ISHINDE TABIA YA KUGHAIRISHA MAMBO SEHEMU YA KWANZA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ส.ค. 2024
  • Hii ni sehemu ya kwanza ya mada isemayo ISHINDE TABIA YA KUGHAIRISHA MAMBO kupitia kipindi cha TERMINAL ya CLOUDS FM. Terminal husikika kila jumamosi kuanzia saa 9 hadi 11 jioni ikiongozwa na HARRIS KAPIGA pamoja na LLLIAN MWASHA.

ความคิดเห็น • 19

  • @japhetjohn5697
    @japhetjohn5697 2 ปีที่แล้ว

    Okey, asante Sana nimekupata, Mungu aishiye anishike Mkono.

  • @getrudemalisa5414
    @getrudemalisa5414 2 ปีที่แล้ว

    NAIPENDA SANA HII TOPIC, IMENIBADILISHA SANAAAAAA

  • @prudence_muta
    @prudence_muta 5 ปีที่แล้ว

    Vitu makini hivi... Napenda sana 👍

  • @molimasumbuko4113
    @molimasumbuko4113 5 ปีที่แล้ว

    joel mungu akupe maisha marefu

  • @beathalugoye6962
    @beathalugoye6962 3 ปีที่แล้ว

    Nitaipataje

  • @danielulomi8994
    @danielulomi8994 7 ปีที่แล้ว

    hongera sana temino nimejifunza sana sana

  • @aliebrahim9423
    @aliebrahim9423 4 ปีที่แล้ว

    Hii ni tabia ambayo imekuwa inawasumbua watu wengi sana.Hata mimi ilishawahi kunigharimu.

  • @beathalugoye6962
    @beathalugoye6962 3 ปีที่แล้ว

    Nahitaji kupata soft copy hiyo

  • @mussamikendo5323
    @mussamikendo5323 6 ปีที่แล้ว

    Respect to you TERMINAL

  • @salummbashir4674
    @salummbashir4674 7 ปีที่แล้ว +1

    Ujumbe mkubwa sana

  • @farajahrogath2506
    @farajahrogath2506 6 ปีที่แล้ว

    thanks

  • @shubackmashinga3535
    @shubackmashinga3535 6 ปีที่แล้ว

    Joel🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @vairethmwaikono488
    @vairethmwaikono488 6 ปีที่แล้ว

    naomba mawaailiano yako nataka vitabu nipo morogoro

  • @nellyjames3404
    @nellyjames3404 6 ปีที่แล้ว

    I want to inspire people. I want someone to look at me and say '' because of u I didn't give up ''

  • @griffinmwakyonya132
    @griffinmwakyonya132 6 ปีที่แล้ว

    It touched my bottoms