukweli unaujua kama yesu ni mtume 17 .3 yohana unaikataa

  • @hamzayesu2017
    @hamzayesu2017 5 หลายเดือนก่อน

    Huku kenya tuliwacha kusumbuana na ndacha maana sio mwalimu bali ni shabiki tu...hana mashiko tena!!

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 5 หลายเดือนก่อน

      Tanzania mbona wanaishindwa

  • @mustafamasudi8093
    @mustafamasudi8093 5 หลายเดือนก่อน

    Ndacha hana akili timam huoni hata kichogo hana

  • @swabrahassan9191
    @swabrahassan9191 5 หลายเดือนก่อน

    Hi Hivi ndacha nikuulize tukasome sie waislam au nyie wakristo maana naona nyie ndo hamjielewi

  • @charlesmapunda-g5l
    @charlesmapunda-g5l หลายเดือนก่อน

    Wasilam kila mtu anatakiwa ajitafakari mwenyewe sio kufata mkumbo wa uislam. Kama kweli unamtafuta Mungu wa kweli acha kujitoa akili fanya yako mwenyewe usiogope kuchinjwa kama maandiko yenu yanavyo sema

  • @sosdododo5653
    @sosdododo5653 5 หลายเดือนก่อน +13

    Hizi sasa ni vichekesho va wakristo yani comedy,,kama kweli waislamu ni bahari kubwa wamewatega wakristo leo siku zote yesu ni mungu kilasiku yesu ni mungu lakini leo wao wenyewe wanapigania tena wapigania kisawasawa kuonyesha wazi kua yesu ni mwana wa mungu lakini sio mungu vichekesho jamani ndio nikasema ndacha hana elimu hata kidgo ni bonzo huyo ni mchekeshaji tu

    • @abdallahally842
      @abdallahally842 5 หลายเดือนก่อน

      Neno babayangu kilugha hata musaa kasema babayangu ikimanisha mungu wangu

    • @samwellekuraa32
      @samwellekuraa32 5 หลายเดือนก่อน

      Poor judgemental, lack of understanding indeed, elimu ya roho mumpewa kidogo, hivyo basi mnashauriwa mshaurianane na dini zilizo tangulia Kaa elimu hamna, sivyo

    • @sosdododo5653
      @sosdododo5653 5 หลายเดือนก่อน

      @samwellekuraa32 I think all this put it to poor Christians really I'm very sorry for Christians,,you have the book but you sit on it not read on it,,that's why you people still blind people Christians,,,,logical how can you take almighty God from highest level to the lowest level not only lowest I think it's the highest lowest level you take the almighty God,,don't play with almighty God you will be in the hell fire forever,,the bible is clear about the almighty God,,but you people doesn't agree with it

    • @sosdododo5653
      @sosdododo5653 5 หลายเดือนก่อน

      @samwellekuraa32 38 Simple Reasons Why Jesus (peace be upon
      him) ls Not God
      1-God Doesn't Change His Nlature lames 1:17
      2-GOD Almighty is Greater than Jesus. (John
      14:28 )
      3-No one is "Good" including Jesus. Oly GOD
      is" Good" (Luke 18:19)
      4- Jesus said he doesn't know when the Hour
      will come. Only GoD Knows. (Mark 13:32)
      5-Jesus said that" OUR God is one GoD (Mark
      12:29 )
      6-Jesus also said "My GOD and your
      GOD" (John 20:17)
      7- Jesus bowed his face down to the ground to
      GOD Almighty. (Matthew 26:39)
      8-Jesus was tempted by satan for 40 days
      (Mat1:4), while GOD Almighty can not be
      tempted (Jacob 1:13)
      9- Jesus said he is a man (John 8:40)
      10-God is neither a man nor a son of a man
      (Numbers 23:19)
      11-No one can see God (1 John 4:20) but

    • @samwellekuraa32
      @samwellekuraa32 5 หลายเดือนก่อน

      @@sosdododo5653 verses are very clear y you saying not

  • @ismailkasim9060
    @ismailkasim9060 5 หลายเดือนก่อน

    Nafasi ya yesu kwa mungu😅😅mbona Kama Mada Ina mtego ivi kwani yesu si ndio mungu mkuu TITO 2 :13

  • @salimamugeni3568
    @salimamugeni3568 5 หลายเดือนก่อน

    Ndacha yeye ukweli ana ujuwa. Ateteya mchahara wazungu waone anafanya kazi 😂

  • @amoursalum797
    @amoursalum797 5 หลายเดือนก่อน

    Kafiri hili halina akili Wala maarifa

  • @PeninaElia-v3n
    @PeninaElia-v3n 5 หลายเดือนก่อน

    Ndacha kiboko yao

  • @basilejuma
    @basilejuma 5 หลายเดือนก่อน

    Huna lolote Kwa ndacha wewe, ukweli usemwe

  • @jamilaomari2444
    @jamilaomari2444 5 หลายเดือนก่อน +1

    Amidu 😂

    • @mudiali4506
      @mudiali4506 5 หลายเดือนก่อน +2

      Yesu yesu yesu hi ni wimbo tu. Ukiona kelele tu. Mada hazieleweki. Mtume. Mara mungu mara. Bwana. Mara, katailiwa. Kafa msarabani. Huyo Mungu yesu. Kweli avenue n zambi za, watu. Wakati shawishi zambi. Ina maana, Mungu yesu a a muogopa sheetan. Had azibebe zambi. Kusliza huyu ndacha, mtafakari ni saana. Huyo ni imeyumba. Bibliyaa yake haielewi,atatafsiri Vip Quran.
      Walla, mdaharo mungine, msipiteze, mb za Watu

  • @jacksonmwafongo1917
    @jacksonmwafongo1917 5 หลายเดือนก่อน +1

    Huo ni mfano tu ametowa shafii sio kweli mwana wa mungu ndo maana akamalizia Kwa kusema mwanasimba Kwa hiyo wamezaliwa na Simba ww ndacha vipi? Mbona mafundisho Yako Niya kulazimisha haya eleweki unashindana badala ya kufundisha kelele nyingi hueleweki

    • @ShebbyTheparadiso-hf6fz
      @ShebbyTheparadiso-hf6fz 5 หลายเดือนก่อน

      Mm na ww wote watoto wa mungu kwa maneno ya Yesu Yohana 20:17

    • @hassanjuma2772
      @hassanjuma2772 5 หลายเดือนก่อน

      Nikweli ndacha haeleweki katika mafundisho yake mm nimemfatilia kipindi kirefu lkn nimebaini sio mwalimu