Sauti ya jangwani SDA Choir - Enyi wachawi wote

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @HellenaMky
    @HellenaMky 8 หลายเดือนก่อน +3

    Yaani mungu awatunze Mimi nilikua napenda Sana. Kupgiwa lamri. Ila YESU ameniits kwake. Nafulaha Sana Sana kuwa na. Yesu

  • @rahelemmanuel3641
    @rahelemmanuel3641 4 ปีที่แล้ว +8

    Yana hii kwaya n pacha wake na mungano kwaya jaman huwa nabarikiwa sana mungu atupe roho tuimalize kaz ya injil kwa karama tofaut

  • @gwarosfamily7501
    @gwarosfamily7501 3 ปีที่แล้ว +1

    wachawi wote waganguzi wote yesu anawaita waabudu sanamu na wapigiwa mbao yesu anawaita

  • @josephrandydave2197
    @josephrandydave2197 3 ปีที่แล้ว +3

    How come I only came across this choir today! God bless them!

  • @nangalisamweli6153
    @nangalisamweli6153 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabaliki waimbaji jumamosi naeda kumwamini yesu

  • @samsonmsangula1198
    @samsonmsangula1198 4 ปีที่แล้ว +3

    Bwana yesu asifiwe sana wapendwa. Naombeni muweke zile nyimbo zenu zile za zamani naipenda sana ikiwezekana tupeni namba za simu ili tuweze kupata kama bado zipo.

  • @joycejacob2757
    @joycejacob2757 4 ปีที่แล้ว

    Bwana atusaidie kusimama upande Wake hata mwisho ajapo.Amina.Mbarikiwe kwa kumtumikia Yeye aliye juu.Amina.

  • @celestinapaulo3182
    @celestinapaulo3182 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwisho wake majuto mtaishia jehanamu balikiwa sana kwaya ya jangwani

  • @tuntumemedia2046
    @tuntumemedia2046 5 ปีที่แล้ว +1

    Karama na uwezo wenu katika kumtukuza Mungu kwa njia ya uiambaji, ni bayana kuwa haina kifani. Bwana azidi kuwainua katika utumishi.

  • @stephentasani4608
    @stephentasani4608 4 หลายเดือนก่อน

    Yani Mungu awabariki cn maana mnatubariki hasa kwenye kambi laboko mwaka huu mlifanya makubwa.

  • @allisonmbwambo3023
    @allisonmbwambo3023 4 ปีที่แล้ว +1

    Sauti ya jangwani mko vizuri mungu awabariki sana......

  • @shadrackkamau634
    @shadrackkamau634 3 ปีที่แล้ว +1

    Blessing my soul abundantly.
    From Nairobi Kenya

  • @lidyaobedy3639
    @lidyaobedy3639 3 ปีที่แล้ว

    Ujumbe huo , ♥️♥️♥️♥️ na wapiga gitaa mmenibariki sanaaaa cjui mmesomea

  • @daimonyohana1906
    @daimonyohana1906 4 ปีที่แล้ว

    Safi sana ujumbe umekaa vizuri sana mbarikiwe watumishi wa Mungu

  • @hikelvindavid9675
    @hikelvindavid9675 6 ปีที่แล้ว +3

    nawaombea kwa baba,siku Moja wote tukaonane ktk malango 12 ya mji ule matakatfu Jerusalem!

  • @allisonmbwambo3023
    @allisonmbwambo3023 4 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki kwa uimbaji wenu mzuri mbarikiwe kwa ujumbe wenu mzuri

  • @sethsydneys
    @sethsydneys ปีที่แล้ว

    What a blessing! Heaven will be awesomely blissful with such great voices and sounds of perfect melody.
    Keep up the great work even as that day approaches.

  • @alicempuya5238
    @alicempuya5238 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabariki sana

  • @PaskaliDaudilulu
    @PaskaliDaudilulu ปีที่แล้ว

    Mungu awepamoja nasi

  • @ruthlugata1769
    @ruthlugata1769 4 ปีที่แล้ว

    Amina barikiweni Sana, Yesu amekaribia.

  • @JACKSONEMBODE-xh4hq
    @JACKSONEMBODE-xh4hq ปีที่แล้ว

    Wimbo huu unaguza sana

  • @rahabujohn2691
    @rahabujohn2691 5 ปีที่แล้ว +1

    Nawapenda sana Nyimbo zenu nzuri sana

  • @orinakepha1217
    @orinakepha1217 4 ปีที่แล้ว +2

    The best SDA choir of our times.
    GOD BLESS YOU ALL CHOIR MEMBERS

  • @AronMeshack-us8fd
    @AronMeshack-us8fd ปีที่แล้ว

    Wimbo mzurii sana

  • @thommillymilton6436
    @thommillymilton6436 5 ปีที่แล้ว +1

    Naombeni wimbo wa tangazo la ninawi, mbarikiwe sana

  • @wajackoyathe5ifth516
    @wajackoyathe5ifth516 3 ปีที่แล้ว +1

    Best SDA choir, I appreciate and pray for the repentance of humankind

  • @rachelvictor1044
    @rachelvictor1044 ปีที่แล้ว

    Jesus for everyone regardless of your sins

  • @mwizeroevode2444
    @mwizeroevode2444 5 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna ingine choir like muungano love u from burundi
    GOD BLESS U ALL

  • @deboralalika4481
    @deboralalika4481 6 ปีที่แล้ว +2

    Nawapenda sana wanashinyanga nyie! Mungu mwrnyewe ananiona

  • @tigerchristmas5491
    @tigerchristmas5491 3 ปีที่แล้ว

    Ujumbe 💯✅😍

  • @kilonzistephen9104
    @kilonzistephen9104 4 ปีที่แล้ว

    Wimbo mtamu huo mubarikiwe sana

  • @alfredkabuty9468
    @alfredkabuty9468 2 ปีที่แล้ว

    Very good 👍

  • @rebekamwita572
    @rebekamwita572 2 ปีที่แล้ว

    Wataacha majuma
    Na magari

  • @gentilbalume8216
    @gentilbalume8216 6 ปีที่แล้ว +2

    Sauti ya jangwani my best choir. I am using your songs to save hundreds in DRC. long to see you in my country.

    • @Sautiyajangwanisdachoir1987
      @Sautiyajangwanisdachoir1987  6 ปีที่แล้ว +1

      Oohh thank you Mr Gentil, we are so happy to hear that from you in DRC

    • @dominicoshillingo5949
      @dominicoshillingo5949 6 ปีที่แล้ว +1

      Gentil Balume mungu awabriki nasi tunaosiliza huu ujumbe tuache dhambi yesu anatuita

    • @gentilbalume8216
      @gentilbalume8216 5 ปีที่แล้ว +1

      May we please talk through my watsap number which is +243 973 365921? Long to hear from you and feel free to contact me or send me also your mobile number of watsap. Here is my mail as well: balumekamaro@gmail.com

  • @dorcaslor2166
    @dorcaslor2166 4 ปีที่แล้ว

    Amen amen Amen Amen Amen Amen Shalom Shalom

  • @bidafumbuka855
    @bidafumbuka855 6 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabariki watu wa mungu msonge mbele

  • @benjaminchares1083
    @benjaminchares1083 3 ปีที่แล้ว

    Cena Sana amen

  • @antoooa8664
    @antoooa8664 2 ปีที่แล้ว

    Amazing song

  • @boniphacejuma8344
    @boniphacejuma8344 5 ปีที่แล้ว

    amina sana bwana awabariki

  • @gentilbalume8216
    @gentilbalume8216 5 ปีที่แล้ว +2

    Loved in DRC. Thank you

  • @RachealTwizere
    @RachealTwizere 5 หลายเดือนก่อน

    Thanks

  • @kbm241
    @kbm241 6 ปีที่แล้ว

    Mungu anawaita nyote mliolemewa na mizigo mizito.

  • @dorcaslor2166
    @dorcaslor2166 4 ปีที่แล้ว

    Ina Sikilikana Kueli Choirs Muzuri n’a Chewo

  • @barakajoseph3906
    @barakajoseph3906 4 ปีที่แล้ว +2

    2020 praise a God

  • @osiomamargret7505
    @osiomamargret7505 5 ปีที่แล้ว +1

    Amazing song❤❤❤❤🎤🎤🎤🎤

  • @sagukiyawanga3579
    @sagukiyawanga3579 5 ปีที่แล้ว +3

    naomba wimbo wa MOTO CHOMA na MIRIAM sauti ya jangwani

  • @SAFINANDINAYO-z3v
    @SAFINANDINAYO-z3v หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤

  • @samuelmuhindosivamwanza4988
    @samuelmuhindosivamwanza4988 5 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @KamarampakaViateur
    @KamarampakaViateur 3 หลายเดือนก่อน

    NDABAKUNDA CYANE

  • @annalaulent3519
    @annalaulent3519 3 ปีที่แล้ว

    Jonh mapalas

  • @kabulandibya8001
    @kabulandibya8001 6 ปีที่แล้ว

    amen

  • @ezratibore5750
    @ezratibore5750 3 ปีที่แล้ว

    😍😘

  • @lucymoraa1505
    @lucymoraa1505 6 ปีที่แล้ว

    nice

  • @erastozawadi8002
    @erastozawadi8002 5 ปีที่แล้ว

    hahahaaaa wachawi iachieni misukule irudi uraiani

  • @tatiroizi7204
    @tatiroizi7204 6 ปีที่แล้ว +1

    H