Alichofanya Mbowe kwenye msiba wa Mzee Ali Kibao wewe unaona alikosea alipowatafadhalisha watu wasimdhuru Waziri wa mambo ya ndani wa nchi? Hicho ni kithibisho kingine kuwa Lissu huna Utu hata kidogo.
Unasema Gari yako Ilipata Ajali...Mbowe Alakuazima Gari Nayo Ikapata ajali...mh... Akakuambia Ilete Itengenezwe... Je Nani alilipa Matengenezo ya Gari ya Watu Uliyoigonga??? Kwa kuwa Hukuwa wewe... Je Baada ya Kutengenezwa Iliishiaje? Uliichukua Tena??? MBONA UNATUPA STORY NUSU?
Wewe ni msomi BWege unapo mdharau mama inamaanisha ata mama yako mzazi humthamini ww, unataka kuwatapeli wananchi eti mama hawezi wakati kuna nchi duniani imeongozwa na kiongozi mwanamke na inamaendeleo kushinda hapa kwetu na si nyingine nayo ni Brazil wacha uongo. Watakao kufuata ww ni machz tu.
Kuna mhemko wa kutaka kumuondoa Mbowe kwa madai ya UKANDA, lakini narudia lakini Chadema inajiua YENYEWE kwa madai ya mabadiliko. Minimekaa palee nakunywa mtindi!
Huyu jamaa nimeshamsoma ni mtu mwenye hasira na madaraka yani hata interviews zake anaonesha kabisa anahasira,chuki imemjaa,anamchukia Samiha vibaya mno hana hata ubinaadam na siku akijakua raisi naona atawasweka ndani viongozi wote wa ccm Damn!!Lissu punguza jazba na ndio maana watu hawana imani na wewe mara 98%Mbowe yuko mstaabu sana hata akiongea speech zake hana ujinga ujinga km wewe.
Unampambania nani ? Wakati familia yako iko nje Tanzania !!! Umelipwa kuvuruga taifa la Tanzania ? Siku zako za kuishi zinahesabika usipobadilika ,believe me or not!!!
LISSU NI MPUMBAVU ALIYESOMA THE LIKES OF JULIUS MALEMA AND MIGUNA MIGUNA!
OVYO SANA
Alichofanya Mbowe kwenye msiba wa Mzee Ali Kibao wewe unaona alikosea alipowatafadhalisha watu wasimdhuru Waziri wa mambo ya ndani wa nchi? Hicho ni kithibisho kingine kuwa Lissu huna Utu hata kidogo.
Hujaitwa Huna shukurani Kwa Kuwa Umegombe, ILA KWA UZUSHI , UWONGO, NA SIASA ZA FITINA NA MAJI TAKA.
Hakuna chama tena Huu ndio ushahidi kuwa chama kime kwisha sambaratika poleni sana
Unasema Gari yako Ilipata Ajali...Mbowe Alakuazima Gari Nayo Ikapata ajali...mh... Akakuambia Ilete Itengenezwe... Je Nani alilipa Matengenezo ya Gari ya Watu Uliyoigonga??? Kwa kuwa Hukuwa wewe... Je Baada ya Kutengenezwa Iliishiaje? Uliichukua Tena??? MBONA UNATUPA STORY NUSU?
Wewe ni msomi BWege unapo mdharau mama inamaanisha ata mama yako mzazi humthamini ww, unataka kuwatapeli wananchi eti mama hawezi wakati kuna nchi duniani imeongozwa na kiongozi mwanamke na inamaendeleo kushinda hapa kwetu na si nyingine nayo ni Brazil wacha uongo. Watakao kufuata ww ni machz tu.
Kuna mhemko wa kutaka kumuondoa Mbowe kwa madai ya UKANDA, lakini narudia lakini Chadema inajiua YENYEWE kwa madai ya mabadiliko. Minimekaa palee nakunywa mtindi!
Hazi kauli nyingine hazitakiwi kutolewa na mtu anayetaka uongozi wa juu wa chama chetu.
"Watu wanacheza dansi na mama" Nonsense!!
Umetumwa na wakoloni mamboleo ulete ushoga. Never.
Unafaa sana lisuu?
RUTO ANASEMA TANZANIA IMETUPITA KIMAENDELEO HUYU FALA ANASEMA NAIROBI KUZURI 😢😢😢
Hakika mungu amekuleta ili ututoa kwenye haa majanga
Kwa Sisi tuliosoma udm tunajuwa lisu mtu na nusu
Wewe hujafika Nairobi ndiyo maana unabisha. Nairobi kumenoga bro.
acha wivu lissu wewe nimjinga sisi tuache na mama etu wewe kamasio mama ungerudi tz mjinga wewe hunaakili.
Kuwa kiongozi miaka 20 kwa Mimi ninaona inatosha kuwaachia wengine.
Maneno yake hayo ya uchonganishi ndio mnataka kumchagua kuwa mwenyekiti taifa kwakweli huyu jamaa hana busara kabisa.
Wanayaona lakini laana ya kutaka mabadiliko itawatafuna tu.
Siasa za wakati wa kikwete na siasa za Sasa ni tofauti sana na wewe unajua ila husemi kweli.
Huyu jamaa nimeshamsoma ni mtu mwenye hasira na madaraka yani hata interviews zake anaonesha kabisa anahasira,chuki imemjaa,anamchukia Samiha vibaya mno hana hata ubinaadam na siku akijakua raisi naona atawasweka ndani viongozi wote wa ccm Damn!!Lissu punguza jazba na ndio maana watu hawana imani na wewe mara 98%Mbowe yuko mstaabu sana hata akiongea speech zake hana ujinga ujinga km wewe.
acha uogo ukekua mungu ww ogea utafaya nn ukichaguliwa sio kuogea wezako
Kunja huo mguu
Ukimwita fala unakosea au sivyo.kama nchi inafanya vizuri ktk upande fulani lazima kuacha minuti na kuiga.u fala umeutoa wapi?
Saluti
Unampambania nani ? Wakati familia yako iko nje Tanzania !!! Umelipwa kuvuruga taifa la Tanzania ? Siku zako za kuishi zinahesabika usipobadilika ,believe me or not!!!
Masikini nakupa pole kama mawazo yako ndiyo hayo.