MWIJAKU: SIMBA ISIPOCHUKUA UBINGWA NIPIGWE MAWE, SANDALAND ATASIMAMIA MAZISHI YANGU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 23

  • @ShukruMakoko
    @ShukruMakoko 2 หลายเดือนก่อน

    Hataki baby 🎉🎉🎉🎉

  • @muhsinmmipi373
    @muhsinmmipi373 2 หลายเดือนก่อน

    Innah lillahi wainnah ilayhi raajighun

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hahahaha mwijaku ivi iyo Simba ni Simba Gani😂😂😂

  • @michaelmsambusi9287
    @michaelmsambusi9287 2 หลายเดือนก่อน +2

    Labda kombe la kuku na nguruwe ndio mtakalochukua.

  • @mwansasujonny3536
    @mwansasujonny3536 2 หลายเดือนก่อน

    Kwa ahadi hiyo tu ubingwa haupo hapo.....

  • @fnnyanda5993
    @fnnyanda5993 2 หลายเดือนก่อน

    Mhe.Mwijaku.Hivi kweli Timu ya Simba ni Timu ya Kuwekea "NADHIRI" kubwa kihivyo?!😊😅😮😢😂?.Ninakushangaa,kwa sbb utakuja Kuadhirika vibaya na Utakuja Kuokolewa na DC au RC au WAZIRI au na Mkuu wa nchi.Sasa,Subiri.

  • @subralugege7019
    @subralugege7019 2 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉

  • @godfreybarnabas-me2tx
    @godfreybarnabas-me2tx 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mwijaku anapambania sana ugali, kama unahisi ni rahisi fanya na wewe😂

  • @dhahabually5316
    @dhahabually5316 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli ubaya ubwela hadi Sundaland mwenyewe anashangaa😂😂😂Mwijaku

  • @MarwaTimasi-h5q
    @MarwaTimasi-h5q 2 หลายเดือนก่อน

    Mwijaku aklili huna ulisema utatembea uchi mwenge tegeta acha uchizi

  • @MarwaTimasi-h5q
    @MarwaTimasi-h5q 2 หลายเดือนก่อน

    Kipigo tarehe 8

  • @PeninaSalim
    @PeninaSalim 2 หลายเดือนก่อน

    Ubaya ubwela

  • @DianaLyimo-be7yp
    @DianaLyimo-be7yp 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nyie hamuogopi

  • @FestoAbiud
    @FestoAbiud 2 หลายเดือนก่อน

    Itajulijana tarehe 8

  • @brownsebastianmwibi5647
    @brownsebastianmwibi5647 2 หลายเดือนก่อน

    Mwijaku apewe tu usemaji wa thimba

  • @SurprisedAquaticWhale-ir8go
    @SurprisedAquaticWhale-ir8go 2 หลายเดือนก่อน

    Mwijaku ivi wewe huogopi😂😂😂

  • @lovenessmassawe
    @lovenessmassawe 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂

  • @mugishamajeba9628
    @mugishamajeba9628 2 หลายเดือนก่อน

    Unasema 2fanyeje

  • @ZaidAKissinza
    @ZaidAKissinza 2 หลายเดือนก่อน

    Acha lipolopo wewe, utaumbuka muda si mrefu. Ubingwa utausikia kwenye bomba. Kiboko yako ni Kipanya, mguse tena akunyooshe

  • @mutakagoza4759
    @mutakagoza4759 2 หลายเดือนก่อน

    Bichwa box machi ka bundi

  • @johnsilima1629
    @johnsilima1629 2 หลายเดือนก่อน

    Ubaya ubwela