TV SATURDAY | BIBLIA NURU YA DUNIA | PART 2

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 89

  • @danielernest8588
    @danielernest8588 3 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe sana mwalimu Ndasha illa waamenikera kuiba kitaabu Mungu anawaona

  • @monicabh1668
    @monicabh1668 2 ปีที่แล้ว +1

    👏👏👏Amennn🙏🙏🙏🙏yaani ni mtiririko wa maandiko tuu 🔥 🔥 🔥🔥🔥barikiwa sana Mwalimu wangu Francis Ndacha ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️ASANTE kwa hii Elimu yaani hoja tunazo za kuikabili hii dini ya uongo ya majini.

  • @kingtouch8423
    @kingtouch8423 3 ปีที่แล้ว +2

    Mwarimu ndacha Mungu azidi kukubariki na kukuongeza ujuzi mwingi na azidi kukulinda maajabu yote na mitego ya muovu shetani na majini wake na waislam

  • @jamesombaso9493
    @jamesombaso9493 ปีที่แล้ว

    Great love teacher ndacha nimeishi kutafuta mtu wa kweli Kwa mandiko nimekupata

  • @furahag3098
    @furahag3098 9 หลายเดือนก่อน

    Amen injili ya yesu iende mbele 🙏🙏🙏

  • @anthonyminjire8490
    @anthonyminjire8490 4 ปีที่แล้ว +3

    mimi kwa maisha yangu cjawahi ona mtu wa maajabu kama wewe mwalimu ndacha,ama nikaota ya kuwa kuna mtu anayehubili injili ya kweli na ya kuokoa kama unayohubiri.
    Nakwambia wewe ni mtu uliyebarikiwa kwelikweli.zidi kubarikiwa pamoja na wale mnaomhubiri YESU pamoja.
    mimi kwa unyenyekevu wangu ,i salute people and at the same time nawavulia kofia .pigeni injili kabisa.barikiweni .

    • @muslihmohd9420
      @muslihmohd9420 4 ปีที่แล้ว

      Uwo ushuhuda wako tumeshazoeya ndio mambo ya kanisani kudanganya wengine wewe uliona wapi ndacha kuhubiri injili wakati kazaliwa juzi na injili ya kweli ilichomwa moto na kuunguzwa yote,hakuna saiv ila kudanganywa tu na kutoa ushuhuda wa uongo makanisani,mara yesu alintokea sijui alikuja kwangu uongo mtupu.

    • @muslihmohd9420
      @muslihmohd9420 4 ปีที่แล้ว

      Huyu jamaa anawapotosha yesu hakufa mungu alishasema katika Qur'an hawakumuuwa wala hawakumsulubu ila walibabaishiwa mtu mwengn wakamdhani ni nabii Issa na kusema kwao huko wanafata dhana tu wao wenyewe hawana yakini kuwa walimuuwa,na ni kweli ukisoma mathayo 27:45 yesu saa sita alipaza sauti akiwa juu ya msalaba mungu wangu mbona unaniacha ila ukosoma matendo ya mitume 10:39 inasema walimuuwa ndio wakamtundika juu ya mti(kumsulubu),sasa ni yesu yupi aliezungumza msalabani na yupi aliuliwa akatundwa we huoni kuna tofauti apo..

    • @raymondngajagu66
      @raymondngajagu66 4 ปีที่แล้ว

      @@muslihmohd9420 Nani anayepotoshwa ww unafikiri xix hatuyasomi, Yesu ndiye aliyemtuma aihubiri injili na ndio kazi anafanya, etii injili ilichomwa mwaka gani xixi tunao uxhahidi korani ililiwa na myama ukatae nikupe andiko

    • @muslihmohd9420
      @muslihmohd9420 4 ปีที่แล้ว

      @@raymondngajagu66 sio tatizo kuliwa na mnyama kwani si ilikuwa ikihifadhiwa katika majani katba ya kwenye karatasi ila kwa kuliwa na mnyama haibadiliki popote maana ilihifadhiwa moyoni kwaiyo bila kuandikwa sisi tunaweza kusoma Qur'an tena ile ile na mfano akija leo mtume Muhammad akiisikia tu anajuwa kuwa hii ni Qur'an nlipewa zamani ila leo akija yesu ukamuonyesha bibilia ataelewa nini

    • @muslihmohd9420
      @muslihmohd9420 4 ปีที่แล้ว

      @@raymondngajagu66 ukisema Ndacha katumwa na yesu utupe andiko maana mimi katika bibilia cjaona jina la Ndacha halafu utambie alipewa injili ipi maana katika bibilia injili sio moj ndio maana tukasema hakuna injili ya kweli ni maneno ya watu yaliobaki

  • @monicahkyle2637
    @monicahkyle2637 4 ปีที่แล้ว +4

    Asante mwalimu....may God bless you and your group as you witness.may he see you through always....may he take care of your family's as you go out there to spread his gospel...

  • @mwoso
    @mwoso 4 ปีที่แล้ว +1

    Mchungaji Ndacha! ahsante kwa mafundisho na elimu ya busara.

  • @jacksonkilonzo1439
    @jacksonkilonzo1439 2 ปีที่แล้ว +2

    WE NEED 20 NDACHA IN THIS COUNTRY AWA WAISLAMU WOTE WATABATIZWA

  • @EmmanuelZacharia-z7f
    @EmmanuelZacharia-z7f ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe ndacha itakiwa ukutane na sheh

  • @raymondngajagu66
    @raymondngajagu66 4 ปีที่แล้ว +1

    We umetumwa na Mungu ujalishe kweli Mungu akupe hekima zaidi Mr Ndacha

    • @muslihmohd9420
      @muslihmohd9420 4 ปีที่แล้ว

      Yani apo wakristo ndio nawaona wajinga yani mtu anahubiri tu inasema katumwa na mungu we hujamsikia yesu vile alisema kuwa watatokea makristo wa uongo kama Ndacha,wakiwambia yesu yupo jangwani kama alivosema Paulo msiende,kama unamwamini Ndacha kwa uongo wake soma 50:6 yeremia

  • @abcdg1995
    @abcdg1995 4 ปีที่แล้ว +1

    Teacher Francis Ndasha is very determined to inspire us with his head full of verses! How comes all the verses are in your head

  • @abbyadams8691
    @abbyadams8691 4 ปีที่แล้ว +1

    Ramadhani anatia huruma sana.

  • @abcdg1995
    @abcdg1995 4 ปีที่แล้ว +2

    Keep spreading the love Brethrens You never know that will happen tomorrow

    • @monicabh1668
      @monicabh1668 2 ปีที่แล้ว

      Hi dear 🙋‍♀️

  • @pazasautiusinyamaze400
    @pazasautiusinyamaze400 7 หลายเดือนก่อน

    Pauloooo umerudi ulienda wapi ndugu barikiwa

  • @dennismwenje7041
    @dennismwenje7041 4 ปีที่แล้ว +3

    Ndacha wewe ndio paul wa sasa mbarikiwe sana wewe na hao walimu wengine

    • @muslihmohd9420
      @muslihmohd9420 4 ปีที่แล้ว

      Ndio Paulo wa sasa kwa uongo no sawa maana mwalimu aliemfundisha ndacha kasilimu yeye atakuwa kitu

    • @farisytanzania6566
      @farisytanzania6566 4 ปีที่แล้ว

      Kumbe mnajua Ndacha kama Paulo. Soma Wacorinto wa 1(9:19) Wacorinto wa 2(11:22) Poleni mafaresayo.

  • @neemamahusho6193
    @neemamahusho6193 4 ปีที่แล้ว +2

    Sa wanabisha nn au hawajui Qur'an Yao na Quran yao inakubali Yesu alikufa

  • @janenjenga5639
    @janenjenga5639 4 ปีที่แล้ว +1

    Ubishi ndiyo mingi

  • @abcdg1995
    @abcdg1995 4 ปีที่แล้ว +1

    Nothing humbles people like death nobody even ask for bank account balance When on death bed! Let's think about it

  • @saitotisapiyo5997
    @saitotisapiyo5997 4 ปีที่แล้ว +1

    Bado hapa mtu atajiita mwisilamu

    • @muslihmohd9420
      @muslihmohd9420 4 ปีที่แล้ว

      Sio kujiita sisi tumeitwa waislamu ni mungu mwenyew tatizo nyinyi mnaopewa majina ya kipagani mkafanya ndio jina la dini wakati dini yenu haijuilikani.

  • @muslihmohd9420
    @muslihmohd9420 4 ปีที่แล้ว +1

    Wewe Ndacha muongo yesu hajafa maana ushahidi wa kifo cha yesu hakuna mtabaki kupiga kelele tu mungu alishasema hakufa ndio hakufa huwezi shindana nae yeye anajuwa zaidi.

    • @malaikawatatutv.ufunuo14.84
      @malaikawatatutv.ufunuo14.84 4 ปีที่แล้ว

      mungu wa waislamu ndo kasema hajafa maana kifo chake ni aibu kwa mungu wenu ila Mungu wetu anajua mwanae alikufa na kufufuka usjali utajua2 ipo siku et

    • @charlesjoseph2092
      @charlesjoseph2092 4 ปีที่แล้ว

      Nipee andiko ndani biblia Yesu hakufa

    • @muslihmohd9420
      @muslihmohd9420 4 ปีที่แล้ว +1

      @@malaikawatatutv.ufunuo14.84 sasa mbona kama kafa hao mashahidi walioelezea kifo cha yesu wametofautiana haijuilikani yupi mkweli yupi muongo hapo ndio tunarudi kule kwenye Qur'an Allah aliposema mnafata dhana tu hamuna uhakika kuwa kafa

    • @muslihmohd9420
      @muslihmohd9420 4 ปีที่แล้ว

      @@charlesjoseph2092 huwezi kupata andiko kwa jambo ambalo halijatendeka mfano wewe nikwambie nuhu hakuwa mkiristo utanipa,wewe unaesema kafa ni kwa ushahidi gani,ukisema yesu kafa INA maana shetani ndio alifanya mpango wa yesu kufa yesu mwenyew hakutaka kufa

    • @charlesjoseph2092
      @charlesjoseph2092 4 ปีที่แล้ว

      @@muslihmohd9420 Nikikupa andiko Yesu alikufa na siku ya tatu akafufuka je utakubari?