wacheni haya nyie WA Catholic!!!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ธ.ค. 2021

ความคิดเห็น • 36

  • @simonnzuki8884
    @simonnzuki8884 ปีที่แล้ว +2

    Mafundisho mazuri, may GOD bless you all.

  • @leydaihal9332
    @leydaihal9332 2 ปีที่แล้ว +1

    Mubarikiwe sana acha mungu awatumie ili muwaelimishe watu, sabato ya bwana itabadirishwa na kuwa jumapili.

  • @truth7796
    @truth7796 2 ปีที่แล้ว +2

    For the world of God is Sharper than any double-edged sword, it separate the true doctrine and fake doctrine....People of God run away from Catholic Roman

  • @fredrickmugo7221
    @fredrickmugo7221 ปีที่แล้ว

    Napenda huyu mwenye kusoma

  • @shamimnassor6192
    @shamimnassor6192 2 ปีที่แล้ว +1

    Sunday ni siku za ibada ya MiuNGU wa kirumi ..hata historia ya Christmas ni ndefu mno na haihusiani na kristo ..basi tu sherehekeeni

  • @thomasotieno6799
    @thomasotieno6799 2 ปีที่แล้ว +1

    Ndio Christmas ni haramu na haiko kwenye Biblia bali ni siku kuu ya kipagani uliowekwa kwa ukristo na wakatholiki.

  • @leydaihal9332
    @leydaihal9332 2 ปีที่แล้ว

    Amen watumishi wa mungu ndacha na msomaji wako,hakika hizi ni nyakati za mwisho 666 inaenda kufanya kazi sasa, ni kujikaza na maombi tu.

  • @jacobmumia3726
    @jacobmumia3726 2 ปีที่แล้ว

    Hahaaa....Ndacha says it as it is

  • @ezekielmwamba9106
    @ezekielmwamba9106 ปีที่แล้ว

    Mafundisho yako Mwalimu Ndacha yako na elimu ya Mungu

  • @justinendizeye714
    @justinendizeye714 2 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏

  • @eunicebukokhe6805
    @eunicebukokhe6805 2 ปีที่แล้ว

    Ndugu unasema ukweli kabisa

  • @oscarjanuary5559
    @oscarjanuary5559 2 ปีที่แล้ว

    Wakatoriki tupo tuiteni tujibu malalamoko yenu

  • @taifaletutanzanialisingeku8123
    @taifaletutanzanialisingeku8123 2 ปีที่แล้ว

    Wewe Dasha unajichanganya. Kiukweli, unajichanganya sana. Yaani umeshindwa kuwahubilia waislamu, sasa unawakandia wakristo wenzako.
    Ufahamu wako tunaanza kuutilia shaka.
    Hakika.

    • @rosemutinda3076
      @rosemutinda3076 2 ปีที่แล้ว

      #TaifaletuTanzania tuambie amendanganya kivipi, la sivyo wewe ni mchungaji wa mshahara juu unawacha Ndacha anandanganye ukiona. Kama huna andiko zimba mdomo kwenu Tanzania

    • @truth7796
      @truth7796 2 ปีที่แล้ว

      My sister shika neno la Mungu pekee mafundisho mengine ambayo Rome catholic wanaingiza kanisani run away from it please..... Simama na neno la Mungu kama Dasha

  • @alicemangat3165
    @alicemangat3165 2 ปีที่แล้ว

    Achana na Mama Maria kabisa kama unamkana na kutunga na kusisitiza kwamba tunamwomba, na kuunganisha utabiri wako wa uongo. Nina picha za Maria, wazazi wangu waliofariki, watoto wangu katika nyumba yangu. Unataka kuniambia ninawaabudu wote? Acha kubadilisha maandishi. Yesu alifufuka Jumapili au la? Kwetu wakatoliki hii ni siku ya kusherehekewa kila Jumapili hata baada ya Pasaka.

    • @stevebee3083
      @stevebee3083 ปีที่แล้ว

      Prove that Sunday is God’s day of worship

    • @alicemangat3165
      @alicemangat3165 ปีที่แล้ว

      @@stevebee3083 Yesu alifufuka Jumapili. Hii ni siku takatifu kwetu Waktisto.

    • @felixmutembei2181
      @felixmutembei2181 ปีที่แล้ว

      Nani alikwambia kufufuka ni ibanda???

    • @alicemangat3165
      @alicemangat3165 ปีที่แล้ว

      @@felixmutembei2181 katika imani yetu, hii ni ishara kubwa ya kusherehekewa daima.

    • @felixmutembei2181
      @felixmutembei2181 ปีที่แล้ว

      unafuata imani yako au unafuata imani ya mungu wa kweli??

  • @sirpleasureb
    @sirpleasureb 2 ปีที่แล้ว

    chrismas ni halali?swali

    • @monicabh1668
      @monicabh1668 2 ปีที่แล้ว

      Sio halali kabisaa

    • @sirpleasureb
      @sirpleasureb 2 ปีที่แล้ว

      @@monicabh1668 Wakolosai 2:16 ni halali

    • @simonnzuki8884
      @simonnzuki8884 ปีที่แล้ว

      Ukitaka! But don't say that - Jesus was born on 25-December

  • @alicemangat3165
    @alicemangat3165 2 ปีที่แล้ว

    Wewe mtu wa neno! Sasa soma Mark 9: 38-41. Achana na Catholic na madhehebu mengine bora tu wamhubiri Yesu Kristo.

  • @alicemangat3165
    @alicemangat3165 ปีที่แล้ว

    Hatumwabudu Maria ila tunamkimbilia atuombee. Iko kwenye biblia kwamba aliwaombea divai wamaarusi katika sherehe za Kana. Walipata!

    • @lenardkenedy542
      @lenardkenedy542 ปีที่แล้ว

      Mapokeo Mabovu

    • @user-ix5wp9yu7b
      @user-ix5wp9yu7b 2 หลายเดือนก่อน

      Sasa mtu amekufa anakuombeaje kwayesu na mariam hajafufuka hadi leo

  • @ramazecha2877
    @ramazecha2877 2 ปีที่แล้ว

    Ukirisrto ni upagani tu sio dini ya mungu nyinyi nyote wakiristo ni makafiri tu

    • @sylvestersamwel8210
      @sylvestersamwel8210 2 ปีที่แล้ว +1

      Rama unaweza kuwa umesoma lakini haujaelimika.

    • @rosemutinda3076
      @rosemutinda3076 2 ปีที่แล้ว +2

      #Ramazecha, wewe hata huelewi dini yako, uislamu ni ukristo upagani kwa mlango wa nyumba, ama hujui vyenye uislamu ulianza?