Mupo watakatifu ya Kueli ya Mungu , na tena Mupo wa Zuri nyie wote mu na Jazua na Roho Mutakatifu y’a Mungu Baba , na Tena acha Mungu wa mbinguni a Pokee mwombi yenu A lafu mu na Vaa Muzuri kabisa Mubarikiwe Daima ✝️❤❤❤❤
Kusema ukweli kwaya ya sauti ya jagwani munaimba na Tanzania mumepewa kipaji chakuimba hamuliganishk niko kenya ninapo sikiliza hizi nyimbo zenu zinanibariki sana mpaka nina jisikia ndani ya roho yang itakapo kufa niimbiwe tu nyimbo za tazania kwenye mazishi yangu
Mbarikiwe sana nakumbuka mwaka 2000 kwaya hii ilikuja kanisa la Yombo SDA tulikua tunafungua makambi kwamala yakwanza walitunariki kwanimbo zao wakati wakuagana nilitokwa na machozi
Ama kwa kweli wimbo huu unaibua hisia tofauti ikiwemo kuinua imani na hata kuliza, haswa upande ule uzungumziao wale waliotutangulia!! Mbarikiwe na mzidi kuendelea na kazi hio ya kusambaza injili ya Bwana.
Am so much blessed with this song,,what a day will be When i will be crowned with the Bright stars,,, May you keep singing for the Glory of God Love from Kishegena
Kuna album niliisikia miaka ya zamani baadhi ya nyimbo zilikuwa zinaitwa, watu wanakula,Vijana wamebobea,mwana mpotevu, nilishakoswa niipate wapi msaada tafadhali mweye kuijua
Mupo watakatifu ya Kueli ya Mungu , na tena Mupo wa Zuri nyie wote mu na Jazua na Roho Mutakatifu y’a Mungu Baba , na Tena acha Mungu wa mbinguni a Pokee mwombi yenu A lafu mu na Vaa Muzuri kabisa Mubarikiwe Daima ✝️❤❤❤❤
HOSANNA UTUKUFU NA MUANA WAMUNGU YESUS MESIYAH ♥️♥️♥️🙏
Mbarikiwe sana, kwaya za TZ mnaimba maandiko vizuri sana.
Kutoka Kenya Kwa upendo mkuu.
AMEN
Are they from Kenya ?
Only tazanians choir can produce quality song like this,,,
Mbarikiwe Sana
Mungu awajalie maisha malefu
I also keep repeating listening to this song through the TH-cam because it's so powerful and inspiring. May the Lord bless you The Jangwani Choir
Kusema ukweli kwaya ya sauti ya jagwani munaimba na Tanzania mumepewa kipaji chakuimba hamuliganishk niko kenya ninapo sikiliza hizi nyimbo zenu zinanibariki sana mpaka nina jisikia ndani ya roho yang itakapo kufa niimbiwe tu nyimbo za tazania kwenye mazishi yangu
Umeongea kwa hisia rafiki ubarikiwe
ndugu stay blessed!!
Mbarikiwe sana nakumbuka mwaka 2000 kwaya hii ilikuja kanisa la Yombo SDA tulikua tunafungua makambi kwamala yakwanza walitunariki kwanimbo zao wakati wakuagana nilitokwa na machozi
Jangwan my favorite musician Nawapenda daima,,,mnanifariji sana Mungu awabariki milele
Only God knows how many pple u bless through singing,,,
Keep the spirit ,,,
God bless you all 🙏🙏🙏
Nashukuru sanaa,Mungu awabariki sanaaa
Nabarikiwa na nyimbo zenu Sana niko Congo najisikiyaka kujiunga nakwaya hiyi nami
Mungu awabariki kwa nyimbo zenu zenye wito, zinazoleta matumaini na za kutuliza mioyo ya watazamaji. Mungu azidi kuwabariki enzi zote.
Amen
Amina
Glory to God for this good song
Nafurah jaman kama n mibaraka naipata hapa
Mnanibarik
Napenda jumbe zenu wapendwa Mungu awabariki
Ama kwa kweli wimbo huu unaibua hisia tofauti ikiwemo kuinua imani na hata kuliza, haswa upande ule uzungumziao wale waliotutangulia!! Mbarikiwe na mzidi kuendelea na kazi hio ya kusambaza injili ya Bwana.
Nice song mbarikiweni sana
Amen 🙏 🙏 ❤❤❤🎉
Great to listen to this wonderful message of the Kingdom.
I feel blessed !!
❤❤❤
Amen I always listenes your songs they really blesses me. May the Lord's goodness follow you as you preach his name through your songs.
What a blessing to have you in Tanzania! May God bless your ministry.
Am so much blessed with this song,,what a day will be
When i will be crowned with the Bright stars,,,
May you keep singing for the Glory of God
Love from Kishegena
❤
Amina sana
Kuna album niliisikia miaka ya zamani baadhi ya nyimbo zilikuwa zinaitwa, watu wanakula,Vijana wamebobea,mwana mpotevu, nilishakoswa niipate wapi msaada tafadhali mweye kuijua
Mwanatulo niambie
Ninaweza kupata albamu za zamani kuanzia no 6
The special song which bless me
Amen kwaya ya jangwani. Mungu awabariki sana
Jesus
Jamani hongera sana
Very encouraging son...... lets press on till we are crowned on that day.
love this song has a strong massage Be blessed sauti ya jangwani
Mimi ninaomba all your albums from vol 1_ya mwisho.0720237707
Mbarikiwe Sana na mmoja wetu asikose ufalme ule.
Alléluia
MUNGU AWABARIKI SANAAAA
May the lord bless
May the lord bless sda jangwani choir
2020 praise a Jesus
me too
Nashukuru sanaaaa
Amen